ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

Mfahamu Wakili Mwabukusi/Aeleza Historia Yake - Part 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ส.ค. 2023
  • #busokelotv #mbeya #bandari #dpw

ความคิดเห็น • 164

  • @peternyambui7492
    @peternyambui7492 ปีที่แล้ว +14

    Tunakupenda na kukupongeza sana..ndg..Naweza kukuchangia chochote ndg yangu..Wewe ni MZALENDO...wa kweli..

  • @user-sw1dv1iq6h
    @user-sw1dv1iq6h ปีที่แล้ว +31

    Hongera Kwa tumbo lilokuzaa na maziwa ulonyonya. Mwanasheria Sawa na serikali nzima. Ubarikiwe baba. Akili unayo

    • @hawaamohammed6687
      @hawaamohammed6687 ปีที่แล้ว +1

      Ashukuruwe mungu kwanza piliAshukuriwe wazazi wake kwakumpa malezi bora nasalama

  • @celinamutta5058
    @celinamutta5058 ปีที่แล้ว +32

    Kwa historia ya maisha yake, anafaa kuwa kiongozi. Tatizo la nchi zetu za Kiafrica, viongozi huchaguliwa kisiasa bila kujali uwezo wa mtu. Ikitokea baba alikuwa kiongozi wa juu serikalini au kwenye siasa, basi uzao wake ndo unafaa kuongoza wengine. Sina tabia ya kushabikia mambo ya kisiasa, lakini ukimwangalia Mwabukusi kwenye hoja za bandari , unamkubali kabisa kwa kuwa anabishana kwa hoja za msingi. Wanaombeza wana uhuru wao kufanya hivyo lakini wenye ufahamu wanamwelewa. Hongera Mwabukusi💪👍

    • @WitnessHassan-gy3rz
      @WitnessHassan-gy3rz ปีที่แล้ว +2

      Kabisa umeliona ilo

    • @missarepafra3973
      @missarepafra3973 ปีที่แล้ว +3

      Ulichosema ni kweli na hakika. Historia yako no km imefanana maeneo fulani ya maisha yangu.
      Kusoma kwa kuhamahama, kuacha taaluma na kuchagua kusomea kile unaona kinafaa, kujitoa kumsaidia majukumu ya wazazi kutokana na ukubwa wa familia, kukataliwa na watu uliotarajia wakusaidie kuvuka kimaisha, kuanza kazi private halafu kwenda serikalini. Mimi nami nilishindwa wizi na uzembe. UNAKUTA katika saa nane mtu anafanya kazi chini ya saa tatu siku imeisha au jambo la saa moja linafanyika zaidi ya wiki hadi mwezi mmoja !!!!!!!! .
      Private unajisikia kufanya kazi kulingana na unachokitoa Ili upate. Serikalini ni unajikuta unasaidia wakubwa kuiba ili nawe utambulike kwenye mfumo wa uongozi na kupewa fursa.
      Niliondoka baada ya kugombana na mkurugenzi aliyekataa kunirejesha kwenye nafasi yangu niliyoajiriwa nayo ya Supplies Asist. Officer kuniweka accounts akinipa kazi ya ku retire imperesst akiwa pale pale ofisini, kumchukulia lunch boksi akidai ni vikao hali ni maongezi binafsi na rafiki zake, mbaya zaidi mamesenja wanasubiri kufagia na kufunga ofisi saa wanayotoka bila kulipwa overtime wala kupewa lunch, Mimi "mhasibu" nikienda nanunua na mimi na pamoja na mamesenja ananigombeza, kesho nafanya vilevile ili anitoe nirudi kwenye nafasi yangu hataki.
      Mbaya zaidi( nilikuwa kitengo cha michezo) wanamichezo, wanasota hadi wanalala kwenye korido makocha (toka nje ya nchi) wanatishiwa kufukuzwa hotelini. Mafaili ya malipo yao yamerundikana kila siku nakwenda benki kuchukua pesa nikidhani anakuja kuwalipa hakuna, nagombana nae kuwasainia hataki.
      Siku ananiambia niandike barua nikamwambia wala siandiki nikabamiza lango nikatoka kama nakwenda lunch ndivyo nilivyoondoka sikurudi.
      Siku moja baadae niliajiriwa kwenye kampuni ya kimataifa, nikaendelea na maisha huku nikijiendeleza kimasomo. Nimemkumbuka mkurugenzi aliitwa Mzee Alpha Abdalah.
      Nilibahatika kukutana nae muda mfupi baada ya kustaafu yuko hoi bin taabani.
      Ubaya huzaa ubaya bali wema huzaa wema kama si sasa, baadae na kama si baadae ni baadae sana lakini lazima kanuni itimie.
      Wewe ni mkweli na mpenda haki. Ni gharama sana kubaki kwenye msimamo huo. Lakini ni raha sana kwani Mungu huwa mbele na nyuma yako daima kuliko inavyodhaniwa.
      Huko kwenye vyama nako wanafiki wametangulia wanafanya yaleyale yasiyofaa.
      Shida ya nchi yetu wachezaji wazuri wako nje ya uwanja wanaingia walionyoshewa "vidole vya mungu".
      Tusichoke kuomba haki na kweli huwa haufi. Ukiizika leo itafufuka, ukiifungia nje itaingia kwa njia yake yenyewe!!
      Haki na pacha wake ukweli ni nguvu ya Mungu tosha

    • @saidbakar-qo6ri
      @saidbakar-qo6ri ปีที่แล้ว

      Huyu sio muelewa hajui kutafsiri sheria anawapotosha wajinga kuhusu bandari anajua watanzania ni rahisi kupotoswa

    • @saidbakar-qo6ri
      @saidbakar-qo6ri ปีที่แล้ว

      Hana lolote huyu ni mwanaharakati mmbaguzi mdini ndio maana anamchukia mama samia

    • @mayalakatema2576
      @mayalakatema2576 ปีที่แล้ว +2

      ​@@saidbakar-qo6rikweli kabisa huyu ni mwongo hajui Sheria
      Ebu tutafsrie Sheria ww unayejua na usituhamishe kutoka kwenye kile ambacho ata sisi tunakifahamu sawa

  • @wiza2309
    @wiza2309 ปีที่แล้ว +13

    Mungu akutunze kaka yangu, wewe ni Jembe, unastahili sana kuwa ulivyo, Liko kusudi la Mungu ndani yako kwa Watanzania, nakuombea Mungu asimame na wewe na wote walio nyuma yqko, Mungu atatensa maana ahadi zake ni za kweli. Barikiwa sana

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 ปีที่แล้ว +13

    Mtu mwema anae kubalika na watu ana kubalika na Mungu pia, barikiwa sana

  • @user-le1mo8ru7u
    @user-le1mo8ru7u ปีที่แล้ว +16

    Historia yako imenigusa nakuombea baraka za Mungu haswa katika kutetea bandari Mungu akupe afya njema uishi miaka mingi Tanzania bara tunakuhitaji mno

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 ปีที่แล้ว

      Correction: NI Tanganyika. Wahuni hawaelewi maana ya waafrika kuungana. Mawazo ya baba wa taifa yamedharauliwa.. imebakia uuzaji nchi. Muungano huu ni dhalimu na hauna maana tena. Uvunjike.

  • @daffagunda-rm3hj
    @daffagunda-rm3hj ปีที่แล้ว +8

    Wewe unayesema yuko kwenye mwamvuli wa kanisa huo ni ushamba na kukosa elimu. Mtafute sana elimu wewe,usimwache. MWABUKUSI MUNGU AKUTUNZE SANA. AMEN.

  • @elialigoha9468
    @elialigoha9468 ปีที่แล้ว +16

    Mwabukusi mmoja ni sawa na wanasheria wote wa serikali

  • @aleckmwakibete8952
    @aleckmwakibete8952 ปีที่แล้ว +13

    MUNGU akutie nguvu kazi yako ni njema sana

  • @clememallya4257
    @clememallya4257 ปีที่แล้ว +8

    Mungu akutetee kaka umepambana na unayetea haki wanataka kukudhulumu. Yesu akulinde.

  • @tumaini_nkinda
    @tumaini_nkinda ปีที่แล้ว +6

    Mungu akubariki sana! kwa JINA LA YESUKRISTO.

  • @AbigailBateyunga
    @AbigailBateyunga ปีที่แล้ว +4

    Barikiwa, kila silaha itakayofanyika juu Yako haitafanikiwa tunailaani ktk jina la Yesu lipitalo majina yote. Amina.

  • @geofreyedwin5062
    @geofreyedwin5062 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hongera sana kionngozi your super genious

  • @user-bx3ko9ft5t
    @user-bx3ko9ft5t ปีที่แล้ว +5

    Brother mwabukusi wewe ni mzalendo nakukubali sana sana

  • @mabulamasunga7378
    @mabulamasunga7378 ปีที่แล้ว +4

    Nakupa hongera. Umepambana sana kiongozi. Keep it up

  • @philimonkajigili-hx6ph
    @philimonkajigili-hx6ph ปีที่แล้ว +7

    Kweli we we fighters, atajiju anaeoma ukikosa uwakili utakuwa umefeli maisha,ni upungufu Wa mawazo yake,unacheza miguu yote malafyale,Sasa gombea ubunge Mbeya tutakuchagua ukawafundishe sheria Kule dodoma

  • @selerenatus
    @selerenatus ปีที่แล้ว +6

    Pande za Ukerewe, nakukubali Sana brow

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 ปีที่แล้ว +5

    Kyala gwamaka Akutule Ubarikwe Ahsante kutupa historia tunakuombea Sana

  • @emmanuelmziray1073
    @emmanuelmziray1073 ปีที่แล้ว +11

    Kudos from Detroit Michigan. You are a ROLE Model.

  • @zaitunialli1223
    @zaitunialli1223 ปีที่แล้ว +4

    Mungu Mungu wa Rehma, umepambana sana. Mungu akulinde na akupe afya njema . Gombea urais kwa tiket ya Chadema uongoze nch na akina Mbowe ,Risu na wengine . Usite tamaa Mungu yupo na nawe na wananch tunakukubali pia.

  • @jumannemsengi2195
    @jumannemsengi2195 ปีที่แล้ว +4

    Comrade your real genius!! Sasa hawa mbumbu wanasumbua watu.

  • @NicolausSule-wr6jk
    @NicolausSule-wr6jk ปีที่แล้ว +5

    Kumbe hapatu kambi ya fisi babu umetisha sana sana Ndy maana unaakili sanaaaas

  • @jacobonaftari8082
    @jacobonaftari8082 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akupe maisha marefu akulinde na maadui shetani na maraika zake washindwe ktk jina la YESU zaidi ya yote mtangulize Mungu Sana Mungu akiwa upande wako hakuna aliyejuu yako usiogope simamia kile unachokiamini usiyumbe Wala kuyumbishwa, huu ndoo wakati wa ukombozi kwa mtanzania God bless you Amina.

    • @milley7185
      @milley7185 ปีที่แล้ว

      jina la yesu haliwezi kumuokoa kua wewee

    • @freduallughano2301
      @freduallughano2301 ปีที่แล้ว

      ​@@milley7185la muddy ndilo haliokoi na ndio maana mnamswalia.

    • @Ibrahimunyanda-kp2eb
      @Ibrahimunyanda-kp2eb ปีที่แล้ว

      @@milley7185 hiyo mikucha uliyo iweka kwenye picha. Wewe giza

  • @lotimwansule5017
    @lotimwansule5017 ปีที่แล้ว +8

    Wakili Mwabukusi unatakiwa kuwa Mbunge ,wengi Kule bungeni wengi ni Viraza ,utazuia mikataba inayopitishwa hovyo

    • @TPW_FLUXY
      @TPW_FLUXY ปีที่แล้ว +2

      Siyo mbunge tuu rais awe nani

    • @johnlongoy7952
      @johnlongoy7952 ปีที่แล้ว

      @@TPW_FLUXY kabisa hiki kichwa kinatakiwa kiwe pale on top

  • @danielchacha1305
    @danielchacha1305 ปีที่แล้ว +4

    Ndiyo maana unauchungu na maisha na uzalendo wa nchi yetu Tanganyika.

  • @josephmtenga6294
    @josephmtenga6294 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki Mwabukusi..nakumbuka tulisoma wote Endarofta pale o .level na tulikaa wote dawati moja..kweli ulikua una msimamo sana...umenikumbusha mbali sana class mate wangu..

  • @harunimwaisumbe8944
    @harunimwaisumbe8944 ปีที่แล้ว +2

    kaka barikiwa sana mungu akupambanie na kukupiganie sikum moja uje uwe kiongozi mkubwa

  • @user-zp4uc5jo9t
    @user-zp4uc5jo9t 11 หลายเดือนก่อน

    Nakukubali poti, mungu akubaliki sana umeonyesha, uchungu kwa chi yako marafyale, mungu akulinde sana, naomba ugombee urais tia niaya usiwaze chanagana, atukuonyesha usiende ccm ukienda ccm utabadili sabisa, utakuwa kama wao walivyo

  • @jonathanmaengo4281
    @jonathanmaengo4281 ปีที่แล้ว +4

    Surely you shall deliver 100%

  • @user-so9fo5tv3j
    @user-so9fo5tv3j ปีที่แล้ว +5

    Stay blessed and stay healthy

  • @geraldgisiput9974
    @geraldgisiput9974 ปีที่แล้ว +1

    Endarofta secondary - Karatu DC. Schoolmate Big up Mwabukusi🙏🙏🙏

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb ปีที่แล้ว +1

    Hongera mheshimiwa mungu akusimamie katika kusimamia haki daima mungu atakuinua

  • @husseinadolf9500
    @husseinadolf9500 ปีที่แล้ว

    Hongera sana na mungu akulinde kwa Kila jambo lako in Sha Allah💯🤲🙏💪

  • @theroofofafricaadventures6578
    @theroofofafricaadventures6578 ปีที่แล้ว +7

    Mwabukusi I really respect you AS a Perfect Man of the Entire Tanzania! Please let me know if I can do anything for you and and your goals let me know.!

  • @elicktilia4430
    @elicktilia4430 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mwema. Yajayo ni mema stand strong

  • @SulemanSaidi
    @SulemanSaidi 13 วันที่ผ่านมา

    duh we nomaaa kk

  • @user-im9my8wk2d
    @user-im9my8wk2d ปีที่แล้ว +4

    Gombea nafasi ya juu kama amna ziggdhdits unatoboa vzr mnoo

  • @lubatikoseme9412
    @lubatikoseme9412 11 หลายเดือนก่อน

    Umebarikiwa sana

  • @dadyintown
    @dadyintown 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde Sana 14:12

  • @jonathanmaengo4281
    @jonathanmaengo4281 ปีที่แล้ว +6

    Mungu akubaliki sana una akili sana

    • @amaningalla9420
      @amaningalla9420 ปีที่แล้ว

      Mimi wa mwamba mwenzako nakuombea sana ,na huyo mwanasheria wa serikali hakutendei haki tunaomba mungu apate ajali mbaya atatubu tutakuombea sana ila tuliza akili usihofu

    • @mdmahammad3278
      @mdmahammad3278 ปีที่แล้ว

      Bwana muleta malaki ainuliwe milele tunakuombea kwani njia ya mungu aifungwi milele

  • @amykimega3705
    @amykimega3705 ปีที่แล้ว

    Mwenyenzi Mungu akulinde.Wewe ni zaidi ya kiongozi

  • @lgffumbuka183
    @lgffumbuka183 ปีที่แล้ว

    Wanyakyusa hawa. Wagumu sana akishaamua jambo fulani. Kikawaida a geitwa Mwafulani lakini si lazima, linaweza kuwa fupi tu. Huyualitakiwa abaki udereva. Hafai uwakili.

  • @ziyadanyandwi2908
    @ziyadanyandwi2908 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana wewe ni mzalendo wa kweli

  • @izamahmasaki4795
    @izamahmasaki4795 ปีที่แล้ว +2

    Tatizo la nchi yetu viongozi huteuliwa aidha kwa rushwa , au kwa kufuata maelekezo ya kimagharibi , Cha kushangaza Ccm Ina Tawi Marekani na viongozi wengine hutokea huko bila hasta sisi kujua , et ni watanzania waishio nje ya nchi , This is terrible. poor nationality, sitizen, and uzalendo ,,, 😂

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 6 วันที่ผ่านมา

    Serikalini wanafanya kazi kwa mazoea sana,private wanataka matokeo na faida.

  • @dinakyoma5977
    @dinakyoma5977 ปีที่แล้ว

    Lulu ya wana Busokelo aliyotupa Mungu! Usajighweghe fijo

  • @user-in4pm4pd6c
    @user-in4pm4pd6c ปีที่แล้ว +1

    Mungu twakuomba mlinde kwa lolote baya,lisimpate huyu mteule wako

  • @halidmahundi1841
    @halidmahundi1841 ปีที่แล้ว +4

    Made in Chuga kabisa. Ndio maana sio ree😅

  • @EmmySimon-vm4pq
    @EmmySimon-vm4pq ปีที่แล้ว +1

    ❤damu ya YESU ikutunze

  • @Haippa-Africa
    @Haippa-Africa ปีที่แล้ว +2

    He is an asset

  • @user-zp4uc5jo9t
    @user-zp4uc5jo9t 11 หลายเดือนก่อน

    Maranyingi kitu kizuli kina vipingamizi, shetani alijua kilicho ndani yako, unaona ndoichi kilicho tokea sas dunia imeona

  • @plujoncylugano4611
    @plujoncylugano4611 ปีที่แล้ว +1

    Yes majina ya kwetu hakika

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 ปีที่แล้ว +3

    Hakika njia ya MUNGU haichunguziki

  • @user-zp4uc5jo9t
    @user-zp4uc5jo9t 11 หลายเดือนก่อน

    Umeonekana hauna tamaa ya pesa, unaonekana nkamgwangu

  • @anyabwilemwansile1558
    @anyabwilemwansile1558 13 วันที่ผ่านมา

    Msalimie nipo.

  • @user-zp4uc5jo9t
    @user-zp4uc5jo9t 11 หลายเดือนก่อน

    Tulia anasema ni msomi kumbe akuna kitu, agekuwa amesoma kama anavyo jinadi asigepitisha mkataba uyo mbovu, cyo ukolofi wanyakyusa atutaki kuonewa tunpenda haki ukueli atutaki uonevu tuapenda haki asante

  • @YekoniaLivingstone
    @YekoniaLivingstone ปีที่แล้ว +1

    Tunahitaji wananchi kama Hawa ,wawe viongozi katika sekta muhimu za kiuchumi Ili Tanzania ipate maendeleo

  • @josephlukumay299
    @josephlukumay299 ปีที่แล้ว +2

    Hafai kuigwa na jamii kabisa.

  • @user-zp4uc5jo9t
    @user-zp4uc5jo9t 11 หลายเดือนก่อน

    Nakuomba kagembe masuku mbelile 20:19 20:20

  • @kitambatv8363
    @kitambatv8363 ปีที่แล้ว +3

    Kandete ndo kwetu ikubo ndo nimezaliwa huko itebe nakwelewa kaka na nakukubar ijapo kwa Sasa napambana dar

    • @samwelimwalindu3735
      @samwelimwalindu3735 ปีที่แล้ว +2

      Kandete leo nilikuwa huko gombea Jimbo liko wazi kabisa tukuone bungeni baba kajujumele

    • @samwelimwalindu3735
      @samwelimwalindu3735 ปีที่แล้ว +2

      Nakupenda sanaaaaaaaaàaa baba yangu

    • @kitambatv8363
      @kitambatv8363 ปีที่แล้ว +1

      Haha nimepakumbuka Sana tangu 2020 nikiskia panatajwa hivyo mnafanya nipamisi sana

  • @peterkalimba1507
    @peterkalimba1507 ปีที่แล้ว

    Napenda kujitemea kwake ni jasiri

  • @nicholausmtamba327
    @nicholausmtamba327 ปีที่แล้ว

    Inavutia sana kusikiliza ulipotoka kitaaluma.

  • @leakeychikombe203
    @leakeychikombe203 ปีที่แล้ว

    Jipe moto mkuu Mimi nikopamola na watanganyika wa kutunza Mali zetu ni urithi wetu.hao waliopewa dhamana halafu wanatusaliti wasome Yuda Iskarioti kumsaliti Yesu .Nini matokeo ya usaliti wake?Yuda alikufa vibaya sana na familia yake tote mpaka wazazi.tusirudi nyuma wametuchezea sana

  • @TPW_FLUXY
    @TPW_FLUXY ปีที่แล้ว +1

    Gombea urais brother hiyo nafasi itskuwaxnzuri kwako tunaongizwa na vilaza siyo ubunge gombea urais kabisa

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 ปีที่แล้ว

    MANDELA WA TZ AU MARTIN LUTHER KING WA KARNE HII.TUNAKUOMBEA DAMU YA YESU IKUFUNIKE.VITA YAKO NA MWARABU SI NDOGO KAMA TUNAVYOFIKILI.

  • @joesydney3646
    @joesydney3646 ปีที่แล้ว

    Noted thanks

  • @user-zp4uc5jo9t
    @user-zp4uc5jo9t 11 หลายเดือนก่อน

    Ntakuja kwenye kampeni kwanili yako

  • @onesphorymgedzi995
    @onesphorymgedzi995 ปีที่แล้ว

    Hongereni kwasafa nyingi mnazompa lakini kuongea kwa wanasheria nitofauti sana na kutenda kazi ,ninavyo wajua wanasheria ndio haohao waliotufikisha hapa kwenye mzozo huu na stkikuami kwamba watu waaina ya huyu mtu wanaweza tusaidia kama nnchi tukapata maendeleo ,na kwutafiti wangu maokoto ndio shida nainawezekana sisi tunapongeza kumbe wenzetu washalamba lamba asali

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 ปีที่แล้ว

    Mtu wa Rchuga

  • @richardtiganya9559
    @richardtiganya9559 ปีที่แล้ว

    Tuendelee na mapambano ya kufikia uhuru kamili

  • @user-zp4uc5jo9t
    @user-zp4uc5jo9t 11 หลายเดือนก่อน

    Mimi nipo Dar nikija ntakutafuta Mimi nyumbani tukuyu masukulu naomba namb namba yako

  • @moseamshani595
    @moseamshani595 ปีที่แล้ว

    Salute

  • @user-wf9ik1em6m
    @user-wf9ik1em6m ปีที่แล้ว

    SEMA mbunge wetu wa Mbeya

  • @drdd774
    @drdd774 ปีที่แล้ว +2

    Hii nchi ina mawakili wachache wazuri na wazalendo kwa Taifa lao, mmoja ni nwabukusi.

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 ปีที่แล้ว

    @user-le1mo8ru7u Correction: NI Tanganyika. Wahuni hawaelewi maana ya waafrika kuungana. Mawazo ya baba wa taifa yamedharauliwa.. imebakia uuzaji nchi. Muungano huu ni dhalimu na hauna maana tena. Uvunjike.

  • @fanuelingalawa6160
    @fanuelingalawa6160 ปีที่แล้ว

    Kwa Nazi na ujasili ulio nao Mungu akusimamie

  • @makobamasawemangu4122
    @makobamasawemangu4122 ปีที่แล้ว

    Jamaa yangu binafsi nimekuelewa

  • @jericomwamsiku9088
    @jericomwamsiku9088 ปีที่แล้ว

    Gombea ubunge kamanda tena kwenye jimbo la Tulia ackson ili tulipe fadhira ya kukupa kura 2025 unapambana sana

  • @uswegehamza5968
    @uswegehamza5968 ปีที่แล้ว +1

    mwabukusi ni lissu mtupu

  • @deusNjimba
    @deusNjimba ปีที่แล้ว

    Ingekuwa wewe ndie mwana sheria mkuu wa selikali hakika usinge ukubali mkataba huu

  • @jumannemsengi2195
    @jumannemsengi2195 ปีที่แล้ว +2

    Huyo wakili bado yupo???

    • @dostovan5142
      @dostovan5142 ปีที่แล้ว +1

      Kama Wasira bado yupo huyu na nani asiwepo

    • @jamessiame5169
      @jamessiame5169 ปีที่แล้ว +1

      Wasila wazamani yupo yupo

    • @George-jz3jg
      @George-jz3jg ปีที่แล้ว +1

      Swali lako linalenga Nini? Au unahoji Nini hii ni mashine ndugu iache ichape kazi

    • @jumannemsengi2195
      @jumannemsengi2195 ปีที่แล้ว

      @@George-jz3jg bila shaka kwa kuwa ckudadavua upo sawa kuuliza maaana yng huyo WAKILI aliyemjibu YUPO anashuhudia madini haya anayoyatoa Mh. Mwambukusi?

  • @anselmoonolius
    @anselmoonolius ปีที่แล้ว

    Nchi hii tunahitaj raisi mwanasheria kiukweli

  • @tanzaniamycountry9308
    @tanzaniamycountry9308 ปีที่แล้ว

    Mwamba

  • @robisonikadogo7371
    @robisonikadogo7371 ปีที่แล้ว

    Tena Simba tunashida ya golini tusaidir

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 ปีที่แล้ว

    Uwe kabunge tu ila kajeuli sijui huko majilani

    • @NtamamiloGibson
      @NtamamiloGibson 11 วันที่ผ่านมา

      Ni mtu mmoja hapendi mtu aonewe tulishaishi sehemu moja hakai kimya aikiona mtu anaonewa ndipo viongozi wengi hawampendi.

  • @saidbakar-qo6ri
    @saidbakar-qo6ri ปีที่แล้ว +2

    RUDI KAENDESHE DALADALA KUMBE HATA ELIMU YAKO NI YA KUUNGAUNGA NDIO MAANA UNAWAPOTOSHA WATU JUU YA BANDARI HUNA ELIMU KANJANJA WEWE ACHA KUMTUKANA MAMA WAKATI WEWE ULILELEWA NA MAMA PAKA WEWE

    • @anselmoonolius
      @anselmoonolius ปีที่แล้ว +1

      Elimu ya huyo mamaako unaijua alivyoipata?

    • @nicodemusngwala2079
      @nicodemusngwala2079 ปีที่แล้ว +1

      Unajua elimu Ni Nini .. huyu ni genius .... Siyo mchezo Hilo unatakuwa kulijua .....

    • @obedlyimo3302
      @obedlyimo3302 ปีที่แล้ว

      Unayo wewe na mpiga mwingi

    • @obedlyimo3302
      @obedlyimo3302 ปีที่แล้ว

      Na ya mama yenu ya vipande vipande

  • @mosaidi2633
    @mosaidi2633 ปีที่แล้ว +1

    Hukuwa na baba mbona humtaji

    • @user-fy9uk4oh7x
      @user-fy9uk4oh7x ปีที่แล้ว

      Mbona kamtaja fatilia story Toka mwanzo

  • @saidbakar-qo6ri
    @saidbakar-qo6ri ปีที่แล้ว +1

    WALIKUKATAA KWA SABABU HAUKUWA NA VIGEZO

  • @saidbakar-qo6ri
    @saidbakar-qo6ri ปีที่แล้ว +2

    NDIO MAANA HANA NIDHAMU KUMBE ALIKUWA DEREVA WA DALADALA

    • @obedlyimo3302
      @obedlyimo3302 ปีที่แล้ว

      Hunanidham na wakwenu

    • @vaikaayagadiel520
      @vaikaayagadiel520 ปีที่แล้ว

      Kwani kazi ya udereva wa daladala si kazi,.mbona ndo wanaotupeleka kupata riziki zetu. Toa hoja.usidharau kazi za watu

  • @popekatalango9409
    @popekatalango9409 ปีที่แล้ว +1

    historia yake yasaidia nn mpotoshaji,na atarudi huko huko kwenye madaladala

    • @missarepafra3973
      @missarepafra3973 ปีที่แล้ว

      Kufaa! Kwa jina la Yesu.

    • @popekatalango9409
      @popekatalango9409 ปีที่แล้ว

      sifi hivyo kjinga mtakufa nyie mtaniacha

    • @sophiaommy8343
      @sophiaommy8343 ปีที่แล้ว +1

      Kaa kwa kutulia sawa ikuingie huyu ndio yeye ajae kwa jina YESU

    • @popekatalango9409
      @popekatalango9409 ปีที่แล้ว

      @@sophiaommy8343 anakuja huko kwenu unyakyusani

    • @emanuelmichael4630
      @emanuelmichael4630 ปีที่แล้ว

      Na kwa ukuu wa Mungu huyu atakuwa kiongozi mkubwa sana katika hii nchii Mungu sio Mwanadamu Na hakika kama Aishivyo Mungu huyu atakuwa mfalme mithili ya sulemain

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji ปีที่แล้ว +1

    WAKILI MCHWARA AMBAYE YUKO NA MASLAHI YA KANISA LAKATOLIKI NA MAJIZI PALE BANDARINI 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿NDIO MAANA KELELE NYINGI NA ANAONGEA PUMBA 🥵🥵🥵🥵🥵

    • @oscarkasalile3966
      @oscarkasalile3966 ปีที่แล้ว +1

      Wewe hujielewi unaweza kuta wewe Kula kulala huyu wakili ni faita,watanzania wengi tumepitia maisha ya kuhaswa.

    • @jamessiame5169
      @jamessiame5169 ปีที่แล้ว +1

      Ommy ujielewi kabisa wewe ni pumba

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji ปีที่แล้ว

      @@oscarkasalile3966 WAGALATIA MKO DESPERATE MUMEJULIKANA 🥵🥵🥵🥵🥵🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji ปีที่แล้ว

      @@jamessiame5169 NYINYI WAGALATIA NDIO HAMJIELEWI HALELUYA

    • @wakatinisasa
      @wakatinisasa ปีที่แล้ว

      Kwani shida katoriki wewe baki na mskit

  • @elizabethringo7154
    @elizabethringo7154 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana mungu akubariki na alinde familia yako mpambanaji tunakuombea