ALI FAZA
ALI FAZA
  • 729
  • 2 147 104

วีดีโอ

Hii Ndio Hoja Kuu ya Ibnu Taymia na Mawahabi Kupinga Tawasul | Sheikh Mbarak Awes
มุมมอง 384หลายเดือนก่อน
Hii Ndio Hoja Kuu ya Ibnu Taymia na Mawahabi Kupinga Tawasul | Sheikh Mbarak Awes
Kwanini Munajiita Salafiya Lakini Munawapinga Waanzilishi wa Salafiya | Sheikh Mbarak Awes
มุมมอง 482หลายเดือนก่อน
Kwanini Munajiita Salafiya Lakini Munawapinga Waanzilishi wa Salafiya | Sheikh Mbarak Awes
Mtume ﷺ Hafanyi Makosa Utasemaje Kua Ana Madhambi | Sheikh Mbarak Awes
มุมมอง 853หลายเดือนก่อน
Mtume ﷺ Hafanyi Makosa Utasemaje Kua Ana Madhambi | Sheikh Mbarak Awes
Jee ni Nani Alie Anzisha Ahlu Sunna Wal Jamaa Katika Uislamu | Sheikh Mbarak Awes
มุมมอง 3Kหลายเดือนก่อน
Jee ni Nani Alie Anzisha Ahlu Sunna Wal Jamaa Katika Uislamu | Sheikh Mbarak Awes
Unawezaje Kusema Wazazi Wa Mtume Wataenda Motoni | Ustadh Muhamad Al-beidh
มุมมอง 945หลายเดือนก่อน
Unawezaje Kusema Wazazi Wa Mtume Wataenda Motoni | Ustadh Muhamad Al-beidh
Lazima Tisahihishe Ufahamu Ulio Potoshwa Kwa Waislamu | Sheikh Mbarak Awes
มุมมอง 2.4Kหลายเดือนก่อน
Lazima Tisahihishe Ufahamu Ulio Potoshwa Kwa Waislamu | Sheikh Mbarak Awes
Ziayara Kwa Ndugu Walio Fariki Baada ya Eid | Ustadh Muhammad Al-Beidh
มุมมอง 503หลายเดือนก่อน
Ziayara Kwa Ndugu Walio Fariki Baada ya Eid | Ustadh Muhammad Al-Beidh
Acheni Kugombanisha Waislamu Sababu ya Arafa na Eid Imetosha Sasa | Sheikh Mbarak Awes
มุมมอง 3Kหลายเดือนก่อน
Acheni Kugombanisha Waislamu Sababu ya Arafa na Eid Imetosha Sasa | Sheikh Mbarak Awes
Qauli Sahihi ya Sheikh Arify Kutoka Saudi Arabia| Mkanganyiko wa Mwezi
มุมมอง 3.4Kหลายเดือนก่อน
Qauli Sahihi ya Sheikh Arify Kutoka Saudi Arabia| Mkanganyiko wa Mwezi
Samahani Sheikh Muharram Mziwanda Katika Arafa Ulighafilika Inabidi Urekebishwe | Sheikh Mbarak Awes
มุมมอง 29Kหลายเดือนก่อน
Samahani Sheikh Muharram Mziwanda Katika Arafa Ulighafilika Inabidi Urekebishwe | Sheikh Mbarak Awes
Ni Ipi Qauli Sahihi Ya Ibnu Uthaimin Kuhusu Arafa | Sheikh Mbarak Awes
มุมมอง 13Kหลายเดือนก่อน
Ni Ipi Qauli Sahihi Ya Ibnu Uthaimin Kuhusu Arafa | Sheikh Mbarak Awes
Ufahamu Sahihi Dhidi ya Upotoshaji wa Siku ya Arafa | Sheikh Mbarak Awes
มุมมอง 12Kหลายเดือนก่อน
Ufahamu Sahihi Dhidi ya Upotoshaji wa Siku ya Arafa | Sheikh Mbarak Awes
Kauli Sahihi ya Sheikh Waseem Kuhusu Arafa na Eid Adh-ha | Jee Arafa na Eid ni Lini
มุมมอง 1.1Kหลายเดือนก่อน
Kauli Sahihi ya Sheikh Waseem Kuhusu Arafa na Eid Adh-ha | Jee Arafa na Eid ni Lini
Ni Lini Tutafunga Saumu ya Arafa na Kuswali Eid Adh-ha | Kauli Sahihi Kutoka Madina Saudi Arabia
มุมมอง 4Kหลายเดือนก่อน
Ni Lini Tutafunga Saumu ya Arafa na Kuswali Eid Adh-ha | Kauli Sahihi Kutoka Madina Saudi Arabia
Huyu Pia ni Jirani Yako Lazima Umuheshimu | Ustadh Said Ali Hassan
มุมมอง 2632 หลายเดือนก่อน
Huyu Pia ni Jirani Yako Lazima Umuheshimu | Ustadh Said Ali Hassan
Hukmu ya Kuswali Katika Sehemu Ilio na Makaburi (Makaburini) | Sheikh Mbarak Awes
มุมมอง 1.6K2 หลายเดือนก่อน
Hukmu ya Kuswali Katika Sehemu Ilio na Makaburi (Makaburini) | Sheikh Mbarak Awes
Hukmu ya Kuswali Katika Msikiti Ulio na Kaburi | Sheikh Omar Al-Midhar
มุมมอง 1.2K3 หลายเดือนก่อน
Hukmu ya Kuswali Katika Msikiti Ulio na Kaburi | Sheikh Omar Al-Midhar
Miujiza ya Usingizi Kwa Mwanadamu | Sheikh Shaaban Abdi Mussa
มุมมอง 5103 หลายเดือนก่อน
Miujiza ya Usingizi Kwa Mwanadamu | Sheikh Shaaban Abdi Mussa
Albani Hana Uwezo wa Kusahihisha Hadithi Ilio Saihishwa na Bukhari | Ustadh Fadhil Ashirazy
มุมมอง 3.2K3 หลายเดือนก่อน
Albani Hana Uwezo wa Kusahihisha Hadithi Ilio Saihishwa na Bukhari | Ustadh Fadhil Ashirazy
Munaqasha Kamili Jee ni Sunna Kuswali Eid Uwanjani au Msikitini | Ustadh Badru Khamis
มุมมอง 2.4K3 หลายเดือนก่อน
Munaqasha Kamili Jee ni Sunna Kuswali Eid Uwanjani au Msikitini | Ustadh Badru Khamis
Munaqasha Kamili Jee ni Sunna Khatibu Kushika Fimbo Juu ya Mimbar | Ustadh Badru Khamis
มุมมอง 1.8K3 หลายเดือนก่อน
Munaqasha Kamili Jee ni Sunna Khatibu Kushika Fimbo Juu ya Mimbar | Ustadh Badru Khamis
Munaqasha Kamili Je Dhikri na Dua Baada ya Swala ni Sunna au Uzushi | Sheikh Badru Khamis
มุมมอง 3.2K3 หลายเดือนก่อน
Munaqasha Kamili Je Dhikri na Dua Baada ya Swala ni Sunna au Uzushi | Sheikh Badru Khamis
Munaqasha Kamili Je Ukimsomea Qur'an Maiti Inamfikia Thawabu Zake | Ustadh Badru Khamis
มุมมอง 6K3 หลายเดือนก่อน
Munaqasha Kamili Je Ukimsomea Qur'an Maiti Inamfikia Thawabu Zake | Ustadh Badru Khamis
Munaqasha Kamili Je Maulidi ni Katika Dini au ni Upotevu | Ustadh Badru Khamis
มุมมอง 1.5K3 หลายเดือนก่อน
Munaqasha Kamili Je Maulidi ni Katika Dini au ni Upotevu | Ustadh Badru Khamis
Munaqasha Kamili wa je Maulidi ni Ibada au ni Uzushi | Ustadh Fadhil Ashirazi
มุมมอง 3.8K3 หลายเดือนก่อน
Munaqasha Kamili wa je Maulidi ni Ibada au ni Uzushi | Ustadh Fadhil Ashirazi
Tusidanganywe Baadae Tujue na Mapema Hakuna Eid ya Kimataifa | Ustadh Muhamad Al-beidh
มุมมอง 2.5K3 หลายเดือนก่อน
Tusidanganywe Baadae Tujue na Mapema Hakuna Eid ya Kimataifa | Ustadh Muhamad Al-beidh
Hukmu ya Kutizama Mwezi wa East Africa na Kumpa Zaka Mtu wa Family | Ustadh Muhammad Al-Beidh
มุมมอง 8614 หลายเดือนก่อน
Hukmu ya Kutizama Mwezi wa East Africa na Kumpa Zaka Mtu wa Family | Ustadh Muhammad Al-Beidh
Hukmu ya Kutoa Pesa Katika Zakatul Fitri na Sehemu Sahihi ya Kuswali Eid | Ustadh Muhammad Al-Beidh
มุมมอง 2.2K4 หลายเดือนก่อน
Hukmu ya Kutoa Pesa Katika Zakatul Fitri na Sehemu Sahihi ya Kuswali Eid | Ustadh Muhammad Al-Beidh
Hukmu YA Alie Ikosa Swala YA Eid | Ustadh Muhamad Al-beidh
มุมมอง 1.1K4 หลายเดือนก่อน
Hukmu YA Alie Ikosa Swala YA Eid | Ustadh Muhamad Al-beidh

ความคิดเห็น

  • @user-ro4nx4xv2m
    @user-ro4nx4xv2m 3 วันที่ผ่านมา

    Iyo picha ya nan

  • @sumeyaahmed4187
    @sumeyaahmed4187 4 วันที่ผ่านมา

    Mola akurahamu ewe nduguyetu

  • @user-cj7sp8qo8g
    @user-cj7sp8qo8g 6 วันที่ผ่านมา

    Eti tuwasomee maiti Quran, n Allah akulaani, je Mtume alisoma vile alizika wengi, Qurhatu burhanakum inkuntum saadiqeen, dalili katika hili kuwa Mtume amesema na akafanya , quran ni ya walio hai, umenyimwa ufahamu kamzee

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 10 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂 jini anae uyo kammfunika chupi

  • @user-xu9nn3pe4k
    @user-xu9nn3pe4k 10 วันที่ผ่านมา

    Subhana llah ebu lete fatawa ya shehe au lete maneno yake ya saut akizungumza hilo mbona wazee hamuogopi kua mtafufuliwa na mtaulzwa kwa mlioyafanya na kuyasema

  • @bundalahamza8902
    @bundalahamza8902 21 วันที่ผ่านมา

    Allah akupe pepo YA Juu Rais Mwinyi ulikuwa na Mapenzi makubwa saana na Mashekhe

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg 23 วันที่ผ่านมา

    Umma mmoja na watu wa Bidaa

  • @abdulshakurmshindo9040
    @abdulshakurmshindo9040 26 วันที่ผ่านมา

    Mawahabi wana Ufahamu wa kilokole

  • @swalehahmad8947
    @swalehahmad8947 27 วันที่ผ่านมา

    قَطْرٍ Ni jimbo !!!!

  • @AbdulMutta
    @AbdulMutta 28 วันที่ผ่านมา

    Wallah ustadh fadhil hakuna shekh wahabi am fika ilimu huyu bwana anaelimu

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 29 วันที่ผ่านมา

    Shukraan sheikh

  • @anyimikemwakyanjala7158
    @anyimikemwakyanjala7158 หลายเดือนก่อน

    Akili za viongozi wetu zimejaa misuguano..maendeleo zero...walimu wa madrasa wanalipwa kiduchu wao bize kugombana

  • @MusaSuleimanNassorAl-Amry
    @MusaSuleimanNassorAl-Amry หลายเดือนก่อน

    Kama wajuwa wewe ni JIWAHABI pure wawashwa na nini ?

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

    Kijana mzuri unalingania bidah Allah akuongoze bidah kitu kibaya Sana we endelea kutawasali na mait IPO siku utakuja kujuwa kuwa inafaa auhaifai adhabu za Allah akuna awezae kuzimilik Allah katuma mitume kukataza watu shirki we walingania shirki Allah Hatokuwa na msamaha kwa washirikina siku ya kiama we Minya Minya hakki utakuja kujuta ndugu

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 29 วันที่ผ่านมา

      Jibu kwa hoja aloyasema na kataja na vitabu

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 29 วันที่ผ่านมา

      @@IbraFareed kwani kila kinachotajwa kwenye kitabu ni sahihi mwengine anatafsili adithi dhaifu au aya akazitafsili kwa uwelewa wake so wana wazuoni mrudi katika sunnah muache bidaa mtasalimika tawasuli makaburini kwa wafu ni shirki na walikuwa wakiwaomba mayti walokufa maqureish walipoambiwa mnawaabudu Hawa wakisema hatuwaavudu tunajikaribisha kwa mungu kupitia wao maneno haya yanasemwa hadi leo na badhi ya mashekhe wenye tabia hizi ummah umerudi katika shirki tena Allah aninusuru na atuweke mbali na shirki

  • @salimofficial1263
    @salimofficial1263 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba full video

  • @mahershadhil2493
    @mahershadhil2493 หลายเดือนก่อน

    Allah akulipe kheir maalim kwa kutupa mambo ya kheir namn hii

  • @KassimEdrisa-dd7zh
    @KassimEdrisa-dd7zh หลายเดือนก่อน

    Kwan katika Surat عبس و تولى mtume saw analaumiwa na Alla Kwa kitu Gani hebu someni nyie Masufi acheni porojo nyingi

  • @infocontentchannel
    @infocontentchannel หลายเดือนก่อน

    Wanakuelewa ww watu wa Haki, ila mahizby woooote WALLAHI WABILLAH WATALLAH hawawez kukuelewa. Hafidhwakallah Dr. Mubarak Awes

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

      Unaesema watu mahizbi ukute huelewi Hilo neno kenyewe hizbi na inaweza ikawa ww ndo miongoni mwao Sabu mtu wa hakki hawezi mtetea mtu wa bidaah hata siku moja lazima atakuwa mbali nae

    • @infocontentchannel
      @infocontentchannel หลายเดือนก่อน

      @@user-yj5on8cz3e Watu wa Haki wanaichukua Haki popote ilipo, watu wa mahizby Haki kwao ni kile kinachotokana na Makundi Yao Nje ya hapo Yoooote ni Baaatil. Na hujifakharisha na Makundi Yao. Soma Vzr utakuja kuelewa IN SHAA ALLAH.

  • @CubeedCali
    @CubeedCali หลายเดือนก่อน

    Mawahabi munachuki na wanazuoni tushawazoweya

  • @JUMUIYAyakupingaruswanau-zo9rw
    @JUMUIYAyakupingaruswanau-zo9rw หลายเดือนก่อน

    Shekh mziwanda nimemuelewa

  • @salahhddindasuvic6447
    @salahhddindasuvic6447 หลายเดือนก่อน

    Sio kweli

  • @ShabaniJumbe
    @ShabaniJumbe หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa maneno mengi tu Hana hoja Sufi huyuuu

  • @jumaciza461
    @jumaciza461 หลายเดือนก่อน

    Swali langu niku husu Mawahabi je uwahabi ni dini wala ni Waislamu

  • @burhanmuhammed2234
    @burhanmuhammed2234 หลายเดือนก่อน

    Hakuna hadithi ambayo ni lazima kupijwe twari, wanawake ndio walio ruhusiwa sio wanaume mambo ya wanawake vp mufanye nyinyi wanaume, tena sio tari vidafe

  • @burhanmuhammed2234
    @burhanmuhammed2234 หลายเดือนก่อน

    Na hii aya inayo sema, laysa laka min amri shaiun tizama katika sababunnuzuli nailiteremshwa kwa ajili gani

  • @ahmadifakimjaka1433
    @ahmadifakimjaka1433 หลายเดือนก่อน

    Muongo Ahlulsunna wal Jamaa ni mfumo wa kale kabla ya huyo ash'ary Fundisha haki Sio kueneza Uwongo...!

  • @abdulshakurmshindo9040
    @abdulshakurmshindo9040 หลายเดือนก่อน

    Mawahabi hawawezi kukuelewa sababu wapo kama walokole walioambiwa na mashekhe zao ndo hayo hayo hatakama wakipotezwa

  • @user-qe8xp6ii1u
    @user-qe8xp6ii1u หลายเดือนก่อน

    Allahu akbar Huyu jamaa ni muongo sana. Kwanza Ametowa wap Maneno yake.kama wadai dali li sis twakudai ww kwanz haya maneno yako ikiwa ww mkweli. Pili hujui maana ya Ahlu sunnat Waljamaa. Mjinga sana ww Mubarak Aweso. Halafu Hauna historia ya kusoma. Na Pia maneno yako ni kufru.Kama Wadai eti Kuna kizaz ndo kilileta Itikad ya Ahl sunna kwa hyo waliotangulia hawakuwa Ahl sunnat waljaamaa??pumbafu

  • @sophiahussein6739
    @sophiahussein6739 หลายเดือนก่อน

    tufuate mwandamo wa mwezi tufuate mashekh wetu

  • @issasalimu9796
    @issasalimu9796 หลายเดือนก่อน

    Ww jisufu ww nenda tu lamu kwenye maulidi na kukhitimisha kimchongo nani kasema hatufuati muhamadi ibn idirisa ashifii alosema tujifananishe na salaf ninani acha kushamta

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 หลายเดือนก่อน

    MAWAHABI NI MAYAHUDI HAWAMPENDI MTUME MOHAMAD SALALAHU ALAYHI WASALAM ALLAH AWAONGOZE WAO PAMOJA NA SISI AMIN

    • @burhanmuhammed2234
      @burhanmuhammed2234 หลายเดือนก่อน

      Ww wapenda leta mizozo wajifanya Una elimu na upotofu mwingi

    • @burhanmuhammed2234
      @burhanmuhammed2234 หลายเดือนก่อน

      Nyinyi makhurafi ndio mulio potea mwasema sheke wenu Al marhum Al sharif Al bidhi alijikafini mwenyewe, sasa angalia walio potea Kati ya mawahabi na nyinyi ni Nani?

  • @GoldenBoy-xm5gn
    @GoldenBoy-xm5gn หลายเดือนก่อน

    ikiwa aqida ya ahlu sunnah imeanzishwa na abul hasan ashary vp kuhusu maimamu wa qarne ya kwanza ya pili na yatatu wakina imamu shafii wao hawakuwa na aqida ya kiislamu ikiwa imeanzishwa na abul hassan ashary

  • @abdurazackhassan1842
    @abdurazackhassan1842 หลายเดือนก่อน

    Hueleweki

  • @ahmadifakimjaka1433
    @ahmadifakimjaka1433 หลายเดือนก่อน

    Jisufi maarufu....! Acha uwongo...! Wanachuoni wanaoiacha kauli ya Imamu Shafy mfano kuhusu kunuti ni wanachuoni wakubwa wa kishafy tena wa zamani wewe ni nani leo mpaka ujifanye ndio Mshafy wa kweli wakati Imaam shafy hajui kuhusu Maulidi wala Zikri za kukohoa wala ziala za makaburi za kila mwaka pia imaam shafy amewasema vibaya masufi baada ya kusikia habari zao pale aliposema "Mtu akiingia ktk usufi muda wa adhuhuri mpaka ikifika alasiri basi kashakuwa mpumbavu..? Masufi ni wazushi waongo hata hawa wanachuoni wetu wa leo hivyo hivyo wana kauli nyingi ambazo zinapothibitika ni dhaifu zinaachwa na zimeachwa nyingi sana kwahiyo acha kudanganya watu. Unasahau Maneno ya Imaam maliki aliposema "Kauli zote za watu zinaweza kuchukuliwa au kuachwa isipokuwa kauli ya Mtume swallallahu alayhi wasallam peke yake. Masalafy hawafuati kichwa mchunga ndio maana kunapokuwa kuna ikhtilafu Jamhul ya wanachuoni wanazirejea kauli za wanachuoni wote kisha wanazichambua alafu wanachagua kauli yenye nguvu na kuziacha dhaifau Huo ndio Usalafy ndio maana baina ya masalafy huwezi kukuta mzozo wa ikhtilafu kwasababu tunatembea na wanachuoni.

    • @salumhassanallymkurdistan7006
      @salumhassanallymkurdistan7006 หลายเดือนก่อน

      HAKI ITABAKI KUWA HAKI JAPO HUIPENDI MAWAHABI WANAFARAKANISHA WAISLAM AFRICA HAKUNA MASALAFI AFRICA KUNA MALAFI WAROHO WA PESA

    • @ahmadifakimjaka1433
      @ahmadifakimjaka1433 หลายเดือนก่อน

      @@salumhassanallymkurdistan7006 Haki kuwa Sufy au haki gani...? Huwezi kuukimbia Usalafy ukikimbia Usalafy umeukimbia Uislamu kwahiyo ni chaguo lenu. Eti hakuna usalafy Afrika sasa nambie usalafy uko wapi....? Daawa imeshapenya sasa Ni ya moto usichezee daawa hii utapata laaana

    • @ahmadifakimjaka1433
      @ahmadifakimjaka1433 หลายเดือนก่อน

      @@salumhassanallymkurdistan7006 Imamu Shafy anasema Mtu akiingia ktk usufi wakati wa adhuhuri mpaka ikifika alasiri atakuwa kashakuwa mpumbavu.

  • @shadhilmakame
    @shadhilmakame หลายเดือนก่อน

    Maashallah twapta fAidaaaaa

  • @shadhilmakame
    @shadhilmakame หลายเดือนก่อน

    Mashallah darsa nzuri.

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

    Wanapingana na mtume mwenyewe Hawa jamaa waogopeni Sana watu kama hawa hatari kweli kwenye hii dini😂😂😂

    • @omaryjumbe14v8
      @omaryjumbe14v8 หลายเดือนก่อน

      We mwenyewe hatari kwenye Dini

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

      @@omaryjumbe14v8 ukiona mtu anasati mtu wa bidaa nae Ni miongoni mwao Ni watu wqkupingana na mafundisho ya mtume na kuzusha watu wa bidaa suffi waonggo xana Hawa kuna siku shekhe mmoja anaelezea watu et kuna mtu alikufa et mait ikafufuka ikajiingiza kwenye mwanandani mwenyew na watu wanamsikiliza urongo kwa wazushi kawaida mungu amewatoa aibu sana nyi watu mwengine jufri anakwambia kilemba changu kimetoka kwa mtume nilienda kumsalimu kwenye kaburi lake akafufuka mtume ananisalimu kwa mikono Kisha akanipa kilemba chake mijitu ya maulidi miongo sana

  • @AbasiJuma-vc5vw
    @AbasiJuma-vc5vw หลายเดือนก่อน

    Inajizunguzia mwenyewe kua ywye ni mtu wa inadi

  • @AbasiJuma-vc5vw
    @AbasiJuma-vc5vw หลายเดือนก่อน

    Haki gan asiijue mtume na masahaba zake au maimamu wa mtume

  • @user-ti6tn7bs9q
    @user-ti6tn7bs9q หลายเดือนก่อน

    Shirazi kweupeeee hana jambo anadodosaa tuuu anazunguka tuuu hayateteki maulid hatta siku moja

  • @khalifaahmed5232
    @khalifaahmed5232 หลายเดือนก่อน

    Hawa tulonao wanaojiita salafi ni km wamejificha na hili Jina nje yake lkn ingia ndani yake uwaskize ujiskie watu wanavyohukumiwa kuenda peponi na motoni na ukiwa ww wawapinga motoni na ukijiunga nawao uwe ka mkia uwafuate wao kwa Kila wasemalo yaani Jina tuu SALAFI ndio wamejificha nalo lkn ndani yake mitihani

  • @user-us7zg3fg5f
    @user-us7zg3fg5f หลายเดือนก่อน

    Shekh Aweso kaa chini usome acha kuwapotosha waumini

  • @MohamedJMazige
    @MohamedJMazige หลายเดือนก่อน

    Kwani hawa masufi hata akiwa mzee akili hazirudie?

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy หลายเดือนก่อน

    Naona kuna radd zinakuja mda si mrefu maana sheikh anaogopa matusi ndio maana kama anataka kubalance hakki na baatwili nimeanza kupata mashaka alivyozungumzia qunut sikusikia akisema kauli ipi ina nguvu isipokuwa anajitajid kubalance na hii hapa naona anazunguka sana.

  • @saba-gv3mj
    @saba-gv3mj หลายเดือนก่อน

    Hawana adabuu hawa mawahabi wapotoshaji mtu yuwasema mpaka wazazi wa mtume s a w wako motoni hawa mawahabi wapotoshaji

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 หลายเดือนก่อน

      Tatizo masufi hamjui lolote kuhusu uislamu. Nyinyi na hao masheikh wenu ni vipofu. Hakuna mtu asiye na dhambi ha awe mtume saw. Malaika ndo hawana dhambi.

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj หลายเดือนก่อน

      @@mohdkhatib223 ww ulio kua na ilimu mtume s a w Ana dhambi subhana Allah pole mungu akuongoze

    • @ababdsuleiman1167
      @ababdsuleiman1167 หลายเดือนก่อน

      ​@@mohdkhatib223 Sheikh wetu Tunaomba utujulishe dhambi moja tuu la Bwana wetu kipenzi chetu Mtume wetu Muhammad swalla Allahu Alyhi wasalam

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 หลายเดือนก่อน

      @@ababdsuleiman1167 kwanza ungejua maana ya dhambi, pili ujue kuna aina ya dhambi, tatu kwani wewe kila dhambi unayofanya watu wanajua? Pia rejea kusoma mwanzoni mwa sura 'ABASA. Tatizo masufi mmepindukia mipaka katika kumsifu na kumuelezea mtume wa Allah. Mmemfanya kama Mungu wakati yeye ni binadamu na kama binadamu basi ubinadamu atakuwa nao tu. Pia rejea aya mwisho katika suratul Kahf

    • @allyally5156
      @allyally5156 หลายเดือนก่อน

      @@mohdkhatib223 kwani ayainasema uongo?

  • @Dhikriqadiriarazaqia
    @Dhikriqadiriarazaqia หลายเดือนก่อน

    Maashallah

  • @user-tw4nf6bv8b
    @user-tw4nf6bv8b หลายเดือนก่อน

    Huyo anayemtaja kaanzisha Ahlul sunnah wal jamaa pia kamzulia Mtume Rehma Sala zimwendee ndo mwanzilishi wa Ahlul Sunnah Waljamaa Wenye Inaad ni nyinyi masufi dalili za waziwazi mnapewa lkn kw sbb a innad na kujiona mnajua kuliko kheir na ibada kuliko Mtume Sala na Rehma zimwendee anavyozijua maana mmemshinda

  • @ilyasawadh6375
    @ilyasawadh6375 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulillah. jazakallahu khair

  • @yusufntamila541
    @yusufntamila541 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @AllyAhmad-zg2yp
    @AllyAhmad-zg2yp หลายเดือนก่อน

    Umesemakweli sheikh watu wamaulidi wanajua maulidi hayakuwepo wakati wamtume lakini wznafanya inadi