Eyyy..I heard this song on radio early last month and I've been looking for it. Today I finally found it and it's on repeat mode!!!! The band Melody line is 💥💥💥, the energy... spirit of praise!!
Undefined minister of God. A real worshiper, dancer😆🤣 du Mwanza we are blessed kwa taarifa ako huu ndyo wimbo wangu 2023 and all time. Na Nikifka mbinguni nitaomba niwekewe uu ,coz am born to dance pia, Mungu amekutumia kwaajili angu blood🙌
Hii nyimbo naomba iwe nyimbo ya kufungia mwaka.. Kaka hongera sana kazi nzuri sana MUNGU aendelee kukusaidia katika utungaji wako..nyimbo zako ni baraka sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nakufurahia sana Man of GOoD my Brother in CHRIST hizi nyimbo tumezimba mnoo nikiskia this This Great work and the Great creativity of the Team and You namshangaa MUNGU Sana and Am Proud Kuwa na A brother in CHRIST kama Wewe. Be Blessed Sir
yaaani Mtumishi umejua kunichezesha hili bonge la sifaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa .......yani YESU asifiwe jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.......big up
Elia ntakuja unifundishe kucheza
ooh Haleluya
😂😂 inabidi kaka
😂😂😂na uje kweli ufundishwe
Gwamaka mbona unajua aisee,
Hahaha kaka mkubwa haya mambo ya vijana aseee
This guy is a package from God.. If you agree nipe like.
Sijawahi kusikia mziki,vocal na shauku yakusifu bwana kama hivi...am truly blessed...Kenya tunajifunza kutokea kwenyu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Yaweh. God bless you Eliya
Amina kaka
Hiii nyimbo 🙌🙌🙌
🥁 Nimeipenda drum inavyopigwa asee
Mwimbaji WA kwanza wa gospel mwenye uwezo w kuimba n kucheza big up sana,,,kumbe YESU anawatu
Eyyy..I heard this song on radio early last month and I've been looking for it. Today I finally found it and it's on repeat mode!!!! The band Melody line is 💥💥💥, the energy... spirit of praise!!
Huyu mwamba💪🔥 Hakyanani MUNGU ana Watu Aiseee
Kazi ya BWANA na isonge Mbele
Amina amina
kwa walio rudia kusikiliza tena bila kujali bundle. This was waited for decades. saafi sana. Hao twins hapo ni balaaa
This song not being in Spotify breaks my heart😭.
It deserves so much more recognition 🙌❤️📌
@@Jovani888 wakati wa Mungu utafika tu wa kutambulika the Man is so talented(ako na mafuta)
Undefined minister of God. A real worshiper, dancer😆🤣 du Mwanza we are blessed kwa taarifa ako huu ndyo wimbo wangu 2023 and all time. Na Nikifka mbinguni nitaomba niwekewe uu ,coz am born to dance pia, Mungu amekutumia kwaajili angu blood🙌
Glory to God
nimeurudia sana huu wimbo niko job najizuia kucheza😆😆😆
ila nikifika home am gonna dance like never before. Glory to God
Huu wimbo nimetafuta miezi mingi tangu nimesikia kwenye radio,...😢😢nice song.....
ubarikiwe Mtu wa Mungu
Hahahahaha that kinda of vibe ya energy ya kumfurahia MUNGU maana ni baba yetu una dance kwa kujiamini maana sio yatima tena, be blessed brother
you are my Gadooo..... watu wameendelea na kibwagizo.. Hi Tz hiii saaafi sana. Praises tu.
Yesu ainuliwe sana
Now this is Elia Mtishibi...Go show the Glory of God in you😆😁
Kaka
Nakukubal sana mtumishi Elia nakubuka ukiwa Kilimanjaro unajua bwana akubaliki zaidi
Dah aiseeeee MUNGU ni mkuu sana,,
Kaka wa sitara🙌🙌🙌🙌🙌,, naona Unazidi kuja🔥🔥🔥,, MUNGU akuinue kakaangu
Man of God Hapa Daudi anaweza akaaa glory to God
Brother kazi nzuri💥💯
Kama simfukweeeee alivyotoboaa na kibiti chakee
Yenyewe umeuwa.......👍👍❤️
Mwananguuu elia na iloo bitiii ushatoboooa walaiii
Wewe ni mungu wangu ,,,, nguvu zangu,,, mwamba wangu,,, wakovu wangu ,, maisha yangu😍 ,,,, Goooo Elia this song is on another level 😊😍
DRUMMER UMEUA HATARI... UMETISHA SANA.😅😁😁
Kaz nzur kaka mkubwa
Nabarikiwa sana Asante sana mtumishi
Naomba umtag MD wa huu wimbo😂😂😂
Ur blessed asee umenikumbusha enzi zile za tumaini choir,,kweli ilibeba watumishi wakubwa asee..goo goo goo brother for the Glory of God
Bro Nashukuru sana...ubarikiwe mno
What a song Hongera Sana kwa kazi nzuri
Napenda hiki kipande 🥰🎉
Into biongwa 🙏
Nzambe apambola yo 🙏
kazi kali..... umechangamka sana hongera sanaaaaaa
Eeeiiish moto mkuubwa 🔥🔥🔥
Much love from +254🇰🇪🇰🇪
Ahaa biti unyamaa sanaaa🏆🥁🎶🎸
Wachezaji vyombo wanaelewa huduma yao. Hongera
Mimi nataka anifunze kuimba mbele ya watu uongezeke Sana
Hongera kwa huduma nzuri mtumishi wa Bwana 🥰🥰
aseee sipati picha huko heaven kwa kweli itakuaje 🙌🙌🙌🙌
Heaven tutamuomba malaika wasifa aanze boaz danken kuabudisha kabla ya kusifu maana hatutamaliza
Ubarikiwe sana
Hivi solomon alitaka akate nyuzi za gitaa ndio ajuwe limelia 😀😀😀😀😀
Brother Mungu kakupatia kitu cha tofauti👏👏
Mungu akuinue sana mtumishi wa Mungu unaenda mbali mno
Fire ma bro MUNGU na azid kukutunza zaid kwa ajil ya cc kujifunza
my bro my bro hongera sana kaka yangu
Hii nyimbo naomba iwe nyimbo ya kufungia mwaka..
Kaka hongera sana kazi nzuri sana MUNGU aendelee kukusaidia katika utungaji wako..nyimbo zako ni baraka sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
MUNGU akutunze tuendeleee kubarikiwa zaidi na utumishi wako brother!!
🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌Askofu
Yesu ni mzuri
Waaaah mtumishi wimbo huu umenifanya kucheza Hadi jasho
Man umenibariki mno kuna kitu kwenye gospel song huwa tu na miss but umekifanya.
MD wangu katisha mno
Eeiii the dance moves of this guy🙌🏼🔥 Mungu atukuzwe!
Vibe la Elia nimejikuta nacheza tu....big up bro
MD Victor Sebastian umefanya kazi nzuri sana mdogo wangu umetisha sana nakuona mbali sana
Nyimbo hii yampa Mungu utukufu mwingi. Barikiwa Sana Man of God
I like it......🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Shiiiish bro nice tune men...More blessings from God men .
What a praise, mwanangu umetisha sanaaaa utukufu umrudie mzee wa siku
Yaweh 💃 💃 yaweh
Broo unacheza vizuriii hakikaaa unajuaa Munguu hakikaaa amekuwekaà kuaa mifanooo kwetuuu ubarikiwee
this song is such a blessing sir. i need those moves
This song is another fire worldwide
Kaka mkubwa hii ya moto 🙌🙌🙌
Hongera sana man of GOD
Very fantastic Lovely MTBC member
Noma mzeee
Moto huu ni mkali Sana
Nakufurahia sana Man of GOoD my Brother in CHRIST hizi nyimbo tumezimba mnoo nikiskia this This Great work and the Great creativity of the Team and You namshangaa MUNGU Sana and Am Proud Kuwa na A brother in CHRIST kama Wewe.
Be Blessed Sir
Kaka yangu na ndugu yangu Yesu ni mwema
Duuuh ! Muimbishaji, waitikiaji wapiga vyombo, Mixing ni hatareeeee 🔥
Asee wimbo mzuri mno uu kaka🫡💪🏻💪🏻 Mungu azidi kukutumia ila unajua ku dance😂
The bassist😍
God bless you bro
Hiv vichwa vilivyokaa hapo kweny arrangement mmmenibariki mno
I'm in love with this song. Miondoko pale 😅 Bwana akubariki mtumishi Elia na bendi yako
yaaani Mtumishi umejua kunichezesha hili bonge la sifaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa .......yani YESU asifiwe jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.......big up
Tumsifu bwana kutoka🇰🇪
Hii ni Mara ya tano sasa na play huu wimbo ... Bro Mungu akubariki sana sana sana.... Kazi tumeipokea vyema
Kaka Glory to Jesus
Yakufungia mwaka hiii 😍 🥁🎶🎵🎼
Braza backup wamenibariki sana 👍👍
Nakuona kamanda Vic...kwenye vyombo💥💥
Kaka Elia mtishibi mm nataka kujifunza mkumchezea Bwana kupitia wewe
Nakubali🔥🔥🔥
Muoto kama pasi
kaka Eliya Mungu akuinue
Amina kaka ahsante sana
Eiiisshh 🙌🙌 this is really good
Nice arrangements ... We love you brother in Christ
Umeua hii ngoma🙏🙏🙏
Mmeniheshimisha sana sana . 🔥🔥🔥🔥
Kwa Yesu rahaaaaaaaa sanaaaaa
It was an honor to worship alongside you at reign city chapel during the Thanksgiving service Minister Elia Mtishibi❤
Amen Glory to God❤❤❤
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 mbinguni tutafurahi hakika sio kwa kina Elia wengi watakaokuwepo 🙌🙌🙌
Ubarikiwe mtumishi! The oldies part🔥
UWIIIIIIIIII🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kazi kali ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Waaaoow it's fantastic
Ixee yaan n amazing☺️☺️ 🔥🔥✨ Ubarikiwe Sanah Mtumish wa Mungu
I loveeeee your moves elia❤❤.... expecting more from you
I love so much the song please translate for me