ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

Wakili Mwabukusi Ajibu Mapigo, 'Mimi Sio Mtu wa Kutishwa'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ก.ค. 2023
  • Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com....
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2022 © All Rights Reserved.

ความคิดเห็น • 95

  • @juliusjohnii7823
    @juliusjohnii7823 ปีที่แล้ว +2

    Mungu wetu pekee aliye mkubwa sana anasimama pamoja na mwambukusi na pamoja na watanganyika. AMEN.

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 ปีที่แล้ว +4

    M/mungu azidi kukupa Afya njema na maisha marefu na Uzima 😢😢😢😢😢 🤲🤲🤲🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @yohanamdemu9232
    @yohanamdemu9232 ปีที่แล้ว +2

    Mwabukusi wembe ni huohuooooo, Mungu akulindeeeee, udum baba

  • @madaiincubationcenter4947
    @madaiincubationcenter4947 ปีที่แล้ว +3

    Mungu wa Afrika azidi kikulinda zaidi ya maadui zako tunakutegemea sana nasikiliza had natamani niwe na utashi kama wewe.

  • @Evangelism2023
    @Evangelism2023 ปีที่แล้ว +1

    Duh hakika naona ukombo ukitokea kupitia wewe...
    Yesu akutie nguvu sana.
    Taifa hili linakuombea

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 ปีที่แล้ว +6

    Roho inaniuma Sana huyu jamaa anaongea kutoka rohoni mungu atakusimamia

  • @benedictmwaibasa2856
    @benedictmwaibasa2856 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana Mwabukusi, maelezo yako yamejengwa kwa vithibitisho (evidence based). Kuna watu wanasema wamesoma sana lakini kwa bahati mbaya wamekosa busara ya kuwashirikisha wananchi badala yake eti wanawaelemisha wananchi.

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 ปีที่แล้ว +6

    Nakuombea sana kwa Mungu Mwabukusi

  • @StephenKimondo-qw3et
    @StephenKimondo-qw3et ปีที่แล้ว

    Hongera sana kwa msimamo wako kuhusu hili jambo la Bandari. Umeonesha uzalendo wa kiwango cha juu sana kwa nchi yako. Tuko pamoja. Tunakuunga mkono. Tutakuombea kwa Mungu awe mlinzi na mtetezi wako daima. Tunapokuombea, pia huku mitaani tutajitolea kukulinda. Hatutakuacha peke yako. Unayo nguvu ya Umma kila mahali hapa nchini. Huku mitaani una jeshi kubwa la Watanganyika wanaokuunga mkono. Usihofu, nguvu ya umma iko pamoja na wewe!

  • @user-de2rg9kk7u
    @user-de2rg9kk7u ปีที่แล้ว +1

    Shujaaaa wanguu 💪👍💪💪 tutaendelea Kuwakemea HAwa Viongozi wapuuzi wakiongozwa na Samia suluhu Hassan mpaka mwisho

  • @jamessuleman2735
    @jamessuleman2735 ปีที่แล้ว +1

    NATAMANI SANA UNGEKUWA BABA YANGU "WE ARE PROUD OF YOU"💪💪💪💪💪💪

  • @scaveyy5428
    @scaveyy5428 ปีที่แล้ว +1

    Hivi huyo jamaa kipindi cha watu wasiojulikana walikua wanauwa watu awamu ya tano alikua wapi kutetea wananchi

  • @nakali79
    @nakali79 ปีที่แล้ว +1

    Akili nzuri

  • @peterdaimon-ug6fd
    @peterdaimon-ug6fd ปีที่แล้ว +2

    Viongozi wasisubili Mambo yaharibike watanzania hatutaki mkataba ukaye vizuri

  • @kapondazenaida-nq5hk
    @kapondazenaida-nq5hk ปีที่แล้ว +1

    Mungu atulinde watanzania TANZANIA kwanza tuilinde nchi yetu

  • @user-we5px7gp2r
    @user-we5px7gp2r ปีที่แล้ว +1

    Safi kabisa Kaka utaongeaje na majitu mango kiasi hicho wala hawana hata hofu ya Mungu.

  • @mariamtassama8202
    @mariamtassama8202 ปีที่แล้ว +1

    Bravo bravo bro we real depend on you

  • @joblulandala8614
    @joblulandala8614 ปีที่แล้ว

    Hongera kumbe Tz tunawatu makini sana!,

  • @apiovlwiwa2576
    @apiovlwiwa2576 ปีที่แล้ว +1

    #Mabukusi....pigilia misumari.....Uzalendo wa nchi kwanza.

  • @josephmoshi
    @josephmoshi ปีที่แล้ว +2

    Kweli mungu pamoja nawe.

  • @charlessolomon5928
    @charlessolomon5928 ปีที่แล้ว +1

    Nakuelewa saaaaana pambana

  • @masumbukomaganga438
    @masumbukomaganga438 ปีที่แล้ว

    Kumbe tunao watanzania wachache wenye uthubutu na weledi wa mambo na uzalendo wa nchi Mungu akuongoze tuonyeshe njia na sisi tusio jua haya mambo maana sisi wengine ni washereheshaji tu kwenye vijiwe, lakii nyie mliosomea sheria na taaluma zingine zote tuteteeni na sisi

  • @perfectpixelsstudio3603
    @perfectpixelsstudio3603 ปีที่แล้ว +2

    Huyu ndo mtanzania wakwanza namuona anaakili ukitoa mimi

    • @FrankMakando
      @FrankMakando ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂

  • @allenmongi4772
    @allenmongi4772 ปีที่แล้ว +1

    Hongera bro Mungu akusimamie

  • @albertrugimbana
    @albertrugimbana ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki na akusomamie

  • @williamjoakim304
    @williamjoakim304 ปีที่แล้ว

    Kaka uko vizuri sana,Mungu azidi kukusimamia🔥

  • @denisnjaila2182
    @denisnjaila2182 ปีที่แล้ว +1

    Bado Kuna sisiemi hawaelewi mpka Sasa 😂😂😂

  • @peterdaimon-ug6fd
    @peterdaimon-ug6fd ปีที่แล้ว +1

    Hongeraa mwabukusi😊

  • @allyfaraji4200
    @allyfaraji4200 ปีที่แล้ว +2

    Una baya wakili mwabukusi tupo nyuma yko

  • @husseinjosephitocho6754
    @husseinjosephitocho6754 ปีที่แล้ว +3

    mwanasheria mkuu inavyoonekana kichwa chake kazi yake ni kuota nywere tu na sio kufikili

  • @Ashangaipaulo-yn1hq
    @Ashangaipaulo-yn1hq ปีที่แล้ว +1

    Mungu ata kusaidia uwongo siku sote inauma lasima wanajaribu kufuta aibu yao asionekane kwa kukamatkamata

  • @MuddyMwita-ip2mb
    @MuddyMwita-ip2mb ปีที่แล้ว

    We ni mwanaume mungu akusimamie tuko nyuma yko kw hawa mafisadi

  • @yawepetro2049
    @yawepetro2049 ปีที่แล้ว +1

    Kwel baba tuko pamoja uoga mwiko

  • @roidambwilo6469
    @roidambwilo6469 ปีที่แล้ว

    Mungu akuzigile baba yetu ukweli siku sote unauma

  • @cavinjohn-9648
    @cavinjohn-9648 ปีที่แล้ว +3

    One love my brother

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 ปีที่แล้ว +1

    Hii ni Tics b inapandikizwa kwa nguvu baada ya tics A kuzoeleka...lakini tujiulize: kama hakuna anayeshi milele,wala kuondoka na kitu, madaraka,ufisadi,kujilimbikizia ukwasi wa kupindukia kwa kuwatesa wengine faida yake ninini hasa zaidi ya kula na kunywa tukifurahi pamoja?!

  • @ramadhanchenga4606
    @ramadhanchenga4606 ปีที่แล้ว +1

    Ww ni mwanaume kabisa

  • @isayaemmanuel7069
    @isayaemmanuel7069 ปีที่แล้ว

    Tuko pamoja sana mungu akubaliki sana

  • @raphaelondego7703
    @raphaelondego7703 ปีที่แล้ว

    ......kusi we r there with you.
    Watanzania tutekeleze haki zetu.

  • @AlfayoMartinOloilole-ji9gc
    @AlfayoMartinOloilole-ji9gc ปีที่แล้ว

    Sina swali 💪

  • @allanmbilinyi4826
    @allanmbilinyi4826 ปีที่แล้ว

    KUNA WAZALENDO , WAKILI MWABUKUSI NI MZALENDO HALISI TUPO NYUMA YAKO .kitu kibaya ni kibaya TU huwezi kukiremba kiwe kizuri wakati ni kibaya.WASOMI, MAPROFESOR AKINA SHIVJI,AKINA MZEE WARYOBA,TIBAIJUKA WANASEMA MKATABA NI HOVYO,WEWE UNASEMA MKATABA MZURI MBONA UNAJIFEZERESHA,UNAJIZARAURISHA KWANINI USIJIFUNGIE NDANI UUSOME MKATABA KWA MAKINI .NIMJINGA HATA KAMA UMESOMA UMESOMA NINI KAMA NI KAZI UKIPATA KWAKUPITIA KWA WAGANGA WAKIENYEJI HUNAKITU KICHWANI.WENGI WAPE .JIBU HOJA UNAWABAMBIKA WATU KESI UNAWAWEKA NDANI ,UNAWATISHIA KUUA ,CHEO NI DHAMANA MUNGU SIO MJOMBA WAKO.HAKI ITATENDEKA .WATANGANYIKA HATUTAKI MKATABA HUO.AFADHALI KATIBU MKUU WA CCM UMESOMA KWA MAKINI UMEELEWA KITU WANACHOPINGA.

  • @JosephinaLuoga-lo9os
    @JosephinaLuoga-lo9os 8 หลายเดือนก่อน

    Hakika bro unastahili kuungwa mkono Kwa nguvu zote. Wewe ni mzalendo WA tanganyika

  • @nicolousmwakalengela2258
    @nicolousmwakalengela2258 ปีที่แล้ว

    Naaam namna hiyo Chief Huwezi kuwa mpinzani ukiwa kunguru Lazima uwe Jasiri

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 ปีที่แล้ว +1

    Wewe ni MZALENDO waukweli na Mungu wetu wa Mbinguni aendelee e

  • @sememakolo9360
    @sememakolo9360 ปีที่แล้ว +1

    Komaa nao wanafanya mambo yaajabu wakiambiwa wanasema wametukanwa

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 ปีที่แล้ว +1

    NAONA ANAFAA KUWA MWANA SIASA
    AUDE CHAMA YEYE NA DR SILAH

  • @chegebukoli1914
    @chegebukoli1914 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akupe nguvu mzalendo wa kweli wa Tanganyika

  • @yohanamdemu9232
    @yohanamdemu9232 ปีที่แล้ว +2

    Mwandishi huyu wa habari alistahili aambiwe mpumbavu ana vimaswali vya kipumbavu

  • @KibabuJanabi-cu2bp
    @KibabuJanabi-cu2bp ปีที่แล้ว

    Sawa sawa sawa kabisa kamanda Tanzania kwanza Ukweli haujifichi wewe Mungu akutunze tu Anotisha ni Mungu pekeake hao ukweli unawazuru au unawatia wasiwasi na Binaadamu yoyote Ukimwambia Ukweli huelewa Sasa Kuna Hawa wenzetu wasotaka kuelewa sijui tuwaite Nani jamani huu ni mwaka wa 2023 sio kipindi kile cha 1962 ilikuwa Tanzania watu hawajaenda school wengi na Mapinduzi Yana nguvu lakini saivi Dunia imesepa kila mtu anajua kushinda mwengine Sasa Tuache Tena matumbo baya zaidi wanojua ndo tunawatisha wasiseme tunawafunga jela tunawauwa Sasa hii hatari Tunaitafuta watanzania tunafunga kizazi chenye chuki na SERIKALI Yao siku wakichoka Hawa Watanzania Mungu atuepushe Tutaitafuta Amani kuirejesha itakuwa tabu Tutizame Congo Rwanda Burundi Kenya nk Sasa tunakuombeni Viongozi Msitake Kutupeleka huko Mungu Ibariq Tanzania Mungu wabariq Watoto wa Tanzania Mungu M Bariq Raisi wa Tanzania

  • @frankmushi8892
    @frankmushi8892 ปีที่แล้ว

    Nakukubali Niko pamoj nawewe

  • @zunguissa785
    @zunguissa785 ปีที่แล้ว

    Kama unania ya that I kweli mungu atakutangulia na wanyonge watakukimbilia

  • @RugemaliraRenatus-rf6yv
    @RugemaliraRenatus-rf6yv ปีที่แล้ว

    Kinachonishangaza siku zote walikuwepo mpaka tunawekeza pesa pale, kwa mara ya kwanza ikatinga meli yenye magari 30000 tukaambiwa bandari imeanza kutoa matunda baada yakina na miundo mbinu kufanyika , Gafla wanateuliwa kuongoza kitengo mara wanagenguliwa ,mara uwekezaji mpya .mmmh yetu macho.

    • @frankomary3888
      @frankomary3888 ปีที่แล้ว

      Usiseme yenu macho tutakao athirika ni ss watanzania.kwenye kupambania haki lazima tushiriki wote ili kuonesha tupo serious

  • @jacobwarieba5841
    @jacobwarieba5841 ปีที่แล้ว

    Kama kamati unakaliwa na wanaotoka serikali wananyanyasa mawakili alafuu hicho sheria wafute

  • @ziadasadiki8196
    @ziadasadiki8196 ปีที่แล้ว

    Mbona HAMKUWATOA WASIOJULIKANA WAUAJI NA MAJAMBAZI WANYANG'ANYI VIONGOZI?? LEO HII NDIO KUNA WANAUMME?? UNGEWALINDA BASI WALIKUWA WANAUWAWAW NA KUTEKWA??

  • @user-de2rg9kk7u
    @user-de2rg9kk7u ปีที่แล้ว

    HII ni Nchi ya WATANGANYIKA sio ya Samia suluhu Hassan

  • @amalikakiva4937
    @amalikakiva4937 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa na hizi kuna watu ndani ya serikali wako nyuma yke,kuna uwezekano ndani ya serikali kuna wasaliti wengi

  • @user-bx3ko9ft5t
    @user-bx3ko9ft5t ปีที่แล้ว +1

    Mwabukusi tuko nyuma yako

  • @maase2023
    @maase2023 ปีที่แล้ว

    Mkataba upo wazi na wote tunausoma hebu tuonyeshe ni wapi palipoandikwa bandari imeuzwa?

  • @frankomary3888
    @frankomary3888 ปีที่แล้ว

    MUNGU akulinde dhidi ya vita hii kali ya kiuchumi

  • @amalikakiva4937
    @amalikakiva4937 ปีที่แล้ว

    Tulia kazi anayo kwenye ubunge mbeya mjini!!

  • @jenipherkyando4822
    @jenipherkyando4822 ปีที่แล้ว

    Watanzania tunajitambua kweli?

  • @jacobwarieba5841
    @jacobwarieba5841 ปีที่แล้ว

    Katiba mpyaaa ipatikane haraka

  • @user-qo8uj1ym4m
    @user-qo8uj1ym4m ปีที่แล้ว +1

    Acha uwongo huna lolote sio ww wala mbowe wala lisu wa wasira wala maaskof wala mapadri ulaji wenu wana makanisa sasa utumeuna Kwisha tangu1970mwala pekeyenu makanisa sasa hatutoi bara ongea ht ulie chozi la mwisho

  • @lusajomwakalinga5813
    @lusajomwakalinga5813 ปีที่แล้ว

    Mkanganyiko ni mkubwa Sana.

  • @maase2023
    @maase2023 ปีที่แล้ว

    Mkataba upo na sote tunausome through internet media hayo ya kuuzwa bandari ni uzushi tu mnaoleta ambao si kweli kabisa! Bandari imeingia ubia tu na sio kuuzwa acheni uzushi

    • @frankomary3888
      @frankomary3888 ปีที่แล้ว

      Si utoke adharani uutetee uo mkataba mbona unajificha uku,au nyie ndo walewale DP

    • @maase2023
      @maase2023 ปีที่แล้ว

      @@frankomary3888 ingia Google Andika dp world with tanzania utauona acha kusikia propaganda zao hao

    • @maase2023
      @maase2023 ปีที่แล้ว

      @@frankomary3888 hao kina mwambukusi na tundu ni fix tu. Fungua uusome Kisha niambie wapi bandari imeuuzwa

  • @leonardZacharia-jg8no
    @leonardZacharia-jg8no ปีที่แล้ว

    Wanapo Kaa madalakani wanasahau kuwa wapo kwa muzamana wawananchi tutawasubilia kwenye Kula .

  • @user-io3tw4um4q
    @user-io3tw4um4q ปีที่แล้ว

    Kaka tuko nyuma yako tumechoka atwendi Burundi wenyewe ndio wataenda

  • @rogarthseguke-pw8dp
    @rogarthseguke-pw8dp ปีที่แล้ว

    Wewe ni chuma Cha pua wewe ni lulu kama hakuna unafki ndani yako

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌。

  • @abdundimbo5170
    @abdundimbo5170 ปีที่แล้ว

    Muogawewe unaombakampani subiruwone umekanyaga moto subiriukuungze nanjaayakohiyo

  • @azizbashir
    @azizbashir ปีที่แล้ว

    VUA SASA NGUO NAONA KICHA CHAKO INAZIDI KUKUA WEWE NI MWEU TUWACHA KELELE

    • @williammbuzimai5744
      @williammbuzimai5744 ปีที่แล้ว +1

      Hata kuandika bado hujui,
      What more sheria!
      Kumbe bora ukae kimya.

    • @azizbashir
      @azizbashir ปีที่แล้ว

      HIVI KUNA MTU ANASHINDANA SHERIA HUYO MWABUKUSI CASE HPI KUBWA AMEWAI KUSHINDA NAOMBA CASE. MOJA KWENYE TANZANIA LOWER RIPORT KUNA CASE MWABUKUS AU LISU AMBAYO WALISHINDA MAHAKANI NYINYI WADANGANYIE WATU WA WALIO LOSE MAISHA WANAPENDA KUSIKILIZA VICHAA

    • @MkudeSimba-fg1sf
      @MkudeSimba-fg1sf 9 วันที่ผ่านมา

      Pole Sana nyama imbwa unamtu imbwa nyama sana

  • @danielchacha1305
    @danielchacha1305 ปีที่แล้ว

    wewe ni mzalendo unayejitambua

  • @AntonyMarwa-wc5df
    @AntonyMarwa-wc5df ปีที่แล้ว +1

    Macho yako ni mawili ila kila jicho lako linatoa ujumbe fulani. Simama.

  • @AbdallaJuma-tx5ck
    @AbdallaJuma-tx5ck ปีที่แล้ว

    Acha ufisadi uwo mpumbavu mmmoja

  • @dullnach2310
    @dullnach2310 ปีที่แล้ว

    Wazee wako wapi waliokuachia uwo urithi bandari wenyewe Zanzibar mpaka wetu chalinze mwisho

  • @akidajulius1581
    @akidajulius1581 ปีที่แล้ว

    NAONA YATAMTOKEA KAMA YA FATUMA KALUME, WATANGIA VYETI VYAKE ,

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji ปีที่แล้ว

    WACHA UWONGO MGALATIA NJAA KALI UKO KWA MASLAHI YA KANISA SIO YA WANANCHI 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿MAASKOFU NAO WANALIA SADAKA ZIMEPUNGUA DP WORLD WAKIJA HAKUNA TENA MAJIZI HATA SINDANO HAIPITI 🥵🥵🥵🥵🥵

    • @godfreymwamaso2424
      @godfreymwamaso2424 ปีที่แล้ว

      Yaani taifa letu kuwa na watu wasiyo na uwezo wa kufikiri kama wewe ni tatizo hakuna unachokijua nenda msikitini kaswali huna capacity thinking

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji ปีที่แล้ว

      @@godfreymwamaso2424 WAGALATIA MNAENDA KANISANI KUNUNUA PAPAI MILION MNAAMBIWA LIMETOKA MBINGUNI 🥵🥵🥵🥵THINKING CAPACITY YENU NI PUMBA THANKS GOD NIMEKIMBIA HUKO 🥵🥵🥵🥵🥵MAASKOFU WENU NI MAJIZI NDIO MAANA WANAPIGA KELELE WAMESAHAU HATA KUSOMA BIBLE HAHAHAHA FROM KYELA TO TUKUYU 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @fredmgalla-xv2gy
      @fredmgalla-xv2gy ปีที่แล้ว

      Nimekubali mwabukusi ni wakili msomi kuliko wasomi wa nchi hii tunaoamini usomi kwa wingi wa vyeti na kuitwa doctor au professor

    • @sifamwakaniemba443
      @sifamwakaniemba443 ปีที่แล้ว

      Nonsense