Allah amrehemu Sheikh albaidh,lau angelirudi kwa aliyoyaona huko angelitamani kutosheka na aliyokuja nayo mtume wa Allah na walivyoishi masahaba zake(bila kufanya maulidi) اليوم أكملت لكم دينكم وَأَتْمَمْتُ عليكم نِعْمَتِي ورضيت لكم الْإِسْلَامَ دِينًا ❤
wewe hiyo Aya hujaielewa vizuri madhumuni yake ukianza Aya za juu yake kabla hii Aya utaelewa waloambiwa hivo ni kina nani na kama Aya ilikuwa dini ishakamilika mbona baada ya Aya hii iliteremka Aya hukmu au kama dini ishakamilika mbona Sayyidana Umar RA alizua Taraweh Rakaa 20 kwa jamaa, haya ndio makosa yenu mwazisoma Aya za Quran na Hadithi za Mtume SAW kwa uwelewa usokuwa na Elimu
Hebu mpumzishen kizee cha watu maskini. Allah amsamehe kwa kufuata Kwake matamanio ya Nafs na kuzipinga Sunna Ya mtume. hata alikiwa haelew azungumza nn maskini.
اللهم اغفر له و ارحمه واسكنه فسيح جناته
Allah amrehemu Sheikh albaidh,lau angelirudi kwa aliyoyaona huko angelitamani kutosheka na aliyokuja nayo mtume wa Allah na walivyoishi masahaba zake(bila kufanya maulidi)
اليوم أكملت لكم دينكم وَأَتْمَمْتُ عليكم نِعْمَتِي ورضيت لكم الْإِسْلَامَ دِينًا ❤
wewe hiyo Aya hujaielewa vizuri madhumuni yake ukianza Aya za juu yake kabla hii Aya utaelewa waloambiwa hivo ni kina nani na kama Aya ilikuwa dini ishakamilika mbona baada ya Aya hii iliteremka Aya hukmu au kama dini ishakamilika mbona Sayyidana Umar RA alizua Taraweh Rakaa 20 kwa jamaa, haya ndio makosa yenu mwazisoma Aya za Quran na Hadithi za Mtume SAW kwa uwelewa usokuwa na Elimu
Akili za viongozi wetu imejaa farqa..Wakati wenzao wanawaza kujenga mahospitali...vyuo..mk..wao wako na haya ya maulid na hitma.....ajabu sana
Hebu mpumzishen kizee cha watu maskini.
Allah amsamehe kwa kufuata Kwake matamanio ya Nafs na kuzipinga Sunna Ya mtume.
hata alikiwa haelew azungumza nn maskini.
Muache maulidi hayamo kwenye dini... Si muache tu au mnajuwa hayapo lkn wee...
Imaam sibawayh asema: Jiepushe na maneno au vitendo ambayo wakiyasikia wenye akili wanaona ni aibu. Maneno ni aibu kuzungumza We huogopi
@@abdulkhaliqmuhammed456Kwan sibawaih Maneno yake ni hadith
Hizi ni khitilaf tu syo kila jambo lazima afanye mtume mfano kusoma juzuu nzima kila ya mwez wa Ramadhan hadith yake iko wp
@@abdulkhaliqmuhammed456wewe Kama umetosheka kuwa haifai bc acha wanaosema yafaa acha wafanye
@@abdulkhaliqmuhammed456Omar radhiyallah anhu kasalisha rakaa 20 ambazo mtume hazijui kabisa naakasema. Neemalbidaa hadhihi Bilali kaswali sunnatul udhui mbn mtume hakumwambia bidaaa someni