UMUHIMU WA KUPATA WATU SAHIHI WA KUKUSAIDIA UTIMIZE MALENGO YAKO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- Ibada Maalum ya kuombea Malengo yako ya 2025 || KKKT KIJENGE - ARUSHA // Tarehe 5 January 2025
.......................................................................................................
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kwetu:-
M-PESA 0754 211 633
0752 888 847
TIGO-PESA 0715 511 633
AIRTEL MONEY 0682 657 080
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI DIANA MWAKASEGE
WEZA KUTUMA SADAKA KUPITIA _
CRDB BANK
ACC: 01J2032214400
JINA: CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE
Mwl. Mwakasege, Ahsante sana kwa somo hili, umenichoma moyoni, Nitatoboa kupitia somo hili. By Faustin Conrad wa Ludewa- Njombe.
Namshukuru Mungu sana kusema nami kwa viwango vya juu sana kupitia somo hili,Mungu akubariki sana mtumishi pamoja na watu wote walioambatana nawe katika huduma yako,Mungu akuweke uishi mtumishi wa mungu,akujalie afya njema na baraka tele,ninaushuhuda mwingi sana kupigia madhabahu hi namshangaa mungu sana na kumshukuru kwa namna ya kipekee sana ,utukufu na heshima ni zako,nilikuwa nimezongwa zongwa sana kiafya kihuduma kwa habari ya watenda kazi, na kwa habari ya kuuzunguka mlima ,Ee Mungu wa Ibrahim,isaka ,na yakobo jina lako litukuzwe milele ,na sasa niko huru namshukuru Mungu sana
Mungu nipe mtaji wabishara naomba ulinzi jua ya bifugo yangu kondoo mbuzi ngombe naomba ulinzi juu ya watoto wangu mungu nipe tergta ya kulima shambani mungu naomba ulinzi juu ya maisha yangu niepushe na mabaya yote hapa duniani niishi maisha yukupendasayo Asante mungu Ameen ameen
Barikiwa kwa somo zuri mtumishi wa Mungu,hakika nahitaji neema ya Mungu kunipatia watu sahihi kwenye biashara zangu na mifugo yangu na wa nyumbani kwangu wa ndani ,mana kwa hakika wao ndio chanzo kikubwa cha kusitawi au kufa kwa biashara ,Mungu nikumbuke 2025
Mungu mwaka huu nijenge nyumba nzuri sna ninunue gari yangu nimiriki bushara kubwa na ifanye vizuri na niwe mfano wa kuigwa mungu niongozeAmin
Asante mungu mwaka huu unifungulie Milango yote na unipe mtu muhimu katika maisha yangu umtoe mwangu uchawi ktk mwili wake na dadaangu Salome umponye na baba angu nae umponye na mume wangu umponye marathi yote awe na roho ya huruma
Mungu mwaka huu 2025 ninunue kiwanja nijenge nyumba,kibali cha kiuchumi na mipenyo ya kiroho yote ameeen
Mungu akupe afya njema na maisha marefu daddy wewe na familia yako kwa jna la yesu❤❤❤
MUNGU baba mwaka huu tubariki kwenye kazi za mikono yetu, tuka jenge mijengo ya biashara,nikamalizie nyumba yangu, kipato changu kikainuke, nikamunue alphard ya kazi na pia mgodi wetu ukapate kutoa riziki
amen Amen 🙏
MUNGU naomba mwaka huu niinulie watu sahihi watakaobeba kwenye maisha yangu na pia naomba unipe mme bora akae njia Mungu anipe kibali cha kujua kushona 👗 za aina zote kwa ajili ya utukufu wake
Nabarikiwa kupitia mafundisho yako.Mungu akubariki na akuongezee maisha marefu yenye baraka tele.Amen
Mungu naomba Toba na rehema unisamahe popote nilipoenda kinyume na mapenzi yako😭😭🙏 pia naomba unipe mtu sahihi wakusimama nae katika mipango yangu 2025
Mwenyezi mungu nakushukuru kwa zawadi ya uhai najikabidhi tena mikononi mwako unilinde unijalie hitaji la moyo wangu 2025
Hallelujah, utukufu kwa Yesu milele yote. Tunakuombea sana pamoja na huduma nzima ya Mana kwa ratiba zote za mwaka huu 2025.
🎉🎉 ubarikiwe sanan baba umejua kunivusha kupitia weewe nimemwona Mungu hakika❤❤❤
Mungu naomba mwaka 2025 uniwezeshe kupata mtu sahihi na tufunge ndoa takatifu kwa utukifu wako mungu.pia mungu naomba unibariki ktk biashara zangu nione baraka zako na mafanikio.poa naomba niwe na afya njema niweze kukutumikia mungu
Nashukuru Mungu kwasababu neno lako ni uponyaji,ufariji na msaada kila nipitapo kwenye magumu🙏🙏🙏
Ameeen Ubarikiwe sanaa na Mungu Mwl.
Ee Mungu wangu katika jina la Yesu Kristo aliye hai naomba hili litimie kiuhalisia kwenye maisha yangu. Nipate rasilimali watu sahihi
Asante MUNGU kwa kumfunulia mtumish wako somo hili
Mwenyezi Mungu naomba unisaidie mwaka huu nijenge nyumba,nifungue biashara hata ndogo tu,mwanangu achaguliwe shule nzuri kidato cha 5,mwingine afaulu vzr kidato cha 2,nipe kutembea katika njia zako nikutanishe na watu sahihi waliobeba hatima ya maisha yangu.Amina
Mungu wangu asante kwa kunivusha 2025.naomba ni connect na watu sahihi 2025.nibadilishe nipe kibali cha kuinuka 2025.nipe upenyo na fursa .ktk jina la Yesu
Nimaombi yangu Mungu anipe watu sahihi watakao niwezesha kufikia malengo yangu Mwaka huu.Amen🙏🙏
Mungu naomba niunilie watu sahihi pia nilionao kama ni sahihi ukawadumishe Kwa mapenzi Yako Amen
Hallelujah nampenda sana mwl Mungu ampe maisha marefu pamoja na mke wake tangu nianza kuwa fatilia maisha yangu yamebadilika
Mungu nakushukuru kwa neno lako naomba unipe watu sahihi wakunisaidia kutimiza malengo yangu muwezeshe mume wangu aweze kumalizia nyumba yetu ya kuishi pamoja na biashara ameen 🙏
Barikiwa mtumishi umenipa neno la funguo na mwangazaaa huu mwaka ukawe wangu was kuinuliwa 1:15:37
Mungu Naomba kibali cha bishara kibali cha ufungaji kibali cha kilimo watu wa kufanya KAZI nao bishara kwa usharu mashambani Ameen ameen
Amen mungu akubariki Zaid na zaidi
Mungu naukusihi sana uikumbike familia yangu malengo yangu mwaka huu ukayatimilize uniinulie mtu sahihi watakaonisaidia na kuyabeba yake yote niliyoyawekea malengo. Nifanikishe kiuchumi niondikane na madeni. Wadrni wangu na fedha zangu zilipo ziniijiebkutoka pande Nne za Dunia asiwepo wa kuzuia Toka Kaskazini, kusaini Mashariki magharibi isizuiliwe nifannikiwe katika kuitenda kazi yako kwa uaminifu In Jesus Name I pray
Marudio Mungu nisaidie kuelewa Neno nakutimiza malengo yangu ya mwaka 2025 Pia kumpata mtu sahihi wa kuambatananae 😭😭😭🙏🙏🙌🇦🇪🇦🇪
Amen tajiri mwenzangu🙏
@JoshuaHilgath ndio
@@magetemu barikiwa Tajiriii
@JoshuaHilgath upo sehemu gani Mtumishi Mimi nipo Sharjah
@@JoshuaHilgath ooh sawa Mtumishi
Amen Mtumishi.
Mungu anipatie watu sahihi wa kushirikiana nao kwa mwaka 2025 na kutimiza malengo yangu kwa Jina la Yesu.
Mungu nisaidiye kunipa watu sahihi kwa huduma, maisha yangu.nakujuwa kuisha kwa neno lako, pia kusikiya sauti yako.ubarikiwe mwalimu Mwakasege.
Ahsante yesu kwaajili ya mafundisho haya naomba uniinulie watu sahihi katika mwaka huu watakao nisaidia kutimiza malengo yangu🙏🙏 ubarikiwe mtumishi wabwana🙏🙏🙏🙏🙏
Eee Mungu naomba unipe watu sahihi katika maisha yangu wakunidaidia kimawazo katika kufikili kwangu ili niweze kitimiza malengo yangu mwaka huu Amen 🙏🙏🙏
Mungu Baba nisaidie niweze kutembea kwenye mapenzi yako
God Bless You Man of God🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana mtumishi namuomba mungu anikutanishe na watu sahihi kama ahadi ya mungu kwenye kitabu cha isaya 43:4.
Mungu tenda tena Bwana Yesu kwa ukubwa zaidi
Bwana Yesu nikumbuke nami nijaze Furaha kwa uso wako. Amen
Ubarikiwe sana baba tumejifunza mengi sana
Mungu nakushukuru kwa kunihamisha na kunipeleka Mwandege,asante kwa kumaliza nyumba,asante pia kwa biashara yangu kupanuka na mambo yangu kukaa sawa.
Baba mungu wangu maombi haya yawe yakunibadilishia mume wangu awe na Imani kwangu anisamee makosa yangu unipe kibali upya na mambo yangu yaende vizuri
Mungu nakuomba linda familia yangu,ninakuomba uwape afya ya mwili na akili pia waepushe na nguvu zote za muovu shetani zikae mbali nawo🙏🙏ninakuomba ukapte kunibarikia kaz ya mikono yng na ninaomba ukapate kunipa mtu sahii kwny maisha yangu 🙏🙏
Mungu nifundishe kuanza nawe na kukuelewa zaidi ...asa Baba mwalimu
Mungu nisaidie kukutana nawatu watakao nisaidia kufaulu biashara nntakayoanzisha ktk zt nilizofeli sasa nifaulu
Mungu wangu naomba katika mwaka huu wa 2025 wakati na mda wa mimi kuolewa umefika naomba unipe mme mwema mwenye hofu ya Mungu ili tujenge familia yetu ya watoto wazuri tena wenye akili nyingi, zaidi ya yote awe mme mwenye maono ya kimungu na atakae nisapoti katika huduma yangu ya Maombi kwa jina la Yesu niko tayari kumpokea wakati wowote maana nafasi hiko wazi eeee Mwenyezi Mungu usinipite ndani ya mwaka huu. Nakupenda sana my Love Jesus!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mungu naomba unionulie watu sahihi wa kuniombea katika maisha yangu na familiar yangu nikaxidi kuwa imara katika imagine amen
Mungu naomba mwaka huu unisaidie nitimize malengo yangu (nifaulu vizuri) pia naomba uniinulie watu sahihi katika maisha yangu watakao weza kunisaidia na sio kunishusha chini
Mungu naomba niinulie watu sahihi
Kiukweli mtumishi wa Mungu nakukubali sana tena sana ndani ya moyo wangu na kinachonifurahisha kwako hakika umesimamia neno tu na sio mambo mengine kama walio watumishi wengi wa sasa barikiwa sana naomba kupitia somo hili maombi yangu ya kupata mme mwema yajibiwa kwa jina la Yesu kristo muumba wa mbingu na nchi
Hili somo limekuwa langu kabisa. Mungu anisaidie mwaka huu nipande na zaidi yakupanda kusudi lake litimie ndani yangu mwaka huu!! Huduma ya Mana izidi kukuwa na kuongezeka Wana WA Mungu
Amina nimebarikiwa mtumishi
Tumebarikiwa ktk maisha yetu, kwa uwezo wa Mungu . Amen
Mungu baba nakuomba uwawezeshe watoto wangu wapate.kibali na mafanikio ya kazi malengo yao uwakutanishe na watu sahihi ibaba
Sifa na Utukufu kwa MUNGU wetu aliye juu.🙏🏽
Asante mtume Mungu akubariki kwa kukutuombea amen
Mungu naomba unisaidie kupata watu sahihi wa kunisaidia katika maisha yangu
Huuu ujumbe niwakwangu asante Yesu kwa kumtumia mtumishi wako kwa upendo mkubwa kutufunulia mambo ya ajabu nayakushangaza
MUNGU Naomba kwa jina la YESU; nitembee na wewe na watu wako na kusudi lako; roho za kukata tamaa zituachie watoto wako wote kwa kutiwa Nguvu na Roho Mtakatifu.Amen,Amen,Amen
Mungu naomba watu sahihi wa kunishika mkono kwenye bishara zangu Ameen ameen
Mungu naomba mume mwema mwaka huu usipite nifunge ndoa takatifu
Mungu naomba usimame na mimi niongoze vyema nipe hofu niletee wat weny kujua na kutambua uwepo wako 😭😭 wew ulinijua tangu ningali tumbon mwa mama yangu
Mungu wangu naomba mwaka huu niinulie watu sahihi kwenye maisha yangu asante yesu
Ee Mungu wangu nisaidie nipate watu sahihi wa kunishauri ili niweze kupata mshahara wangu nifungue biashara pia Mungu mwaka huu uwe nimwaka wa baraka kwangu pia nakuomba Mungu unipe nguvu ya roho mtakatifu ili niwatambue watu s a hihi emen
Mungu naomba mwaka huu unipe watu wakusaidiana nao katika kazi na unipe muda wa kupumzika.
MUNGU ninashukuru kwa maelekezo hii ambayo umenipa,Roho Mtakatifu kamata Fasi Yako Na unipe nafasi yangu juu ya watu sahihi Nina waitaji juu ya kusudi ya MUNGU juu yangu
BWANA YESU ASIFIWE 🇨🇩
Baba kwajina la Yesu Kristo
Nakusihi nipe kukutana na wa said izi wa kiungu fursa watu sahihi Mungu wewe unao watakao nipa kupiga hatua mwaka huu 2025 Mungu unae mtu 1tu wakunipa pumziko 🙏🙏.
Mungu wa milele uinuliwe sana na Jina lenu lijulikane Mwaka huu 2025. Ee Mungu Mtatakatifu niwezeshe na familia yetu Mwaka huu utwinulie watu sahihi wa kutokea kwako ili malengo yetu tuyatimize.Amen
Mungu napitia kipindi kigumu sana naomba nisaidie
MUNGU akubariki mtumishi wa MUNGU
Kilichozuia 2025 hakitazuia2025 maana ahadi za Mungu ni kweli napokea kwa jina la YESU.
Amina baba mungu akubariki kwa neno zuri limenibariki
🙏🙏🙏🙏🙏🧎
Yesu akutunze na kukulinda Baba
MUNGU wa Mbinguni akubariki kwa mafundisho haya
Asantee Yesu kwa Ajili ya Mwalimu huyu wa Neno la Mungu kwa namna alinenalo neno na kufunua makubwa kama msingi imara ktk Ufalme wa Mungu na ukuu wake kwetu Wanadamu.
Mungu wa Baba ktk Jina Yesu mbariki na kumuinua sana,mpe maisha marefu yenye Baraka nyingi na uzao wake na mamia,maelfu ,milioni ya watu wazidi kushika maneno haya ya namna ajabu hivi ktk Kristo Yesu.
Mungu naomba mwaka huu uniinurie watu sahh ktk maisha yang
Mungu wa mbinguno akubariki baba maan Nilikua naan a kusema Yuko wap mwakase
Mungu usinipite
Asante Mungu Katika Malengo yangu ya 2025 nliandika nahitaji kupumzika week1 kabla sijaanza ajira yangu mpya na mwalimu umeongea ili barikiwa sanaaaaaaa Hakikaaaa Sijawai pungukiwa Katika madhabahu hi Mungu baba ukanibariki na watu sahihi mwaka wa 2025
Nakupenda Mwalimu Mwakasege.
Very powerful sermon
Mwenyezi mungu naomba kibari cha kupata msaidizi wakutimiza malengo yangu
Asante mungu kwa somo zurii🙏🏿
Waoh..amazing message..barikiwa sana!!
Nifadhili Ee Bwana wenye kiburia wasinionee 2025 niuone Wema wako Bwana 🙏🙏
Mungu naomba unikutanishe na watu sahihi katika biashara zangu
amen nimebakikiwa
Mungu naomba nisaide niweze kulijuwa neno lako na unifingulie milango iliyo fungwa 2025 iwe ya balaka nanipate watu wakuambatana nao🙏🙏🙏📖
Naomba Mungu nisaidiye kwa mipanga ya mwaka 2025..
Mungu naomba unipe biashara yenye faida 2025 na stahiki zangu zote kazin in Jesus name Amen
Mungu akubariki sana mwalimu
Hallelujah,Ameen🙏
Mungu nisaidie niongozwe na roho Mt ktk kila jambo nanielewe neno lako nakuziishi sifa zako
Amina akujibu saw na mapenzi yake
Mungu wangu.niwezeshe.kulielewa.Neno.lako.nakulishika.uujaze.moyo.wangu.mafuta..YaRoho mutakatifu.yanifurike.nijuwe.kutoka nakuingia
Mungu naomba unipe kibari nipate mtaji nimlee mwanangu kiroho zaidi
Mungu naomba watu sahii kwenye kazi yangu ya kupika Tena watu wa kuniongoza kwako mungu.
1:22:52 Baba wambinguni naomba unipe mtu sahihi au watu sahihi wakunishauli ktk maisha yangu na utumishi
Ee Mungu Mtakatifu nifungue ufahamu wangu
Mungu nipate watu sahihi wakusaidizZana katik mradi wangu mungu ingiria kati
Namuomba Mungu anisadie anipe mume ambaye ni sahihi nmechoka kuhangaika😢
Asante Yesu wangu kwa neno hili la wakati halleluyah