Prophet Muhammad said he left the Qur'an & the Sunnah for us as a guide. The prophet did not say he left the Arabs or Saudi Arabia for us as a guide. Saudi Arabia can never be a guide to Islam, they're only lucky to be the custodian of Islam's holiest site.
Mashekhe zetu siku hizi Mmekuwa mkichambana na kukosoana hadharani tena huku mkionyeshana kudharauliana 😢😢 sijui mnafanya business au....Mnaniskitisha sana kwakweli 😢
Hujaelewa wewe,,,mwandamo wa mwezi hauhusiani na kutofautiana kwa siku,,,mwezi huwa una namna ambayo huwa unachomoza katika maeneo, yawezekana leo nyie mukauona mwezi kwenu lakini kwingine wakauona siku ya pili yake
Mwaka wa 2020 na 2021 wakati corona ilipo chacha makka ilikuwa hakuna hija lakini huku kwetu watu walifunga saumu ya siku ya Arafaa jee waliunga nani mkono?
Mwaka wa 2020 na 2021 wakati corona ilipo chacha makka ilikuwa hakuna hija lakini huku kwetu watu walifunga saumu ya siku ya Arafaa jee waliunga nani mkono?
Hadiitthi ya mtume ippoo wazi funga ni yaumu arafa ni siku ilee ya arafa sasa wwaislamu leo hatutaki. Ukweli tunataka matamanio ya nafsi tuuhh' tunggetakka kwweli hadithi ipo wazi lakini tumetuupilia mbali kauulii ya mttume tunashika manenno. Yya mashekhe wakati kauli ya shekhe itafanya kazi endapo imeenda sambamba na hhadiithi ya mtume ikiiharifu daliilii ya mtume tunamrudishia mwenyewe. Kauli hiyyo. Tunashiika haditthi ya mtume sabu ni binadamu nao wanapatia na kuukosea kapatia sawa kaakosea ishallh tunamrudisshiia kauli yakke kwa nidhhammu bila kumvunjia heshiima tatizo waislamu leo hatusomi dinni tunasubil fatuwa kwa shekhe kama ttrenii.linapo. Suubili miizziiggo statiionaly. Tukubalii kubuluzwa si hatutaki kusoma
Kwanza hatujapishana nao Sana maana tumepishana lisaa limoja tu na pakistan nako tumepishana masaa mawili tu shekhe anapotosha wenzie ila akumbuke ni dhima hiyo anaibeba
كلٌ يؤخذ من كلامه ويُرد عليه الا صاحب هذا القبر” مقولة نعرفها جميعا ونؤمن بصحة معناها ولا نختلف عليها اذ هي مستنبطة من قوله تعالى ” وما ينطق عن الهوى ان هو الا وحي يوحى”. فالوحيد الذي لاينطق عن الهوى هو صاحب ذاك القبر الذي أشار اليه الامام مالك ، نبينا محمد ﷺ، ويُفهم من هذا أن كل شخص ماعدا رسولنا الكريم قد يخطئ ويُرد على كلامه حتى وإن كان صحابيا !! فلم يرد من الشرع مايدل على عصمة الصحابة من الخطأ ولم يقل بذلك أحد من أهل السنة اطلاقا وهذا مافهمته تلك المرأة حينما أخطأ سيدنا عمر رضي الله عنه فردت عليه كلامه ،فما كان من الفاروق رضي الله عنه إلا ان يقر بخطئه على الملأ ويقول مقولته الخالدة ” أصابت امرأة وأخطأ عمر “. فإن كان هذا ينطبق على الصحابة المبشرين بالجنة فهو ينطبق على غيرهم من باب أولى من التابعين والأئمة الأربعة والعلماء‘ كابن تيمية وابن القيم وعلماء هذا العصر وغيرهم إلى يوم القيامة. كثير منا يعي هذا الكلام ويؤمن به ولكن استيقنتها قلوبهم ولم تعمل بها عقولهم ولا ألسنتهم وأقلامهم، فما بالهم يقدسون أقوال العلماء “الغير معصومين” ولا يقدسون مبادئ ومسلمات هذا الدين؟!!
Inna llilah wa inna illahi rajuun kwa kweli hakuna mashekhe ni wapotoshaji tu hata huyo mufti pia hakuna wenye elimu ya dini. Dini ya kiislamu inakontroliwa na masjid harama ya makkah. Ikiwa kwenye Arafat lazima waislamu wote wafate makkah au wanataka kusema hijja itaweza kufanyika sehemu nyingine. Wacheni kupotosha dini nendeni mkasome tena na tena nyauuu nyie
Kwani sudia na kenya hau tz wanapishana masaa mangapi ?mpaka mpinge Alafa kuwapamoja na ss tusiekua sudia. Mahulafi lntakillah. Haya sstushamaliza nyue fungenikesho namahujaji hawarudiitena Alafa kusimama. Kazikwenu masufi
Kwani Hawa saudia pekee ndo wanamacho yakuona mwezi miaka yote jiulize na hao waarabu ndo chanzo chakupotosha watu.....lau ingalikua mwezi tunautazama na macho bila kifaa yasingetokea haya...Arafa ya mwaka unaokuja ishatambulikana ni lini upende usipende hao ni waarabu wa saudia halafu we ufuate upuuzi..
NYINI MIJITU YA BIDAAA NINI KOSA LA SHEIKH KISHKI HAPO? NA WAPI KAENDA KINYUME NA MASHEIKH ZAKE? WAKATI HAPO KANUKUU KAULI YA SHEIKH IBNU UTHAYMEEN NA SAUTI YA IBNU UNU UTHAYMEEN TUMEISIKIA SOOOTE HAPA NA IKO WAZI??????
فذهب جمهور أهل العلم منهم أبو حنيفة ومالك وأحمد إلى القول الأول، عملاً بقوله صلى الله عليه وسلم: "إذا رأيتموه فصوموا وإذا رأيتموه فأفطروا" متفق عليه من حديث ابن عمر، وقالوا الخطاب عام لجميع المسلمين، ولا عبرة باتفاق المطالع واختلافها، وذهب الإمام الشافعي وجماعة من السلف إلى القول باختلاف المطالع، وقالوا إن الخطاب في الحديث نسبي فإن الأمر بالصوم والفطر موجه إلى من وجد عندهم الهلال، أما من لم يوجد عندهم هلال فإن الخطاب لا يتناولهم إلا حين يوجد عندهم، وهذا القول هو الراجح. والقول بعدم اعتبار اختلاف المطالع يخالف المعقول والمنقول، أما مخالفته للمعقول فلمخالفته لما هو ثابت بالضرورة من اختلاف الأوقات، وأما مخالفته للمنقول فلأنه مخالف لما أخرجه مسلم وغيره، عن كريب قال: قدمت الشام واستهل عليّ هلال رمضان وأنا بالشام، فرأيت الهلال ليلة الجمعة، ثم قدمت المدينة في آخر الشهر فسألني ابن عباس، ثم ذكر الهلال فقال: متى رأيتم الهلال؟. فقلت: رأيناه ليلة الجمعة. فقال: أنت رأيته؟ فقلت: نعم، ورآه الناس وصاموا وصام معاوية. فقال: لكنا رأيناه ليلة السبت، فلا نزال نصوم حتى نكمل ثلاثين أو نراه. فقلت: ألا تكتفي برؤية معاوية وصيامه؟ فقال: لا. هكذا أمرنا رسول الله صلى الله عليه وسلم" قال الترمذي: والعمل على هذا الحديث عند أهل العلم أن لكل بلد رؤيتهم.
Sasa acha ujinga ww ndio nn? Ndugu katika Imani jilazimishesana kwenye hoja Kama unaju a dini cio unaleta ushabik hichi unacho shambulia mtu utakwenda ulizwa na alwah
Ibara aliotoa Maalim Kishki wala haiusiani na Suala la Funga. Shaykh Uthymeen katika Kifungu hiko alichotaja Shaykh Kishki alikuwa akisema Ibadah ya Hijjah tunatazama kule ambako Hijjah inafanywa. Na watu wote wakifika Makkah wanatekeleza Hijjah Kwa utaratibu WA Makkah hilo halina Tatizo. Suala ni kuhusu Funga ya Arafah. Kwa Nini Kishki na wenzako mnapotosha waumin?
Haya Kishki tuambie hao walofunga miaka ya nyuma wakati technology haipo wakifunga vipi? Jee hao ndugu zetu wa nyuma walijua vipi kama Makkah umeandama mwezi? Jee miaka yote hiyo 1,300 nyuma hawakuwa wakifunga? Jibu suali hili: Walijuaje kama Makkah umeandama mwezi? Kulikuwa hakuna njia ya kujua ulimwenguni kote isipokuwa kwa kutizama mwezi katika nchi zao. Wewe Kishki ogopa kidogo na kutowa fatwa hewa! Hii kazi waachie Maulamaa, wewe hata chembe ya elimu huna. Subhana Llah watu nyie mnoleta mabalaa yote huko East Africa hamuogopi adhabu ya Allah? Msipoteze umma na rejeeni wewe na wenzio katika haki na wacheni propaganda za kiwahabi. Jadilieni kwa dalili za wazi. Musitetee uwahabi mbele ya dalili za wazi
Wewe ni muongo unasema hakuna mwana chuoni anaesema swaum ya arafa ni siku wanayosimama arafa mahujjaj? amkweli wewe ni mrongo mana nikisema huna elmu siosawa
Huyu shekhe Kishk anatetea dhehebu (Uwahabi) na kuipa mgongo haki. Sasa watu wote wafuate Makka wakati nchi nyengine usiku. Jee watu wanafunga usiku? Huyu Kishki Ittaqi Llaah usijichukulie mijidhambi ya umma halafu ikawa wewe ndio chanzo cha kupoteza umma.
Sheikh awesi mungu akupe umri mrefu na afya uzidi kututolea vitu na ushahidi wa hadithi na qauli za wana wa zuoni
Sheikh Aweis Allah akuhifadhi, hao mawahabi hawaelewi wanachikifanya
Kishik yuko sawa!,Allah amhifadhi!
Shekh aweis nakupenda sana kwa ajili ya Allah
Wa2 wa Bidaa
@@KassimAlly-xp4dz Acha Shobo utakuja kufirwa.
@@KassimAlly-xp4dzuthaymeen mtu wa bidah pia au
Wallah Allah anakuon na maneno yako yapo mtandao na utakuj kuoneshwa mbele za Allah tafuta la kmjibu@@SmilingBocce-gj9jx
Prophet Muhammad said he left the Qur'an & the Sunnah for us as a guide. The prophet did not say he left the Arabs or Saudi Arabia for us as a guide.
Saudi Arabia can never be a guide to Islam, they're only lucky to be the custodian of Islam's holiest site.
Astaghfirullah Astaghfirullah 😢
tufuate mwandamo wa mwezi tufuate mashekh wetu
Wote wapo sahihi mashekh
Sheikh kishki ni mhubiri wa kimataifa tunamwelewa ss ahlul sunna
Mashekhe zetu siku hizi Mmekuwa mkichambana na kukosoana hadharani tena huku mkionyeshana kudharauliana 😢😢 sijui mnafanya business au....Mnaniskitisha sana kwakweli 😢
Kweli Sio jambo Zuri Kwa Masheikh Wetu Maana Kila Mmoja Anajiona Yeye Anajua Kuliko Mwenzie
Sheikh mbaraka yupo sawa
Tusidanganyane mbona ijawahi tokea saudia leo ni ijumaa sisi ni alhamis
Waache wapotoshe shekhe wao atawasaidia kujibu kwa mungu
Saudia Arabia hawaangalii mwezi wafuata calendar
Hujaelewa wewe,,,mwandamo wa mwezi hauhusiani na kutofautiana kwa siku,,,mwezi huwa una namna ambayo huwa unachomoza katika maeneo, yawezekana leo nyie mukauona mwezi kwenu lakini kwingine wakauona siku ya pili yake
Mwaka wa 2020 na 2021 wakati corona ilipo chacha makka ilikuwa hakuna hija lakini huku kwetu watu walifunga saumu ya siku ya Arafaa jee waliunga nani mkono?
Dunia hii tunaishi sisi no difference of whole days
Tabia njema nikitu muhimu sana Kwa uwislamu
Hivi Marekani na Wao wanafunga arafa kwa kufuata Arafa ya Makkah AU ya wapi
Usidangane na watu wa bidah
Ijumaa ni moja
Uwezi sema Ijumaa makah ni pegine ni Ijumaa mosi
Kufunga tu ndio watu wa bidah wanadanganya watu wengine
Mimi nitafunga arafa siku ya arafa hata kama mwezi pili na sitofunga kwa ajili ya mazOWea
Hata mm pia
Awes ACHA siyasa
Kishki uko sawa
Awesu.Sio mkweli hata.Allah anajua tunayoyafanya na nimjuzi wa kila kitu.
Sio mkweli kwan hayo anayoyasema kwa hicho ni uongo,na hata hao mashekh wa saudia maelezo ni hayohayo,kila mtu anfata mwez wa kwake
Je kipind hija haijaanza hizo enzi za mtume,watu walikua wakifunga kufuata mahujaji wa wapi?au hakukua na funga kipindi hicho
Mwaka wa 2020 na 2021 wakati corona ilipo chacha makka ilikuwa hakuna hija lakini huku kwetu watu walifunga saumu ya siku ya Arafaa jee waliunga nani mkono?
Kwa kweli huyu bwana sjui awesu ashakuwa kama wale waliopewa kitabu.Ubishi na hana ukweli.Huyu anapotosha watu ila Allah hamfichi dhalimu.
kwani kufunga swaumu yaarafa ni ktk amali zahijjah?
Jitu la bida Awes, jihadhari sana
Utakuja kutiwa kidole
Mm nitafunga siku ya arafa kama alivosema mtume hata ikiwa mwezi pili
Ndo naona,kumbe channel ya kikhurafi hii
Nyinyi wahabi ni mayahudi safi
Hata kigeography kishki ako sahihi💯
Dini haiangalii goegraphy,maana hat mtume hakua na kigezo cha geografia,
Sh Kishki tatizo lake anafuaya ushabiki wa wafadhili wake wanaomlipa !!! Hapa ni pesa vs ukweli !! 😅😅
Bachu , Kishki na wengine kama hao hawataki kusimama kielimu. Wamebaki na Kasumba na kulazimisha Tu. Shaykh Uthymeen amezungumza Kwa uwazi kabisaaa
Hadiitthi ya mtume ippoo wazi funga ni yaumu arafa ni siku ilee ya arafa sasa wwaislamu leo hatutaki. Ukweli tunataka matamanio ya nafsi tuuhh' tunggetakka kwweli hadithi ipo wazi lakini tumetuupilia mbali kauulii ya mttume tunashika manenno. Yya mashekhe wakati kauli ya shekhe itafanya kazi endapo imeenda sambamba na hhadiithi ya mtume ikiiharifu daliilii ya mtume tunamrudishia mwenyewe. Kauli hiyyo. Tunashiika haditthi ya mtume sabu ni binadamu nao wanapatia na kuukosea kapatia sawa kaakosea ishallh tunamrudisshiia kauli yakke kwa nidhhammu bila kumvunjia heshiima tatizo waislamu leo hatusomi dinni tunasubil fatuwa kwa shekhe kama ttrenii.linapo. Suubili miizziiggo statiionaly. Tukubalii kubuluzwa si hatutaki kusoma
Awesi anaruhusu kula miraaa
Hatuwrzi kuwa Sawa na mecca according Islamic Law
صدكت
صدقت ✅
Shekh kishk nenda ukasome vizr
Shkh uwesu wewe watoa kipovu bure izo kauli zote zipo Kwani sh uwesu wewe upo nch Gani km ni Tanzania ipi tofautiyetu na makka
Hiv miaka ya 60 watu walikuwa wanajuwaje muandamo ya huko mwaka sabb hakukuwepo technologia
Kwanza hatujapishana nao Sana maana tumepishana lisaa limoja tu na pakistan nako tumepishana masaa mawili tu shekhe anapotosha wenzie ila akumbuke ni dhima hiyo anaibeba
كلٌ يؤخذ من كلامه ويُرد عليه الا صاحب هذا القبر” مقولة نعرفها جميعا ونؤمن بصحة معناها ولا نختلف عليها اذ هي مستنبطة من قوله تعالى ” وما ينطق عن الهوى ان هو الا وحي يوحى”.
فالوحيد الذي لاينطق عن الهوى هو صاحب ذاك القبر الذي أشار اليه الامام مالك ، نبينا محمد ﷺ، ويُفهم من هذا أن كل شخص ماعدا رسولنا الكريم قد يخطئ ويُرد على كلامه حتى وإن كان صحابيا !!
فلم يرد من الشرع مايدل على عصمة الصحابة من الخطأ ولم يقل بذلك أحد من أهل السنة اطلاقا وهذا مافهمته تلك المرأة حينما أخطأ سيدنا عمر رضي الله عنه فردت عليه كلامه ،فما كان من الفاروق رضي الله عنه إلا ان يقر بخطئه على الملأ ويقول مقولته الخالدة ” أصابت امرأة وأخطأ عمر “.
فإن كان هذا ينطبق على الصحابة المبشرين بالجنة فهو ينطبق على غيرهم من باب أولى من التابعين والأئمة الأربعة والعلماء‘ كابن تيمية وابن القيم وعلماء هذا العصر وغيرهم إلى يوم القيامة.
كثير منا يعي هذا الكلام ويؤمن به ولكن استيقنتها قلوبهم ولم تعمل بها عقولهم ولا ألسنتهم وأقلامهم، فما بالهم يقدسون أقوال العلماء “الغير معصومين” ولا يقدسون مبادئ ومسلمات هذا الدين؟!!
Kwa kweli tuateni ushabiki upandea wa dini hasa sisi ambao hatukusoma wore Wana pweni lkn wao ndio masulia mm kushik na mpendaa lkn tuacheni ushabiki
Tatizo Awesu anatafuta veuwers!,kibao!
وليس يصح في الأذهان شيئ
إذا احتاجت النهار إلى دليل
#SemaSijuwi
Acha ujinga wew
Awesu upon sawa sahihi
Kwang mm awasu yuko sahihi
Anakupotosha huyo tumepisha lisaa tu na Tanzania
Hayupo sahihi
Kwani sisi tulip huku ni mahujaji kwamba tueafuate watu wa mecca
Inna llilah wa inna illahi rajuun kwa kweli hakuna mashekhe ni wapotoshaji tu hata huyo mufti pia hakuna wenye elimu ya dini. Dini ya kiislamu inakontroliwa na masjid harama ya makkah. Ikiwa kwenye Arafat lazima waislamu wote wafate makkah au wanataka kusema hijja itaweza kufanyika sehemu nyingine. Wacheni kupotosha dini nendeni mkasome tena na tena nyauuu nyie
Hawa mawahabi hta masheikh zao hawafati ni warongo hili gengi
Kwani sudia na kenya hau tz wanapishana masaa mangapi ?mpaka mpinge Alafa kuwapamoja na ss tusiekua sudia. Mahulafi lntakillah. Haya sstushamaliza nyue fungenikesho namahujaji hawarudiitena Alafa kusimama. Kazikwenu masufi
Kwani Hawa saudia pekee ndo wanamacho yakuona mwezi miaka yote jiulize na hao waarabu ndo chanzo chakupotosha watu.....lau ingalikua mwezi tunautazama na macho bila kifaa yasingetokea haya...Arafa ya mwaka unaokuja ishatambulikana ni lini upende usipende hao ni waarabu wa saudia halafu we ufuate upuuzi..
Ww kishki unamaanisha ya kwamba kama siku moja watu hatopata kuenda hija makka kwaiyo aarafa haipo kwa hoja yako? Sio sahihi hata kidogo.
Huyu Awes ndiye aliyesema kuwa watu wamehifadhi Bukhari kwa kula miraa.
Sasa maneni hayo yanakujaje hapa?
@@abdulkhaliqmuhammed456 ili umtambue vizuri Awes ni mtu gani.
Mbona hakuna tofaut ya siku kuna tofaut ya tarehe tu ivi yana ingia akilini hii mana kama leo maka ni ijumaa na huku zanzibar ni ijumaa iyo iyo tena
Sheikh awes amenukuu maneno ya mashekhe wa kiwahabi lkn mawahabi wanamshambulia kwa kuyafichua maneno ya mashekhe zao ambao wanaenda kinyume nao
Acha uongo
NYINI MIJITU YA BIDAAA
NINI KOSA LA SHEIKH KISHKI HAPO? NA WAPI KAENDA KINYUME NA MASHEIKH ZAKE?
WAKATI HAPO KANUKUU KAULI YA SHEIKH IBNU UTHAYMEEN NA SAUTI YA IBNU UNU UTHAYMEEN TUMEISIKIA SOOOTE HAPA NA IKO WAZI??????
Awesu jitu la bidaa
Elimika mwanangu Acha hawaa na ushabiki
Kabisa kumbe wamfahamu
Mshenzi tumia akili wewe wajipata wewe jitu usie jielewa ACHA na sheikh mbaraka wewe chunga maneno yako
@@swalehahmad8947mwambie aelewe huyo 👉🫀❤️
Masheikh mumeeleweka Sanna Sanna sannaaaaa lengo limefikia mmetueka kweupeee naamini sijawahi kukurupuka na Wala sitakurupuka katika maisha yangu
فذهب جمهور أهل العلم منهم أبو حنيفة ومالك وأحمد إلى القول الأول، عملاً بقوله صلى الله عليه وسلم: "إذا رأيتموه فصوموا وإذا رأيتموه فأفطروا" متفق عليه من حديث ابن عمر، وقالوا الخطاب عام لجميع المسلمين، ولا عبرة باتفاق المطالع واختلافها، وذهب الإمام الشافعي وجماعة من السلف إلى القول باختلاف المطالع، وقالوا إن الخطاب في الحديث نسبي فإن الأمر بالصوم والفطر موجه إلى من وجد عندهم الهلال، أما من لم يوجد عندهم هلال فإن الخطاب لا يتناولهم إلا حين يوجد عندهم، وهذا القول هو الراجح. والقول بعدم اعتبار اختلاف المطالع يخالف المعقول والمنقول، أما مخالفته للمعقول فلمخالفته لما هو ثابت بالضرورة من اختلاف الأوقات، وأما مخالفته للمنقول فلأنه مخالف لما أخرجه مسلم وغيره، عن كريب قال: قدمت الشام واستهل عليّ هلال رمضان وأنا بالشام، فرأيت الهلال ليلة الجمعة، ثم قدمت المدينة في آخر الشهر فسألني ابن عباس، ثم ذكر الهلال فقال: متى رأيتم الهلال؟. فقلت: رأيناه ليلة الجمعة. فقال: أنت رأيته؟ فقلت: نعم، ورآه الناس وصاموا وصام معاوية. فقال: لكنا رأيناه ليلة السبت، فلا نزال نصوم حتى نكمل ثلاثين أو نراه. فقلت: ألا تكتفي برؤية معاوية وصيامه؟ فقال: لا. هكذا أمرنا رسول الله صلى الله عليه وسلم" قال الترمذي: والعمل على هذا الحديث عند أهل العلم أن لكل بلد رؤيتهم.
Tatizo lenu Ndema kweli mawahabi husema.huyu ni mtu bidaa hatakama mwapewa.dalili
Acha ujing ww kamaujuinkaa pemb
Sasa acha ujinga ww ndio nn? Ndugu katika Imani jilazimishesana kwenye hoja Kama unaju a dini cio unaleta ushabik hichi unacho shambulia mtu utakwenda ulizwa na alwah
Alafu wewe uko makkah kila mwaka.wafanya hajj wawacha wenzako wakosa siku ya arafah
Mimi nipo mascut kutoka hapa nilipo hadi maqa ni masaa 4 na huko kwetu Tanzania hatujapisha Sana ni lisaa tu
Ibara aliotoa Maalim Kishki wala haiusiani na Suala la Funga. Shaykh Uthymeen katika Kifungu hiko alichotaja Shaykh Kishki alikuwa akisema Ibadah ya Hijjah tunatazama kule ambako Hijjah inafanywa. Na watu wote wakifika Makkah wanatekeleza Hijjah Kwa utaratibu WA Makkah hilo halina Tatizo. Suala ni kuhusu Funga ya Arafah. Kwa Nini Kishki na wenzako mnapotosha waumin?
Wekeni iyo video yote ya kishki ndo tuelewe mana mmefanya ghush
Hakuna ghushi hapo Akhiy.
Sasa apo ni nn haujaelewa
Siwafuati
Haya Kishki tuambie hao walofunga miaka ya nyuma wakati technology haipo wakifunga vipi?
Jee hao ndugu zetu wa nyuma walijua vipi kama Makkah umeandama mwezi? Jee miaka yote hiyo 1,300 nyuma hawakuwa wakifunga? Jibu suali hili: Walijuaje kama Makkah umeandama mwezi?
Kulikuwa hakuna njia ya kujua ulimwenguni kote isipokuwa kwa kutizama mwezi katika nchi zao.
Wewe Kishki ogopa kidogo na kutowa fatwa hewa!
Hii kazi waachie Maulamaa, wewe hata chembe ya elimu huna.
Subhana Llah watu nyie mnoleta mabalaa yote huko East Africa hamuogopi adhabu ya Allah?
Msipoteze umma na rejeeni wewe na wenzio katika haki na wacheni propaganda za kiwahabi. Jadilieni kwa dalili za wazi. Musitetee uwahabi mbele ya dalili za wazi
Wewe ni muongo unasema hakuna mwana chuoni anaesema swaum ya arafa ni siku wanayosimama arafa mahujjaj? amkweli wewe ni mrongo mana nikisema huna elmu siosawa
Huyu shekhe Kishk anatetea dhehebu (Uwahabi) na kuipa mgongo haki. Sasa watu wote wafuate Makka wakati nchi nyengine usiku. Jee watu wanafunga usiku?
Huyu Kishki Ittaqi Llaah usijichukulie mijidhambi ya umma halafu ikawa wewe ndio chanzo cha kupoteza umma.
Sass kama.wewe.wasema.marugi sio haramu vipi sisi tutakusikiza wewe
Uyu aweso ni mtu wa bidah sio muadilifu kwasababu ni mtu wa bidah ya maulid
Nyie ndio sio waadilifu maana munapewa mpaka maandiko munakaataa , hamuna imsaaf dini munafuata kishabiki na kiubishi
Acha unafiki ww kishk