Acheni Kugombanisha Waislamu Sababu ya Arafa na Eid Imetosha Sasa | Sheikh Mbarak Awes

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 40

  • @abeliever6823
    @abeliever6823 7 หลายเดือนก่อน +1

    بارك الله فيك يا أخي العزيز
    جزاكم الله خيرا
    الله يحفظك

  • @LASSUH4947
    @LASSUH4947 7 หลายเดือนก่อน

    Shukran habeeb

  • @abeliever6823
    @abeliever6823 7 หลายเดือนก่อน

    Ndugu Ali mwenye hii channel
    Nakuambia jazaakallahu khairan
    Unaweka video mzuri mno MaashaaAllah
    Allah akulipe malipo mema

  • @abdallasarai6327
    @abdallasarai6327 7 หลายเดือนก่อน

    Insha Allah❤

  • @umsalim6515
    @umsalim6515 7 หลายเดือนก่อน

    Swadakta Sheikh , kauli nzuri kabisa

  • @AbuSaeed-pz2kb
    @AbuSaeed-pz2kb 7 หลายเดือนก่อน +1

    Umoja wetu utapatikana kwa kushikamana na Quran na Sunnah peke yake na hio ndio kamba ya Allah

  • @AllyKame-rx2zd
    @AllyKame-rx2zd 7 หลายเดือนก่อน

    Kwanza naona hishma ya Desturi ya Allah kwa viumbe wake juu ya kukhitalifiana haikupewa sehemu yake kiuhalisia, Allah Asema: ولذالك خلقهم .
    Neno hili Kwanza ni muhimu lifahamike.
    Pili, neno la ikhtilafu linazingatiwa kwa uwepo wake wa lazima kuliko mirengo, yani Lina ukubwa zaidi la kikhitafiana kuliko mirengo, sababu kila mirengo ina sababu yaekukhitalifiana, na sikila kunapo kuwa na ikhtilafu isababishe mirengo ya waumini, kwa maneno mafupi kukhitalifiana ni dharura zinazo ibuliwa na ufahamu na rai za Wana wavioni walio fikia hatua hio.
    Tatu: Kukhitalifiana ni muhimu lifahamike ni kwa ajili ya Mungu, yani mirengo hio juu ya kukhitalifiana rai kusudi iwe ni kutefuta Radhi za Allah, huo ndio uanachuoni ulio sifiwa kwa uzamifu wake juu ya kuleta ubainifu wenye nasswi na Dalili juu ya kukhitalifiana kwake

  • @AllywinnerAllywinner
    @AllywinnerAllywinner 7 หลายเดือนก่อน +1

    Haki itabaki kuwa haki mpaka siku ya kiyama

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg 6 หลายเดือนก่อน

    Umma mmoja na watu wa Bidaa

  • @baryus7
    @baryus7 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani haya maneno yana ashiria umoja ? Eti....
    Umoja kama huu ni feki.

  • @NMJAHsaid
    @NMJAHsaid 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe umelewa uzushi, wapoteza watu kwa suala la arafa. Kadhi pia safari hii mumeshindwa kumfuata. Usitukoroge

    • @kassimsaid4481
      @kassimsaid4481 7 หลายเดือนก่อน

      Kwa sababu kadhi mwenyewe kajikoroga

    • @NMJAHsaid
      @NMJAHsaid 7 หลายเดือนก่อน

      Wewe una ilmu ya kuthibitisha amekorogeka ama wajiskia ulete ubishi

  • @huriyaomar3313
    @huriyaomar3313 7 หลายเดือนก่อน

    WEWE WATAKA UMOJA LAKINI WAVUTIA YAKO NA WALE WENGINE HUTAKI WATU WAFUATE SEMA KAMA WATAKA UMOJA KILA MMOJA AFUATE YALE ANAYOONA NI SAWA KWAKE!!! YA SIWA NI ARAFA MOJA IDI MOJA NA SOTE KWA PAMOJA TUTAKUWA WAMOJA!!!?

  • @SULEIMANMussin
    @SULEIMANMussin 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wakristo tutawapata vp wakati waislam tunatukanana

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 7 หลายเดือนก่อน +4

    Uma mmoja lakini ww mtu wa bidaa mpk uache bidaa tutakuwa kitu kimoja haijatokea maji na mafuta vikakaa pamoja

    • @fauznuhu9981
      @fauznuhu9981 7 หลายเดือนก่อน

      Wewe huna akili uwahabi ni ugaidi kabissa naona kwako leo

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 7 หลายเดือนก่อน

      Kuna bida zaidi yenu nyinyi mawahabi wapotoshaji mwamzushia mtume tawhed tatu mumezitoa wapi nyinyi na wakiristo hamuna tafauti

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 7 หลายเดือนก่อน

      @@saba-gv3mj ww unae mtukuza mtume maulidini ukampa sifa za uungu hulioni hilo uzushi wa maulidi mnaposema saa sita usiku imefika et tusimame mtume anakuja maulidini subuhana llah mtume auzulie maulidini kwa kitu ambacho hakufundisha so urongo huo mijitu ya bidaa umepotea kweli kazi yenu kuzusha zusha tuuu kuabudu makaburi ninyi kufanya dhikri za kukoroma kama mbuzi beberu mtume gani alifundisha? Ikiwa utaniletea Aya au hadithi moja ya mtume alifundisha maulidi ntakupa laki haipo na haijatokea Ni Jambo la uzushi halikuwepo wakati wa mtume wala maswahaba wala maimamu wanne wale shafii habal Maliki na Abu hanifa, hawajui maulidi ninyi mnao fanya mmetoa wapi ikiwa mtume hakufundisha siku kuu alizotuachia mtume Ni 2 iiddi adhuha na fitli basi maulidi imetoka wapi????

    • @NMJAHsaid
      @NMJAHsaid 7 หลายเดือนก่อน

      Abadan

    • @khalifaahmed5232
      @khalifaahmed5232 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂Lkn Hana itikadi ya kikafiri kumgawa Allah mara 3 ka nyinyi Mawahabi miungu yenu kina uluhiya, rububiya, asma wasifat iyo pia ulijue 😂😂😂

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg 7 หลายเดือนก่อน +2

    Tusiache kuwasema watu wa Bidaa, kwani wanazidi kupoteza kundi kubwa la waislamu

    • @assalaafiiabuusalafi
      @assalaafiiabuusalafi 7 หลายเดือนก่อน

      Huyu Jamaa apoteza watu kwanini kwan.

    • @saggafsiyu9961
      @saggafsiyu9961 7 หลายเดือนก่อน +1

      Alopotea happtezwi kama vile ww

    • @NMJAHsaid
      @NMJAHsaid 7 หลายเดือนก่อน

      Kabisa

    • @awadhsalim2680
      @awadhsalim2680 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@assalaafiiabuusalafiyaani nyinyi watu mnaotumiwa na wamarekani kuja kupoteza watu na mwezi wenu huo uliqnzishwa miaka mitano iliopita mtawapata wasio na akilili timamu. Lkn kwa walio na akili timamu na wanao mfata mtume hamtowapata. Mnapenda mpaka dini kuifanya rahisi rahisi tu.
      Nendeni kwenye vikundi vyenu huko vya. Bokoharamu,,,Icc,,,Al shabab na Islamic state.

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 7 หลายเดือนก่อน

    Fitna ni kumkhalifu Cheif Kadhi