Minister Elia Mtishibi
Minister Elia Mtishibi
  • 25
  • 863 343

วีดีโอ

Elia Mtishibi Ft Bella Kombo - Nakujia (Official Live Video)
มุมมอง 143K4 หลายเดือนก่อน
th-cam.com/video/DStvy1XSjpA/w-d-xo.htmlsi=efvCbOCvzchivuUK 1samwel 17:45 Ndipo Daudi akamwambia yule Mfilisti, Wewe unanijia mimi na upanga, na fumo, na mkuki, bali mimi ninakujia wewe kwa jina la BWANA wa majeshi, Mungu wa majeshi ya Israeli uliowatukana. MWAKA HUU HATUENDI KIENYEJI TUNAENDA KWA JINA LA BWANA NA MALANGO YAKUFUNGUKIE... Nakujia by Elia Mtishibi ft Bella kombo karibu nisaidie k...
Elia Mtishibi_ sina mwingine (Studio session)
มุมมอง 6K5 หลายเดือนก่อน
Elia Mtishibi_ sina mwingine (Studio session)
Elia Mtishibi - Ninashukuru (Live Recorded Video)
มุมมอง 39K6 หลายเดือนก่อน
Umbali huu,Uzima,afya,akili njem,Roho wake,familia,kazi, biashara,Wokovu,haki, neema, na mambo mengine mengi siwezi kuyamaliza nikiyaorodhesha ni mambo ambayo MUNGU amenifanyia na ninamaanisha kusema kwamba siwezi kuelezea ndani yangu ikainuka sauti ya shukurani na wimbo huu ni zao la shukurani moyoni mwangu karibu kuungana na mimi kumuinulia Yesu shukurani kutoka kwenye kilindi cha Mioyo yetu....
Elia Mtishibi Ft Elizabeth Mtalitinya - Wewe Pekee (Official Live Video)
มุมมอง 14K8 หลายเดือนก่อน
📌📌📌 Kuna wakati kwenye maisha Tunapitia mambo ambayo yanatushawishi kufuata njia nyingine tofauti na Mungu ukizingatia ushauri wa marafiki unakuonyesha jinsi wao walivyofanikiwa nje na Mungu na unaweza kuwaza kufuata njia hizo. lakini Wako watu wachache waliosimama na wakadumu katika kusimama kumtegemea bwana na Mungu akawaonekania katika dhiki zao.. Huu ni moja ya wimbo utakaoinua imani yako s...
Elia Mtishibi Ft Gillian Jared - Mchungaji Wangu (Official Live Video)
มุมมอง 18Kปีที่แล้ว
Elia Mtishibi Ft Gillian Jared - Mchungaji Wangu (Official Live Video)
Elia Mtishibi Ft Calvin John - Mawio Hata Machweo (Official Live Video)
มุมมอง 32Kปีที่แล้ว
Elia Mtishibi Ft Calvin John - Mawio Hata Machweo (Official Live Video)
Elia Mtishibi _ Ni Bwana (official video)
มุมมอง 4.5Kปีที่แล้ว
iko hazina ambayo wenye hekima watawekeza huko hazina ya umileleni bali wasio busara huwekeza kwenye vitu visivyo vya umilele ambako nondo na kutu hufika.. #NiBwana #Maninchrist #EliaMtishibi song : Ni bwana Song writer and singer :Elia Mtishibi studio :Apex studios Producer :Benny William Video director:Einxer Bgv's :Cate & Abigail
Elia Mtishibi - Bwana Umetamalaki (live recorded video)
มุมมอง 13Kปีที่แล้ว
Elia Mtishibi - Bwana Umetamalaki (live recorded video)
Elia Mtishibi ft Shedrack Simbeye - Nani Angesimama (live recorded video)
มุมมอง 157Kปีที่แล้ว
Elia Mtishibi ft Shedrack Simbeye - Nani Angesimama (live recorded video)
Elia Mtishibi - Yahweh (Live Video)
มุมมอง 87Kปีที่แล้ว
Song : Yahweh Minister : Elia Mtishibi Audio capturing,mixing and mastering :Sadock Elias Video: Sp visuals MD : Victor sebastian Aux: James Jay Bass: EMMANUEL peter Drummer 1: Ernest sebastian Drummer 2: Victor nyakamwe Soprano : Dorcas malya and Deborah Deborah mtalitinya Alto: Goodluck sarungi and dorcas mtalitinya Tenor : Jeremiah malya and bennie Edward
Elia Mtishibi - Sitara (Official Live Video)
มุมมอง 45Kปีที่แล้ว
Audio capturing,mixing and mastering :Sadock Elias Video Capturing & Editing: SP visuals Graphics: SP Brand MD :victor sebastian A: James Jay Bass: EMMANUEL peter Drummer 1:Ernest sebastian Drummer 2: Victor nyakamwe Soprano: Dorcas Malya and Deborah Deborah Mtalitinya Alto: Goodluck Sarungi and Dorcas Mtalitinya Tenor: Jeremiah Malya and Bennie Edward
Elia Mtishibi - Unanguvu (live recorded video)
มุมมอง 54Kปีที่แล้ว
Elia Mtishibi - Unanguvu (live recorded video)
Elia Mtishibi - Man In Christ ft Thomas Myagila (Live Music Video)
มุมมอง 30Kปีที่แล้ว
Elia Mtishibi - Man In Christ ft Thomas Myagila (Live Music Video)
Elia Mtishibi -NAMTUKUZA BABA
มุมมอง 1.2K2 ปีที่แล้ว
Elia Mtishibi -NAMTUKUZA BABA
ELIA MTISHIBI- SITAMUACHA (OFFICIAL VIDEO, LIVE RECORDING)
มุมมอง 26K2 ปีที่แล้ว
ELIA MTISHIBI- SITAMUACHA (OFFICIAL VIDEO, LIVE RECORDING)
ELIA MTISHIBI - Kama ungehesabu (Official Video)
มุมมอง 31K3 ปีที่แล้ว
ELIA MTISHIBI - Kama ungehesabu (Official Video)
Anakujua- Elia Mtishibi (official video)
มุมมอง 2.3K3 ปีที่แล้ว
Anakujua- Elia Mtishibi (official video)
USIYEZUILIKA - Elia Mtishibi
มุมมอง 5K3 ปีที่แล้ว
USIYEZUILIKA - Elia Mtishibi
Elia Mtishibi ft Goodluck momburi _ Ahsante (official music video 4k)
มุมมอง 5K4 ปีที่แล้ว
Elia Mtishibi ft Goodluck momburi _ Ahsante (official music video 4k)
Elia mtishibi ebenezer official music video{4K}
มุมมอง 9K6 ปีที่แล้ว
Elia mtishibi ebenezer official music video{4K}

ความคิดเห็น

  • @janeperezawuoromollo1798
    @janeperezawuoromollo1798 วันที่ผ่านมา

    Tik tok ...ile ya Zoravo umeoa ? Kamenifikisha hapa

  • @rennyworld1242
    @rennyworld1242 วันที่ผ่านมา

    Amen!!

  • @ElishaJohaness
    @ElishaJohaness 2 วันที่ผ่านมา

    Ameeen!!!watumishi wa MUNGU🙏🙌🙏

  • @Eden-Nation-Voice
    @Eden-Nation-Voice 4 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙌🙌 Pamoja na Bwana tunashinda kila vita 🇧🇮

  • @mixgospelDavid
    @mixgospelDavid 4 วันที่ผ่านมา

    c'est très profond que Dieu te bénisse homme de Dieu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😂😂

  • @joskyshams4758
    @joskyshams4758 4 วันที่ผ่านมา

    Mara ya kwanza kuskiza huu wimbo mzuri.

  • @DeboraAbduelKisanga
    @DeboraAbduelKisanga 5 วันที่ผ่านมา

    🥹🥹🙏🙌

  • @JeanWekesa
    @JeanWekesa 7 วันที่ผ่านมา

    Amen , so powerful God bless you love from Kenya

  • @chrisgeorge7281
    @chrisgeorge7281 7 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤wanangoja sana

  • @LewisJoel-d6n
    @LewisJoel-d6n 8 วันที่ผ่านมา

    Mwamba ana vibe

  • @careenjones6971
    @careenjones6971 8 วันที่ผ่านมา

    Clean 🥁🥁🥁🥁. Very clean . Hakuna makelele wala unwanted arrangements. Clean and smooooooooth

  • @miriammakena86
    @miriammakena86 8 วันที่ผ่านมา

    I WILL WAIT FOR THE LORD AND THE FULFILMENT OF HIS PROMISES IN MY LIFE 😊

  • @jasirimjasirimedia7940
    @jasirimjasirimedia7940 8 วันที่ผ่านมา

    Am blessed for this song

  • @happytom5455
    @happytom5455 8 วันที่ผ่านมา

    Najikuta natabasamu tu...mbarikiwe sana

  • @michaelminja3458
    @michaelminja3458 10 วันที่ผ่านมา

    Wimbo wa imani. Imani ni kuona kabla ya kuona. Ni kuandaa sahani na maji ya kunawa mikono kabla ya kujua chakula kitatoka wapi. I like it

  • @jescaluhemeja2117
    @jescaluhemeja2117 10 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤zoravo🙌🙌🙌

  • @user-qr2hk8sb6u
    @user-qr2hk8sb6u 10 วันที่ผ่านมา

    Hallelujah hallelujah Yesu ni bwana ni mengi sana amenitendea moyo wangu umejawa na shukrani sana mpka najiona ni last born wa Yesu kila ninalolifanya mimi linafanikiwaa hii verse ni 🔥Jamaniii Jamaniii ukiwa na Yesu ni raha sanaa 😍❤️🙌🙏pongezi kwa watunzi wa nyimbo hii ni my favorite song kwa kweliii tuendeleeni kumsifu bwana katika roho na kweliii 🙏

  • @AndreaBaha-ly4ek
    @AndreaBaha-ly4ek 11 วันที่ผ่านมา

    wapi likes za watoto Mungu

  • @ReenShirima
    @ReenShirima 12 วันที่ผ่านมา

    Amani yangu ni Bwana 🎉❤acha nicheke🥰🙌

  • @ireneanold1662
    @ireneanold1662 12 วันที่ผ่านมา

    Sitara yangu❤

  • @faithmusembe7399
    @faithmusembe7399 12 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @philippatroba8614
    @philippatroba8614 12 วันที่ผ่านมา

    Kindly show the congregation as well.

  • @neemaskayo3047
    @neemaskayo3047 14 วันที่ผ่านมา

    Jamani jamani Kuna watu walijua kumsifu Mungu wao hapa

  • @glorymuriithi5593
    @glorymuriithi5593 15 วันที่ผ่านมา

    This song is such a blessing. Napenda sana inazungumza Na mi❤️

  • @TonyMuasya
    @TonyMuasya 15 วันที่ผ่านมา

    wimbo huu unanibariki zaidi

  • @TonyMuasya
    @TonyMuasya 15 วันที่ผ่านมา

    wimbo huu unanibariki zaidi

  • @johnmutungi8903
    @johnmutungi8903 16 วันที่ผ่านมา

    Mukama yebazibwe!!!!!!

  • @mugesiabrigitte8843
    @mugesiabrigitte8843 16 วันที่ผ่านมา

    God you’re faithful. Ungehesabu makosa yangu hata singekuwa hai🙏🙏

  • @Yoshuakikasiga-r3g
    @Yoshuakikasiga-r3g 16 วันที่ผ่านมา

    Amen😂😂

  • @eunice_keziah7939
    @eunice_keziah7939 16 วันที่ผ่านมา

    oh Jesus, i'm so blessed

  • @gideonreuben836
    @gideonreuben836 17 วันที่ผ่านมา

    Great appreciation to the minister Eliya na much appreciation to the MD.Kanju

  • @marieriziki6923
    @marieriziki6923 17 วันที่ผ่านมา

    “Yesu ni Bwana”🙏🏽🙏🏽🙌🙌❤❤ I am so in love with this song

  • @AbigailAndrea-p5e
    @AbigailAndrea-p5e 17 วันที่ผ่านมา

    Nice...be blessd

  • @elizabethkendra3878
    @elizabethkendra3878 17 วันที่ผ่านมา

    This song speaks volume for me. I cry rivers every time I listen to it. And I never stop listening; may be I love crying😢😢

  • @HopelilyTossy
    @HopelilyTossy 17 วันที่ผ่านมา

    Be blessed jmn !!! All members of God there was hot song it has blessed me

  • @joanitaalbert1129
    @joanitaalbert1129 17 วันที่ผ่านมา

    Ameeen nakujia kwa jina la BWANA ewe umasikini ❤

  • @user-wl7ii1yt5g
    @user-wl7ii1yt5g 19 วันที่ผ่านมา

    Amen❤❤❤❤❤❤

  • @FestoSiliyake
    @FestoSiliyake 19 วันที่ผ่านมา

    Kazi nzuri but audiomark kazi zako chache fanya na uploading Kwa audio mark

  • @lulukishaderefa5929
    @lulukishaderefa5929 19 วันที่ผ่านมา

    🙌🏾 Ninafurahia neema ya Mungu maishani mwangu

  • @mercymeccyGoto
    @mercymeccyGoto 19 วันที่ผ่านมา

    Barikiwa Sana Mtumishi Eliya

  • @samsonnassoro9453
    @samsonnassoro9453 20 วันที่ผ่านมา

    Powerfully,with full anointing Bless much people of God.

  • @ezekielabel5843
    @ezekielabel5843 20 วันที่ผ่านมา

    Tangu kipindi unatembea na mwinjilisti GB Niko nawe kaka elia

  • @rachelmruma3767
    @rachelmruma3767 21 วันที่ผ่านมา

    Powerfully

  • @JacobMsanjila
    @JacobMsanjila 22 วันที่ผ่านมา

    Nyie hii nyimbo ni tamu ❤❤❤

  • @barackawithokiswaga2686
    @barackawithokiswaga2686 22 วันที่ผ่านมา

    Usinisumbue bhaana😂😂😂😂

  • @kadenyikigalu8280
    @kadenyikigalu8280 23 วันที่ผ่านมา

    🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶❤️❤❤❤🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @SamSilas-xp6uq
    @SamSilas-xp6uq 23 วันที่ผ่านมา

    Vijana Mungu awabariki sana.

  • @mariahnyekele9370
    @mariahnyekele9370 23 วันที่ผ่านมา

    Namuona bro kusula Kwa piano anafanya yake God bless you

  • @watchmaniansayah
    @watchmaniansayah 24 วันที่ผ่านมา

    USINISUMBUE BWANA 🎉😂 🔥 #FAVORITEPART

  • @fazilinyange9108
    @fazilinyange9108 24 วันที่ผ่านมา

    Bwana yesu asifiwe san Mtumishi wa Bwana mpakwa mafuta wa Bwana naomba namba yako nina kiu kubwa ya kuwasiliana na wew please