Hamna kitu kizuri duniani kama kumsifu Mungu, Yaani kuna kitu Mungu ameweka kwenye maombi na sifa, when you do it you find peace, clarity, grace n favor in it, Praiseeeeeeeeeeeee to GOD🙌🏻
T🇹🇿nzania, T🇹🇿nzania my T🇹🇿nzania , Mungu wa mbinguni aendelee kukuinua T🇹🇿🇹🇿nzania kwa ajili ya utukufu wake. Tumalize kazi Yesu arudi twende nyumbani. MSINISUMBUE BWANA , Yesu ni Bwana ❤️👍🏽🙌🏾😏🙏🏿🙏🏿❤️😍
uuuuuuuuuuuu,,,, UHALISIA WA WANA WA MUNGU, MAJITU YA IMANI, KIZAZI CHA ROHO MTAKATIFU. Pembleviankuka alabadabale ASKALETA 🕊️ YESU NI BWANA KWA UTUKUFU WA MUNGU BABA
Wakati wengine wanasubirii mamboo yao yanyooke katika dunia hii sisi tunae Yesu anaeyanyoosha... sisi twazaa kwa majira yetu... sitaki mtu anisumbue 😂😂 nalishwa kwa manna... USINISUMBUE BHANA..😂😂❤❤❤ maana kila nalo lifanya linafanikiwa katika jina la Yesu Bwana wangu
Based on psalms 1:3 am like a tree planted besides rivers of water,I bring forth fruits on its time.am like the leaf that don't wither.whatever I do prospers. Few days ago ave been meditating on this scripture then boom Zaravo andElia dropped this.😢😢 Am so so blessed.to God be the glory
YESU NDIYE BWANA ina every are of my life...sema Nini I'm going to put it on repeat hadi muombe energy drink 😂😂😂 We are blessed by your ministry brother Eliya.
Hahahahaaaa nlichokiomba nmekipata......YESU AWATUNZE SANA SANA .......THIS IS MY SONG RIGHT HERE GOD BLESS THESE MINISTERS OF OUR COUNTRY WANAPOKUNGOJEA WASINGOJE WAKIWA WAMELALA BALI WAKUWA WANAOMBA🙌🙌🙌🙌
God bless, I cant tired to listen the song from the I hered live at Arusha, alaf tena baada kwa ile clip ya mama wa calvary temple nimezidi kuupenda😂😂😂😂
Hallelujah hallelujah Yesu ni bwana ni mengi sana amenitendea moyo wangu umejawa na shukrani sana mpka najiona ni last born wa Yesu kila ninalolifanya mimi linafanikiwaa hii verse ni 🔥Jamaniii Jamaniii ukiwa na Yesu ni raha sanaa 😍❤️🙌🙏pongezi kwa watunzi wa nyimbo hii ni my favorite song kwa kweliii tuendeleeni kumsifu bwana katika roho na kweliii 🙏
Wimbo huu siku haipoti kama sijausikiliza nalia tu nikitafakari uaminifu wa Mungu. Nina sababu ya kumtukuza Yesu kuwe jua au mvua. Amenilisha kwa Manna.❤❤❤ 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Mixing mwisho mwisho haijakaa vizuri imekaa Kwa tone moja for long especially kutoka dakika 8:0:00 Hadi mwisho.. lakini mwanzo ipo Sawa kabisaa.. God bless man of God
Every line of this song..is like a sermon to me...thank you so much my brother....now I understand clearly..when you told is gonna be a big work...I can see it ..🔥🔥🔥🔥... NAKUOMBEA NAKUKUBALI SANA
Wapi likes za wakenya jamen!,,huu wimbo ni🔥,,much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hamna kitu kizuri duniani kama kumsifu Mungu, Yaani kuna kitu Mungu ameweka kwenye maombi na sifa, when you do it you find peace, clarity, grace n favor in it, Praiseeeeeeeeeeeee to GOD🙌🏻
T🇹🇿nzania, T🇹🇿nzania my T🇹🇿nzania , Mungu wa mbinguni aendelee kukuinua T🇹🇿🇹🇿nzania kwa ajili ya utukufu wake. Tumalize kazi Yesu arudi twende nyumbani. MSINISUMBUE BWANA , Yesu ni Bwana ❤️👍🏽🙌🏾😏🙏🏿🙏🏿❤️😍
uuuuuuuuuuuu,,,, UHALISIA WA WANA WA MUNGU, MAJITU YA IMANI, KIZAZI CHA ROHO MTAKATIFU.
Pembleviankuka alabadabale
ASKALETA 🕊️
YESU NI BWANA KWA UTUKUFU WA MUNGU BABA
Majitu ya Imani kizazi cha Roho mtakatifu. I love this ❤️
DRUMMER DRUMMER DRUMMER and BASSIST YOU GUYS ARE PROFESSIONAL MAY GOD BLESS YOU ELIA MTISHIBI
Surely drummer 🙌🙌🙌
Kifupi musicians wote wapo vizuri sanaa plus back vocals aiseee 🙌🙌 Eliya Mtishibi be blessed man of God
Wakati wengine wanasubirii mamboo yao yanyooke katika dunia hii sisi tunae Yesu anaeyanyoosha... sisi twazaa kwa majira yetu... sitaki mtu anisumbue 😂😂 nalishwa kwa manna... USINISUMBUE BHANA..😂😂❤❤❤ maana kila nalo lifanya linafanikiwa katika jina la Yesu Bwana wangu
Kuna raha kwenye kumsifu Bwana
😂😂🙏
watu huuliza kwa church nafataga nini???? 👆👆mimi sasa nikiwa cha church🔥🔥🔥
Wapiga Vyoombooo Mungu awabariki🔥🔥🔥
Ila huyu BASE GUITARISTS😭😭🔥🔥🔥✨🙌🙌🙌 Nitamtafutia Mirinda Nyeusi ashushie.
Kwanza ngoja ngoja yaumiza matumba bhanaa!!!! YESU NI BWANA bhnaa, msinisumbue bhnaa!!! 😂😂
wapi likes za watoto Mungu
Wimbo wa imani. Imani ni kuona kabla ya kuona. Ni kuandaa sahani na maji ya kunawa mikono kabla ya kujua chakula kitatoka wapi. I like it
I WILL WAIT FOR THE LORD AND THE FULFILMENT OF HIS PROMISES IN MY LIFE
😊
Usichelewe kutupatia audio kwenye digital platforms 🙌🙌🙌 hii imeenda ❤️🔥❤️🔥💯
Backup vacalists wako sambamba kabisaa 👍👍
Based on psalms 1:3 am like a tree planted besides rivers of water,I bring forth fruits on its time.am like the leaf that don't wither.whatever I do prospers. Few days ago ave been meditating on this scripture then boom Zaravo andElia dropped this.😢😢 Am so so blessed.to God be the glory
Yesu Ndiye Bwana
Drummer 🥁 God bless your hand ...bass 🙌
Holy spirit singing through his man Mtishbi🙌...
Narudia rudia kusikiliza hii song.
Hakika Mnaubariki moyo🎉🎉🎉...
Kwa ajili tu ya UTUKUFU wa Baba Mbinguni Mtunzwe sana❤
What a powerful prophetic ministration.May this song minister to the hearts of many
Clean 🥁🥁🥁🥁. Very clean . Hakuna makelele wala unwanted arrangements. Clean and smooooooooth
Bassist amekaa vizuri sana hususan mwanzo pamoja na drummist 🥁 kazi safiiiii
Tik tok ...ile ya Zoravo umeoa ? Kamenifikisha hapa
YESU NDIYE BWANA ina every are of my life...sema Nini I'm going to put it on repeat hadi muombe energy drink 😂😂😂
We are blessed by your ministry brother Eliya.
Hahahahaaaa nlichokiomba nmekipata......YESU AWATUNZE SANA SANA .......THIS IS MY SONG RIGHT HERE GOD BLESS THESE MINISTERS OF OUR COUNTRY WANAPOKUNGOJEA WASINGOJE WAKIWA WAMELALA BALI WAKUWA WANAOMBA🙌🙌🙌🙌
Glory be to God 👏🏾🙌🙌🙌👏🏾🎼🇹🇿
So blessed broh❤❤
My brother these two songs nakujia kwa jina la BWANA and this one the revelations are too deep
God bless, I cant tired to listen the song from the I hered live at Arusha, alaf tena baada kwa ile clip ya mama wa calvary temple nimezidi kuupenda😂😂😂😂
What a powerful decleration👏👏🙏and musician killed it👏👏👏
Such a powerful song MOG
@MD ERICK KANJU you are amazing 👏👏👏👏
YESU ni Mwokozi Bhana🔥🔥🙌🏾
Ila u guys ministering together has been our dream 🙏🙏
Mtishibi mm nasubiri dude kutoka kwako na agape broo,..😊...
Hallelujah hallelujah Yesu ni bwana ni mengi sana amenitendea moyo wangu umejawa na shukrani sana mpka najiona ni last born wa Yesu kila ninalolifanya mimi linafanikiwaa hii verse ni 🔥Jamaniii Jamaniii ukiwa na Yesu ni raha sanaa 😍❤️🙌🙏pongezi kwa watunzi wa nyimbo hii ni my favorite song kwa kweliii tuendeleeni kumsifu bwana katika roho na kweliii 🙏
Wanamngoja🎉🔥🔥🔥🔥
Usinisumbue Banaaaaaa, 🔥🔥🔥🔥🔥 Yesu ni MWOKOZI BWANA. Tunahudumiwa kutoka 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 I love the collabo #Zoravo🔥🔥
Jesus is the Lord
Bwana Yesu asifiwe sana, I like the song, so wonderful 🥰🔥
Wow! Yesu ni Bwana🙌🙌, nyimbo tamu hii🔥🔥.
Le band🎸🥁🎹🎺🎷🎻🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥
Yesu ni Bwana
Gods Calculations *1day = 1000years *" WANANGOJA MVUA INYESHE WALIME,SISI TWALIMA JUANI"
Graces are rising in tanzania🔥🔥🔥.
Namuona bro kusula Kwa piano anafanya yake God bless you
Yesu ndie Bwana🔥🔥🔥🔥🔥
Nimependa message ya wimbo we shine nje na ndani na kwakua Mungu wetu yu nje ya mipaka yao.
YESU NI MWOKOZI BHANA
Two crazy ministers on one stage🔥🔥🔥😅
Lovely jamani aaaah 🇰🇪❤in Asia
🔥🔥🔥🔥 we only wait on the Lord🙌🏾🙌🏾
JAMAN HUYU MUNGU ASTAHILI SIFAA SANAA,,,I LIKE THIS SONG BE BLESSED MR ELIA NA IWE KWAKO KAMA ELIA YULE ALOMDHIHILISHA MUNGU MBELE YA MUNGU BAAL
USINISUMBUE BHAAAANAAAAA!! YESU NI BWANAAAA!! HALLELUJAH HALLELUJAH 🙌🏻🙌🏻🔥
Ayaaaaa aaa 🙌🙌🙌🙌🙌 utunzi mzuri n product yenyewe sana mixing hatariiiii....
Wale wa looping tupo wapi.❤
Be blessed, man, in Christ
Tupooo
kila nitakalolifanya litafanikiwa what a powerful declaration
Aaaah what a song🔥🔥🔥 God bless you man Of God ila drummer aaah🔥mikono yako imebarikiwa
wimbo huu unanibariki zaidi
Usinisumbue bana🙌🙌🙌Yesu ndiye Bwana❤God bless you Eliya
This is amazing!
Keep it up kaka🎉
Thankyou for the partnership youve blessed our hearts
I like this partnership ❤
I tell you I am enjoying this song bana 😁😅. Such a great Truth of who we are in Christ. 🇰🇪🇰🇪❤️🇹🇿
🎉🎉🎉 yesu ni Bwana
Wimbo huu siku haipoti kama sijausikiliza nalia tu nikitafakari uaminifu wa Mungu. Nina sababu ya kumtukuza Yesu kuwe jua au mvua. Amenilisha kwa Manna.❤❤❤ 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Usinisumbue bana🎉🎉😂🔥🔥🔥YESU NDIYE BWANA
Kila ninalolifanya mimi ninafanikiwa usiku hata mchana,Yesu ananilishana kwa Manaa
Moto umewaka
Hongera kaka 🔥🙌🏾🙌🏾🙌🏾
You are blessed 😊
Mixing mwisho mwisho haijakaa vizuri imekaa Kwa tone moja for long especially kutoka dakika 8:0:00 Hadi mwisho.. lakini mwanzo ipo Sawa kabisaa.. God bless man of God
Powerful #Mtibilamsimu
Sucha master piece😅🔥
So amaizing bro Elia
Mwamba ana vibe
Yamotooo🔥🔥🔥
Wanangoja,Yesu ni Bwana❤
Utukufu kwa Mungu. Na akuinue zaidi na zaidi mtumishi
Aaah mtishibi this song is Full Revelation 🔥🔥🔥be blessed man
This is 🥰💯💥💥💥💥💥💥💥💥💥
Usichelewe kutuwekea Audio kwenye platforms zote. AUDIO MARK❤BE BLUETOOTH
Na nineitafuta sana
Yesu ni Bwana 🙏🙏🙏 blessed
Kila ninalolifanya mimi litafanyikiwa usiku hata mchana ananiwazia bwana usinisumbue bhana❤❤❤❤❤!!!
Im so blessed with this song! Great work Eliya mtishibi .... wimbo umepanda kama harufu nzuri mbele za MUNGU.❤
God bless you bro❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤wanangoja sana
Wow the collable in point bless you servants of God
Yesuu ni BWANA 🔥🔥🔥🔥🔥
Tunahudumiwa kupitia nyimbo yenu watumishi
Usinisumbue bwanaaaa
Na watangoja Sana, SISI TUKO NA YESU🎉🎉🎉❤❤❤❤❤, TWANG'AA HATA GIZANI❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Yesu sio Bwana tu Bali ni Mwokozi wa maisha yangu ❤❤❤❤❤
My Playlist 🔥🔥🔥
Yesu ni Bwana.🔥🔥
Every line of this song..is like a sermon to me...thank you so much my brother....now I understand clearly..when you told is gonna be a big work...I can see it ..🔥🔥🔥🔥... NAKUOMBEA NAKUKUBALI SANA
Big thanks goes to the instrumentalists
Kazi nzuri sana Mungu awatunze watumishi
Waaaau 🎉❤
GLORY TO GOD 🙌🏿 sema Drummer 👍🏿
Aiseee tusisumbuane bnaaaaaa mimi namsifu ata vitani
What a powerful prophetic song is this aiseee❤
Mungu awatunze watumishi
🔥🔥🔥🔥
Blessed you bro
I loveee this song!
❤❤❤❤zoravo🙌🙌🙌