As"alaikum wa rahmatullahi wa Barakatuh. قال الله تعالى. ولا تزاكو أنفسكم. Una ruksa gani ya kusema madhahib yako ndio sahihi wakati ikhtilaaf ipo tangu jadi na jadi. Someni ndugu zangu. Ukiwa ni mtu wa kukejeli kudharau na kuwa na kujiamini upo sahihi mia kwa mia basi ww umepotea katika ngome.
Sasa usharifu utakusaidia na nini siku ya kiama. Waeza kuwa sharifu kumliko Fatma binti Rasul? Na bado babake alimtahadharisha na kutegemea eti babake ni Rasul.
Maulidi ni ilimu ya asili mzee mjinga huyu mmeeneza aswaabiya maeneo ya mashariki na usharifu wenu tangazeni dini upuzi wenu wa usharifu watu walichoka nao sio malengo hayo
ACHA USHENZI KENGE WEWE, MASHARIFU NI DAMU YAKE BWANA MTUME MUHAMMAD (S.A.W) AWE MWANASUNNA ASIWE MWANASUNNAH, HIKI NI KIZAZI CHAKE KWA KUPITIA MTOTO WAKE FATWIMA BINTI RASULILLAH, NYINYI WASHENZI KILA MWENYE NASABA NA MTUME (S.A.W) MNAMCHUKIA!! HIVI MNA AJENDA GANI NA UZAO WA MTUKUFU WA DARJA?! HIVI NYINYI NI WAISLAM KWELI AU MAKAFIRI?! SHEIKH LENU MUHAMMAD ABDULWAHAB NDIYE ALIYEENDA KUUPINDUA UTAWALA WA KIZAZI CHA MTUME (S.A.W) KTK ARDHI TUKUFU PALE HIJAZ NA KUIBADILISHA JINA NCHI ILE NA KUITA SAUDI ARABIA, TENA WALIUWA MAELFU YA WAISLAM PALE, KAMA ULIKUWA HAUJUI JINA LA SAUDI ARABIA LINATOKANA NA UKOO WA AL SAUDI AMBAO UMEPANDIKIZWA PALE NA KUWA WATAWALA. TENA WATAWALA AMBAO WANA USUHUBA WA KARIBU NA MAZAYUNI NA MAKAFIRI WA KIAMERIKA BADALA YA WAISLAM WENZAO!! SASA TUWAITAJE KAMA SIYO NI WAO SIYO POTE LA MAKAFIRI!! HAPA TANZANIA SHEIKH NURUDIN KISHIKI NI MWANASUNNA MZURI TU, WAKATI WA MWANZO MASALAFI WENGI WALIMKUBALI NA KUMSIKILIZA NA WALIMPENDA SANA, LAKINI ALIPOKUJA KAKA YAKE SHEIKH SHARIFU ABDULQADIR MASALAFI WALIPOSIKIA NENO "SHARIFU" KTK JINA LA KAKA YAKE SHEIKH KISHKI WAKAANZA KUMCHIMBA NA KUUJUA UNDANI WAKE, NA WALIPOJUA SHEIKH NURDIN KISHKI NA KAKA YAKE SHEIKH ABDULQADIR NI MASHARIFU HALISI WA NASABA YA BWANA MTUME MUHAMMAD (S.A.W), LEO MASHEIKH WA KISALAFI WOTE WAMEWAGEUKA WANAWATUKANA NA KUWADHALILISHA KWA RADDI ZA AJABU AJABU KILA KONA, TENA MBAYA ZAIDI WANAWAHAMASISHA KWA MANENO MAKALI HATA WAFUASI WAO WA KISALAFI WASISIKILIZE TENA MAWAIDHA YA SHEIKH KISHKI NA KAKA YAKE NA WANASEMA WAZI HATA KWENYE MISIKITI YAO NI MARUFUKU KUWAKARIBISHA. JIULIZE HUU NDIYO UISLAM WA WAPI?! TAFUTA MAWAIDHA YA KASIMU MAFUTA NA GENGE LAKE NA MASALAFI WENGINE WANAVYOMUANDAMA NA KUMSHAMBULIA SHEIKH KISHK NA KAKA YAKE, HII YOTE NI KWA SABABU TU NI MASHARIFU, NA LAITI WASINGEKUWA MASHARIFU HAYA YOTE TUSINGEYASIKIAI!! NILICHOKUJA KUGUNDUA ASILIMIA KUBWA WANAOFANYA HIVI LICHA YA KUFATA MAFUNDISHO YA WAASISI WAO WA USALAFI YANAYOPIGA VITA WAZI WAZI KIZAZI CHA BWANA MTUME MUHAMMAD (S.A.W) LAKINI WA WANA CHUKI BINAFSI, NA HII YOTE NI KWA SABABU BACKGROUND ZA NASABA ZA KOO ZAO NI MBOVU, WENGE WALIKUWA WACHEZA NGOMA, WALEVI, WEZI, WAUWAJI, WATOTO WA ZINAA NAVWALIOTOPEA KTK KILA AINA YA USHETANI, SASA WANAONA DONGE KWANINI WENZAO WAWE NA NASABA NZURI KULIKO ZAO, NASABA YA UZAO WA REHMA YA ULIMWENGU BWANA MTUME MUHAMMAD (S.A.W). TUNAWAAMBIA KAMA NASABA MBOVU NI ZA KWENU WENYEWE, SASA MKOME KUUSHAMBULIA UZAO WA BWANA MTUME MUHAMMAD (S.A.W) MAKHAAWARIJ WAKUBWA NYINYI!!
maneno ya kijahili huo,hakuna anayekuchukia eti kwa sababu wewe watoka kwa masharifu,wakuchukia sababu ya kung'ang"ania BID'A ktk ibada za dini yetu tukufu ya kiislam!!achana na BID'A uone utakavyopata utukufu duniani na kesho akhera!!
من بطأ به عمله لم يسرع به نسبه!!!
إن أكرمكم عند الله أتقاكم....
Huo ni uwongo 😂😂😂😂😂
Tafadhali ndugu wacha matusi kwa shariff,niukosefu wa adabu
As"alaikum wa rahmatullahi wa Barakatuh. قال الله تعالى. ولا تزاكو أنفسكم.
Una ruksa gani ya kusema madhahib yako ndio sahihi wakati ikhtilaaf ipo tangu jadi na jadi. Someni ndugu zangu. Ukiwa ni mtu wa kukejeli kudharau na kuwa na kujiamini upo sahihi mia kwa mia basi ww umepotea katika ngome.
ANA USHARIFU GANI HUYU MZEE WA TWARIKA ALLAH AMSAMEHE KWA ATHARI YA UZUSHI WALIO IWACHA KATIKA UISLAMU.
Badala yakulingania dini mwalingania usharifu
Sasa usharifu utakusaidia na nini siku ya kiama. Waeza kuwa sharifu kumliko Fatma binti Rasul? Na bado babake alimtahadharisha na kutegemea eti babake ni Rasul.
Maulidi ni ilimu ya asili mzee mjinga huyu mmeeneza aswaabiya maeneo ya mashariki na usharifu wenu tangazeni dini upuzi wenu wa usharifu watu walichoka nao sio malengo hayo
ACHA USHENZI KENGE WEWE, MASHARIFU NI DAMU YAKE BWANA MTUME MUHAMMAD (S.A.W) AWE MWANASUNNA ASIWE MWANASUNNAH, HIKI NI KIZAZI CHAKE KWA KUPITIA MTOTO WAKE FATWIMA BINTI RASULILLAH, NYINYI WASHENZI KILA MWENYE NASABA NA MTUME (S.A.W) MNAMCHUKIA!! HIVI MNA AJENDA GANI NA UZAO WA MTUKUFU WA DARJA?! HIVI NYINYI NI WAISLAM KWELI AU MAKAFIRI?! SHEIKH LENU MUHAMMAD ABDULWAHAB NDIYE ALIYEENDA KUUPINDUA UTAWALA WA KIZAZI CHA MTUME (S.A.W) KTK ARDHI TUKUFU PALE HIJAZ NA KUIBADILISHA JINA NCHI ILE NA KUITA SAUDI ARABIA, TENA WALIUWA MAELFU YA WAISLAM PALE, KAMA ULIKUWA HAUJUI JINA LA SAUDI ARABIA LINATOKANA NA UKOO WA AL SAUDI AMBAO UMEPANDIKIZWA PALE NA KUWA WATAWALA. TENA WATAWALA AMBAO WANA USUHUBA WA KARIBU NA MAZAYUNI NA MAKAFIRI WA KIAMERIKA BADALA YA WAISLAM WENZAO!! SASA TUWAITAJE KAMA SIYO NI WAO SIYO POTE LA MAKAFIRI!! HAPA TANZANIA SHEIKH NURUDIN KISHIKI NI MWANASUNNA MZURI TU, WAKATI WA MWANZO MASALAFI WENGI WALIMKUBALI NA KUMSIKILIZA NA WALIMPENDA SANA, LAKINI ALIPOKUJA KAKA YAKE SHEIKH SHARIFU ABDULQADIR MASALAFI WALIPOSIKIA NENO "SHARIFU" KTK JINA LA KAKA YAKE SHEIKH KISHKI WAKAANZA KUMCHIMBA NA KUUJUA UNDANI WAKE, NA WALIPOJUA SHEIKH NURDIN KISHKI NA KAKA YAKE SHEIKH ABDULQADIR NI MASHARIFU HALISI WA NASABA YA BWANA MTUME MUHAMMAD (S.A.W), LEO MASHEIKH WA KISALAFI WOTE WAMEWAGEUKA WANAWATUKANA NA KUWADHALILISHA KWA RADDI ZA AJABU AJABU KILA KONA, TENA MBAYA ZAIDI WANAWAHAMASISHA KWA MANENO MAKALI HATA WAFUASI WAO WA KISALAFI WASISIKILIZE TENA MAWAIDHA YA SHEIKH KISHKI NA KAKA YAKE NA WANASEMA WAZI HATA KWENYE MISIKITI YAO NI MARUFUKU KUWAKARIBISHA. JIULIZE HUU NDIYO UISLAM WA WAPI?! TAFUTA MAWAIDHA YA KASIMU MAFUTA NA GENGE LAKE NA MASALAFI WENGINE WANAVYOMUANDAMA NA KUMSHAMBULIA SHEIKH KISHK NA KAKA YAKE, HII YOTE NI KWA SABABU TU NI MASHARIFU, NA LAITI WASINGEKUWA MASHARIFU HAYA YOTE TUSINGEYASIKIAI!! NILICHOKUJA KUGUNDUA ASILIMIA KUBWA WANAOFANYA HIVI LICHA YA KUFATA MAFUNDISHO YA WAASISI WAO WA USALAFI YANAYOPIGA VITA WAZI WAZI KIZAZI CHA BWANA MTUME MUHAMMAD (S.A.W) LAKINI WA WANA CHUKI BINAFSI, NA HII YOTE NI KWA SABABU BACKGROUND ZA NASABA ZA KOO ZAO NI MBOVU, WENGE WALIKUWA WACHEZA NGOMA, WALEVI, WEZI, WAUWAJI, WATOTO WA ZINAA NAVWALIOTOPEA KTK KILA AINA YA USHETANI, SASA WANAONA DONGE KWANINI WENZAO WAWE NA NASABA NZURI KULIKO ZAO, NASABA YA UZAO WA REHMA YA ULIMWENGU BWANA MTUME MUHAMMAD (S.A.W). TUNAWAAMBIA KAMA NASABA MBOVU NI ZA KWENU WENYEWE, SASA MKOME KUUSHAMBULIA UZAO WA BWANA MTUME MUHAMMAD (S.A.W) MAKHAAWARIJ WAKUBWA NYINYI!!
😂😂 Hakuna chuki Babu, turudi tu Kwa Sunnah, kama ibada haimo kwenye dini tuwache. Hivyo tu
Ufinyu wa kufikiri
Unahic umeongeeea bwana Ibrahim mwenyewe kumbe umejamba hapo
Wew unajamba kwenye mto sijui wakusudia nn ibrahim jaahil
Chuki ndio sera za mawahabi chini YA uwongozi wa kuyahudi. Jitokeze wazi upinge Kama mohmd bachu alivyo jikaza Kuja kusomeshwa.
Mzee alikua na mavunga kibao huyu.😅 Alipata wajinga wakamsikiliza.
Allah Amsamehe
Haha
maneno ya kijahili huo,hakuna anayekuchukia eti kwa sababu wewe watoka kwa masharifu,wakuchukia sababu ya kung'ang"ania BID'A ktk ibada za dini yetu tukufu ya kiislam!!achana na BID'A uone utakavyopata utukufu duniani na kesho akhera!!
Jahili wa kwanza ni wewe utukanae wanazuoni Allah akuongoze njia iliyonyooka