Elia Mtishibi - Ninashukuru (Live Recorded Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ม.ค. 2024
  • Umbali huu,Uzima,afya,akili njem,Roho wake,familia,kazi, biashara,Wokovu,haki, neema, na mambo mengine mengi siwezi kuyamaliza nikiyaorodhesha ni mambo ambayo MUNGU amenifanyia na ninamaanisha kusema kwamba siwezi kuelezea ndani yangu ikainuka sauti ya shukurani na wimbo huu ni zao la shukurani moyoni mwangu karibu kuungana na mimi kumuinulia Yesu shukurani kutoka kwenye kilindi cha Mioyo yetu..
    Wimbo huu ulirekodiwa katika ibada ya #MANINCHRIST (MACHE2023) #THEFULLARMOUROFGOD ninaombi yangu ukafanyike ibada kwenye maisha yako..
    Special Thanks 1st to JESUS THE KING
    2nd to the team MUSICIANS
    Md 1@Erick kanju on main
    Md 2 @am_kusula on auxiliary
    @hezekiahkalisti on layers
    @Jerry on organs
    @john ntete music arrangement
    @Amos belvin on bass
    @Ben ngowi bassist 2.
    @Nahum gideon on Sollo
    @Izack on rythm
    @ibrahim on drum
    Aux post production @Ndege
    Vocals Sopranos
    @Jojo
    @Glory
    @mercy chilijila
    Altos
    @iam_milgel
    @marry Fashola
    @Catherine Sebastian
    Tenor
    @Emmanuel Robert
    @Paul Peter
    @Wisdom Stanslaus
    @emma fransic
    Audio capturing,mixing and mastering
    @SADOCK ELIAS from B&W productions
    Video production
    @SP VISUALS
    sound engineering
    @Emmanuel Balisidya and Shepherd music Technology (Rhoden danda)
    lights
    by PETER LIGHTS (peter jilala)
    Uniform design
    Suluvazi
    Venue
    New vine Church
  • เพลง

ความคิดเห็น • 176

  • @l.emusickg1230
    @l.emusickg1230 5 หลายเดือนก่อน +6

    Penye Nia pananjia mtumishi mtishibi umepasua mawimbi baba Mungu azidi kukuinua aisee .......Asante ooooooooh safi sana 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @gasparlubaga5866
    @gasparlubaga5866 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania nchi yangu inawatu wazuri sana,tena wanaompenda Mungu wenye vipaji vikubwa sana na wameamua kumtumikia Mungu

  • @neemaskayo3047
    @neemaskayo3047 6 หลายเดือนก่อน +5

    Hatimae wimbo niliokuwa nausubir sana huu hapa❤..ninashukuru is 🔥.. ninashukuru ni ibada, ninashukuru ni maneno ya moyo wangu😢😊.

  • @mercymeccyGoto
    @mercymeccyGoto 19 วันที่ผ่านมา

    Barikiwa Sana Mtumishi Eliya

  • @esthermbithembithi5342
    @esthermbithembithi5342 4 หลายเดือนก่อน +4

    Haziwezi tosha karatasi kuandika uzuri wako, ninashukuru ninashukuru
    Haziwezi tosha ndimi elfu kuzitaja sifa zako, ninashukuru ninashukuru
    Hayawezi tosha mahesabu kuhesabu wema wako ninashukuru ninashukuru
    Umenileta, kwenye mlima huu wa uzima ,ninashukuru ninashukuru
    Mahali pasipo na mashindano ndipo mi nawewe ninashukuru ninashukuru
    Palipo maninio ya baraka, na umande ya mvua yako ninashukuru ninashukuru
    Kwenye mikono ya mwindaji hazikupatikana nyama zangu ninashukuru ninashukuru
    Umeniiua miguu yangu kama ya kulungu ninashukuru ninashukuru
    Umeniokoa na makucha ya Simba na dubu ninashukuru ninashukuru
    Asante ooh , Asante ooh
    Na inua mkono ninakushukuru kwa wema wako.

  • @dorahmwambemba9032
    @dorahmwambemba9032 5 หลายเดือนก่อน

    Ooh 😭😭WEWE ni muujiza Tisha Elia

  • @AgreyPaul
    @AgreyPaul หลายเดือนก่อน

    Oooh Barikiwaa Sanaaa 🙌

  • @user-mm2bh1ct4l
    @user-mm2bh1ct4l 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ongela kijana

  • @user-rq6ms8oi1m
    @user-rq6ms8oi1m 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe sana Mtumishi wa MUNGU Ibada hii njema sana

  • @benjaminkambona7783
    @benjaminkambona7783 5 หลายเดือนก่อน +2

    Huu wimbo umenifanya nilie sana.... Barikiwa sanaaa mtumishi

  • @mosesnkumba1184
    @mosesnkumba1184 5 หลายเดือนก่อน

    Kaka Mungu akuinue zaidi na zaidi

  • @enocmasuka8925
    @enocmasuka8925 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akubariki xn,, ndg, u made it

  • @juliusone5348
    @juliusone5348 6 หลายเดือนก่อน +6

    The greatest song from the greatest man of GOD 🙌

  • @user-qm3rj6ch4y
    @user-qm3rj6ch4y 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera kijana na muona Mary anazidi kuchana

  • @user-bq4ju3mf7p
    @user-bq4ju3mf7p 5 หลายเดือนก่อน +2

    Eliaa naomba jina l mpig ngoma

  • @janethmashapatrishanmasha2489
    @janethmashapatrishanmasha2489 3 หลายเดือนก่อน

    Ninashukuru yesu

  • @leadmetv8489
    @leadmetv8489 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nimebarikiwa sana na wimbo huu kaka Elia. MUNGU AZIDI kukupa mafunuo zaidi yatakayogusa maisha ya watu wengi zaidi

  • @angekasongo6256
    @angekasongo6256 5 หลายเดือนก่อน +1

    My grateful 🙏🏽

  • @wisdomstanslous2398
    @wisdomstanslous2398 6 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤

  • @maryelias6055
    @maryelias6055 4 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢😢 Yesu wewe ni Mungu ninakushukuru

  • @reinhardjesmart169
    @reinhardjesmart169 5 หลายเดือนก่อน +3

    Thank you Lord for this minister in our time, May God increase you Mtishbi. All love🎉

  • @ellahbilohe2755
    @ellahbilohe2755 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo mzur wa mguso, barikiwa mno Minister Elia

  • @ElijahDavid92
    @ElijahDavid92 4 หลายเดือนก่อน +2

    Powerful be blessed bro 😢

  • @eunicechacha6883
    @eunicechacha6883 4 หลายเดือนก่อน +2

    This song is my testimony 🥹🥹🥹God has been so good....yaan makaratasi hayatoshi kuandika uzuri wake Mungu
    Zangu tu ni shukurani❤❤❤🙏🙏🙏

    • @eliamtishibi4129
      @eliamtishibi4129  4 หลายเดือนก่อน

      Glory to God !keep listening and share the good work❤

  • @gracecontent9866
    @gracecontent9866 6 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @kaliminwalukas2966
    @kaliminwalukas2966 4 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU akubaliki 🙏🏿🙏🏿🙏🏿ujumbe mzuri

  • @pastorjameskalekwa
    @pastorjameskalekwa 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante oooh 🙌🏿

  • @neemakway8389
    @neemakway8389 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kweli kutoka moyoni naungana na wewe Yesu asante saaan maana amenifanyia kicheko kwenye maisha yangu mwanzo wa mwa huu nilichosubiri kwa miaka sita nashukuru Mungu saaaan tena saaan

  • @Bshine_Og
    @Bshine_Og 6 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏ninashukuru

  • @stellakinyua1361
    @stellakinyua1361 6 หลายเดือนก่อน +3

    Thank you Sir
    God has done it again.
    I 1st Heard your song sitara....in Arusha at a conference Gloryland and I was Soo blessed ❤❤
    More Grace Sir.
    Hudumu yako izindi kukua na kubwa BARAKA kwa wengine.
    From Mombasa Kenya.

  • @catherinecharlz2814
    @catherinecharlz2814 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asantee Elia kwa wimbo mdhurii, ubarikiwe mnoo❤

  • @amosijohnmanota4472
    @amosijohnmanota4472 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu akutunze mtu wa Mungu

  • @LEONARDMWALILI
    @LEONARDMWALILI 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo juu umenibariki sana kaka🙏🙏Mungu akuinue zaidi

  • @ngatatv1365
    @ngatatv1365 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka kaka kaka kakaaaaaa MUNGU amekuinua aise😢😢 hii ni ya pekee mpangilio wa sauti jamani 😊 nimebarikiwa sana naludi ludia kwenye Asante oh Asante ooohoo😂❤❤❤❤❤❤❤

  • @wokububerwa446
    @wokububerwa446 6 หลายเดือนก่อน +1

    YESU NINASHUKURU🙌🙌🙌

  • @henrytarimo9802
    @henrytarimo9802 6 หลายเดือนก่อน

    Nina ninashukuru....

  • @RachelMakalanga-du2oj
    @RachelMakalanga-du2oj 6 หลายเดือนก่อน +4

    My God this man is something else glory to God for such blessing of this song tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu may this song reach many for his glory

  • @sulupeacecharles1397
    @sulupeacecharles1397 5 หลายเดือนก่อน +2

    Another worship hitting song from my brother elia mtishibi ninashukuru

  • @gracefrank4197
    @gracefrank4197 5 หลายเดือนก่อน +1

    Natafta lyricx ya huu wimbo siipat jmn maneno mengine syaskii vzr 😢

  • @nancyabraham3490
    @nancyabraham3490 5 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Leonard442
    @Leonard442 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asee Mungu wa mbinguni akuweke umenibariki asee

  • @teddylwego9196
    @teddylwego9196 6 หลายเดือนก่อน +1

    God is good,kwa kweli ninashukuru🙏🏿

  • @trulykabia
    @trulykabia 5 หลายเดือนก่อน +2

  • @boazanthony3818
    @boazanthony3818 6 หลายเดือนก่อน +3

    Eliya MUNGU akutunze sana twendelee kumtukuza huyu MUNGU..Tumain ilikuwa imebeba watu wakuu sana wa ufalme wa MUNGU

    • @eliamtishibi4129
      @eliamtishibi4129  6 หลายเดือนก่อน +1

      Amen brother

    • @ErickMassawe-jd8sp
      @ErickMassawe-jd8sp 2 หลายเดือนก่อน

      Amen amen hakika Mungu Yupo pamoja na wewe kaka

  • @trulykabia
    @trulykabia 5 หลายเดือนก่อน +3

    Collabo na zoravo sasa …bwana akubariki

  • @denniswilhard3879
    @denniswilhard3879 6 หลายเดือนก่อน +1

    We keep enjoying the Grace of GOD working over your life Mann in CHRIST. Keep the Fire Burning And Always Keep Humble and The Cloth of Humility.
    Bado Haujaona pale Unaenda Hata sasa Haijafika thelusi ya pale BWANA anakupeleka.
    Unaonja tu Maonjo machache ya Kile BWANA amekuandalia. Ni kama unachungulia tu na kuiona nchi ya ahadi My Bro maziwa na Asali ziko Mbele.
    Humility and Humbleness zitakuweka sana hapo mda mrefu

  • @peninaisaya8055
    @peninaisaya8055 6 หลายเดือนก่อน

    Hakika haziwezi tosha karatasi, Barikiwa sana mtumishi wa Jehovah😢

  • @ngukekadashi6608
    @ngukekadashi6608 24 วันที่ผ่านมา

    🎉🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Tinna887
    @Tinna887 6 หลายเดือนก่อน +1

    Niliungoja kwa hamu sana, be blessed

  • @davidnkini9811
    @davidnkini9811 6 หลายเดือนก่อน +2

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @daynessmollel9962
    @daynessmollel9962 5 หลายเดือนก่อน +2

    🙌❤❤🙏🙏

  • @kamanapeter4751
    @kamanapeter4751 5 หลายเดือนก่อน +1

    ✊✊✊✊✊✊✊

  • @paulpeter_official6359
    @paulpeter_official6359 5 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @justinzefania5277
    @justinzefania5277 6 หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kulwashimiyu
    @kulwashimiyu 6 หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥🔥🔥

  • @onesmompwaga6655
    @onesmompwaga6655 6 หลายเดือนก่อน +3

    Haleluya Haleluya
    Very revelatory words.
    Ahsanteee Oooh.
    Thank you Lord Jesus.

  • @gracenicholaus6018
    @gracenicholaus6018 6 หลายเดือนก่อน +1

    🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @JaphetSalingu
    @JaphetSalingu 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🙌🙌🙌 nakupenda sana mtumishi

  • @BenBass1
    @BenBass1 6 หลายเดือนก่อน +1

    🔥

  • @gracecheyo
    @gracecheyo 5 หลายเดือนก่อน +1

    God bless you man of God kwa kazi nzur

  • @miltonmugisha1805
    @miltonmugisha1805 6 หลายเดือนก่อน +1

    #NINASHUKURU

  • @aikabillia7573
    @aikabillia7573 2 หลายเดือนก่อน

    Katika mikoano ya muwindaji hazikupatikana nyama zangu! Bwana umeniokoa dhidi ya makucha ya simba na dubu

  • @christsflowe.r
    @christsflowe.r 6 หลายเดือนก่อน +2

    HALLELUJAH 🙏

  • @christinemoriasi8507
    @christinemoriasi8507 6 หลายเดือนก่อน +3

    What a blessing.... Lord am grateful 🙏🙏

  • @Keizyfashionhouse
    @Keizyfashionhouse 6 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @st.juniorsilwimba9691
    @st.juniorsilwimba9691 6 หลายเดือนก่อน +1

    ASANTE SANA KWA WIMBO HUU WA SHUKRANI
    ❤❤❤❤❤
    YOU ARE BLESSED MAN OF GOD

  • @eliya_benjamin
    @eliya_benjamin 6 หลายเดือนก่อน

    Wimbo wangu 🔥

  • @goodluckmomburi5372
    @goodluckmomburi5372 6 หลายเดือนก่อน +2

    THE WAITING IS OVER CHAKULA HIKI HAPA ✍️✍️🙏

  • @ibronet3815
    @ibronet3815 4 หลายเดือนก่อน

    God bless you

  • @scayoscayo3998
    @scayoscayo3998 6 หลายเดือนก่อน +3

    Complete package, such a masterpiece from man of God Elia mtishibi-Glory glory!! your indeed a blessing to this generation-Umenibariki

    • @eliamtishibi4129
      @eliamtishibi4129  6 หลายเดือนก่อน

      Hallelujah Glory to The king Jesus keep on loving God

  • @BeatriceDumi
    @BeatriceDumi 6 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru sana kwa neema ya ajabu iliyowekwa ndani yako. nyimbo zako zinainua sana huduma yangu na kutotaka kukata tamaa. Sitaki kujua Nikoje au nitakuwaje🖐️Ila nainua mikono nakushukuru kwa wema wako❤️❤️

  • @MazikuMaziku-ku7sl
    @MazikuMaziku-ku7sl 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu aendelee kukutunza ,ubarikiwe sana

  • @stellasylvanus8204
    @stellasylvanus8204 5 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana mtu wa Mungu 🙏

  • @josephpeter9419
    @josephpeter9419 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika Mungu nashukur mnooo

  • @festusmrteem7097
    @festusmrteem7097 6 หลายเดือนก่อน +1

    Great job!! Kazi nzuri sana wooow!!!🔥🔥🔥

  • @hellenongayo6883
    @hellenongayo6883 หลายเดือนก่อน

    Ninashukuruu 🙏🙏🙏
    Naeza pata wapi lyrics ya huu wimbo mtumishi wa Mungu

  • @imaniericshoo
    @imaniericshoo 6 หลายเดือนก่อน +4

    Your blessed Man of God TANZANIA 🇹🇿 TUNAJIVUNIA KUWA NA WEWE

  • @lightnesssarakikya8073
    @lightnesssarakikya8073 6 หลายเดือนก่อน +1

    NINASHUKURU BWANA 🙏♥️

  • @perfectgodifrey3831
    @perfectgodifrey3831 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hallelujah hallelujah 🙌
    Ninashukuru

  • @stellafidelis2800
    @stellafidelis2800 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tunajivunia wewe 💃 👏

  • @johnntete5313
    @johnntete5313 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ninashukuru 🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌

  • @mosesmatinde
    @mosesmatinde 6 หลายเดือนก่อน

    Really 🙏🙏🙏🙏

  • @jeromekato7
    @jeromekato7 6 หลายเดือนก่อน +1

    Baraka kubwa sana ❤🔥🎺

  • @mercychilijila4572
    @mercychilijila4572 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo wanguuu❤❤❤🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥
    Elia Naheshimu mnoooo kile Mungu ameweka ndani yako🙏

  • @geofreymaunde
    @geofreymaunde 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hallelujah Hallelujah
    Barikiwa sana Ndugu 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
    Very Powerful

  • @emmanuelikwanzi8395
    @emmanuelikwanzi8395 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeeeeen nimeusubiria sana

  • @stellafidelis2800
    @stellafidelis2800 6 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda unavyoimba na kucheza UTUKUFU kwa MUNGU barikiwa sana 🔥

  • @Jimmymanasseh_Official
    @Jimmymanasseh_Official 5 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen

  • @sumacharles946
    @sumacharles946 4 หลายเดือนก่อน

    His faithfulness abides forever! Hazitoshi ndimi elfu🙌🙌🙌🙌🙌

  • @meshacksamsonmexher3377
    @meshacksamsonmexher3377 6 หลายเดือนก่อน

    Itoshe kusema tu ni Halleluyah....Barikiwa sana..ndg yangu 🙏🙏🙏

  • @bomokaQuality
    @bomokaQuality 6 หลายเดือนก่อน +1

    The SONG IS nashukuru mjombaaaa👊👊👊👊👊👊👊👊🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @hatsonmwasaru1161
    @hatsonmwasaru1161 6 หลายเดือนก่อน

    😍😍hata dunia ingekua kitabu haingetosha wala hakuna wino utakaotosha kuandika wema wabwana😇😇

  • @marymusa9316
    @marymusa9316 5 หลายเดือนก่อน

    Am grateful

  • @LilianMassaga-kn7fh
    @LilianMassaga-kn7fh 5 หลายเดือนก่อน

    Nainua mikono Nina kushukuru kwa wema wako ❤🙌🙌

  • @ministergilbertedward1123
    @ministergilbertedward1123 6 หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 congratulation my brother keep up

  • @alinanuswemwaitebele6571
    @alinanuswemwaitebele6571 6 หลายเดือนก่อน

    Hakika nina shukuru Mungu. haziwezi tosha ndimi elfu🙏🙏🙌👏👏👏👏

  • @mosespeter5618
    @mosespeter5618 6 หลายเดือนก่อน

    🎉Mwanza oyee eee ni mebarikiwa sana Mungu anainua huduma yake ......

  • @evahmbaga3654
    @evahmbaga3654 6 หลายเดือนก่อน +2

    I just find my self crying for his love and kindness in ma life...best song ever

    • @eliamtishibi4129
      @eliamtishibi4129  6 หลายเดือนก่อน

      Hallelujah Glory to Jesus keep on loving God

  • @Joel_Otieno_Otieno
    @Joel_Otieno_Otieno 6 หลายเดือนก่อน +2

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤✨️✨️✨️🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @doricembata6906
    @doricembata6906 6 หลายเดือนก่อน +1

    God has done it once again ....what a song ...Be blessed man of God🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥.