Samahani Sheikh Muharram Mziwanda Katika Arafa Ulighafilika Inabidi Urekebishwe | Sheikh Mbarak Awes

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 มิ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 183

  • @abasitwahiru8898

    Mashallah huenda siku hiyo nzito kila upande ukatoa watakaofaulu usipokuwa tu wale wanaofuata kiushabiki sio ki ikhlaaswi

  • @user-us7zg3fg5f

    Shekh Aweso kaa chini usome acha kuwapotosha waumini

  • @mustafahamisomkusi9211

    Mashekhe wa mombasa wamche Allah

  • @YUSUF-hj7ij

    Shekh awes mashaalla tukufahamu

  • @geitagewoma7112

    Mnashidwa kukaa nakujadiliana kabla yatukio mashekhe mjitathimini myezi itawaangamiza mbel ayaall❤ah.

  • @BossMinnah

    Mashalla ust Mubarak nimekuelewa vema sana

  • @UstadhSalmu

    Shukran maalmu Allah akulipe Kila lakheri

  • @kitosio

    Tafsiri Hadithi mbona wakaidi nyny. Mjibi Fadhwiilatu sheikh Mziwanda. Talented. Mnajizonga sanaaaa

  • @AbuuSiiriin

    Mubaaraka uwesu Amenyewa na kunguru kichwani kwahiyo muacheni aendelee kupwaya

  • @SaidiHembe-cj7tf

    Shekhe mziwanda yjpo sahiii sana

  • @hasanidadi5791

    Mwenye kuelewa mziwanda kamaliza

  • @abdulkhaliqmuhammed456

    Baadhi ya waislam wanachoka kwa kwa kuskiliza mas ala ya arafa wengine wanaona bora wasifunge kwa sababu ya mivutano kila mwaka dah

  • @KassimSalim-fi1me

    Sh mziwanda Allah akuhifadhi umemaliza kz umesema kweli ao wametengeneza ubishi so waacheni haki iko wz uyo mpaka nyimbo amehalalisha utamuweza

  • @KassimSalim-fi1me

    Ndio walivyofikia moja katika adhabu Allah aliowapa wazushi ni kuondoa ufahamu juu ya nusus jana mmoja kwenye khutba asema hizi ikhtilaful zimetengenezwa na mayahudi wkt ukisoma maswahaba wenyewe walitofautiana so waachen wamefilisika hadithi ya quraib ni mwez wa Ramadhan inafungamanaje na arafa

  • @farishfarish258

    Barazanje hao wanarumbana acha inyeshe

  • @vacanceserengetisafaris6529

    Dah hawa mashekhe mungu anawaona wazushi sana

  • @aljalilatiba9873

    HAYA NDO YALOBAKI KWETU SISI KUPINGANA WENYEWE KWA WENYEWE HUKU MUSHIRIKINA WAKITUCHEKA TUU WENZETU ILIKUWA WANAPIGANIA DINI MTUME NA MASWAHABA KWA NAFSI NA MALI DHIDI YA MAADUI WA ALLAH

  • @OmarSaid-nt2xd

    Wacha kupoteza watu arafa moja

  • @kitosio

    Unamchezea Sh. Mziwanda Umekwisha. Ni afadhali ungenyamaza.