Wakili Mwabukusi Akata Mizizi Mkataba wa Bandari, 'Hatuwaogopi' Ataka Tulia Ajiuzulu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ก.ค. 2023
  • Kupitia kampeni yao ya #OkoaBandariZetu CHADEMA wakishirikiana na wanaharakati mbalimbali na viongozi wengine wa kijamii wanafanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya Bulyaga Temeke.
    Wanaharakati na CHADEMA wameendelea kusisitiza mkataba wa bandari kati ya Tanzania na Dubai hauna maslahi mapana kwa nchi. Mkutano huu wa CHADEMA unafanyika ikiwa ni wiki mbili toka CCM kuanza mikutano yao ya hadhara ya kufafanua kuhusu suala la bandari.
    Endelea kufuatilia The Chanzo tupo hapa katika viwanja vya Bulyaga kurusha Live
    Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2023 © All Rights Reserved.

ความคิดเห็น • 922

  • @alfredzunda4655
    @alfredzunda4655 11 หลายเดือนก่อน +57

    Hii nchi kumbe bado ina watu wa maana sana. Wakili Mwabukusi Mungu akutunze kwa ajili ya taifa hili na vizazi vyetu

    • @mkude
      @mkude 10 หลายเดือนก่อน +2

      Watu wamaana wapi hao wapo Kwa ajili ya kisiasa tu wapo Kwa ajili ya maslahi Yao,huo uwekezaji hauna shida yoyote watu wanapitoshwa sanaaa

    • @gifttemba4355
      @gifttemba4355 10 หลายเดือนก่อน

      @@mkude ndugu usiongee vibaya ukaja juta acha sisi tunao elewa tushiriki

    • @ImeldaLikoko
      @ImeldaLikoko 8 วันที่ผ่านมา

      🎉​@@gifttemba4355

  • @godfreymeagisa1871
    @godfreymeagisa1871 11 หลายเดือนก่อน +51

    Safi Sana Mwabukusi YEHOVA AKUTIE NGUVU

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 11 หลายเดือนก่อน +23

    Facts tupu,,huyu mwabukusi du! Big up commander

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 11 หลายเดือนก่อน +32

    Mungu yupo na kaka Mwabukusi

  • @laizerkesoi-qf4yw
    @laizerkesoi-qf4yw 11 หลายเดือนก่อน +34

    Hongera mwamba,mkombozi wa watanzania

  • @HermasKwigizile-lz6ks
    @HermasKwigizile-lz6ks 11 หลายเดือนก่อน +59

    Wakili Mwabukusi, Mungu akutie nguvu katika mapambano haya. Sisi tupo pamoja nawe.

    • @FredsonHytham-dx4xk
      @FredsonHytham-dx4xk 11 หลายเดือนก่อน +2

      Mungu yupo nae kwa sababu MUNGU YUPO PMJ NA WAPENDA HAKI

    • @user-xg9ix9ex9h
      @user-xg9ix9ex9h 11 หลายเดือนก่อน +3

      Hivi wewe unaesema mungu awe pamoja na yeye kwa lipi kwa matusi anayotukana au

    • @mkude
      @mkude 10 หลายเดือนก่อน +1

      Mwenyeezi mungu hawezi kuwa pamoja nae kwasababu anatukana na kupotosha watu

  • @jacoblongo6814
    @jacoblongo6814 11 หลายเดือนก่อน +28

    Safi kamanda mwambugusi Mungu akupe maisha marefu

  • @madaiincubationcenter4947
    @madaiincubationcenter4947 11 หลายเดือนก่อน +32

    Hongereni sana Wazalendo wa nchi hii kwa kujitoa maisha yenu kwa aili ya vizazi vijavyo

  • @starvista823
    @starvista823 11 หลายเดือนก่อน +32

    Mungu ibariki nchi yetu na tutoe kwenye hili janga

  • @evodirudo4813
    @evodirudo4813 11 หลายเดือนก่อน +11

    Safii mkuu, mpaka kieleweke.
    Walisha zoea vya kunyonga!! Mwaka huu vimewapitia puwani.
    Mungu akujalie afya tele pamoja na wazalendo wenzetu

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo 11 หลายเดือนก่อน +19

    Tu namshukuru Mungu kwa kwa kutuletea Mwabukusi baada ya Magufuli moto unazidi kuwaka

    • @gracemally4398
      @gracemally4398 10 หลายเดือนก่อน

      Mungu akulinde sana mwabukusi,umejitoa Kwa kizazi kijacho

  • @user-vc2hk9kr1c
    @user-vc2hk9kr1c 11 หลายเดือนก่อน +16

    Wakili barikiwa sana mungu yupamoja nawe nchi iko nawewe mungu mbele pakakieleweke ili nchi tanzania ibaki kuwasalama.

  • @annamhina8385
    @annamhina8385 11 หลายเดือนก่อน +11

    Mh. Mwabukusi Mungu akubariki,watu kama ninyi ni wachache duniani kwa wenye akili zenye hekima watakuelewa sana lakini wasio na akili zenye akili watakupuuza songea Mbele Mungu akutangulie umetumia utu wako vizuri hakika wewe ni miongoni mwao wasomi vichwa.

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 11 หลายเดือนก่อน +18

    VIVA MWABUKUSI VIVA 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 YKO 💪

  • @mohamedpaul8048
    @mohamedpaul8048 11 หลายเดือนก่อน +20

    Mungu akutangurie mwakubusi sisi watanganyika tuko nyuma Yako

  • @allyfaraji4200
    @allyfaraji4200 11 หลายเดือนก่อน +25

    Uyu ndiyo profesa siyo wale we wengine waliokuwa bungeni vilaza tu

    • @KaburuKimath-eu5nf
      @KaburuKimath-eu5nf หลายเดือนก่อน

      Kwani wataalamu wetu na wasomi wetu wakiungana na matajiri WA nchi hii walishindwa kukaa pamoja waungane pamoja wangeshindwa kuendesha hii bandaiii adi tukodishie watu WA njeee dar

  • @ProsperNgeniuko
    @ProsperNgeniuko 11 หลายเดือนก่อน +32

    tunaomba mzunguke nchi nzima

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 11 หลายเดือนก่อน +20

    AKI UMETUVUA NGUO.NIMEGUNDUA ELIMU MUHIMU WACHA TUPELEKE WATOTO SHULE.

  • @mzalendohuru...4967
    @mzalendohuru...4967 11 หลายเดือนก่อน +6

    Mwambugusi your truly patriotic ..allmight God protect you

  • @user-nz6rs9vn3t
    @user-nz6rs9vn3t 11 หลายเดือนก่อน +23

    Huyu ndo mwenyew😊

  • @lionmkushi9641
    @lionmkushi9641 11 หลายเดือนก่อน +38

    Wavue nguo wabaki uchi kabisa
    Wametuzoea
    Mungu akulinde mwamba

  • @Clement-px8eg
    @Clement-px8eg 11 หลายเดือนก่อน +26

    Walahi safari hi hawatoboi vibaraka warudishe mapesa ya watu na wale wenye mkataba wawafuate wenzao dubaiiii

  • @mchunguliechibwa198
    @mchunguliechibwa198 11 หลายเดือนก่อน +15

    HUYU MWAMBA MBEYA HAKIPOTEA, SITAKAA NIWASAMEE MILELE, HAKI NASEMA,NIEPENDA MBEYA ❤❤❤

  • @georgekamosi9501
    @georgekamosi9501 11 หลายเดือนก่อน +24

    Ninapokusikiliza Naona bando langu linaisha Kwa haki.

  • @mussathomasdossa4687
    @mussathomasdossa4687 11 หลายเดือนก่อน +16

    Mungu akulinde mkataba huu ufutwe

  • @magrethsengati2564
    @magrethsengati2564 11 หลายเดือนก่อน +11

    I love my country❤❤❤❤tz tetea tanzania tetea bandari zetu

  • @GenovevarKavikule-it2wc
    @GenovevarKavikule-it2wc 11 หลายเดือนก่อน +23

    Tunawapa na onyo serikali tabia ya kuuwa watu wanaotetea nchi yetu ole wao na huyu afe tutaandamana tupokimya ila tunajua kinachoendelea huko ndomana wabunge na spika wa bunge anaogopa kusema ukweli anaogopa kufa

    • @scaveyy5428
      @scaveyy5428 11 หลายเดือนก่อน

      Mngeandamana kipindi cha awamu tano watu wasiojulikana walivyokua wanauwa watu

  • @RugemaliraRenatus-rf6yv
    @RugemaliraRenatus-rf6yv 11 หลายเดือนก่อน +16

    Mungu akulinde unayoongea yatatokea ,au ya atokea leo unasema nimeona mambo fulani hivi hadi nimeshangaa

  • @sospetersebastian5575
    @sospetersebastian5575 11 หลายเดือนก่อน +14

    Tunahitaji akina Mwambukusi wengi katika Taifa hili. God bless you all.

  • @musamwambene1323
    @musamwambene1323 11 หลายเดือนก่อน +10

    Waziri mkuu anaferi kweli hilo👍

  • @yakobojoseph965
    @yakobojoseph965 11 หลายเดือนก่อน +9

    Baada ya Magu kaja mwamba, Mungu anazid kutupenda. Sema hatadumu jamaan serikali yetu haiwapendi....😭😭

  • @giftmkilindi1486
    @giftmkilindi1486 11 หลายเดือนก่อน +10

    Ufafanuzi mzuri leo umepatikana 💯

  • @nasonkaguli9061
    @nasonkaguli9061 11 หลายเดือนก่อน +8

    Ujasiri ni uwezo wa kufanya vitu ambavyo wengine wanashidwa kufanya!! Confidence 💯

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 11 หลายเดือนก่อน +14

    Mungu akulinde na akuongeza wakili mwabukusi

  • @faustinemangula8424
    @faustinemangula8424 11 หลายเดือนก่อน +19

    Hongera Mwamugusi kwa Karama ya sheria na ushujaa.

  • @francissimwinga-gb2vd
    @francissimwinga-gb2vd 11 หลายเดือนก่อน +5

    Ndio maana nchi inamali nyingi lakini inachechemea kimaendeleo Kwa sababu ya wanafiki wachache waswahili Asante wakili mwambukusi

  • @malembobulongo3856
    @malembobulongo3856 11 หลายเดือนก่อน +9

    Jamani nchi yetu inapigwa na inaendelea kupigwa sana mungu wape nguvu watetez wetu

  • @alfredcharles8029
    @alfredcharles8029 11 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu hakika ni mtu aliyejitolea maisha yake kwa ajili ya kuwaelimisha Watanzania juu ya sintofahamu juu ya Mkataba wa DPW.....Mungu akubariki sana Mwabukusi... ✍🙏🙏🙏

    • @asinahussein2176
      @asinahussein2176 10 หลายเดือนก่อน

      Kapewa fungusna chadema kwani uongo

    • @janemwaipopo
      @janemwaipopo 10 หลายเดือนก่อน

      Ndagha Mundu ghwa Kyala Jhesu akwimilile Kangi Amaka ghajheghe miiiñgi Ukukindila Mu ngamu jha Kyala Amen🙏🙏🙏✔️

  • @h.jrugashaula1296
    @h.jrugashaula1296 11 หลายเดือนก่อน +21

    Huyu bwana anamsimamo sana

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 11 หลายเดือนก่อน +10

    Watu wamekupenda saana
    Ila ukienda ccm utapoteza upendo wako

  • @user-tp1qv6ss6i
    @user-tp1qv6ss6i 11 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu akubariki. Na kukulinda nakukuangazia nuru ,na uso wake Akupe aman

  • @eliantupwa2737
    @eliantupwa2737 11 หลายเดือนก่อน +13

    Pambana dogo mungu yuko pamoja nawewe nakuombea sana

  • @SALIMUAMILI-ub4vz
    @SALIMUAMILI-ub4vz 11 หลายเดือนก่อน +7

    Mungu akubaliki kwa kila jambo unalolifanya katika taifalako latanzania

  • @DAVDChalse-db6tz
    @DAVDChalse-db6tz 11 หลายเดือนก่อน +27

    Mungu akulinde Sana Mzalendo wa Nchi hii hawatakufanya chochote Mungu yu pamoja Nawe tko Nyuma yako kaka niko Tayar kwa lolote kwa ajili ya Tanganyika Yangu Mungu atuongoze katka Vita hii

  • @mobilempula545
    @mobilempula545 11 หลายเดือนก่อน +10

    Mungu awabariki wote mnaotetea mali za watanzania zisiporwe

  • @samwelrobertmwakatobe6467
    @samwelrobertmwakatobe6467 11 หลายเดือนก่อน +29

    Msomi hakika usirudi nyuma mbele kwa mbele ww ni jasili wa Leo na kwa kizazi kijacho maneno yko yataishi

    • @salummohamed2689
      @salummohamed2689 11 หลายเดือนก่อน

      Kuna wengine wa upande mwingine walidai wametolewa jalalani!

    • @salummohamed2689
      @salummohamed2689 11 หลายเดือนก่อน +1

      Hii document iliwaponyoka ni fursa Kwa wanyonge wa Tanganyika.

  • @mwitamayebe1761
    @mwitamayebe1761 11 หลายเดือนก่อน +16

    Mwamba kaiva Bandari yetu ibakie

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 11 หลายเดือนก่อน +26

    Kwanini Serikali yangu hawataki kusikia kelele za hawa wasomi wetu? Wakiuacha huo mkataba wakawashirikisha Watanzania wasomi kutuogoza kuupitia mkataba huu itakuwa vibaya. Hebu SERIKALI TUSIKIENI JAMANI MUNGU ATAWAADHIBU

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 11 หลายเดือนก่อน +16

    Hadi nimelia kwauchungu maana watoto na wajukuu zetu hawatakuta kitu.

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo 11 หลายเดือนก่อน +9

    Huyu jamaa anakili kubwa sana, huyu ndo anatakiwa awe raisi wa hii nchi

    • @user-xi9lj1gz2p
      @user-xi9lj1gz2p 11 หลายเดือนก่อน

      Njemaa ametufungua mackio

  • @dr.johnsonnyamohanga6147
    @dr.johnsonnyamohanga6147 11 หลายเดือนก่อน +10

    Kaka mungu akulinde usiku na mchana !kila nikikusikiliza natokwa machozi na furaha kumbe Tanzania tuna watu wazalendo kama wewe

  • @emmanuelmbuya6223
    @emmanuelmbuya6223 11 หลายเดือนก่อน +4

    Asante Mwabukusi kwa kisimama imara kwaajili ya umma wa Watanzania.

  • @samakisamaki3226
    @samakisamaki3226 11 หลายเดือนก่อน +15

    Kwa nini mtanzania anasimama kutetea mkataba kwenye nafasi ya DPW? Tuwe wazi aje DPW na wanasheria wake tujadili. Kinyume na hivyo ni wazi kuwa ni samia na kundi la wachache ni washirika wa DPW.

    • @saidissa8273
      @saidissa8273 11 หลายเดือนก่อน

      KWA NN APINGE

  • @fabianambuta5471
    @fabianambuta5471 11 หลายเดือนก่อน +12

    Hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho Mungu yupo Kwa ajili ya watanzania

  • @isayaanthon7063
    @isayaanthon7063 11 หลายเดือนก่อน +13

    Nakuelewa sana wakili Msomi.

  • @mosesdavid-vm5hk
    @mosesdavid-vm5hk 11 หลายเดือนก่อน +22

    Namkubari kinoma uyu mwamba

  • @hafsamnenga1942
    @hafsamnenga1942 11 หลายเดือนก่อน +13

    Mungu awalinde Mwambusi dokta salaam mbowe lema dokta shivji

  • @heliudjulias7748
    @heliudjulias7748 11 หลายเดือนก่อน +5

    Recpect mwabukusi viva viva wamezoea tukishinda hili hakika tuna toka utumwani najua huu mchongo marekani yupo nyuma ila hii ngoma ngumu spika arika na wachawi si uri arika machifu wa mbeya

  • @gloryminja8852
    @gloryminja8852 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu atakulinda na mwakani ugombee urais mweshimiwa unafaa kuongoza watanzania

  • @josephmwita6012
    @josephmwita6012 11 หลายเดือนก่อน +4

    oooh my god just protect this man

  • @user-tj2ve6go2y
    @user-tj2ve6go2y 11 หลายเดือนก่อน +11

    pamoja sana mwamba

  • @alexkipemba3655
    @alexkipemba3655 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akulinde na kukuepusha na mahangaiko kwa kutusemea watanzania wanyonge na vizazi vijavyoo

  • @elizabethmgassa7243
    @elizabethmgassa7243 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie ndo wanaume mliowekwa Tanzania na Mungu kwa ajili ya kulinda nchi yetu.msiogopeeeeeee.

  • @officialdanijay6521
    @officialdanijay6521 11 หลายเดือนก่อน +14

    nchi yangu tanzania nakupenda😢😢

  • @mabulamasunga7378
    @mabulamasunga7378 11 หลายเดือนก่อน +4

    Wewe ndiye unaweza kuwa kiongozi mzuri sana.

  • @user-vc2hk9kr1c
    @user-vc2hk9kr1c 11 หลายเดือนก่อน +4

    Watu kamahawa ndiowalitakiwa wawe maraisi wanauchungu na nchi tanzania mungu ibariki tanzania yetu

  • @user-cd9re4wt2b
    @user-cd9re4wt2b 11 หลายเดือนก่อน +2

    Uko vizuri sana, watanzania tunakuunga mkono hatukubali kuuziwa bandari yetu

  • @user-cd9re4wt2b
    @user-cd9re4wt2b 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mkataba huu hatutaki, uko vizuri sana Mh wakili wetu mtanzania halisi tunakuunga mkono

  • @mimutiengungatimollel3794
    @mimutiengungatimollel3794 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu tu awalinde viongozi wetu wote mnaupinga nchi yetu kuuzwa ila Watanzania wote tupo nyuma yenu

  • @jumagembe9877
    @jumagembe9877 11 หลายเดือนก่อน +15

    Maneno mazito sana

  • @edsonkahesi8603
    @edsonkahesi8603 11 หลายเดือนก่อน +2

    Wakili ww ni msomi na mwenye uelewa mkubwa mno, salute kwako

  • @mutalemwamarcelventure.mae2058
    @mutalemwamarcelventure.mae2058 11 หลายเดือนก่อน +3

    Si tulisoma wasitu someshe Tupate waweke wazi Lakini Haya mambo Tunaomba wapiganaji wa pewe nafasi,pia tuwe wahifhadhi wa rugha ya kiswahili nawaombea wote na sisi tuombeane daima ni Tanzania kwa wenye nia watafanikiwa Amin

  • @sportsnewjs4330
    @sportsnewjs4330 11 หลายเดือนก่อน +5

    Ndioo' hii ni SAUTI ya wananchi WaTanzania, anayekataa ni mwizi natapeli wa raslimali za Tanzania'
    Mzalendo yeyote wa nchi yetu Tanzania hawezi kukubaliana na mkataba wakitapeli walio tuletea hawa viongozi majizi, matapeli tena majambazi wanaopora nchi ya Tanzania

  • @lotimwansule5017
    @lotimwansule5017 11 หลายเดือนก่อน +5

    God let angel to protect Mwabukusi

  • @phrolinAnton-lp6xl
    @phrolinAnton-lp6xl 11 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana kaka atawakikutishia wajue kwamba mahalo penye Hali ukimtendea unyama Mmoja wanazuka wengine kumi

  • @assayusuph3295
    @assayusuph3295 11 หลายเดือนก่อน +16

    Tundulisu mamba mbili

  • @peternyambui7492
    @peternyambui7492 11 หลายเดือนก่อน +6

    Safi sana sana..sana!!!

  • @user-xc4gr6by1y
    @user-xc4gr6by1y 11 หลายเดือนก่อน +5

    Tusemeee Kaka tunadhurumiwa Sana na kuonewa ,haki hakuna,mungu akuepushe Ni nawabaya

  • @davidkabwogi3346
    @davidkabwogi3346 11 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu yuko mbele yenu lisilowezekana kwa mwanadamu kwa Mungu yote yanawezekana

  • @bettymeshack7759
    @bettymeshack7759 11 หลายเดือนก่อน +13

    Kumbe hii dp World sio ya wadubai ni ya mtu humuhumu Tanzania 💔

  • @user-pv9zm7zk4n
    @user-pv9zm7zk4n 11 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu akulinde unausema ukwel kama magufuli hakika nasi tupo nyuma yako

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 11 หลายเดือนก่อน +3

    Kijana Mwambukusi ubarikiwe sana sana. Mungu atakupa afya njema sana.
    Huyo Mtungi simuelewi kabisa, 2020 hakuona yaliyotokea? Huyo anajua sheria kweli? Ati mlezi mlezi gani anayelemea mtoto mmoja na wengine anabakua kuwatafutia kesi tu?

  • @thomaslunyenza3507
    @thomaslunyenza3507 11 หลายเดือนก่อน +1

    Eee mwenyezi Mungu nakuomba tusaidie sisi watanzania na Tanzania yetu. Tunakuamini wewe tu amin

  • @amosepimacknyanda639
    @amosepimacknyanda639 11 หลายเดือนก่อน +8

    Uko mzalendo sana 🙏

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 11 หลายเดือนก่อน +5

    Ni kweli ndiyo maana walimchukia Magufuli, Mimi nashauri tuendeshe wenyewe mbona enzi za Mwl Nyerere hayo yaliwezekana na kipindi hicho wasomi walikuwa wachache, na kama alitaka u

  • @gerraldchristian2001
    @gerraldchristian2001 11 หลายเดือนก่อน +17

    Toka mwanzo nakufatilia tupo pamoja

    • @TanzaniaFisheriesGroup
      @TanzaniaFisheriesGroup 11 หลายเดือนก่อน +1

      Tushindane kwa hoja jamani siyo kwa kutidhana tunashukuru hadi sasa mawakili wapo salama MUNGU AWALINDE WOTE WANAO TETEA WATANZANIA TUNASHUKURU PIA KUWA NA WATANZANIA WAZALENDO WASOMI ONYESHENI UZALENDO MSIACHE KUSEMA KWELI MUNGU AWATUZE

  • @user-de2rg9kk7u
    @user-de2rg9kk7u 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mwamba huyu Hapa Shujaaaa wa kweli 💪👍💪💪🤝 chuma Cha Kazi mwabukusi

  • @DeusiSetivin-ls9uz
    @DeusiSetivin-ls9uz 11 หลายเดือนก่อน +2

    Tunakushukuru mungu akuri de kwakutembea na kusoma nyaraka ya mkataba tunapenda na tunashukuru kwa kutusomea mkataba !

  • @prospermalala6636
    @prospermalala6636 11 หลายเดือนก่อน +14

    Mwambukusi, Mungu mkubwa akulinde ktk ulimwengu huuuu haramu endelea kutowa elimu iliyopotea ndani ya Taifa hili, Kwa muda huuu Sheria ndiyo muda muafaka kufundushi watanzania wenzako wafahamu kinachoendelea nchini kwetu

  • @othmarluwawilo8308
    @othmarluwawilo8308 11 หลายเดือนก่อน +18

    Rais anayesubiri Udaktari wa kupewa PHD ZA KUPEWA, kahofu kuandika critical desertation, km alishindwa hapo ataiongoza nchi? There people, with intelligence, critical thinkers, analytical and philosophical entity. Being a President doesn't mean you're wise, intelligence with higher performance. Thank you Mr Advocate Mwambukusi.

    • @patrickKitambo
      @patrickKitambo 11 หลายเดือนก่อน

      Tatizo kubwa la hii akili ndogo intaka kuendesha akili kubwa

  • @LusajoMwajeka-tf1nj
    @LusajoMwajeka-tf1nj 10 หลายเดือนก่อน +1

    Sawa mzee tupo pamoja nashukulu Sana binafsi nakuunga mkono Sanaa,

  • @IBRAHIMUSADICK-iv2rl
    @IBRAHIMUSADICK-iv2rl 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mwambukusa kwakweli hongeleni sana kwa kupambania watanzania Ibrahim kutokaka kigoma

  • @simonibonifasi3131
    @simonibonifasi3131 11 หลายเดือนก่อน +3

    Safi sana mwambusi sisi kama wanainchi watanganyika tukopamoja

  • @DanielKazimoto-do8rt
    @DanielKazimoto-do8rt 11 หลายเดือนก่อน +8

    Mungu akulinde unaeleweka vyema kbs

  • @PetroKiyeyeu-hz7qk
    @PetroKiyeyeu-hz7qk 10 หลายเดือนก่อน +1

    safi sana tufate nyayo za Nyerere magufuli

  • @jerusalemsuccess4562
    @jerusalemsuccess4562 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hii hotuba tamu kwelikweli. Nilikuwepo kwenye mkutano huu lkn nikija kwenye simu naangalia na kusikiliza. Niki fungua tena na tena bado maneno ya bukusi yananigirahisha tuuuu. Mwabukusi oyeeee. Mungu wa Mbinguni akubariki, akulinde wewe na uzao wako

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 11 หลายเดือนก่อน +4

    Well said and well understood.

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 11 หลายเดือนก่อน +1

      Calling a spade a spade and not a digging spoon

  • @LodvolaLameck-jl5vs
    @LodvolaLameck-jl5vs 11 หลายเดือนก่อน +3

    Jambo hili Mungu alilionesha kwa watumishi wake ni jambo la kupinga kwenye maombi na kwa kusema fuatilia Petrida Karch unabii juu Tz na Dubai kutokea PROMOVER TV

  • @user-de4no8od7s
    @user-de4no8od7s 11 หลายเดือนก่อน +2

    Nadhani hawana hofu ya Mungu

  • @benjaminsumuni3802
    @benjaminsumuni3802 11 หลายเดือนก่อน +1

    Na hiyo ndo Tanzania wasomi ndo Hawa very good brother