Kenyans in the house please like my comment, i have been listening to this song all throughout since i heard it. Truly God has favoured us, we dont deserve it but the Lord has been faithful
Any kenyan here, you've got to give it to Tanzanians when it comes to live worship music, feeling blessed by this song,as i come to the end of this year,it can only be you God,umenipendelea Yesu.Heavy on gratitude
Huu ni upendeleo halisi. Pure favour...mwaka mzima hapa mjini bila kufungiwa nyumba, bila kulala njaa, bila kulazwa hospitalini...kazi ni kibarua lakini Yeye amehakikisha nimehifadhiwa...hata katika maisha ya utovu na dhambi ila nimependelewa mimi. Nimependelewa....oooh nimependelewa
Tanzania 🇹🇿 tumependelewa kwakweli....Kitendo cha kuhudumu kwa kiwango iki ....Tanzania tumependelewa....🎉🎉🎉Sijui nisemeje ila ni maombi yangu Mungu awape neema ya kutumika zaidi na zaidi.
2:26 hakika umenipendelea kuona 2025 na naamini utaendelea kunipendelea 1/1/2025 🎉 kindly like my comment so that I can always come back and listen to this amazing and blessed song❤
25.12.2024..will remain to be my miracle day after my family got involve in a road accident that destroyed the vehicle but nobody got injured..umetupendelea Bwana sijivuni kwa chochote
Mungu kutuweka mjini January to December ni upendeleo..ameniponya saratani ya Figo huu ni upendeleo🎉🎉🎉🎉🎉th-cam.com/video/JOi4QXTiu9w/w-d-xo.htmlsi=PQuxWIj2ExrnR-Jn
Uponyaji wa Cancer ya shingo ya kizazi hakika umenipendelea, umekausha presha ndani yangu hakika umenipendelea, Umenishindia Mauti hakika umenipendelea, umekausha kiu ya ulevi, kwangu na kwa Mume wangu, hakika umenipendelea, niliiywq Golikipa lakini sshv ni Mfanyabiashara, hakika umenipendelea,.
😢😢😢😢😢 yale ambayo wanadamu waliona hayawezekani ila Mungu amenifanyia sina cha kusema sifa na utukufu kwa Mungu mwaka 2024 mwaka ambao Mungu amenifuta machozi
The David of Gen Z @HenrickMruma🙌✨. Thank You, Lord, for raising mighty men like Henrick Mruma and Eliya Mwantondo, who carry Your anointing and inspire us to stand firm in faith. May Your name be glorified through their lives always! 🔥🙏👑
This is so powerful Song Mzee and Prophetic one🫡🙌. Hongera sana kwako na team Nzima ya Seed of faith 🥰 Mungu awabariki sana. Halafu Hii Audio mixing ni ngeni masikioni mwangu 🙌. Say Hi! to the Mixing Engineer. Tukutane 2025❤ UMENIPENDELEA
God I have nothing but uhai,afya na ulinzi Kwa familia yangu yatosha kusema ni upendeleo kwetu. I hope in 2025 i will achieve my dream in Jesus name 🙏✍️
This is one of the most heartfelt songs I’ve ever come across. Lord, I am overwhelmed with gratitude for everything You have given me. My only response is to say, “Thank You, Lord.” You have freely blessed me with life, grace, and gifts beyond measure. Truly, You have done so much for me. Who am I to declare, “You are Ebenezer”? I know I am not extraordinary, yet I am here today to say, “Thank You, Jesus Christ.” It’s not about what I’ve accomplished in my life, but about acknowledging that You are God above all. All glory and honor belong to You alone.💥💗🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Carried my pregnancy to term had complications on delivery but here I am 2025, 4months with my bundle of joy hakika umenipendelea Yesu sijuvuni kwa chochote bwana 🎉
A song from the heavens. From the brook of God.May this well never dry in Jesus Name. This is not a song,its a PRAYER IN SONG.A THANKSGIVING PRAYER.Mungu awabariki. 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
2024 Mungu kanibariki na mimi nikaitwa mama huu ni upendeleo Asante sana Yesu umenipendelea mm na familia yangu mpk ukatuvusha mwaka salama pia naomba ukanipendelee na mwaka huu kusiwe na ugumu wowote na kila ntakacho enda kukifanya nitoke salama😢
Hadi kufika siku ya leo tarehe 31 December 2024 Nakushukuru Mwenyezi Mungu maana Umenipendelea Ubarikie Mtumishi wa Mungu na nyote mnaosikiliza mpate kuona mwaka mpya na kutimiza matamanio yenu .
This song since last year December, there's something in it that keeps me going.... We have done things that we ain't proud of but he still loves us,even when we don't deserve his mercies,love, forgiveness,ooooh my, umenipendelea❤❤❤🙏🙏🙏 I keep on coming back here
Many are the times we do not appreciate what God has done in our lives we think its just normal,this song makes one cry while thinking of God's blessings upon oneself......and big up to the instrument guys, backing vocals, surely we can feel the presence of the Lord 🙏God bless the minsters of this song.
Kila kitu nilicho nacho, uhai, afya, familia, kazi, marafiki, akili timamu wokovu, unyenyekevu, dojo ya utu na uvumilivu- kweli Mungu amenipendelea ( God has favored me.
Kuna wakati nilipitiwa nikaona mwisho wang ila BABA wa MBINGUNI umenisimamisha tna na ukaanza upya nami kwa kwel umenipendelea MWOKOZI wang 😭😭😭😭 afya na neema yako juu ya familia yang ni upendeleo tu asaante 🙏
Ata kuona hii mwaka ni kupendelewa na mungu,my daughter got facial burns 2 weeks ago sasa ngozi yanke imerudi sawa without a single scar,Mungu umenipendelea😇😇
Bwana Amenipendelea❤ Japo mwaka wa 2024 umekuwa na changamoto chungu nzima, Bwana ameniweka hai kuona ushindi wake maishani pale 2025. Asante sana kwa baraka hii @Mruma na @Mwantondoo #UMENIPENDELEA❤
Umenipendelea yesu kumponya mama angu ni upendeleo.nina kila sababu ya kukushukuru MUNGU nalitukuza jina lako.😢😢😢😢nanyenyekea mno mbele.ya kiti Cha enzi
Hallelujah hallelujah 🙌🏽 the lord has been good this year despite all we have been through. Kwa kweli Ametupendelea.🙏 God bless you Henrik Mruma and Eliya Mwantondo.❤🙏
Hakika Mungu ni Mkuuu sana namshukuru pamoja na wamiya yangu tuko wazim tunaomb tuvuke Salam hakika ni upendeleo wa juuu Sanaaumenipendelea kasimam na watoto wetu waliyok vyuon na mashulen
Kenyans in the house please like my comment, i have been listening to this song all throughout since i heard it. Truly God has favoured us, we dont deserve it but the Lord has been faithful
Umenipendelea Bwana
Umenipendelea YESU hata kuwa hai mpaka sasa
Who is here 31 Dec 2024 Tumependelewa kuingia 2025 kwa Neema
Yesu ametupendelea, hatukustahili
God has been so faithful
🎉❤🎉
From prison n now running a business. Kwa hakika amenipendelea.
Amina
Any kenyan here, you've got to give it to Tanzanians when it comes to live worship music, feeling blessed by this song,as i come to the end of this year,it can only be you God,umenipendelea Yesu.Heavy on gratitude
I'm here with you 😻
Here here ,we love Tanzanians and God continue uplifting their music,this music is on my repeat mode,kwa simu,kwa TV
Made me cry,oh Lord ....
I've shed tears,, umenipendelea Yesu 🙏🙏
@@ineedtheeateveryhourave cried today I even lacked words to tell God
Graduated last year now reporting to my job January 😢 hakika umenipendelea
🎉Ametupendelea😊
Amen, I am soo happy for you,This is God
Huu ni upendeleo halisi. Pure favour...mwaka mzima hapa mjini bila kufungiwa nyumba, bila kulala njaa, bila kulazwa hospitalini...kazi ni kibarua lakini Yeye amehakikisha nimehifadhiwa...hata katika maisha ya utovu na dhambi ila nimependelewa mimi. Nimependelewa....oooh nimependelewa
Aisee hii kweli kabisa God bless you
This song is pure intimacy with God. Lots of ❤ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Piteni na likes jameni.
Mbona hajafika 20 M views?? Be serious ..this is the song of 2025 and beyond...thank you jesus
who is here on 5th jan the first sunday of 2025 kwa hakika Mungu ametupendelea can't take it for granted
On my wedding I shall enter with this song
Tanzania 🇹🇿 tumependelewa kwakweli....Kitendo cha kuhudumu kwa kiwango iki ....Tanzania tumependelewa....🎉🎉🎉Sijui nisemeje ila ni maombi yangu Mungu awape neema ya kutumika zaidi na zaidi.
Huu wimbo kweli unauleta Utukufu wa Bwana. Umenibariki sana kwa sababu na yaona maisha yangu kwenye wimbo huu. Atukuzwe Yesu Kristo.
Kuna tone inalalamika kuanzia 15:40 mpaka mwisho🎸 aisee sijui Mbinguni itakuwaje🎶, Wapiga vyombo Mungu Abariki Mikono yenu🙌🙏
Haihitaji mambo mengi sanaaa AFYA YANGU inatosha kusema AHSANTE YESU kwa upendeleo huu😢😢😢
Afya aliyonipa baada ya kufanyiwa surgery ya kwenye utumbo na surgery ya Kansa ya ziwa Hakika amenipendelea mno 2024 amenipendelea mno
Mungu atukuzwe
Amen hakika Mungu ni mwema..Atukuzwe milele..
Mungu amenipendelea ata katika mitihani yangu from division 0 mpaka division 2 kweli mungu umenipendelea
Ooh utukufu kwa Mungu
Hakika Mungu mwema
From being a maid to owning a business the same year kweli n upedeleo😊😊😊
2:26 hakika umenipendelea kuona 2025 na naamini utaendelea kunipendelea 1/1/2025 🎉 kindly like my comment so that I can always come back and listen to this amazing and blessed song❤
Kuona mwaka huu mpya 2025. 🎉🎉🎉 UMENIPENDELEA😢😢😢😢
Fr.. Glory to God, kwa kutupendelea❤
Hakika💯🙌 Ametupendelea🙏
What a song!! Instrumentalists thumbs up.
Kufika mwaka huu wa 2025 Mungu umenipendelea.
Lord i have got a new job and your favour in the site of men imella pap
25.12.2024..will remain to be my miracle day after my family got involve in a road accident that destroyed the vehicle but nobody got injured..umetupendelea Bwana sijivuni kwa chochote
Glory to the most High God
@@eunicesipitiek-ym9fv Amen
This is the Anthem.! Ahsante MUNGU kwa kutupa Mtumishi wako Henric katika kizazi hiki.
NIMEPENDELEWA sana kuwa karibu yako Sir
Hakika mtumishi umenena sawa.
Yesu Amekutumia sana Kaka.
Iko Great sana mtumish😊
Dakika 2:30 , umesema A-s-h-e-r ina maana gani !? #dunsin oyekan
@@henrickmruma Sir
Mungu kutuweka mjini January to December ni upendeleo..ameniponya saratani ya Figo huu ni upendeleo🎉🎉🎉🎉🎉th-cam.com/video/JOi4QXTiu9w/w-d-xo.htmlsi=PQuxWIj2ExrnR-Jn
Halleluujah, glory to God🙏.... live long to tell the world about His amazing lovr and goodness 🙏
Amen utukufu kwake Yeye anayestahili 🙇🏾♂️🙇🏾♂️🙌🙌
GOD IS ALWAYS GREAT, LONG LIVING TO YOU, USHUHUDIE MAKUU ZAIDI.💪❤
😭😭😭🤲🏾
Hallelujah to our almighty God
Mwaka mpya huu wa 2025 huu ndio wimbo wangu....😊Mungu atanipendelea katika maisha yangu 🙏🏽
Halleluyaahhh 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Uponyaji wa Cancer ya shingo ya kizazi hakika umenipendelea, umekausha presha ndani yangu hakika umenipendelea, Umenishindia Mauti hakika umenipendelea, umekausha kiu ya ulevi, kwangu na kwa Mume wangu, hakika umenipendelea, niliiywq Golikipa lakini sshv ni Mfanyabiashara, hakika umenipendelea,.
Thanks God for the gift of life that you have given me with my family 😢😢
who have come from ticktock.... like my comment
MUNYI BONFACE
KENYANS KENYANS, THIS IS WHERE THE LORD WILL TAKE US IN LIVE MUSIC RECORDS, OOH THIS IS PURE WORSHIP, THANK YOU LORD FOR FAVOURING ME
What a blessing song tujuane tulio maliza masomo yetu kwa upendeleo wake😭🥹🙌🙌🙌🙌🤲🧎♂️🙏
Asante bwana kunipendelea kuupata mwaka mpya tena Tanzania hallo tupo like nyingi
😢😢😢😢😢 yale ambayo wanadamu waliona hayawezekani ila Mungu amenifanyia sina cha kusema sifa na utukufu kwa Mungu mwaka 2024 mwaka ambao Mungu amenifuta machozi
Hata kufika December hii Yesu umenipendelea🙏🙌🥰🥰
Yesu Bado nakuamini! 🙏🏾
Who is watching date 11 Jan 2025 akh mungu amenipendelea Kwa kuniponya. Yeast infection
Asante Yesu umetupendelea 🙏🏾🙏🏾
Hapa hata irudiwe mara mia Moja elfu ila umenipendelea ikisikika tu ni fire
Hakika mtumishi
2025 YESU UMENIPENDELEA 🙏🏾
Asante Mfalme kwa kunipendelea❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Imekuwa upendeleo wa BWANA maishani ❤🎉
The fact that we've made this far, it means God ain't done with us yet. Amen?
I love what God is doing in Young men and women of faith. From Kenya we love you.
😃😃
The David of Gen Z @HenrickMruma🙌✨. Thank You, Lord, for raising mighty men like Henrick Mruma and Eliya Mwantondo, who carry Your anointing and inspire us to stand firm in faith. May Your name be glorified through their lives always! 🔥🙏👑
This is so powerful Song Mzee and Prophetic one🫡🙌. Hongera sana kwako na team Nzima ya Seed of faith 🥰 Mungu awabariki sana.
Halafu Hii Audio mixing ni ngeni masikioni mwangu 🙌. Say Hi! to the Mixing Engineer. Tukutane 2025❤ UMENIPENDELEA
Mimi sikustahili, ila Umenipendelea🙌🙌
Umenipendelea❤❤
This song has translated my tears of thanksgiving to words 😭 😭😭😭😭 much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Umetupelea mungu wa israeli ❤❤❤👏🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇨🇦🇰🇪
God I have nothing but uhai,afya na ulinzi Kwa familia yangu yatosha kusema ni upendeleo kwetu. I hope in 2025 i will achieve my dream in Jesus name 🙏✍️
This is one of the most heartfelt songs I’ve ever come across. Lord, I am overwhelmed with gratitude for everything You have given me. My only response is to say, “Thank You, Lord.” You have freely blessed me with life, grace, and gifts beyond measure. Truly, You have done so much for me.
Who am I to declare, “You are Ebenezer”? I know I am not extraordinary, yet I am here today to say, “Thank You, Jesus Christ.” It’s not about what I’ve accomplished in my life, but about acknowledging that You are God above all. All glory and honor belong to You alone.💥💗🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Am here because This Lord of us Amenipendelea na anaenda kunipendelea zaidi🙌🙌
Dah Nashindwa nisemenini kwa kazi Mungu kwenye maisha yangu. Dah, Mungu huyu amefanya sana ... I am Speechless
What a powerful song just receiving my healing while in the hospital
Healing is your portion in Jesus name 🙏
Sijivuni kwa chochote nilichokifanya ila umenipendelea😭😭😭😭😭😭😭🙌🙌🙌🙌🙌🙌❤️❤️❤️❤️❤️
Carried my pregnancy to term had complications on delivery but here I am 2025, 4months with my bundle of joy hakika umenipendelea Yesu sijuvuni kwa chochote bwana 🎉
HILI NI BONGE LA WIMBO you can feel the power of the LORD in it eish!!🔥🔥🔥🔥🔥
Sijivuni kwa chochote umenipendelea Yesu!
Finally they've put this song up...much love from Kenya 🇰🇪
Mungu Naomba uendelee kunipendelea pamoja na familia yangu 🙏✍️
A song from the heavens.
From the brook of God.May this well never dry in Jesus Name.
This is not a song,its a PRAYER IN SONG.A THANKSGIVING PRAYER.Mungu awabariki.
🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
It's a blessing to be alive by God's grace Amen Umenipendelea Mungu
Yesu amenipendelea 2025 ni mwaka wangu wa baraka tele Amina 🇰🇪
2024 Mungu kanibariki na mimi nikaitwa mama huu ni upendeleo Asante sana Yesu umenipendelea mm na familia yangu mpk ukatuvusha mwaka salama pia naomba ukanipendelee na mwaka huu kusiwe na ugumu wowote na kila ntakacho enda kukifanya nitoke salama😢
Hadi kufika siku ya leo tarehe 31 December 2024
Nakushukuru Mwenyezi Mungu maana Umenipendelea
Ubarikie Mtumishi wa Mungu na nyote mnaosikiliza mpate kuona mwaka mpya na kutimiza matamanio yenu .
Mwaka huu huduma hiI Umenipendelea
From January to Disemba. Umenipendelea
Hakika ni upendeleo mm ni nani baba yangu nakushukuru 😭😭😭😭🙏🙏🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Hakika Huu wimbo unakamata mnoo
This song since last year December, there's something in it that keeps me going....
We have done things that we ain't proud of but he still loves us,even when we don't deserve his mercies,love, forgiveness,ooooh my, umenipendelea❤❤❤🙏🙏🙏
I keep on coming back here
Umenipendelea mimi jamani mungu wangu ❤❤❤❤❤❤🎉
Many are the times we do not appreciate what God has done in our lives we think its just normal,this song makes one cry while thinking of God's blessings upon oneself......and big up to the instrument guys, backing vocals, surely we can feel the presence of the Lord 🙏God bless the minsters of this song.
Umenipendelea Mungu....wimbo umefanya niwaze 2024 kwa namna ya ajabu sana Yesu umenipendelea
Kila kitu nilicho nacho, uhai, afya, familia, kazi, marafiki, akili timamu wokovu, unyenyekevu, dojo ya utu na uvumilivu- kweli Mungu amenipendelea ( God has favored me.
Kuna wakati nilipitiwa nikaona mwisho wang ila BABA wa MBINGUNI umenisimamisha tna na ukaanza upya nami kwa kwel umenipendelea MWOKOZI wang 😭😭😭😭 afya na neema yako juu ya familia yang ni upendeleo tu asaante 🙏
@ 1:00 Afya hii uhai huu neeema hii umenipendelea what a wonderful worship
Wimbo huu umefanyika baraka 🎉sana
This is a sound of a broken vessel 💯🙌🏾
God bless you MoG ❤️
Exactly
Yesu huyu amenipendelea mno 🙌🙌🙌🙌🙌
From being rejected by my Dad to being a successful prayer warrior of Christ,ukweli amenipendelea
This song is more than a song,it's a worship anthem.Kaka Henrick Mruma Mungu azidi kuinua huduma yako amen
Ata kuona hii mwaka ni kupendelewa na mungu,my daughter got facial burns 2 weeks ago sasa ngozi yanke imerudi sawa without a single scar,Mungu umenipendelea😇😇
Ulivonipea Umenipendelea Asante Yesu ❤❤
Bila neema yako hakika nisingekuwa hapa nilipo
Hakika umenipendelea 🙏🙏😢
Asante sana Mungu wangu kwa huu upendo ❤
This song 🙌🙌
I don’t even know Kiswahili but this one moves my spirit. God is the Lord of all nations, as long as the song is reverencing God, I will join in 💃🏾❤️
I declare 2025 is my year,...umenipendelea....
Huu wimbo jamani ni mzuri kwa kuinua roho yangu❤❤❤
Mungu asifiwe tu amenipendelea kwa kweli.🙏🙏🙏🙏
Bila upendeleo wako Mungu nisingekua mimi huyu.🙏🙏🙏
Asante Yesu mimi na familia yangu umetupendelea kuona mwaka 2025 Asante Mungu sifa na utukufu tunakurudishia Amen Amen Amen❤❤❤
Bwana Amenipendelea❤
Japo mwaka wa 2024 umekuwa na changamoto chungu nzima, Bwana ameniweka hai kuona ushindi wake maishani pale 2025.
Asante sana kwa baraka hii @Mruma na @Mwantondoo
#UMENIPENDELEA❤
Hakika
Umenipendelea😭 ukaniondolea ugonjwa wa pumu (asthma).....
Ukanipendelea tu kwa neema yako😭😭😭😭😭🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
At this late night,this song speaks life to me,
Seeing the end of 2024 is just by God's grace 😢😢
Mungu awabarikii, from Tz Arusha nipo live
Mungu umenipendelea kwakweli naomba nipendelee tena kwa ugonjwa huu wa in sifa na utukufu ni wako Bwana
Yesu asante umetupendelea sana, ndoa hii, watoto hawa(triplets), international job hii umetupendelea. Asabte Yesu kwa neema yako tu imetubeba ❤
Umenipendelea yesu kumponya mama angu ni upendeleo.nina kila sababu ya kukushukuru MUNGU nalitukuza jina lako.😢😢😢😢nanyenyekea mno mbele.ya kiti Cha enzi
Hallelujah hallelujah 🙌🏽 the lord has been good this year despite all we have been through. Kwa kweli Ametupendelea.🙏 God bless you Henrik Mruma and Eliya Mwantondo.❤🙏
Hakika Mungu ni Mkuuu sana namshukuru pamoja na wamiya yangu tuko wazim tunaomb tuvuke Salam hakika ni upendeleo wa juuu Sanaaumenipendelea kasimam na watoto wetu waliyok vyuon na mashulen
I'm listening to this song on 8th January 2025 indeed you have done it Jehovah...umenipendelea🙏🙏🙏
Kwa kweli, Umenipendelea ❤😭