@@omaryjumbe14v8 ukiona mtu anasati mtu wa bidaa nae Ni miongoni mwao Ni watu wqkupingana na mafundisho ya mtume na kuzusha watu wa bidaa suffi waonggo xana Hawa kuna siku shekhe mmoja anaelezea watu et kuna mtu alikufa et mait ikafufuka ikajiingiza kwenye mwanandani mwenyew na watu wanamsikiliza urongo kwa wazushi kawaida mungu amewatoa aibu sana nyi watu mwengine jufri anakwambia kilemba changu kimetoka kwa mtume nilienda kumsalimu kwenye kaburi lake akafufuka mtume ananisalimu kwa mikono Kisha akanipa kilemba chake mijitu ya maulidi miongo sana
Swadaqta
اللهم اغفر لنا وله
Kwani hawa masufi hata akiwa mzee akili hazirudie?
Wanapingana na mtume mwenyewe Hawa jamaa waogopeni Sana watu kama hawa hatari kweli kwenye hii dini😂😂😂
We mwenyewe hatari kwenye Dini
@@omaryjumbe14v8 ukiona mtu anasati mtu wa bidaa nae Ni miongoni mwao Ni watu wqkupingana na mafundisho ya mtume na kuzusha watu wa bidaa suffi waonggo xana Hawa kuna siku shekhe mmoja anaelezea watu et kuna mtu alikufa et mait ikafufuka ikajiingiza kwenye mwanandani mwenyew na watu wanamsikiliza urongo kwa wazushi kawaida mungu amewatoa aibu sana nyi watu mwengine jufri anakwambia kilemba changu kimetoka kwa mtume nilienda kumsalimu kwenye kaburi lake akafufuka mtume ananisalimu kwa mikono Kisha akanipa kilemba chake mijitu ya maulidi miongo sana
kwa io baba yake nabii Ibrahim alaihi salaam anaenda peponi au?
Shekh amuongelea mtume Muhammad wee wauliza wa Ibrahim
@@zakariasuleiman4113sasa si anataka kujua 😂😂
@@Joh-j9s kujua nini
maswali ya kitoto. Ibrahim alimkabili babake . mtume Muhammad s. hakuwapata wazizi wake wakiws hai. usiulize swali kichuki uliza kutakakuelimika.
Soma lugha ndo utajua n baba yake mzazi ama baba kivipi