Alama Kuu Tatu za Kumjua Mtu Kama ni Wahabi | Sheikh Muhamad Idd

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 207

  • @ZainamavooMavoo
    @ZainamavooMavoo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Upo vzur mwalim

  • @modyworldmody4297
    @modyworldmody4297 3 หลายเดือนก่อน

    Shaikh maneno yako sahih... Allah akuhifadhi

  • @i_gabbykisalo4280
    @i_gabbykisalo4280 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh Mohammed Idd Hua ananikosha sana, umekaa kimya sana sheikh please rudia utupe raha tena

    • @أبوفيصل-د3ش
      @أبوفيصل-د3ش 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kapigwa Raddi amekimbia na Maswali hajajibu aliyoulizwa.
      kuhusu Uwahabi ni nn??
      Na mafuhum gani wakat Masheikh zetu wamesherehesha vitabu vingi Kama vile Sherhe ya Sahih Bukhari,Ya ibn utheymeen.
      Sherhe ya Umdatul ahkaam Ya ibn utheymeen.
      Kuwaheshim vip wakat yeye si anawatukana Hao anaowaita Mawahab kuwa wana mattzo matatu na anawadharau kuwa hawana ufaham wakat huko kuna wazee pia Na wengne wamemzid Umri kam Ibn Utheymeen,Ibn Baaz,Saleh Alfawzaan
      Na ndo mana Swahab Abu dardaa akasema ukitaka kumjua mjinga ni mtu kukataz jambo kisha yeye analifanya.

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@أبوفيصل-د3ش yupo kila wiki ni nyinyi mulikuwa hamufwatili alivitowa vitabu vyote vya mawahabi ingia TH-cam andika Sheikh Mohammad Idd

    • @أبوفيصل-د3ش
      @أبوفيصل-د3ش 3 หลายเดือนก่อน

      @@abubakaromar6101 niingie youtube hapa nipo wapi???mbona hujui hata kumuelkeza mtu vzr??
      Amekimbia huyu Aliizwa Maswali Na hajayajibu Hata swali moja.
      Nipe link nikatazame kama amejibu.
      Kwa sabab aliulizwa Kwa Dalili ipi inayofasir Neno hili Mawahabi.
      Je,Uwahabi ni nin??ktk Lugha na Istwilahi Za Wanachuoni.
      Kwani Kuhusu Sheikh Mohammad Bin Abdil wahab huyu Ni Mfuasi wa Madheheb ya Al imaam Ahmad bin Hanbali na itikadi yake ni Ahlu sunnat waljamaa.Assalafiyyuuna
      Kwa sabb wao wanapotaja Mawahabi wanamkusudia Huyu.
      Na neno hili halipo kabisaa ktk Kamusi ya kiarabu.
      Na Kuhusu Kulingania Tawhidi hatuoni Kosa lake ni lipi kwani Kuna Sheikh Mmoja (wa twariqa) Huko Nchini Kenya enzi za ukoloni wa Muingereza Alipinga Mambo ya Mizimu(Watu wa Mila) kuchanganya Na Uislam. Na akashinda Kesi mbele ya Mtawala.
      Na ABul fadhwil Alimpa Dalili Ndan ya Kitabu.na namna Yale maandamano kwa furaha.

  • @MohamedChengula
    @MohamedChengula 3 หลายเดือนก่อน

    Mawahabi Allah swt amewanyima ufaham

  • @abdulshakurmshindo9040
    @abdulshakurmshindo9040 3 หลายเดือนก่อน

    Sawa sawa sheikh wanaotokwa na povu ndio mawahabi wenyewe hao makhabbith wa matendo

  • @bagalucha
    @bagalucha 3 หลายเดือนก่อน

    Hujifahamu,una matatizo makubwa,Uko mbali na haki aliyokujanayo mtume,Ay hii An Nisaa 65 inakuhusuni watu nyinyi mnaotoka katika haki,sababu ya kwanza,dini yenu,ibada zenu zinatoka kwa mawalii wenu,sio kwa Allah au mtume Sallalahu Alayh wasalam,kama maulidi,kuyasujudia makaburi na kadhalika,nyingi ya ibada zenu,zina shirki na alokupeni hajulikani,angalau maulidi kakupeni Barzanji na wengine,Aya hiyo inasisitiza ya kwamba murudi kwenye mafundisho ya Allah na mtume,Allah Subhana wataala anatuelekeza kama tunaitaka haki ni kwake na mtume wake,wala tusione uzito kuifuata kwenye nafsi zetu, hata kama kuna Khitlafu na zimetugusa katika hawaa na nyoyo zetu,sasa nyinyi mkijua haswa kwamba hili na hili si katika ibada,lakini mnalaziImisha liwe ibada,tupeni ushahidi,hapo tena mizengwe,hahaha.Audhu billâhi minashwetani rajium

  • @AllyAhmad-zg2yp
    @AllyAhmad-zg2yp 3 หลายเดือนก่อน

    Semeni kweli tatizo kubwa la mawahabi wanamfata mtume

  • @DanOdira
    @DanOdira 3 หลายเดือนก่อน

    Mtume S A W anaamresha tupunguze masharubu na kuwacha ndevu ili muwe kinyume manasara na mayahudi,ww unaende kinyume na mtume S A W jibu hilo swali kwanza

  • @ShabaniJumbe
    @ShabaniJumbe 3 หลายเดือนก่อน

    Anatetea maulidi amabayo akuna dalili ya kushehelekea kisha ananyoa ndevu na anaacha masharubu ambapo kunadalili zinazungumzia kwamba tuache ndevu tupunguze masharubu tuwahalifu mayahudi na manaswala , sasa yy na hao mawahabi nani Ana umafamu mzuri??

  • @SalehLofy
    @SalehLofy 3 หลายเดือนก่อน

    Kila kundi katka Uislam linajaribu kufuata Haki aliyokuja nayo Mtume(s.a.w) lakini katka utafiti wangu nmegundua kuwa Ibadhi wanapatia mambo mengi kuliko kukosea fuatilieni mtaona

    • @bagalucha
      @bagalucha 3 หลายเดือนก่อน

      Lete dalili za kisheria na kitarekhe/historia,halafu tena tuyaweke katika mezani ya kielimu.

  • @hassankisuda1189
    @hassankisuda1189 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani msitoe matusi kwa mtu wa bidaa unampandisha cheo,mpe dalili za wazi tu.
    Hivi mtu ambae anakaa kikao kimoja na mashia wanaotukana maswahaba wa Mtume Wa Allah salaah na salaamu zimfikie,unawezaje kubishana nae huyo

  • @AbdallahKifundo-t5e
    @AbdallahKifundo-t5e 3 หลายเดือนก่อน

    Magonjwa hayo ma3 yote muhammad idd anayo

  • @mohdkombo3397
    @mohdkombo3397 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yeye mwenyewe hajui mafuhumu,bali pia haelewi,hakubali msimamo mwengine,bali pia ni mropokaji tuu.
    Mvuta bangi
    Lol

  • @YusufuMustafa-c5m
    @YusufuMustafa-c5m 3 หลายเดือนก่อน

    Sheikh muongo sana huyu ila dunia

  • @matendupiterngoge8707
    @matendupiterngoge8707 3 หลายเดือนก่อน

    Mdomo umekukauka mate

  • @MohamedUwesu
    @MohamedUwesu 3 หลายเดือนก่อน

    Ukweli mtupu kaongea

  • @DanOdira
    @DanOdira 3 หลายเดือนก่อน

    Punguza masharubu kwanza ndo uongee

  • @salmyhussein6255
    @salmyhussein6255 3 หลายเดือนก่อน

    Nini maana ya wahabi

  • @AmjadiAlly
    @AmjadiAlly 3 หลายเดือนก่อน

    Kauze bamia

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 3 หลายเดือนก่อน +1

    Acha unafiki ww huna ujualo ulifukuzwa tamta kushindwa kutetea. Maulidi tanga ww unazusha bidaah tukufate ww mzushi huna ilmu muhammadi idddi

  • @Twahamwela-ch5lz
    @Twahamwela-ch5lz 3 หลายเดือนก่อน

    Ha haha hahaha ha kweli sheikh abu eid hayo maradh yote ni sahihi kwao ktk jambo la mafuhum na kutokubali msimamo wa mwenzke dah hatarii

  • @AboudAli-y6p
    @AboudAli-y6p 3 หลายเดือนก่อน

    Kidevu cheupeeeeeeeee

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 3 หลายเดือนก่อน

      Cha kwko chekundu?😂😂😂😂

    • @alybinmana6197
      @alybinmana6197 3 หลายเดือนก่อน

      Kama nusu shilingi

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 3 หลายเดือนก่อน

      Hicho ukilala vibaya2 usiku mtoto ananyonya kwakweli.Hahhaba

  • @hassankisuda1189
    @hassankisuda1189 3 หลายเดือนก่อน

    Sijawahi kumwelewa huyu Sheikh wa kwa mnyamani...
    1.Maulid hayakuwepo wakati wa Mtume salaah na salaam zimfikie?
    A.ndio
    B.Hapana
    2.Wakati wa maswahaba pia hayakuwepo?
    A.Hapana
    B.ndio
    3.Kwa wanafunzi wa maswahaba je?
    A.Yalikuwepo
    B.Hayakuwepo
    Hapo,panahtaji usome mpaka wapi ili uelewe hiyo ni bidaa ya wazi?

  • @matendupiterngoge8707
    @matendupiterngoge8707 3 หลายเดือนก่อน +2

    Maulidi imeletwa na nani??

    • @suleymanmohd3418
      @suleymanmohd3418 3 หลายเดือนก่อน +1

      Maulid maana yake ni nini kwani....,!!!?

    • @mikidadiramadhani3553
      @mikidadiramadhani3553 3 หลายเดือนก่อน

      Maulidi itakua imeletwa na Babu Yako labda ukamuulize vizuri

  • @ZaynWalad
    @ZaynWalad 3 หลายเดือนก่อน

    Mawahabi, kiufupi ni watata tu.visirani na jazba.na utadhani wao ndiyo wana idhni ya kuingiza watu peponi na motoni. Ukishaona mtu kazi yake ni kupinga tuuu. Na dini yoote iwe haifai kwa hadithi moja tu. Sasa hiyo dini gani tena. So Sheikh utaumia kichwa tu, wao walishaamua kua wabishi tu

  • @ZaynWalad
    @ZaynWalad 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mawahabi wazee wa bidaa, kila kitu bidaaa. Ila simu za mzungu siyo bidaa😂😂. Kukusanyika kumtaja Mtume bidaa,motoni.ila kukusanyika, kuangalia mpira,aah hakuna tabu.WANASAHAU NA WAO NI BIDAA, MAANA HAWAKUWEPO, WAKATI WA MTUME.

    • @mohammedmohsin3186
      @mohammedmohsin3186 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe Kwa kweli Ni mjinga... Nenda kasome Kwa manufaa yako

    • @hassankisuda1189
      @hassankisuda1189 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@mohammedmohsin3186Elewa bidaa katika Dini na sio vinginevyo
      Mtu akisema Dini bila maulid haiendi basi Huyo mzushi kwa sababu ameegemeza maulid katika Dini
      MTU kasema Dini bila simu haiendi huyo ni mzushi kwa sababu Dini inaenda bila simu

    • @fadhilimusa9732
      @fadhilimusa9732 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@mohammedmohsin3186wewe hujijui kua umjinga namba 1

  • @IssabakariMagwa-ps3qe
    @IssabakariMagwa-ps3qe 3 หลายเดือนก่อน

    Shekh kasome tena elimu yako ni ya chekechea acha kudanganya umma

    • @ZaynWalad
      @ZaynWalad 3 หลายเดือนก่อน

      Ushawahi kuona wahabi kajenga hata choo cha umma,au kafanya jambo lolote la maendeleo.maana wao kila kitu bidaa.wanasahau kama wao wenyewe bidaa. Hilo alilozungumza hapo ndiyo ukweli wenyewe. Mara wagombanie kutangaza mwez, mara msulid bidaa,mara wagombanie hitma, wao fujo tu.ukiwaangalia wamepaukaaa,

  • @RachidaIacine
    @RachidaIacine 3 หลายเดือนก่อน

    We babu muongooo,

  • @KhalidAbdalla-lb4ph
    @KhalidAbdalla-lb4ph 3 หลายเดือนก่อน

    kwani ww sio khurafi mbona mwatuita cc mawahabi

  • @matendupiterngoge8707
    @matendupiterngoge8707 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hili libwana utadhani nikweli wakati na sisi tumesoma Tamta hapo mashirik na falaki tu ndio dini yenu wajinga kweli

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 3 หลายเดือนก่อน

    Una chuki na Sunna punguza jazba

    • @AliJuma-k2t
      @AliJuma-k2t 3 หลายเดือนก่อน

      Mwambie bachu nayeye aachekiburi

  • @matendupiterngoge8707
    @matendupiterngoge8707 3 หลายเดือนก่อน

    Nikuunge mganga wewe mpiga mafalaki mkubwa kama wewe muabudu makaburi nikufwaye wewe huko tuliisha toka mistabin wewe

  • @bagalucha
    @bagalucha 3 หลายเดือนก่อน

    Sheikh umeweka sharubu kubwa na kunyowa ndevu kabisa,yaonyesha unazichukia haswa ndevu,badala ya kuweka ndevu na kupunguza au kuondoa sharubu,tupe elmu ya hili.

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 3 หลายเดือนก่อน

      bagalucha tupe Hadithi mtu akinyowa ndevu zote au kama mtu hakuweka ni madhambi au haramu

    • @bagalucha
      @bagalucha 3 หลายเดือนก่อน

      @@abubakaromar6101 Aliyekuwa muislamu na anaempenda mtume,Haweki sharubu akanyowa ndevu
      Ibn ‘Umar ameeleza kuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: “Kuwa tofauti na washirikina; acha ndevu zako zikue na kupunguza masharubu yako.” Kulingana na ripoti nyingine: “nyoweni masharubu yenu na acha ndevu zenu zikue .
      Hadithi ya Zayd bin Arqam ambamo Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: “Yeyote asiyeondoa sharubu zake si mmoja wetu. (Imeorodheshwa kama Sahih na al-Tirmidhiy).

    • @bagalucha
      @bagalucha 3 หลายเดือนก่อน

      Aliyekuwa muislamu na anaempenda mtume,Haweki sharubu akanyowa ndevu
      Ibn ‘Umar ameeleza kuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: “Kuwa tofauti na washirikina; acha ndevu zako zikue na kupunguza masharubu yako.” Kulingana na ripoti nyingine: “nyoweni masharubu yenu na acha ndevu zenu zikue .
      Hadithi ya Zayd bin Arqam ambamo Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: “Yeyote asiyeondoa sharubu zake si mmoja wetu. (Imeorodheshwa kama Sahih na al-Tirmidhiy).

    • @bagalucha
      @bagalucha 3 หลายเดือนก่อน

      Aliyekuwa muislamu na anaempenda mtume,Haweki sharubu akanyowa ndevu
      Ibn ‘Umar ameeleza kuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: “Kuwa tofauti na washirikina; acha ndevu zako zikue na kupunguza masharubu yako.” Kulingana na ripoti nyingine: “nyoweni masharubu yenu na acha ndevu zenu zikue .
      Hadithi ya Zayd bin Arqam ambamo Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: “Yeyote asiyeondoa sharubu zake si mmoja wetu. (Imeorodheshwa kama Sahih na al-Tirmidhiy).

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 3 หลายเดือนก่อน

      @@bagalucha hujaelewa towa Hadithi Swahihi inayosema mtu akinyowa ndevu zote au kuzitowa ana pata Dhambi au haramu hiyo Hadithi inayosema sio ktk sisi kwani imesema yuwapata Dhambi au haramu

  • @matendupiterngoge8707
    @matendupiterngoge8707 3 หลายเดือนก่อน

    Mistabin wewe mwijaku mkubwa wewe

  • @seydouside4081
    @seydouside4081 3 หลายเดือนก่อน

    Kwani huyu Jamaa anafanya kazi wapi..maana hii shughuli ya kupeleka watu motoni inamshughulisha..tusije kulaumu Sana pengine nguguyake Malaika mauti..ngoja Nitulie

    • @ilyasawadh6375
      @ilyasawadh6375 3 หลายเดือนก่อน

      Ndio hiyo kuambiwa Na bado hautaki kufahamu Kwa kusudi. Wahabi Na mayahudi ni kitu kimoja. Soma Wacha kutuma vitu vya chuki ndugu yangu.

  • @matendupiterngoge8707
    @matendupiterngoge8707 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe lijinga kweli