Sh kapotosha kwa makusudi maneno ya Sh Al Arefi , hakufasiri mambo ya kufarikiana mwezi toka zamani na ilikuwa haina neno kufata kila mtu muandamo wake, yeye haya yote kayakata kasema anoyataka yeye
Sasa mufti wake yeye si anafata sunnah na anaongoza kwa misingi hiyo sisi nchi yetu aiongozwi kidini watu wengine unaotuletakea kiushki kutoa fatuwa awajui nchi inaongozwaje hiiyo haija kaa sawa
@@KombHaji-dr5pd watu wa bidaa hamna mnalojuwa uzushi tuu dini munaongeza ongeza mambo yenu kama paulo wa wakristu anajiongezea tuu atakavyo yey na ninyi wazee wa kuzuwa zuwa maulid makhitima matanga ma 3 sijui 40 urongo mtupu akufundisha mtume hayo mkiulizwa mnatowa wapi hayo jawabu lenu hivi et kuna ubaya gani
Katika idara za kiutawala za kiislamu hakuna cheo cha Mufti hakuna kiongozi wa waislam wote Ni Khalifa au Amir. Shukrani
Maa shaa ALLAH 💚
Mashaallah sheikh nimekuelew
Maneno ya kweri
Kishiki tafsiri yako haiko sawa
Sh kapotosha kwa makusudi maneno ya Sh Al Arefi , hakufasiri mambo ya kufarikiana mwezi toka zamani na ilikuwa haina neno kufata kila mtu muandamo wake,
yeye haya yote kayakata kasema anoyataka yeye
Sikilizeni kwa makini mawahabi
Mawahabi so kama. Masufi kuwa kauli ya shekhe hairudishwi hiyo so dini sawa
Hizib Hilo mwanaharakati
Kenya kuna kadhi sio mufti ?
hivi imekuaje ghafla fatwa za sawa zote zatoka saudia?mbona fatwa zengine hazifuatwi za saudia?
Hii clip nimeiona kamili
Sh Kishki yafsiri yake ilikuwa sio sawa na makusudio ya Sh Al Arefi
Hii ni sehemu ndogo ya clip
Shekhe Kishki ni mhubiri mzuri sana wa dini lakini hajafikia kuwa ni mufti wa nchi na sio Mufti wa dini
Allah amzidishie yeye na sie elimu inayofaa
Sasa mufti wake yeye si anafata sunnah na anaongoza kwa misingi hiyo sisi nchi yetu aiongozwi kidini watu wengine unaotuletakea kiushki kutoa fatuwa awajui nchi inaongozwaje hiiyo haija kaa sawa
kama nchi haiongozwi kidin uhamr wew uende huko inako ongozwa kidini
@@KombHaji-dr5pd ndohivyo habr ndo hiyo