Wokovu sio zao la matendo au Jambo la mwanadam ila Ni Yesu mwenyewe.. Tumeokolewa kwa neema mtu Yoyote asije kujisifu..Bila kumuomba Yeye alijitoa kwa ajili yetu akikubali kuuacha utukufu wake ili aje atuingize pamoja nae katika Utukufu wake ....NEEMA YA YESU inatusha...Karibu kushea tafadhali wengi walijue pendo la Yesu lisilohesabu ubaya ila linahesabu kazi ya msalaba 🙏... Glory to God and thanks to you...
Eeiihhh ! What manner of Grace is This 🥺 yaani, mnanihudumia Hadi katika kuzisoma comments zenyu. mafunzo tosha. #humility #grace #honor We are learning from you.
One of the best,powerful and Biblical song. Bwana na awafanye kuwa baraka kubwa kwa kila sikio linalosikia kazi hii Maisha ya watu yakabadilishwe na kuinuliwa kupitia wimbo huu!! Amen
😭😭😭 brothers asanteni kwa ibada hii ni zaidi ya huduma asee chakula cha msalaba ni dhambi kupitia Kristo asante Yesu nakosa ya kusema mengi but nimehudumiwa binafsi
If was not Jesus Christ how could we say at the last Day?. My heart is full of happiness because of his resurrection. May God INCREASE YOU and ASCEND you saint. @eliamtishibi
It's amazing kuona namna Mungu anafanya kazi kubwa kupitia vijana wa kizazi cha leo katika Tanzania🇹🇿 ... maombi yangu, kazi aliyoiweka Mungu ndani yenu Eliya & Shadrak na team yote ikazae matunda mema from generations to generations.. you are blessed 🙌🏾🙌🏾
Wow! What a ministration. Every time this song crosses my ears I can't reject the power of the most high. The Holy spirit is too vivid in this one. You are blessed indeed
Great worship indeed, if God would count our sins who would stand,thank you for your mercies Lord.God bless Bishop Mtalitinya and Pastor Elizabeth Mtalitinya....you are generational trailblazers
Mungu nakushukuru kwaajili ya watumishii wako hawa elia na shedrack and others endelea kuwatumia kwa utukufu wako 🙌🙌 hakika tunaishi kwa neema yako tu😭😭😭
You are a son in the Kingdom, our heavenly father is proud of you, God bless your heart of worship.......This far beyond wealth and the treasures of this earth.
Hakika wimbo huu umenitazamisha uzuri wa BWANA maishani mwangu kama angetazama makamilifu mimi nisingesimama kaka naomba MUNGU AKUINUE VIWANGO VYA JUU NAJIFUNZA KWAKO MKUBWA WANGU
The greatest Love story was written on the Cross! There's no greater Love than this, that one would for die for his friend!! The bible tells us the chastment of our peace was upon him and by his stripes we're healed🙌. The composition is full of christology! God is doing mighty things in Tanzania.. May God take you higher watumishi Mtishibi & Shedrack
Elia, it was such an honour having you visit CITAM Rongai during our kesha and Sunday morning service. This song has reminded me of God's unending love for me. Im still playing it.
Kwa damu yake tunahesabiwa haki mbele zake. Mungu awabariki kwa kuwaongezea mafuta maana nguvu zilizowatoka kuyahudumia maisha ya watu wa Mungu yanahitajika kuongezeka na kuzidishwa. Mungu awabariki sana wadogo zangu watumishi wa Mungu. Kama si Bwana tungeangamia tuu. Mbarikiwe tena.
Huu wimbo unaniingiza kwenye deep worship state, uwepo unashuka kwa kiwango sio cha kawaida. Kaka Elisha na kaka Shedrack, asanteni sana kwa kazi hii, Mungu azidi kuwatumia, mbarikiwe sana
Blesss Mungu awatumie zaidi, brother vict , Ernest , twins brother Emma basse nikiwa mkubwa nataman kuwa kama ninyi kupitia ninyi Mungu awatunze na awape kujua nawapenda Sana 💗💗🙏
Wokovu sio zao la matendo au Jambo la mwanadam ila Ni Yesu mwenyewe.. Tumeokolewa kwa neema mtu Yoyote asije kujisifu..Bila kumuomba Yeye alijitoa kwa ajili yetu akikubali kuuacha utukufu wake ili aje atuingize pamoja nae katika Utukufu wake ....NEEMA YA YESU inatusha...Karibu kushea tafadhali wengi walijue pendo la Yesu lisilohesabu ubaya ila linahesabu kazi ya msalaba 🙏...
Glory to God and thanks to you...
Wow Amen
Amen
Huu wimbo ni wa baraka sana 🙌🙌🙌Mungu azidi kukuinua 🙌
@@Hallel60 k
Ok
😭😭😭😭 MUNGU akubariki sanaaaaaa 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Amina sana napokea kaka
Amen Minister
Nawapenda sana watumishi wa Mungu, , naamini tutapata sikumoja 🙏
My brother I’m so proud of you🙌🏾🙌🏾 asante kwa wimbo wa baraka namna hii
Shedrack Ubarikiwe sana wewe ni hazina kubwa kwenye ufalme🙌🏾
Shedrack 🔥🔥🔥dube spirit
@@kingseth1018 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙏🏾🙏🏾😔😔
Dada yangu simfukwe God bless you so much 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙏🏾🙏🏾
Glory to Jesus ...Mungu ameinuliwa sana kwenye Kizazi chetu
Eeiihhh ! What manner of Grace is This 🥺
yaani, mnanihudumia Hadi katika kuzisoma comments zenyu. mafunzo tosha. #humility #grace #honor
We are learning from you.
One of the best,powerful and Biblical song.
Bwana na awafanye kuwa baraka kubwa kwa kila sikio linalosikia kazi hii
Maisha ya watu yakabadilishwe na kuinuliwa kupitia wimbo huu!!
Amen
Elia Ndugu yangu ..... ! Nakupenda Mungu amekubariki sana Kwa Ujasiri Huu wa kuyafunua Haya..... Mwili wa Kristo Unajivunia Wewe 😭😭😭
Nashukuru ndugu Yangu ndo tumeanza hivyo kuzisema kweli kwahyo natarajia mlipuko sana sana wa kweli
Umechukua shitaka Langu umelichana na kulitupa mbali Kwa sababu mimi ni Mwana 😭😭🙌🙌
For the first time I'm hearing this song 🙌🙌
bro naomba niseme huu ni wimbo wa taifa Mungu awatunze sana kaka zangu elia &shed👐💗
Nahc kujaw n upako sana kilaa nkicikiliz hii nyimboo 🙏🙏🙏😭😭 bilaa wew nani angesimam yesuuuuuuuuuuuuuuu
Let gather here TANZANIA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏
😭😭😭Kama ungehesabu makosa yangu Nani angesimama mbele yako🙌🙌🙌...Nimebarikiwa asante Mtumishi🙏
Hakika Umebarikiwa. Mwenyezi MUNGU azidi kukutunza kaka. Hakika kama angehesabu makosa yetu hakuna angeyeweza Kusimama.
This song becomes my anthem ,i sing when i take shower,when i drive,when i cook this song fills me every moment
Oh my God this is not just a live recording but a real service
Yesu KRISTO awabariki kwa ibada yenye mguso
Asanteee sanaa
Asanteee sanaa MUNGU awatunze
Shedrack simbeye 🔥🔥🔥dube
Mmmh hallelujah 🙌🏼
🙌🙌🙌😓#Naniangesimama daaah hii ni ibaada kabisa
ubarikiwe sana mtumishi. mara nyingi naskiza hii worship nikiwa nataka kutafuta utulivu ili nitafakari mahusiano yangu na Mungu. ubarikiwe zaidi
kama ungehesabu makosa nani angesimma💛🖤😭
😭😭😭 brothers asanteni kwa ibada hii ni zaidi ya huduma asee chakula cha msalaba ni dhambi kupitia Kristo asante Yesu nakosa ya kusema mengi but nimehudumiwa binafsi
Ibada kubwa ya unyeyekevu
God you’re faithful. Ungehesabu makosa yangu hata singekuwa hai🙏🙏
Kama BWANA angehesabu makosa yetu kweli hakuna mtu angesimama 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Amejawa na Rehema na Neema BWANA🙌🏾🙌🏾
Revelational song 🔥🔥🔥
Kaka Mungu kakuita kabsa ktk utumishi wake ♥ bless you 🙏
Mungu awabariki kwa baraka hii, Bwana aipe kibali mioyoni na idumu kuwa ibada yetu kwa Bwana.
Hauhesabu makosa yangu🙌🙌🙌🙌🙌
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌from Glory to Glory..... Let's Worship God kwa Pendo lisilo ona ubaya wowote wala kasoro 🥺🥺🥺🙇🙇
Asante Yesu Asante Yesu!!
Powerful powerful
If was not Jesus Christ how could we say at the last Day?.
My heart is full of happiness because of his resurrection. May God INCREASE YOU and ASCEND you saint.
@eliamtishibi
Oooh! GOD. 😭😭😭🙌🙌🙌
Vijana wa yesu WORSHIP team are blessed, may God bless you abundantly 🙏much love from kenya
May God increase you.... this is a very huge song,
Ni Kwa huruma Ya Mungu hatuangaamii
Mtishibi 🤝 God bless you uuu.
Hongera sanaa brother
It's amazing kuona namna Mungu anafanya kazi kubwa kupitia vijana wa kizazi cha leo katika Tanzania🇹🇿 ... maombi yangu, kazi aliyoiweka Mungu ndani yenu Eliya & Shadrak na team yote ikazae matunda mema from generations to generations.. you are blessed 🙌🏾🙌🏾
Amen
Barikiwa mtumishi wewe ni baraka
This is wonderful & powerful mtumishi barikiwa zaidi Good massage 😭😭😭🙏
Yesu Kristo ni mwema sana brother.
Neema ya Kristo izidi kuwa juu yako mtumishi wa Mungu mkuu
Amen napokea
Amen Elia Mungu akuinue zaidi
Ameeeeeeeeeeen ❤❤❤❤❤❤ hakika tumebarikiwa ...thank you Jesus
Grateful for GOD's grace
Umebarikiwa MOG
That is your scale also Man of God
Mungu akuinuie zaidi Mr ushindi
Thanks sir ...Glory to Jesus
Gayiiii 🔥🔥🔥🔥 this song uwiiii
Asante Yesu!
Yesu Asante kwa ibada hii.
Psalms 130: 3 - 4 - If You LORD, should mark iniquities, O LORD, who could stand? But there is forgiveness with You, That You may be feared.
Neno hili ni kubwa masikioni, hivyo Bwana asiliondoe kwa ajili ya utukufu wake mwemyewe. Barikiwa wana wa Ufalme!
Amen.... Glory to Jesus
This song uwiiiiiii. Ulikua wapi ukipewa mafunuo haya. Woiii unaishii huu 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Ni Yesu tu
🙌🙌🙌😭😭Mungu aliyejawa Rehema na Neema ndiye Mungu wangu..... Eliya naheshimu kile Mungu ameweka ndani yako!!!
Glory to Jesus 🙌🙌
You did it blood
Mungu akuinue Mtishibi.....akufikishe mbali.....
Amen
Barikiwa sana Kaka Elia🙌🏻 Mungu aendelee kukutumia kadri apendavyo
Amen
Amen Mungu wetu amejaa huruma hongereni kaka zangu wimbo mzuri sana hadi machozi yamenitoka
Endelea kumtukuza kwa ajili ya rehema zake na uwafikie wengi
Wow! What a ministration.
Every time this song crosses my ears I can't reject the power of the most high. The Holy spirit is too vivid in this one.
You are blessed indeed
Jesus our savior
Mungu akubariki sana wimbo huu una ponya moyo abarikiwe Mungu wetu aliyekupa maomo ya huu ujumbe it's a powerful song
Unanibariki sana, Yesu azidi kutukuzwa Kwa kinywa chako
Glory to God
The overwhelming, never-ending, reckless love of Christ 😭🙌🙌
Blessings Elia!
🙏🙏
Mungu wa mbinguni akubariki bro
Great worship indeed, if God would count our sins who would stand,thank you for your mercies Lord.God bless Bishop Mtalitinya and Pastor Elizabeth Mtalitinya....you are generational trailblazers
#MUNGU wetu ni pendo kweli kweli....
Mungu nakushukuru kwaajili ya watumishii wako hawa elia na shedrack and others endelea kuwatumia kwa utukufu wako 🙌🙌 hakika tunaishi kwa neema yako tu😭😭😭
Amen
😭🙌ASANTE MUNGU WA REHEMA N NEEMA, KAMA UNGEHESABU MAKOSA YETU, NANI ANGESIMAMA...THIS IS SO EXCELLENT, TUMEBARIKIWA... MUNGU AWAINUE SANA MEN OF GOD 🙌
Amen 🙏🙏🙌
Hakiki utabaki kua Mungu milele ❤
😭😭😭😭😭😭😭🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽maneno hayatoshi 😭😭♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
amen. JESUS IS GOOD
You are a son in the Kingdom, our heavenly father is proud of you, God bless your heart of worship.......This far beyond wealth and the treasures of this earth.
Glory to Jesus
Gospel in a nutshell!!!
This is a biggest song let the glory be to God 👏👏👏🙌🙌🙌🎼🇹🇿🙏🙏🙏
Sichoki kuusikiliza huu wimbo Mungu awabariki watumishi wa Mungu.
Mungu wa UPENDO🙌😭
😔😔😔😔🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙇🏿🙇🏿🙇🏿🙇🏿
🔥🔥🔥🔥
Hakika wimbo huu umenitazamisha uzuri wa BWANA maishani mwangu kama angetazama makamilifu mimi nisingesimama kaka naomba MUNGU AKUINUE VIWANGO VYA JUU NAJIFUNZA KWAKO MKUBWA WANGU
🙌🙌🙌🙌 Nakubal sana kaka
Powerful Revival!! God bless you with more life and favor, may He cover you with His grace Elia & Shedrack!😇
Utukufu kwa Mungu
The greatest Love story was written on the Cross! There's no greater Love than this, that one would for die for his friend!! The bible tells us the chastment of our peace was upon him and by his stripes we're healed🙌.
The composition is full of christology! God is doing mighty things in Tanzania.. May God take you higher watumishi Mtishibi & Shedrack
Glory To God
Thanks much
MUNGU AKUBARIKI SANA MTUMISHI,,wimbo unanibariki sanaaa,,,,,
My song of the year🙌blessings to you even as the Holspirit leads you to release heavenly sound!May Jesus be glorified!🙌
Amen
Elia, it was such an honour having you visit CITAM Rongai during our kesha and Sunday morning service. This song has reminded me of God's unending love for me. Im still playing it.
Hallelujah
God bless nyie guys hii nyimboo inabarikii sanaa akiii mzidi kubarikiwaa na mzidii kutubarikii pia 🔥🔥🔥
God lift you up Man of God, wonderful song and blessing it's sure God never count our sins because is God .
Nimeusikiliza kwenye daladala nimejikuta nanena kwa lugha simchezo ey wewe mkaka Mungu akubariki sana powerful song🙌
Glory to the father
Strong Words 🙌 barikiwa sana 🙏
Mungu akubariki sana kaka 👏👐
Kwa damu yake tunahesabiwa haki mbele zake. Mungu awabariki kwa kuwaongezea mafuta maana nguvu zilizowatoka kuyahudumia maisha ya watu wa Mungu yanahitajika kuongezeka na kuzidishwa. Mungu awabariki sana wadogo zangu watumishi wa Mungu. Kama si Bwana tungeangamia tuu. Mbarikiwe tena.
Amen thanks much
Elijah mtishbi from Kenya we love you...
If God counted our sins we wouldn't be where we are now, but by His grace and the work of the cross we are all set free from sin. He calls us His own.
Powerful 🇰🇪🔥
😭😭🙌Neema na Rehema zake vinanisimamishaa kila Leo.. Mbarikiwe sana Watumishi wa Mungu
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu,, wimbo umenigusa mnoo!
Ubarikiwe auncle elia
Mungu Akubarik sanaaa
Wimbo una upako na utukufu wa mbinguni
May God keep this gift pure n clean...for His glory
Huu wimbo unaniingiza kwenye deep worship state, uwepo unashuka kwa kiwango sio cha kawaida. Kaka Elisha na kaka Shedrack, asanteni sana kwa kazi hii, Mungu azidi kuwatumia, mbarikiwe sana
Wimbo
Unanikumbush mbali huu
Mungu nisaidie tu kutoka hapa
Ubarikiwe kk
Kumtumikia Mungu kumekufanya uwempya
Blesss Mungu awatumie zaidi, brother vict , Ernest , twins brother Emma basse nikiwa mkubwa nataman kuwa kama ninyi kupitia ninyi Mungu awatunze na awape kujua nawapenda Sana 💗💗🙏
😭😭😭😭 Anointed