Waarabu hawakuja na kiswahili bali ndio mwanzo wakuwaita waswahili yaani watu waufuoni jee kuna muarabu anaitwa fadhilì ama mabaruku mfano huo mdogo lamu kuna mbari za waswahili eg. Mpate.msiu.mshela.mdhao.mfaza wote hawaa kiswahili ni lugha zao.ukija mombasa kuna mchangamwe.mjomvu.mtangana.mkilindini.muamu.mvita..mpemba.
Sema warabu waisram ndo madudu gn
Imekuuma makafiri hamna lenu
Waarabu hawakuja na kiswahili bali ndio mwanzo wakuwaita waswahili yaani watu waufuoni jee kuna muarabu anaitwa fadhilì ama mabaruku mfano huo mdogo lamu kuna mbari za waswahili eg. Mpate.msiu.mshela.mdhao.mfaza wote hawaa kiswahili ni lugha zao.ukija mombasa kuna mchangamwe.mjomvu.mtangana.mkilindini.muamu.mvita..mpemba.
Sasa mnatuchanganya lamu wengine Zanzibar 😅
enzi hizo lamu pia ilikua zanzibar
Ttz hamsom hst zanzibar il anzia wap ime malizia wap kipnd hich cy zanzibr y leo
Kenya ni English full stop😅
Lamu