Dear God I put my country Kenya in your hands,Yesu turejeshee Amani,furaha,yaliyo ibiwa yaliyo chukuliwa turejeshee yote😢😢🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 I STAND WITH MY COUNTRY IN THESE DIFFICULT TIMES. NAJUA TUTAREJESHWA VERY SOON. KENYANS press that like button if you believe😢😢😢🇰🇪🇰🇪🇰🇪
"Nikurejeshee Nikurejeshee anasema njoo kwangu nikurejeshee". Nani anasikia uhakika wa maneno haya katika ulimwengu wa roho kama mimi. Nayasikia ni uhakika na kweli. Wimbo wa msimu huu. Amen na amen.
Nimeanza kuusikia huu wimbo kwenye msiba wa mama yangu ambae ametwaliwa, wimbo umekuwa ukinipa nguvu, tumaini jipya, ktk kipindi hiki kigumu, Hakika amani, furaha inapatikana kwa Bwana Yesu pekee😭😭😭😭😭😭
Jana usiku Mungu alinifanyia jambo kupitia huu wimbo😭😭🙌🙌🙌🙌🙌nilikuwa naumwa kichwa sana kwa masaa karibia 6 kuanzia mchana hadi saa 5 usiku ila nilipoweka huu wimbo na kutamka urejesho kabla hata ya wimbo kuisha nilipata nafuu ya ghafla sana na nikawa mzima kabisa😭😭🙌🙌nilikuwa siwezi soma sababu ya kuumwa ila namshukuru Mungu kupitia NIKUREJESHEE nilirejeshewa afya yangu na nikaweza kusoma na kufanya mtihani🥰🥰 nikiwa ndani ya chumba cha mtihani huu wimbo umekuwa unazunguka tu kichwani mwangu mwanzo mwisho🙌🙌 Hakika Huu ni mwaka wa marejesho🙌🙌🙌🙌🙌Mungu azidi kukubariki familia yangu❤❤
Huu wimbo una mguso sana Herman mchome yupo na sauti nzuri na pia kipaji cha ajabu..mavazi pia yameenda shule , instrumentalists: Andrew, Willian and the lead pianist na wote kwa jumla mzidi hivo hivo huku Kenya 🇰🇪 mnapendwa sana ...kenyans likes zipae kama kawaida ❤
Kama unaamini Yesu analudisha yaliyo liwa ma parale na madumadu analehesha nione like Moja hapa hallelujah analehesha🎉🎉 🎉🎉. Congratulations all the team neema gospel Mungu awazidishie
Ten days ago nilisikiliza huu wimbo nikaandika bwana arejesheee afya ya mama yangu Figo, inni, uvimbe na tumbo kujaaa maji Sasa bwana amerejesha kwa imaniiiii thanks Jesus umeleta aman na furaha kweli vyapatikana kwako. Thanks watumishi walimwombea mama yangu na huuu mwimbo umeongeza imaniiiiiiiiiiiii. Daah bwana Asante mbarikiwe sana neeema group
Amen tunafurahi kusikia huduma iliyofanyika kupitia wimbo huu❤️🙏🙏🙏🙏 Kindly Subscribe to our youtube channel and follow our instagram page for more updates 🙏
Mungu nirejeshee kila kitu ambacho adui ameiba kutoka kwangu...nyota yangu ,ndoa yangu ,afya yangu ,baraka zangu, amani ya moyo wangu nirejeshee eeh yesu wangu mzuri 😢😢😢😢😢
I'm a broken who lately met Jesus and I can testify that in I've found happiness in my Lords territory and at the sound of this song my glory is restored👏
I’ve played this song more than 20 times today and I’ve shared it with my friends. The words are so powerful, God used you to speak to me and many others. “Nikurejeshee…. Nikurejeshee… anasema njoo kwangu Nikurejeshee “. Amina 🙏🏾. Such a blessing.
Those praying for restoration July 2024 , leave a like and may your prayers be answered 🙏❤ Praying for a breakthrough in my life and family, will come and testify. Joel 2:25-26
Bwana ananirejeshea vyote adui alivyochukua..Huu wimbo umekuja kwa wakati mwafaka. Abarikiwe Mungu sana na pia na aliepewa wimbo huu Mungu azidi kuongezeka ndani yake na ndani ya huduma yake
Wimbo mzuri sana huu yaani huwa narudia rudia kuusikiliza Huu wimbo una maana kubwa sana kwangu nakumbuka miaka miwili ilitopita ilikuwa nitoweke kabisa katika uso wa dunia Lakini MUNGU kanirejeshea uhai wangu mpaka leo nipo hai SIFA NA UTUKUFU NI KWAKE MUNGU
Baba urejeshe amani ya kwetu iliyochukuliwa na mwovu,rejesha na maisha ya baba mtoto wangu inayotawaliwa na mwovu,mfungulie njia zake kila mahali na uturejeshe sote sisi wakosefu 🙏
😢😢😢 Mungu naomba nirejeshee vilivyoliwa na madumadu na tunutu...asante kwa huu wimbo unanifariji mnoo ....napitia kipindi kigumu mnoo cha kufiwa na mwanangu...Jehova naomba unirejeshee twins
Wimbo mzuri Munhu akutane na magonjwa yanayonisumbuwa nipone siwezi kutembea kufanya chochote ni kulala tuu hata natamani kwenda kanisani siwezi zMungu alejeshe uzima wangu kama zamani
Nina ushuhuda Mungu muumba mbingu na nchi mwaka Jana yaani 2024 tarehe 26 mwezi wa 12 Mungu anae rejesha kanirejeshea ndoa yangu na watoto wangu Namshukuru sana MUNGU
31st last day of 2024 366/366 🙏🙏 stepping into the new year,..❤️🥰 with this message cause my GOD will restore everything that was stolen by the enemy 🙏🙏
Mungu atukuzwe juu yenu wapendo mmejua kuukonga moyo ,,,,.wimbo wangu pendwa nimeucheza sanaaa maskion moyoni na kwenye akili haupoi Wala kisinyaa thanks much Mungu wa mbinguni wanarejeshee zaidi
Sauzi tunes are awesome....with this kind talent, composition and creativity....To God be the Glory. God bless this glorious organization. GO GO GOOO TO THE GREATEST HEIGHTS OF ALL TIME.
NIREJESHEE YESU WANGU KILA KITU KILICHOPOTEA NA KUHARIBIKA NA KUIBIWA KATIKA MAISHA YANGU, WATOTO WANGU, WAZAZI WANGU, WATU WA NYUMBANI MWANGU. TUMAINI LETU NI WEWE PEKEEE YAKO 🙏😔
2025 I shall come back here with a testimony!!!!!!!!!!!!! Everything that concerns me shall be restored.. peace,health,wealth 🙏🏿 25.12.2024 Covenant keeping God 🙏🏿🙌🏿
Bwana Yesu asifiwe,hakika ukimwamini Mungu ,huyu Mungu waMbinguni anarejsha yote adui aliyochukua🔥🔥ndipo mema yatakujilia,Iko nguvu ya ajabu sana ukimwamini Mungu aliye hai🙏🙏❤
Came here after seeing that guy on Tiktok with a red t-shirt written Mpesa Kitaani singing it. Mungu nirejeshee amani, fedha,neema na kibali katika biashara na maisha yangu. Asante Yesu. love from Kenya 🇰🇪
Wimbo huu uliwahi kutumiwa kunitoa kwenye kifungo cha mihadarati(bangi), wakat natumia nilikuwa nausikia huu wimbo ndani yangu ukiimbwa, nikabidi niutafute niusikilize zaid,Namshuhudia Mungu maana amenitoa katika mnyororo huo nakuombea na ww akakurejeshee kila ulichopoteza kwa jina la Yesu...Our God is merciful and faithful, Amini tu na utapokea kwa jina la Yesu...
NIKUREJESHEE LYRICS
Nasikia kuitwa na sauti yake
anasema njoo kwangu nikurejeshe
Yaliobiwa yaliyochukuliwa na mwovu
anasema njoo kwangu nikurejeshe
Nikurejeshe, nikurejeshe
Anasema njoo kwangu nikurejeshe
Amani ya moyo iliyotoweka
usiitafute pengine, Kwake Yesu utaipata
Furaha ya kweli iliyotoweka
usiitafute pengine, Kwake Yesu utaipata
Ndipo hayo mema yatakujilia
Atarejesha vyote adui alivyochua
Ndipo hayo mema yatakujilia
Atarejesha amani ya moyo na furaha ilipotea
Nikurejeshe
Nikurejeshe
Anasema Njoo kwangu
Nikurejeshe
Nikurejeshe
Nikurejeshe
Anasema Njoo kwangu
Nikurejeshe
Amani iliyotoweka usitafute kwingne ila kwa Yesu.. hallelujah
Yesu aendelee kuiinua juu sana hii huduma
Ameeen! Hallelujah! Mko vizuri sana. Mbarikiwe sana. ❤
❤
Nawapenda
TUNAO REJESHEWA 2025 TUJUANE HAPA👇❤️
Mimi huyu hapa pamoja na familia yangu
Mimi na my family's
This song was on repeat the whole of 31/12/2024 night
Tunarenjeshewa kabisa kwa njina La yesu
Napokea 2025
Wimbo mzuri sana. Kama unaomba Urejesho April 2024 piga like hapa. 🇰🇪🇰🇪
Amen🙏🙏🙏
Amen
Bado hamjasema wa kenya na mtasema tu
Amen
😢😢@@marianapatrick5993
Dear God I put my country Kenya in your hands,Yesu turejeshee Amani,furaha,yaliyo ibiwa yaliyo chukuliwa turejeshee yote😢😢🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 I STAND WITH MY COUNTRY IN THESE DIFFICULT TIMES. NAJUA TUTAREJESHWA VERY SOON. KENYANS press that like button if you believe😢😢😢🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen God will restore your peace
Restore our country kenta fully in Jesus name,🙏
Amen God Restore our country kenya
❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
May God restore our country 🙏
Nani ako hapa Leo date 1 Feb kurejeshewa Yote n Mungu wetu ❤❤❤ sema Amen nzuri n ungonge hio like wakenya mpo Leo 🙏🙏🙏
Ameeeeeen
Wanaorudia mara kwa mara wimbo huu wa upako mnoo gonga like za kutoshaa hapaa.
🔥🔥🔥🔥🙌🙌
Mbarikiwee sana watumishi wa Mungu.
Mungu azidi kuwainua Juu sana zaidi ya Hapo!!
Munofu wimbo mzr san
💪👍🙏🏾👍🤗👍👍
🎉🎉❤❤❤
Ninarejeshewa kila adui amechukua iwe kazini,ndoa,biashara, familia vitarejea in the might name of JESUS❤❤❤❤❤
Amen
And so be it
anirejeshe zaidi ya shetani alivyo iba kwangu wimbo huu ni wa wakati kabisa 🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲🤲
Vyote vitarejea
Amen
Am I alone in 2025 listening to this wonderful music ❤let's gather here in 2025
Year of God's restoration
You are not alone
Your not alone the year of restoration
Seven fold of restoration 😊
Nimeisikisa leo Jan 2025
Atarejesha vyote adui amechukua kwa huu mwaka wa 2025. Wakenya mpo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
"Nikurejeshee Nikurejeshee anasema njoo kwangu nikurejeshee". Nani anasikia uhakika wa maneno haya katika ulimwengu wa roho kama mimi. Nayasikia ni uhakika na kweli. Wimbo wa msimu huu. Amen na amen.
🙏🙏🙏
Kenya tufanye viile likes zipandeee 🇰🇪🇰🇪....Willian & Andrew mko fire sana 🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mara that that folks ....am restored in Jesus name🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nimeacha hii komenti hapa kila atakae like nikumbuke kuja kuuusikiliza ..leo ni 31 Dec 2024.
Those from Kenya lets show ❤ to this men of God, mungu anaturejeshea amani na uongozi Bora, 🇰🇪🇰🇪🇰🇪...leteni likes
Amen
😊
😊
🎉
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏🙏
Nimeanza kuusikia huu wimbo kwenye msiba wa mama yangu ambae ametwaliwa, wimbo umekuwa ukinipa nguvu, tumaini jipya, ktk kipindi hiki kigumu, Hakika amani, furaha inapatikana kwa Bwana Yesu pekee😭😭😭😭😭😭
MUNGU AKUTIE NGUVU NA AWE MFARIJI WAKO MPENDWA
Amen hakika Mungu anarejesha amani yote, pole kwa msiba mpendwa wetu🙏
Pole mpendwa kweli mungu ndo anaerejesha vyote usife moyo
Pole Mungu akawe mfariji wako.
Amina, moyo wako ufarijiwe na Bwana Yesu, ukikumbuka neno Lake kuwa kifo sio mwisho, tutaonana na wapendwa wetu bado kitambo kidogo
Jana usiku Mungu alinifanyia jambo kupitia huu wimbo😭😭🙌🙌🙌🙌🙌nilikuwa naumwa kichwa sana kwa masaa karibia 6 kuanzia mchana hadi saa 5 usiku ila nilipoweka huu wimbo na kutamka urejesho kabla hata ya wimbo kuisha nilipata nafuu ya ghafla sana na nikawa mzima kabisa😭😭🙌🙌nilikuwa siwezi soma sababu ya kuumwa ila namshukuru Mungu kupitia NIKUREJESHEE nilirejeshewa afya yangu na nikaweza kusoma na kufanya mtihani🥰🥰 nikiwa ndani ya chumba cha mtihani huu wimbo umekuwa unazunguka tu kichwani mwangu mwanzo mwisho🙌🙌
Hakika Huu ni mwaka wa marejesho🙌🙌🙌🙌🙌Mungu azidi kukubariki familia yangu❤❤
What a testimony, Mungu aendelee kutukuzwa kupitia ushuhuda huu, umebarikiwa sana mpendwa 🙏🙏🙏
Amen❤❤
A living testimony!Our God can restore anything!!!🎉❤❤
Amen
Amen❤❤❤
2024 kila kilichoibiwa kinarejeshwa
Afya yangu
Uchumi wangu
Ndoa yangu
Kazi yangu
Naiwe hivyo katika jina la Yesu🙏
In Jesus name amen
Amen
Amina@@lucie-
Ni kweli Mungu arejeshe vilivyoibiwa na mwovu
Kama uko hapa ukitaka kuregeshewa 2025❤
Nayo nayo❤
My prayer
Huu wimbo una mguso sana Herman mchome yupo na sauti nzuri na pia kipaji cha ajabu..mavazi pia yameenda shule , instrumentalists: Andrew, Willian and the lead pianist na wote kwa jumla mzidi hivo hivo huku Kenya 🇰🇪 mnapendwa sana ...kenyans likes zipae kama kawaida ❤
Amen tunawapenda pia🇰🇪🇰🇪🙏
Awesome 👍😎
May almighty God restore me
Naomba namba yenu ya simu
I personally this guy takes me to dimensions of worship 😢😭😭😭😭🥺my neighbors are wondering why I'm repeating this sound overnight 😢be blessed
Kama unaamini Yesu analudisha yaliyo liwa ma parale na madumadu analehesha nione like Moja hapa hallelujah analehesha🎉🎉 🎉🎉. Congratulations all the team neema gospel Mungu awazidishie
Amen🙏
Aimeeen
Amen
Kiukweli analejesha hakika
mungu atarejesha
Mnaosubiri kurejeshewa na bwana siku ya kesho mkuje hapa 🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇷🇼🇳🇬🇺🇿🇹🇰🇹🇬🇹🇯🇺🇸🇵🇷🇸🇷🇸🇸🇺🇬🇰🇪🇺🇸🇷🇼🇷🇼
🔥🔥🔥🔥
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
🎉
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪team kubwaa Iko ndani❤❤❤❤❤❤Aki u guys mko tops
Amen ❤
Anae skiza huu wimbo Januari tatu 2025 gonga like
Tuko pamoja mpendwa
A Touching song,am so blessed aky, naona tu nikama nmefka mbinguni
Let me leave this comment here so anytime someone likes it i'm reminded to listen to this song
Amen, be blessed 🙏
Jaman Tanzania MUNGU ametupa hazina kubwa tunajivunia Neema gospel choir kutoka TZ,,,,miak 100...yan MUNGU namm ucnipite unaporejesha wengine
🙏🙏🙏Amen
nikajua wakongo❤❤
🇹🇿🇹🇿👍
Nikurejesheee huu wimbo umenipa furaha moyoni nilikuwa na shida sana sifuraha nakini niliposikiliza wimbohuu❤
Je vous capte depuis république démocratique du Congo Mungu aturejecheyee amani katika inchi yetu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Merci mon frère🇨🇩🇨🇩 Bwana atawarejeshea amani yake kweli🙏🙏
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
We are praying for you Congo
Amen 🙏🏽
Amen
Amani ya moyo iliyotoweka
Usiitafute kwingine kwake Yesu utaipata...❤ 🇰🇪
From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 napenda sama music 🎵🎶🎶🎶🎶 neema gospel choir naoma like hapa za neema gospel choir nikurejesheeee
Ubarikiwa sana mpendwa 🙏
@@NeemaGospelChoir amen
Naamini anarejesha vyote na ushindo mkubwa katika jina Kuu la Yesu Kristo mwana wa Mungu
Ten days ago nilisikiliza huu wimbo nikaandika bwana arejesheee afya ya mama yangu Figo, inni, uvimbe na tumbo kujaaa maji Sasa bwana amerejesha kwa imaniiiii thanks Jesus umeleta aman na furaha kweli vyapatikana kwako. Thanks watumishi walimwombea mama yangu na huuu mwimbo umeongeza imaniiiiiiiiiiiii. Daah bwana Asante mbarikiwe sana neeema group
Amen tunafurahi kusikia huduma iliyofanyika kupitia wimbo huu❤️🙏🙏🙏🙏
Kindly Subscribe to our youtube channel and follow our instagram page for more updates 🙏
Amen Mungu wetu ni mwaminifu sana🔥
waoooh prays the Lord
Mungu ni mwema sana
Amina
Nimemuona Mungu kweny hii nyimbo kuna namna maisha yangu yana badilika kupitia huu mwimbo 🙏♥️🙏
Amen🙏🙏🙏🙏🙌
Mungu nirejeshee kila kitu ambacho adui ameiba kutoka kwangu...nyota yangu ,ndoa yangu ,afya yangu ,baraka zangu, amani ya moyo wangu nirejeshee eeh yesu wangu mzuri 😢😢😢😢😢
Wanaotamani hii nyimbo ifike 3 million views. like hapa 🙏🙌
🔥🔥🔥🔥Amen na iwe hivyo
100mM
18/9/2024 at 4.4 Million Mungu apewe sifa
16-10-024 with 8 months it has 5.3m Glory to God 🎉
5.8m 1st November 2024 glory to God, powerful song💙💙💙💙💙🙏🏻
Gonga Likes hapa TUNAOREJESHEWA 🔥🔥🇹🇿🇺🇬🇷🇼🇧🇮🇰🇪
🔥🔥🔥🙏
❤❤
yaaaaaaaaaaaaniiiiii nihatari nanusu
Restoration of my blessings in Jesus mighty name amen
Amena🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Uki like nitajuwa umerejeshewa❤
Amen 🔥🔥
God please restore back all that devil has stolen from me🙏
I'm a broken who lately met Jesus and I can testify that in I've found happiness in my Lords territory and at the sound of this song my glory is restored👏
Amen 🙏🙏be blessed
You are always a winner you got this...much love ❤
In deed it is a blessint to us. Glory to God Almighty
Kama umebarikiwa na huu Wimbo all the way from tiktok...wapi likes
From page ya pastor Cathy kiuna😢
😅
The song is great
Nimekuja Yesu naomba unirejeshee huduma yangu , biashara yangu na baraka zangu 😭😭😭😭😭😭😭
Mungu atarejesha vyote wewe muamini tu🙏
@@NeemaGospelChoir Amen
I am a Ghanaian, listening from Astana. God bless you. I have been touched by the song
One day ntarudi katika comment hii na Ushuhuda 🙏🏾
Amen 🙏
He gave me back kidneys and liver faithful God
Ameen 🙏🙏
Me too dear
Very soon
kama wewe pia umesikia kuitwa na MUNGU through this song usiache kulike
😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘
🔥🔥🔥
Namuomba Mungu anirejeshehe kupitia wimbo huu
Amen ❤
Acha kabisa I am blessed beyond measure, this song has something I can’t explain only my heart feels it. Nimebarikiwa.
Emen nimebrikiwa mno naamini na mm ipo siku nitarejeshewa in Jesus name
Mungu kupitia wimbo huu naomba nirejeshee kila kitu changu kilichopotea Ameen
Amen na iwe hivyo katika jina la Yesu
Naamini hata mimi kila kitu kitarejea kwangu this year.
The part..Amani ya moyo iliyotoweka njoo kwangu nikurejeshee😍
I’ve played this song more than 20 times today and I’ve shared it with my friends. The words are so powerful, God used you to speak to me and many others. “Nikurejeshee…. Nikurejeshee… anasema njoo kwangu Nikurejeshee “. Amina 🙏🏾. Such a blessing.
Wow Glory to God, be blessed 🔥🔥🔥🔥🙏
THIS SONG DESERVES A MILLIONS LIKES PLS... LET'S CONTINUE GETHERING SPREAD THE GOSPEL ALL OVER THE 🌎
Amen🙏🙏🙏
Kila ninaposikiliza hii nyimbo naona kurejeshwa katika kristo mungu awatangulie kwa kazi njema ya kutangaza injili ya kristo❤❤❤
Amen
Who is here in 2025?
Like comment to remind me to always come and listen to this song.
Mungu anirejeshee afya yangu na familia yangu
Amen
Hallelujah hakika mwaka huu tutarejeshewa Kila kitu Kwa jina la Yesu hongereni sana Neema Gospel Kwaya yetu pendwa
Amen
Amen
Amen
Those praying for restoration July 2024 , leave a like and may your prayers be answered 🙏❤
Praying for a breakthrough in my life and family, will come and testify. Joel 2:25-26
Amen❤
Me, here. I pray God meets you at your point of need and restores the years the swarming locust has eaten.
Amen 🙏 I join you in prayer
Praying for my country Kenya and restoration of our economy and people's livelihood. Restoration time is here!!! Amen 🙏🙏🙏
@@priscillahmueni868 Amen and amen thank you my sister God bless you too ❤️
Waliousikiliza wimbo huu zaidi ya mara tatu gonga like apa, amini kwa mashairi ya wimbo huu kwa imani Bwana anarejesha kila kilichoibiwa na mwovu
Bwana ananirejeshea vyote adui alivyochukua..Huu wimbo umekuja kwa wakati mwafaka. Abarikiwe Mungu sana na pia na aliepewa wimbo huu Mungu azidi kuongezeka ndani yake na ndani ya huduma yake
Amen endelea kubarikiwa sana🙏🙏
Wimbo mzuri sana huu yaani huwa narudia rudia kuusikiliza
Huu wimbo una maana kubwa sana kwangu nakumbuka miaka miwili ilitopita ilikuwa nitoweke kabisa katika uso wa dunia
Lakini MUNGU kanirejeshea uhai wangu mpaka leo nipo hai
SIFA NA UTUKUFU NI KWAKE MUNGU
MUNGU azidi kuwainua mzidi kutuletea nyimbo zenye upako
Naomba nirejeshee nafasi ya kuitwa mama na mimi kama wamama wengine🙏🙏😭😭
Amen
MUNGU akurendee kwa imani kama alivyo tenda kwa Sara
God Will surely do that
Mungu mweza yote atakurejeshea mummy
Mungu ni mwaminifu. Atarejesha
Walio rejeshewa vyote vilivyo potea kwa jina la Yesu Kristo njooni tujuwane like apo chini sifa na utukufu zimrudie Bwana wa Bwana Amen 🙏 ❤❤❤
Baba urejeshe amani ya kwetu iliyochukuliwa na mwovu,rejesha na maisha ya baba mtoto wangu inayotawaliwa na mwovu,mfungulie njia zake kila mahali na uturejeshe sote sisi wakosefu 🙏
😭😭😭😭😭🙏🙏mungu naomba nilejeshee mtoto wangu nilie nyang'anywa
Amen na iwe hivyo kwako🙏🙏
Amen Na Mungu wetu akusikie mpendwa
Atakurejeshea ,namwomba Mungu akurejeshee kwa wakati,Ameeen.
Mungu akupe haja ya Moyo wako. Akurejeshee
Pokea kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth
Ninaimani atarejesha yote niliyopoteza mwaka huu...2025 ni mwaka wa urejesho🙂↕️...like if you do believe
Hakika nimerejeshewaaaaaa! YESU ni Bwana
Amen
Asante Mungu kwa yote uliyonitendea mwaka wa 2024.Tunarejeshewa mwaka wa 2025 yote yalioibiwa,yaliochukuliwa na mwovu.Amen.
Bwana Mungu anaweza kurejesha aiseee! Restoration in the might name of Jesus!
Amen
Nimelia kwasaab niliibiwa ila naona mkono wa Mungu...kupitia huu wimbo namwona Mungu
🙌🙌🙏🙏🙏🙏
Who is here 2025❤
Wonderful,my faith is lifted.
Wimbo mzuri na una ujumbe mzuri Mungu wa Mbinguni azidi kuwainua viwango vya juu Neema gospel
Amen asante sana🙌🙌🙌🙏🙏🔥
😢😢😢 Mungu naomba nirejeshee vilivyoliwa na madumadu na tunutu...asante kwa huu wimbo unanifariji mnoo ....napitia kipindi kigumu mnoo cha kufiwa na mwanangu...Jehova naomba unirejeshee twins
Amen, Mungu hawezi kukuacha utapata kila hitaji lako kwa uweza wa Mungu🙏🙏
Oooooh so sorry Mungu akaseme na wewe Mpendwa
Pole saaana Mungu atakutana na haja ya moyo wako
Wimbo mzuri Munhu akutane na magonjwa yanayonisumbuwa nipone siwezi kutembea kufanya chochote ni kulala tuu hata natamani kwenda kanisani siwezi zMungu alejeshe uzima wangu kama zamani
May God heal your soul 🙏
I dreamed singing this song all the night,8/1/25 , I had to search in TH-cam, Thank you Holy spirit 😭😭😭😭😭😭😭
Nina ushuhuda Mungu muumba mbingu na nchi mwaka Jana yaani 2024 tarehe 26 mwezi wa 12 Mungu anae rejesha kanirejeshea ndoa yangu na watoto wangu Namshukuru sana MUNGU
Piga likes hapa kama ume barikiwa na huu wimbo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪
Mungu awabariki jmn❤❤❤❤❤
3 4:14
❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
❤❤❤ Àmen
Amani ya moyo uliyotoweka usiitafute kwingine,kwa Yesu utaipata…Furaha ya kweli uliyotoweka usiitafute kwingine kwa Yesu utaipata….gonga like hapa
Hakika tuzidi kumtegemea Mungu🙏🙏
Am still waiting for more miracles to happen to my family and me as well
Amen
Wanakijitonyama Uinjiristi Kwaya tunao waunga mkono watumishi wenzetu HAWA naomba like ZENU 💥💥💥
Kweli kabisa mungu arejeshe yale yote yalioibiwa na mwovu mungu mwema jaman huu wimbo unaleta ata furaha iliyopotea ebu sikikizeni
Kama Roho ni mmea basi huu wimbo ndio viwatilifu vyote stahiki
Amen Ubarikiwe sana kwa kuendelea kusikiliza injili hii🙏🙏
Nimeskiliza wimbo siku nzima. Hakika huu wimbo ni mzuri sanaaa. MUNGU anarejesha jamani 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen, endelea kubarikiwa 🙏🙏
Who is watching the 10th time. Beautiful song....blessed assurance from Jesus...nikurejeshee......
Listen to it everyday!!
Amen
Being the first day of 2025 I Pray this year to be the year of restoration of everything that was taken from us in The Name Of Jesus Christ Amen🙏
Kama unaamin umerejeshewa gonna like apa ❤❤❤
Kama huu wimbo imekugusa until unaiyona mbingu nzuri LIKE 👍
Sio uzuri wa Wimbo tu ,bali hata huu mziki 😂,Majirani nawakera kweli , Muniombee tafadhali😂😂, NGC 😍😍😍😍😍
😃😃😃😃😃
Bwana atakulinda na mabaya yote, wewe timiza kusudi lake🔥🔥🙌🙌🙏
@@NeemaGospelChoirAmen Amen tupo hapa tumewawekea saut mpka mwisho majiran
😂😂tumekuelewa neema ya Mungu ikufunike popote ulipo
Na hilo vibe la pianist, ni mimi kabisaaaa😂🙌❤
Usiwe na wasiwasi uko chini ya mbawa zake MUNGU
Huu wimbo unanikumbusha wakati ambapo nilijiona mpweke na kutengwa na Jamii nzima
31st last day of 2024 366/366 🙏🙏 stepping into the new year,..❤️🥰 with this message cause my GOD will restore everything that was stolen by the enemy 🙏🙏
Naomba unirejeshee nafasi ya ajira na mapato mwaka ujao wa 2025 😭😭🙏🙏
Amen
Lord I need your restoration 2025
You know my heart
May He remember your prayers
Piga like kama huwezi maliza Siku bila sikuliza huu wimbo
Just discovered this song and I'm obsessed....
If you are still listening to this song October 2024...Sema Bwana anarejeshee yote
Sifa na utukufu Kwa Mungu aliyewapa uwezo wakuimba nyimbo nzuri hivi
Amen utukufu kwa Mungu 🙏🙏
Awesome AMEN tumevukaa 1M already 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾wapi likes ya Kenyans 🇰🇪🇰🇪
Amen
Nabarikiwa mno naangalia zaid ya mara5🎉🎉🎉❤❤❤
My favorite song of all the time...the message in the song is so powerful, God is real, our savior ❤
Mungu atukuzwe juu yenu wapendo mmejua kuukonga moyo ,,,,.wimbo wangu pendwa nimeucheza sanaaa maskion moyoni na kwenye akili haupoi Wala kisinyaa thanks much Mungu wa mbinguni wanarejeshee zaidi
Wow Utukufu kwa Mungu, ubarikiwe sana🙏🙏
Nirejeshe tena katika familia yangu,masomo yetu,maisha yetu na kenya nzima turejeshe😭😭😭🙏
2025 Tayar Who else is here ?❤❤ Mungu akaturejeshe ya kwetu @ Neema Gospel Choir ✌️🔥🔥🔥
oky mdam your work is very nice to me
Sauzi tunes are awesome....with this kind talent, composition and creativity....To God be the Glory. God bless this glorious organization. GO GO GOOO TO THE GREATEST HEIGHTS OF ALL TIME.
NIREJESHEE YESU WANGU KILA KITU KILICHOPOTEA NA KUHARIBIKA NA KUIBIWA KATIKA MAISHA YANGU, WATOTO WANGU, WAZAZI WANGU, WATU WA NYUMBANI MWANGU. TUMAINI LETU NI WEWE PEKEEE YAKO 🙏😔
Na iwe hivyo kwako, Amen 🙏
2025 I shall come back here with a testimony!!!!!!!!!!!!! Everything that concerns me shall be restored.. peace,health,wealth 🙏🏿
25.12.2024
Covenant keeping God 🙏🏿🙌🏿
Sorry
Bwana Yesu asifiwe,hakika ukimwamini Mungu ,huyu Mungu waMbinguni anarejsha yote adui aliyochukua🔥🔥ndipo mema yatakujilia,Iko nguvu ya ajabu sana ukimwamini Mungu aliye hai🙏🙏❤
Have sung this song more than 50 times and still I can't forget it
Came here after seeing that guy on Tiktok with a red t-shirt written Mpesa Kitaani singing it.
Mungu nirejeshee amani, fedha,neema na kibali katika biashara na maisha yangu. Asante Yesu. love from Kenya 🇰🇪
Abiud from Dodoma
Same from TikTok ❤❤❤❤❤❤
October hii Mungu anaenda kunirejeshea Yale yote adui aliiba kwangu by power by force Kama unaamini nawew utarejeshewa usipite bila ku like barikiwa🙏
Amina
Yaani vile anasolo mwili wangu unasisimuka kama nipae kwenda mbinguni😊❤mbarikiwe kwa utumishi huu
Amen tunapokea kwa Jina la Yesu🙏
As I start this new year of 2025 whatever was taken away from me in 2024 I know Mungu anairejesha mara dufu 🙏🙏🙏
Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu aliyehai Mungu awainue zaidi na zaidi❤️❤️
Amen❤️❤️
I wish I could like more than once 😊
Asante