Utumwa Haukuanzishwa na Waarabu Duniani | Ustadh Muhammad Al-Beidh

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 12

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 11 วันที่ผ่านมา +1

    Utumwa uliletwa na waarabu hasa Afrika mashariki...

    • @AlmasAbdallah-r3g
      @AlmasAbdallah-r3g 11 วันที่ผ่านมา

      Na Ustarabu umeletwa na nani??

    • @mangashajunior242
      @mangashajunior242 11 วันที่ผ่านมา

      @AlmasAbdallah-r3g Mungu na.mtu mweusi...

    • @AlmasAbdallah-r3g
      @AlmasAbdallah-r3g 11 วันที่ผ่านมา

      @@mangashajunior242 Sasa hao waarabu ndio wameleta ustarabu huku tukaacha kuchambia miti na vitu vya hovyo na kuacha kuabudu mizimu

    • @Joh-j9s
      @Joh-j9s 10 วันที่ผ่านมา

      ​@@AlmasAbdallah-r3gyani had mnachambia hiyo miti maana yake mlikuwa mmestaarabika tayali, mlikuwa na ustaarabu wenu. Ndiyo maana hamkuwa mnajipaka usoni,😢😢 kwa usemi wako unamaanisha ma babu na ma bibi wa kiafrica hawakujua jema wala baya?😢😢🤔🤔🤔

    • @AlmasAbdallah-r3g
      @AlmasAbdallah-r3g 10 วันที่ผ่านมา

      @Joh-j9s 😁😁😁Vipi mizimu???

  • @MirajiHanza
    @MirajiHanza 9 วันที่ผ่านมา

    Waarabu wamefanya biashara utunwa Afrika,,,na kwa hii Afrika ndio wenye historian hiyo Ya biashara ya utumwa