ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก
Boaz Danken - Wanadamu wote wameshindwa (official video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 13 มิ.ย. 2022
- Karibu Sana Kumtukuza YESU pamoja nasi MUNGU Pamoja nasi
WANADAMU WOTE WAMESHINDWA WEWE YESU UNAWEZA means All Humankind has failed Only You JESUS Your Able
MUNGU awabaliki Sana Watu wote waliosimama kwa Sadaka zao kufanikisha Maandalizi ya Ibada Hii Kila sehemu Mungu akiwahudumia watu kupitia Wimbo Huu; Baraka nyingi ziwafikie wote waliomuandalia Bwana kwa Sadaka ya Muda, Fedha na Maombi.
Wanadamu wote wameshidwa Recorded at Rock City Mall parking Area, Mwanza, TANZANIA.
Music Arranged & Directed by Apostle Sephone Sospeter
Vocal Arranged by Sir Jimmy Kimutuo
First keys: Sephone Sospeter
Second keys: Samwel Sospeter
Third Keys: John Ntete
Fourth keys: Augustino Batista
Drums: Baraka Ngowi
Percussion: Pastor David Silwimba
Bass guitar: Aman Victor
Lead guitar 1: Haggai Makuzo
Lead guitar 2: Erick Chitungo
Saxophone: Dickson Maige
Back Vocals From BMCC PRAISE TEAM
Event Coordinated by Kelvin Mbeveta
Translated to English by Mr&Mrs Pst.James Kalekwa
*Audio Captured and Mastered by Chosen Records Int’l #SamMboya
*Video Captured and Mastered by Cyber Pic #Sylvester
*Sound By #SoundSolution Moses Edard
*Sound Engineer: Gad Mwanga
*LED screen: Elly Jo
*Lights By Nyakalo Stage and Lighting Com. #DavidSengati
Wewe ni Mungu wa wote wenye mwili🙌🙌🙌 umebarikiwa kaka yangu🙌🙌
Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante Rehema
Ubalikiwe nawewe dada angu
👏👏👏mungu azid muongeza zaidi na zaidi
@@calvinmsemwa8961 ❤❤❤p
❤
Hakika YESU kristo 🙏🔥 anawatu anao watumia Sana kwenye kazi yake hongera Sana mtumishi balikiwa kwaujumbe mzuli Sana mm nimebalikiw ata mm niseme nn ww endelea kunyenyekea tu nakupenda Sana
Glory and Honor to Jesus please if your Blessed this ministry kindly subscribe our channel
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Kenya loves you and we thank God for you are a gift to this generation continue downloading melodies from realms of Zion, I really love the chorus of the song
Glory and Honor to Jesus Asante sana
Yesu unaweza yote... Amen
Nilichopenda zaidi ni mavazi ya wadada wa pale nyuma yake BOAZ WEWE NI MTUMISH KABISA WA PEKEE!!♥️♥️♥️
wameshindwa
Kaka Danken nakupendauna kazi njema mno mshikilie wingu hili lilikua South Afrika leo Duniani 🇹🇿 tanzania imeonekana kimsingi hali bado ni njema ila msikosee yafuatayo:-
1.kwenye mavazi na mitindo ya Dunia hii
2.Mziki wetu muupate kwenye maombi
3.msifanye kama kwa wadamu bali kama kwa Bwana
Ameen ubarikiwe mwana wa MUNGU, kwa huduma njema.
brother upo vizur salut
dunia mzima imeshinwa wewe Yesu unaweza🙏🙏🙏
Wewe nimeona tu notification nikajua another boom 💥 imefika asante mtumishi wa Mungu Boaz unajua kutufurahisha na kutubariki mob love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙋♀️🙋♀️🙋♀️wakenya wezangu lets show love 💘...
Wanadamu wameshindwa kabisaaaaaaa
Hakika ni wimbo wa kinabii na Mungu azidi kukubariki Boaz(Imo Nguvu ya Mungu ndani yako) na team yako
Amen 🙏 🙏 🙏 wewe ni mungu, kwa wote wenye mwili hakuna jambo usiloliwezaaaaa
Amen,hakuna jambo usiloliweza Yesu
Uiiiii tushashika the melody and the message is above words.....NOTHING IS IMPOSSIBLE WITH GOD...ata wazazi wameshindwa But wakiomba🎊🎊🎊🎉🎊🎉🎊🎈🎊✨🎊✨🎊✨🎊✨ANAWEZA
Kweli kabisaaa 💯💯
Nguvu iliyopo ndani ya wimbo......🔥🔥🔥🔥🔥....it's not about the melody au vocals. The msg aiseeee.......🔥🔥🔥🔥. Boaz is the best in this generation for God's glory......🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Hivyo basi tuseme nini,ila kumshukuru mungu kwa kazi nzuri hii. ubarikiwe Boaz.🇰🇪🇰🇪. Ni Mungu wa wote wenye mwili.
Wewe Yesu unaweza
Hongera sana kaka yangu Boazi..Hakika YEYE ni Mungu kwa wote wenye mwili na hakuna asiloliweza.
Wewe ni MUNGU wa WOTE wenye mwili..hakuna jambo usiloliweza💪💪💪💪💪💪
Hallelujah!!!..wanadamu wote wameshindwa kuyafanya yale Mungu awezaye. Mungu wetu ni Mungu mkuu, zaidi ya yote..yeye ni Mungu.
Baraka tele Bro. Boaz
Hakika HAKUNA JAMBO usiloliweza wewe NI MUNGU WA wote wenye mwili.😭🙌🙌🙌🙌 Stay blessed
Wooow Wewe Ni mungu ,hakuna Jambo husiloliweza👏👏👏
Ghaiii 💃💃💃 MUNGU akubariki Mtumishi hunaga show mbovu 💃
Sijachelewa nataka wimbo mtamu wa kwanza kubarikiwa
Awesome song
God is able
Ila huu wimbo🙌🙌🙌 Asante Yesu kwa kuweza yote😊
wewe Yesu unaweza.....Hallelujah
Ameen,wewe ni Mungu hakuna usiloliweza🙏
Leo mtumishi umeamua seben barikiwa
Wow!wewe yesu unaweza!🔥🔥💪🙏🙏
Yesu ni Mzur mnooo mungu akubariki sana yesu unaweza
Wa kwanza kubarikiwa na huu wimbo 🙏🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Watching from 🇰🇪 Kenya
Barikiwa Boaz
Amina, Mungu akubariki mutumishi , kweli wanadamu wote wameshindwa,wewe Yesu unaweza, nilikuwa tasa, Bwana Yesu akanipa watoto, Yesu ni Mungu wa ajabu ! ♥️♥️♥️♥️♥️🎉🎊🎊🎼🎼🎼🎹🎹🎹🎻🎻🎻🎻🎻🎼🎼🎼😍😍😍😍😍🇩🇰🇩🇰🇩🇰
Mama ubarikiwe sana Kwa kuandika hivi tu ushuhuda huu nami nimepona
Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana
@@zacharialeonard1094 , Amina, upokee uponyaji wako katika jina la Bwana Yesu !
@@boazdanken , Amen, Bwana Yesu asifiwe
@@boazdanken mtumishi wa mungu,MUNGU Awe naweeee katika kilaa jamboo
Mungu akupe miaka mingi
Umenibariki sana!!! nyimbo zako baraka kwangu!! Mr. Boaz. Sadaka yangu ya mwisho wa mwezi ningependa kupea huduma hii, kwa vilewsakati nilikuwa sina kazi, nyimbo zako zilinipa amani, zilinipa furaha yanii sijui niseme nini, na sasa Mungu amenibariki na kazi,mwezi huu naskia ndani tangu Mungu akisema nibariki huduma hii na matoleo yangu. Asante sana!! na bado nauliza mwanangu wa miaka 20 ako na kipawa cha Drums na kwa sasa ako kwenye bendi za University aliko Kenyata University,naomba kama anaweza kuwa jukwa moja na wewe, akue mentored, anaoenda Mungu sana na nina hakika future yake iko bright kweli. Tafadhali niambie anavyo weza kukufikia, kwa vile alishakuwa kanisa moja na wewe ulivyo kuja Kenya lakini sidhani aliweza kujisema. Asante sana! tafadhali niambie ninavyoweza kutuma sadaka yangu.
Mungu akutangulie ❤❤
Back here agai! Safi saaana
Wewe Yesuuuuu unawezaa.. wanadamu wote wameshindwa wewe Yesu unawezaa 🎶🎶🎶 Kwa Mungu yoote yanawezekana..
Can't get enough of it...uweponi mwa Bwana kuna raha ya kipekee
Halleluya,, uyu jamaa anajua
Wewe ni mungu mwaka 2024
So blessing song😇😇mungu na akubariki mtumishi wa mungu🙌🙌
Hongelasana mtumishi MUNGU akubaliki sana 😢
ubarkiwe sana mtumishi... kupitia wewe mataifa wanamjua MUNGU acha YESU ajitwalie utukufu kupitia wewe... GLORY ALL TO GOD
Wewe ni Mungu wa wote wenye mwili hakuna jambo usiloliweza Mungu wa mbingun akuinue zaid
Hakika MUNGU ni mweza wa yote sifa Zina yeye daima ,MUNGU na akutunze uendele kutunyunyuzia mafuta kupitia wew boaz
Brother you are precious icon to our generation
Wewe Nii Mungu wawote Wenye mwili wote wameshinda wewe unaweza barikiwa mtumishi
Its a Great Song,,We love you in Kenya,,,Then i request for a Chackacha song kindly and Please with the Same Drummer,I like him very much,Pleaasee Mr.Boaz Danken
Hakika huu wimbo nimeusikia Leo sokon hd nimeomba jina l wimbo hakika ubarikiwe mtumishi wa Mungu Boaz 🙏
Hakika Yesu unaweza
Utukufu kwa Mungu wimbo huu umefanyika baraka sana kwangu
Glory and Honor to Jesus Asante sana
you are blessing to this generation, may God preserve you
Glory and Honor to Jesus Asante sana kwa Maombi Mtu wa MUNGU
Hallelujah Yesu anaweza 🙌🙌🙌 ubarikiwe mtumishi
Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana please share kwa Wengi ukiweza
Kweli Mungu anaweza haleluya
Hakika Mungu ni mkuu anaweza kila kitu...Dah sijui niseme nini nielezee ukui wako Mungu ...
Nakupenda sana
Wewe YESU unaweza🥰🥰 wewe ni MUNGU Wa wote wenye mwili hakuna jambo usilokiweza🙏🙏
Awesome song.... Well coordinated and powerful message.. More grace minister
Unaweza Yesu hakuna ngumu kwako,ukiamini tu kwako yote yanawezekana
Amen wimbo huu unanibariki sana nikiusikiliza boazi ubarikiwe sana kwa huu wimbo
I love the anointing in your songs man of God barikiwa sana 🙏
More love from Kenya 🇰🇪
Jamani this Song has come with my miracle...huu ni wimbo wa moyo wangu jmn umekuja kwa wakati kabisa...
Barikiwa Mtumishi wa Mungu...May God lift u higher in Jesus name.
Aminaaa.Wewe Yesu pekee unaweza❤️
Hakika Yeye ni MUNGU Kweli, anayaweza mambo yote hakuna limshindalo Kabisa.
Wewe ni Mungu wa wote wenye Mwili,,,,,,oooo haleluya Haleluya Nguvu za Mungu zinashuka zinatuhudumia
Hakuna kitu wanadamu wanaweza shinda lakini Mungu ashindwa 🇰🇪💃💃
Kaka wew ni mtumishi wa madhabahun 👋👋👋👋
Hakuna jambo usiloliweza,Mungu Kwa wote wenye mwili,mzuri mbaya bado ni watu wako...I love ur songs man of God .they are a blessing..u sing them from the heart and that's what I love
Yaani !!!👏👏, Mtumishi, MUNGU Peke yake azidi kukuinua na akutunze jamani, nikisikilizaga nyimbo zako nahisi Kama niko Paradiso!!!
Whenever you utter some words in worship and praise unto YAHSHUA THE MESSIAH, I hear the boldness that comes from the scriptures declaring the greatness of Jehovah... it is heaven on earth... Apostle Lesley from South Africa, Pretoria.
Amina kubwa sana,,, halleluhya,,,,,,Wewe ni Mungu,,,,kwa wote wenye mwili
ubarikiwe kk. watu wanajawa na roho kupitia ww. hakika mungu wa mbinguni anakutumia vema
Sure bro no one like mighty JESUS.wanadam wameshindwa
Jamani wapigaji wananibariki ukiongeza na wimbo ndio kabisaaa
Kwa kweli, YESU Unaweza wewe ni MUNGU, ni BWANA na tena ni BABA yetu MKUU kupita yote!
James Mdoe,,,,,,,,nimebarikiwa Sana ndugu yangu naelewa Kazi yako
Tulio wategea wote wameshindwaaa🙌🙌nani kama wewe YESU
Aminaaa wewe Mungu wa wote wenye mwili hakuna jambo usiloliweza
Hakika Bwana Yesu anaweza,ubarikiwe mtumishi wa Bwana
Wewe yesu unawezaaa, wanadam wote wameshindwaa, wewe ni MUNGU wa wa wote
Napenda kujiunga nakikundi chako
Dada
Nimeurudia huu wimbo zaidi ya mara ngapi sijui!!
you are able God
Glory to God
Wewe ni Mungu..hakuna jambo usiloliweza
Amina
Ukiwa na YESU raha sana mungu akubariku kwa huduma nzur 🥰💕💕💯
Can't stop listening to this song. Nimepata wimbo wa Kumaliza 2022. Wow
Jesus Christ is coming back soon 🙏🏽
Wewe ni Mungu wa wote wa wenye mwili...
Shukuran shu shu shu shukurani eeeeeh, ubarikiwe sana mtumishi
Hakuna Jambo usiloliweza. Hallelujah utukufu na sifa upewe Mungu.
This is magnificently awesome...Kenya loves Boaz😘😘
Amen Glory and Honor to Jesus Asante sana
asante Yesu kwaajili ya kaka Boaz Dankeny🖑🖐
Mungu akubarika kaka.. mimi na familia yangu tunakupenda ,Umekuwa ukitubali sana, haiwezi pita siku hatujasikiliza wimbo wako , Mungu akubarika sana
Aaah this song is a blessing
Let every other man be defeated but not our Jesus
Powerful 🔥🔥💯💯
Glory and Honor to Jesus
Yes!! Wewe Bwana Yesu unaweza. Powerful song 💪💪.
Asante sana Baba Utukufu na Heshima Kwa YESU
Wew ni mungu wa wote wenye mwili
Thank you man of GOD I RECEIVED breakthrough through the song I did my kcse exam 2022 the enemies were against my success .... Where will she get university fees here iam at UOE continuing well with my studies serving God at the union .kweli hakuna jambo asilo liweza ,,God bless you man of God boaz