Naapa kwa Allah hawa watu watachomwa moto kwa kusema uongo ili jambo lao lionekane zuri, hawa ni Wanaafiq na wanapotosha wengi wajinga wasiokuwa na elimu. Waallah wana dhima kubwa sana mbele ya Allah ﷻ
Wakati wenu ndio huu wa kufanya ibada,ibada ambayo haijulikani namna ya kuitekeleza Kwa sababu haijafunszwa. Ibada ambayo walikosa mabwana wakubwa kina Abubakar radhAllahu anhu na wengine isipokuwa wanatwariqa. Allah atuongoze sote
Wwe shekh muogope allah ww unachokitetea hakipo ndani ya kitabu na sunnah uzushi huwoo ukisema kutofanya maulid ni uwahab kina imamu shafii na wenzie wote watakuwa wahaby bhasi Abubakari na omary watakuwa wahaby nao si awakusoma mawlid inamana wao hawakujuwa hiyo kheri mnayodai ninyi acha chuki mmedanganya watu kwa muda murefu xana sasa nuru imekuja mnaitia fitna kwa propaganda za uwahabi we ni mzushi si ndo ninyi mlohalalisha hadi kuabudu makaburi na kuyasujudia mnasema inafaa na mnawatukana wale wanaokataza ibada hizo, juzi mmehararisha muziki.kuwa ni halali tuh mnazidi kuwalingania watu upotevu siku yenu ipo Allah hana haraka na watu kama ninyi anawasubili tuuh kwani wapo wasemao yesu ni mungu na wananeemeka tuh so kuwa Allah kaghafirika nao ipo siku tuuh mtajuwa izo batwili mnazowaitia watu na kuwzuilia na njia ya mwenyezi mungu
Shukran wajazaka allahu kheir Habib

Wewe ni jahili
Shukran ahsana Allah ilaikaah