ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

LISSU: Nchi Inafilisiwa kwa Mikataba Mibovu. Amkumbuka Tena Magufuli

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 152

  • @user-ig5yn4zp2u
    @user-ig5yn4zp2u ปีที่แล้ว +7

    Ila kweli ni lini sisi wenyewe tutasimamia mambo yetu?? Hatuwezi kuishi kutegemea kila kitu kiendeshwe na wageni.

  • @othmarluwawilo8308
    @othmarluwawilo8308 ปีที่แล้ว +1

    Asante professional Lisu kwa kuwaelimisha watanzania

  • @emmanuelmsabila4875
    @emmanuelmsabila4875 ปีที่แล้ว +9

    Sio rahisi kumwelewa huyu bwana kwani inahitajika akili kubwa sana kuliko kawaida

    • @kisangageorgethomasi2830
      @kisangageorgethomasi2830 ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @zawadimbwambo1091
      @zawadimbwambo1091 ปีที่แล้ว +1

      Huyu jamaa ni madini tupu, ndio maana hakufa kwa marisasi meengi, kwakga mungh hamgachi mtu wa haki,

    • @ipyanapaulo4774
      @ipyanapaulo4774 ปีที่แล้ว +1

      Nikweli kabisa risu yupo sawa sana ila kwa wajinga hawezi kumuelewa kabisa

    • @alicempuya5238
      @alicempuya5238 ปีที่แล้ว

      ​@@zawadimbwambo1091kweli kabisa

  • @othmarluwawilo8308
    @othmarluwawilo8308 ปีที่แล้ว +8

    Asante Lisu nina uchungu zaidi yako, nitasemea wapi?

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 11 วันที่ผ่านมา

      Kweli tutasemea wapi-!!

  • @patrobamalema8631
    @patrobamalema8631 ปีที่แล้ว +2

    MTANIKUMBUKA KWA MAZURI NA SII KWA MABAYA😅😅😅😅😅😅🏃🏃🏃🏃🏃

  • @user-el6mm4lh4m
    @user-el6mm4lh4m ปีที่แล้ว +1

    Na yeye mbnaa aliponda sana utawala wa magufuli na mama amejitaidi kufanya tofauti yale ya awamu tano huyu huyu teena amekuwa kipaumbele kumpnga mama zuri kwake nilipi mwenyezi mungu ampe nguvu mama asimame imara lengo la huyu jamaa kumharibia mama kisiasa watanzania tusimame imara kuelimishana huyu jamaa mubinafsi afu mnafki yy haoni mema anaona mabaya2

    • @frankmushi8892
      @frankmushi8892 ปีที่แล้ว

      Wewe ni pimbi uwezi muelewa uyu lisu kwakuwa akili yako ni ndogo sana inatosha kula na kunyaaa

    • @thamani5842
      @thamani5842 ปีที่แล้ว

      ​@@frankmushi8892tutamuelewa vipi na haeleweki?

  • @frankmushi8892
    @frankmushi8892 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa nakubali sanaaa mungu tulindie iki chumaaa kije kitawale hii nnchi

  • @eliannko
    @eliannko ปีที่แล้ว +2

    Mi sijui kweli kwanini nchi inaviongozi wa vivu wa kufikiria sisi sio watu wakusaidiwa Kila kitu adi kutengeneza kibiriti

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 ปีที่แล้ว

    Tutamkumbuka sana hayati magufuli mungu amlaze mahali pema peponi amina amka magufuli uone nchi inauzwa ulikataa mikataba mibovu sasa nchi imeuzwa kwa waraabu bandari zote na maziwa sijui vizazi vya sasa na vijavyo vitaishi vipi mungu tenda miujiza mkataba ufe

  • @user-gb8zc1yl4h
    @user-gb8zc1yl4h ปีที่แล้ว +1

    Asante baba kuelewa shida

  • @henryndosi2002
    @henryndosi2002 ปีที่แล้ว +4

    Tundu lisu shoga huaminiki ni mpotoshaji mkubwa

  • @abelbehumble255
    @abelbehumble255 ปีที่แล้ว +1

    Sijui watanzania mnataka nini tena huyu mwamba hakufa kwa yale marisasi kuna sababu muhim amewekwa kuja kuikomboa Tanzania Mungu amlinde sana Lissu

  • @othmarluwawilo8308
    @othmarluwawilo8308 ปีที่แล้ว +2

    Samia wee, ni Lini utapata akili ya kujitambua kuwa maovu unayotenda yatakurudia?

  • @husnashehe1721
    @husnashehe1721 ปีที่แล้ว +1

    Wakit wa magu alikuwa mnasema muwaji saiv kafa mnamsifu siasa bwana kitu hatari

    • @emariusrush3285
      @emariusrush3285 ปีที่แล้ว

      simamia suala la bandari,acha nyonyoko

  • @user-el6mm4lh4m
    @user-el6mm4lh4m ปีที่แล้ว +1

    Na atambue hkna binadamu yyte anayeweza kufanya mazuri bila mabaya na binadamu hata ungefanya mazuri yte cku ukikosea kidogo2 yte yanafutwa amesahau ypo hapa Tanzania kwa msaada wa mama leo teena mama mubaya watanzania tusimame imara na viongozi kma tindu lisu ambao ni wapotoshaji

  • @amohammed3390
    @amohammed3390 ปีที่แล้ว +1

    Investment iko popote duniani zama hizi. Kitu muhimu ni kuwa makini. CHADEMA si viongozi. Wao wana matatizo na waarabu tu. Hawana matatizo na WACHINA wala wazungu waliojaa fukweni.

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 ปีที่แล้ว +1

    Wadanganye wavivu wa kufikiri. We muongo tu.We ulimwita hayati Jpm dikteta uchwara. Tunakumbuka vema kashfa zako. Ukiwa muongo usiwe msahaulifu. Unatafuta majority. "You've failed alot. "

  • @HamisiAdamMwanyello
    @HamisiAdamMwanyello 8 วันที่ผ่านมา

    Hospitali ukienda kumuona dactari wa ccm ni sh 15000

  • @user-gn8vu3tb4h
    @user-gn8vu3tb4h ปีที่แล้ว

    Ww lissu mnafiq Leo unamkumbukakumbuka magufuli!!!! Je unataka nchi uipeleke Ubelgiji nchi ina miko ww udaiwi najua hiyo ni tamaaa uongozi tunajua unadaiwa ubeligiji

  • @noelsanga6853
    @noelsanga6853 ปีที่แล้ว +2

    Akili kubwaaaa

  • @mohamediabdalah7650
    @mohamediabdalah7650 ปีที่แล้ว +1

    Hauna mada kila siku mada hiyo hiyotu. Kwani kampeni zimeanzanini subirimi uchaguzi keleletu

    • @shabanikavula1304
      @shabanikavula1304 ปีที่แล้ว

      HUYU jamaa alishafilisika kisiasa Ila hajajitambua.imebaki commedy

  • @mkritowamungu
    @mkritowamungu ปีที่แล้ว +1

    Hawajagawa ila wamepitia kwenye campuni ya Dp world, uo mkataba ni wa mabaaria tulio andaa kama wananchi, mm ni shahidi tuliandaa sisi mabaaria ila mbarawa hakutaka kabisa mabaaria tuingie bandarini.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 5 หลายเดือนก่อน

    Alfu anaendelea kuwa kaidi ana kiburi sana hii ndiyo hatari ya kutawaliwa na wageni. Samia ni mgeni kwani ni mzanzibar na Zanzibar ina serikali yake kamili, ina raisi wake ina Katiba yake .kwahiyo Samia siyo mtanganyika hata kidogo si mama yake wala baba yake ila ni mgeni kwahiyo hajali lo lote kuhusu Tanganyika yenu mtajijua wenyewe hata kama mtatawaliwa na warabu ka vile ni mbia mtatawalia na Samia na warabu watawala nini watanganyika.

  • @hezekimwakipesile610
    @hezekimwakipesile610 ปีที่แล้ว

    Wewe lisu unafaa sana kukosoa inchi na viongozi wanaokosea na kuasili kuitii katiba ya nchi lkn usiongoze kipaji cha kiongoza Inchi si cha kwako

  • @jamesmbale9508
    @jamesmbale9508 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde lisu upewe maua yako🌷🌷🌷🌷♥️

  • @bullekisimikwe3852
    @bullekisimikwe3852 ปีที่แล้ว +1

    Ndio maana Nyerere hajawahi kuvaa sare za CCM inaoneka zile sare ukivaa na akili inahama

    • @ronniebertin3563
      @ronniebertin3563 10 หลายเดือนก่อน

      Mzee niko nje ya bongo nikitua bongo nakupa maua yako

  • @ipyanapaulo4774
    @ipyanapaulo4774 ปีที่แล้ว

    Lisu ubarikiwe sana kamanda wewe ndiyo sauti ya wangonge tuona kuombea afya njema kwako

  • @FilbertKalembe-fy4oq
    @FilbertKalembe-fy4oq ปีที่แล้ว +1

    Magufuri alisema walituachia mashimo na wanainch tukiendelea kuwa masikini

  • @abelbehumble255
    @abelbehumble255 ปีที่แล้ว +1

    Mama ameshindwa kazi kama ni hivi hatutakubali tupo bega kwa bega na wewe

  • @RugemaliraRenatus-rf6yv
    @RugemaliraRenatus-rf6yv 11 หลายเดือนก่อน

    Anzeni kuanda vijana wadogo ambao watakuwa na moyo wachama undani timu ya mpira wa miguu netiboli nk

  • @BarakaElnest-ox7pb
    @BarakaElnest-ox7pb ปีที่แล้ว

    Lisu ww ni mnafiki wa kiwango cha juu sana umekuwa bungeni umelisaidiaje taifa wakat wa magufuli ulisema ujinga ujinga sasa hv unalalamika nn sasa

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 5 หลายเดือนก่อน

    Samia amepewa jumba la kifalme huko Dubei hana shida ni zetu watanganyika.

  • @lizyliz5357
    @lizyliz5357 ปีที่แล้ว +1

    Unarudia aliyokataza Magufuli wakati mlimtukana

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 11 วันที่ผ่านมา

      Aliyemfanya mipango kupiga Lisu risasi na nani ??

  • @benson20301
    @benson20301 ปีที่แล้ว

    Inaumiza sana kama juzi mawakili wa Tanzania walipigwa fain na kampuni ya wHindi bilion240 inauma

  • @josephmatthew2915
    @josephmatthew2915 ปีที่แล้ว +1

    Iposiku watayakumbuka haya maneno nikopale nimekaa

  • @JohnMngongo-ol6hk
    @JohnMngongo-ol6hk ปีที่แล้ว +1

    Watanzania tujitathimini tunaendawapi hayaaaa

  • @bongo39
    @bongo39 ปีที่แล้ว

    Wewe ulikuwa unamsema magufuli eti leo hii unamsifia kwa kweli huyu mtu ni mnafik sana anatapika kisha anaramba matapishi yake mbowe kila mda yuko mbwii na lisu ni mtoto wa watu leo hii tuwe na rais choko au mlevi tutafika kweli jamani na wengi wanao waunga mkono ni wavuta bangi walevi mashoga wenzao

  • @kahmardintebe9266
    @kahmardintebe9266 ปีที่แล้ว

    Big up point sana

  • @sallkazi9319
    @sallkazi9319 ปีที่แล้ว +2

    Mikataba ipi mibovu? Hebu tuorodheshe mikataba mibovu mingapi mama ameingia? Muulizeni?

    • @nestor384
      @nestor384 ปีที่แล้ว +1

      uko timamu kweli, mkataba wa bandari zetu zote

    • @nestor384
      @nestor384 ปีที่แล้ว +1

      Ni mpumbavu tu aweza afiki kuhusu hii mkataba ya bandari zetu zote

    • @robertmhikwa8174
      @robertmhikwa8174 ปีที่แล้ว +1

      akili huna

    • @amanilucy
      @amanilucy ปีที่แล้ว

      Huna akili zero brain wew

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 5 หลายเดือนก่อน

    Hakuna hata moja. Hao warabu hawachukui kodi lolote. Hapo wanataka kuhakikisha kuwa vyote vizuri ni vya warabu. Ati widhini Tanganyika kuna potion ya Tanganyika ati ni ya warabu. Je ninyi mnayo sehemu huko uwarabuni? Labda Samia anabadirishana na warabu na sehemu aliyo pewa huko maana ZANZIBAR huwezi kuwachezea kama anavyo chezea Tanganyika.

  • @DaimaNyakunga-jb6do
    @DaimaNyakunga-jb6do ปีที่แล้ว +1

    Samia ni kichaa kabisa

  • @theresiakessy4747
    @theresiakessy4747 ปีที่แล้ว

    Tatizo ni kwamba hawa viongozi wetu wanapita bila kuchagiwa na ndio maana hawana uchungu wao wana Wanachojali ni familia zao tu mungu anwaona

  • @amohammed3390
    @amohammed3390 ปีที่แล้ว

    Wabaya sana hawa CHADEMA. Hawa bado hawana uwezo wa kuendesha serikali. Wabaguzi. Wazanzibari wazanzibari wameuza bandari. Wana fitna sana hawa

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 ปีที่แล้ว +4

    Magufuli hakuwa na upumbavu wa kuwaruhusu hawa wajinga kujadili mambo ya faida mama cheka na hawa mbwa mwisho wake utauona wewe jambo lenye faida ukiona lina faida fanyia kazi hata magufuli nani alijadili mikataba yake?

    • @kisangageorgethomasi2830
      @kisangageorgethomasi2830 ปีที่แล้ว

      Acha uchawa ww zwazwa kwani magu akupingwa au ilikua kiziwi na kipofu ushazoea vya kunyonga acha dawa iingie au umetoroka mirembe

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 ปีที่แล้ว

      Ulisikia wapi Magufuli anafagilia mikataba ya kijinga kama hii? Magufuli alikuwa na mapungufu yake, lakini kwenye kitu kinaitwa kulinda rasilimali za nchi hakuruhusu upumbavu hata kidogo!

  • @dahelahmad6331
    @dahelahmad6331 ปีที่แล้ว +3

    Na Tundulisu tumewakabidhi WAGENI.

  • @hamzajumaa3849
    @hamzajumaa3849 ปีที่แล้ว

    Upo vizuri

  • @teriiUrasa-ut1mt
    @teriiUrasa-ut1mt ปีที่แล้ว

    Waambiehao

  • @oklahommy9838
    @oklahommy9838 ปีที่แล้ว

    Huyu ndie aliesema hayati magufuli ni kiongozi mbaya kuwahi kutokea

  • @danielchacha1305
    @danielchacha1305 ปีที่แล้ว

    Ni vigumu kuamini kile ambacho kinaendelea katika CCM yaani viongozi hawana uzalendo wala aibu hata kidogo. Tanganyika kuna msiba wa Bandari zetu kupewa Waarabu wao wanasema ni harusi!

  • @ambakisyemwailongano6078
    @ambakisyemwailongano6078 ปีที่แล้ว

    Sawa

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 ปีที่แล้ว

    Muongo mkubwa huyo mlevi mkubwa huyo hana issue mpuuzi mtupu mkimbizi fatani muongo mkubwa laana tu kwa uongo mtupu

  • @eunicemaganga4350
    @eunicemaganga4350 ปีที่แล้ว +1

    Muache kumtaja hayati Bwana unaharibu

  • @hamisimbena326
    @hamisimbena326 ปีที่แล้ว

    Na bandar ya kwenu usisema wahalabu arafu wageni ndiooo ni we apo kama mzim gu

  • @loserian22lmllukumay55
    @loserian22lmllukumay55 ปีที่แล้ว

    Chuyu mzee hatawahi ridhika

  • @MwanaidiChilumba-f7c
    @MwanaidiChilumba-f7c หลายเดือนก่อน

    Hatuna viongozi tanzania jamani

  • @user-rk3iz1sb2m
    @user-rk3iz1sb2m 11 หลายเดือนก่อน +1

    Akili yako ni kama Tundu tu. Tundu hufanyaje? jibu mwenyewe. KIBOKO chako kimeondoka unatamba kijinga jinga tu.

  • @ibrahimjuma9709
    @ibrahimjuma9709 ปีที่แล้ว

    Ohoo kumbe unawapigia debe wazungu waje kuwekeza badara ya waharabu😮😮😮😮 hii ni njia tu kutafuta kura wewe ndiye utauza kabisa nchi uamie Ubelgiji

  • @mussamwimbi5-uu8tq
    @mussamwimbi5-uu8tq ปีที่แล้ว

    Ccm wez wote wako km bendela fataupepo kuwanzia viongoz mbaka wanachamawao wanajifanya vinyonga

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972
    @ramadhanmwandambotuntufye5972 ปีที่แล้ว

    Wewe tulikukabidhi kwa wageni wa ubeligiji, ukagonga supu ya ngurue huko , ukanenepa sasa unatapika sumu uliyolishwa na wabeligiji, ama kweli shukrani ya mapunda ni mateke

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 ปีที่แล้ว

      Nyoko wew.. naona unamtamani Sana huyo nguruwe wakupikie

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 11 วันที่ผ่านมา

      He waarabu siyo wekeni? Àcha uchawa wa kijinga

  • @user-vh2tt3jw7c
    @user-vh2tt3jw7c ปีที่แล้ว

    Mungu isaidie tanzania

  • @maryam-ol8nh
    @maryam-ol8nh ปีที่แล้ว

    Daah

  • @user-el6mm4lh4m
    @user-el6mm4lh4m ปีที่แล้ว +1

    haoni mazuri ya mama kwke anaona mabaya2 huyu sio mwanasiasa ni mchochezi na pia anachochea udini ushauri wangu mama afanye lile analoliona linafaa kila mtawala anakarama yke na hkna mwanadamu atakayeweza kufanya mazuri2

  • @BennyChatanda
    @BennyChatanda ปีที่แล้ว

    Hawa...wangeondka tu madarakani Kila kitu hawawezi Sasa wakaa madarakani kutafta nn

  • @SamwelMtegandi-tq6hg
    @SamwelMtegandi-tq6hg ปีที่แล้ว

    Pongezi kiongoz

  • @rebeccamsami4580
    @rebeccamsami4580 ปีที่แล้ว +1

    Nina uchungu na huu umaskini kwa sababu za kijinga kabisa.kuna haja gani kuendelea kutawaliwa na huyu mama?

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji ปีที่แล้ว +1

    SAME STORY HAKUNA HOJA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿BLAMING CULTURE YA CHADEMA NOTHING NEW 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿WE NEED NEW CHALLENGE FOR CHADEMA NEWLEDERSHIP 😢😢😢😢😢HAWA VIONGOZI HAWAWEZI KUANGUSHA CCM WAKO KWA MATUMBO YAO NA KULA RUZUKU MIAKA YOTE 😢HECHE AFADHALI ANAONGEA POINT LAKINI HAWA WENGINE NI COMEDY NA WADINI NA WAKABILA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🥵🥵

    • @makobamasawemangu4122
      @makobamasawemangu4122 ปีที่แล้ว

      Wew ni lijinga tu Kama majinga mengine sis wenye hakir tunawaelewa sana taira ww

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji ปีที่แล้ว

      @@makobamasawemangu4122 MASAWE NO MORE KUUZA VITU YA WIZI AMBAYO HAIJALIPIWA USHURU 🥵🥵🥵🥵MASAWE ANZA KURUDI MACHAME UKANYWE MBEGE NA KUCHEZA KAMARI 😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji ปีที่แล้ว

      @@makobamasawemangu4122 LISU ATAPIGIWA KURA NA MASHOGA WA TUKUYU NA KYELA TU 🥵🥵🥵🥵🥵🥵🥵

    • @benson20301
      @benson20301 ปีที่แล้ว

      Wantanzania wamekatiri hoja hoja hajui maana ake huyu msenge.lisu ametoa hoja nyingi afu jitu linasema hoja

  • @charleslyimo144
    @charleslyimo144 ปีที่แล้ว

    Sioni udin ktk mambo ya bandari,ila wapo watu wanaulazim😅sha tuone udin na kn katik mambo y bahar

  • @marrymenas
    @marrymenas ปีที่แล้ว +1

    Haka kalisu ni kashenzi eeh?! Hakawezi kujieleza bila kuwatamka wafu? Man yoko!

  • @Neemakilimba
    @Neemakilimba ปีที่แล้ว

    Ccm ni wakala wa kuzimi Moto unawasubiria wasipotubu

  • @anteliusrweyongeza-qb6uu
    @anteliusrweyongeza-qb6uu ปีที่แล้ว

    Mh uko vzr ukweli uko palepale

  • @kahmardintebe9266
    @kahmardintebe9266 ปีที่แล้ว

    Shida mawakala wamo humuhumu tanzania shamba la bibi

  • @onesmoakwilini7197
    @onesmoakwilini7197 ปีที่แล้ว +1

    Tundu lissu HAZINA YETU

  • @alicempuya5238
    @alicempuya5238 ปีที่แล้ว

    Sema baba

  • @salehali976
    @salehali976 ปีที่แล้ว

    Kama hatuna uwezo wa kuendesha wacha tuwaite wakoloni watutawale tena

  • @amohammed3390
    @amohammed3390 ปีที่แล้ว

    Nyinyi si ndio mnaeategemea wazungu. Unasema nini wee

  • @julianamasunga3458
    @julianamasunga3458 ปีที่แล้ว

    Haya mambo siyo yakuwachekea ccm.

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 ปีที่แล้ว

    Siulikua ukimtukana mwenyewe fatani mkubwa huna ya kuongea mlevi mkubwa wee nenda kwenu Ubeligiji fatani mkubwa muongo mkubwa

  • @charlesmwankupili8177
    @charlesmwankupili8177 ปีที่แล้ว +2

    Acha uongo wewe zwazwa na mazwazwa wenzio

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 ปีที่แล้ว

    Huyu lissu ni mchochezi

  • @Clement-px8eg
    @Clement-px8eg ปีที่แล้ว

    wameshindwa waondoke

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 ปีที่แล้ว

    Kwahiyo tufanyeje kuhusu mikataba mibovu, kama tukiivunja tunalipa faini?

    • @bonnymakuke3153
      @bonnymakuke3153 ปีที่แล้ว

      Amesema ni Bora tukivunja mapema tutalipizwa kidogo ila tukichelewa wakasimika mitambo Yao alafu ndo tuje tuvunje fain tutakayo lipishwa itakua kubwa kuliko maelezo si unaona2 ya magufuri ni kweli alivunja kwa Nia njema kwa sababu ilifungwa iviivi na haikua na faida kwetu waliokua wananufaika walikua wao wazungu! Lakini alijikuta ameshachelewa watu wamesha Anza na kuchimba wamejaza mitambo Yao ndo maana Leo inatughalim kwa kulipiswa pesa nyingi na Bado wanachimba kama kawaid 😢😢😢😢

  • @shantungamaumba7159
    @shantungamaumba7159 ปีที่แล้ว

    Binadamu bwanaaa!!!

  • @ssam3385
    @ssam3385 ปีที่แล้ว

    We muuwaji damu ya magu inakutafuna

  • @ssam3385
    @ssam3385 ปีที่แล้ว

    Hiyo ni kampeni za uchaguzi

  • @user-el6mm4lh4m
    @user-el6mm4lh4m ปีที่แล้ว +1

    Huyu ni kiongozi mnafiki yeye kila jambo kupinga amesahau wema wa mama kpndi amepata matatizo leo awamu ya tano anaona ni bora kpndi cha utawala wa awamu ya tano huyuhuyu alisema magufuli gaidi leo teena mwema watanzania wajinga watamsikiliza hotuba zake

  • @user-rk5el9kj6b
    @user-rk5el9kj6b ปีที่แล้ว

    Chukua hatua wewe kama mpinzani kuitetea nchi yako

  • @hamzajumaa3849
    @hamzajumaa3849 ปีที่แล้ว

    2025 rais chadema

  • @healingsschool4630
    @healingsschool4630 ปีที่แล้ว +1

    Kama hujardhika Nendeni mahakamani au kaonane na Mama umwambie. Si unakumbuka alikuja kukupa pole ulipopigwa risasi? Au nenda kamwone mume wake umwambie huyo ni Mwanamke tu

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 ปีที่แล้ว

      Chawa kazini,

    • @rehema971
      @rehema971 ปีที่แล้ว

      CCM hapo meshika baya majuto baadae nchi imeisha

  • @abuumaryam1922
    @abuumaryam1922 ปีที่แล้ว

    Ulikimbia Nchi wewe porojo tu tembea zako

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 ปีที่แล้ว +2

    Bandar apana mama katukosea

    • @emmanuelmsabila4875
      @emmanuelmsabila4875 ปีที่แล้ว

      Sio rahisi kuelewa nini anasema huyu bwana inahitajika akili kubwa

    • @shabanikavula1304
      @shabanikavula1304 ปีที่แล้ว

      HUYU NI hatari kwa uongo anasoma mkataba Kisha anaandaa uongo.ujinga NI mzigo

    • @shabanikavula1304
      @shabanikavula1304 ปีที่แล้ว

      TULISHAKUCHOKA BHANA HUSOMI VZR NA KUULEWA NA KUULEZEA KWA MAZURI UNACHOJUA WEWE NI KULITUMBUKIZA TAIFA KNY MATUSI WEWE NDIO MUANZILISHI

    • @shabanikavula1304
      @shabanikavula1304 ปีที่แล้ว

      Anawadanganya HUYU bwana siku HIO anayoshawishi mwambieni akae MSTARI wa MBELE yeye na familia yake uone km atakaa!!!

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972
    @ramadhanmwandambotuntufye5972 ปีที่แล้ว

    Yaani huyu jamaa ninavyomchukia siku hizi! Ni muongo ni hatari

    • @augustinecassian1242
      @augustinecassian1242 ปีที่แล้ว

      Mikataba mibovu ndo imetufanya hadi leo tanzania inazidi kuwa masikini

    • @BennyChatanda
      @BennyChatanda ปีที่แล้ว

      Mpuuzi. Kma wapuuzi wengne

  • @tanzaniakwanza1699
    @tanzaniakwanza1699 ปีที่แล้ว

    Tundu yuko sahihi kabisa. Kuwa tunashitakiwa majuu. Ila, Ni bora tulipe fidia bali wawekezaji wasio na faida kwetu waondoke.

  • @lovechadali3923
    @lovechadali3923 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂

  • @Albert-bi3le
    @Albert-bi3le ปีที่แล้ว

    Magufuri alikuwa mwamba wala hata kuja tokea tena maneno yake ya mwisho mtanikumbuka sikumoja

  • @sallkazi9319
    @sallkazi9319 ปีที่แล้ว +1

    Faini hizo nani alisababisha tukalipishwa? Mbona humtaji? Nani amekiuka mikataba kijingakijinga ? Mtaje

    • @lucaspaulo5371
      @lucaspaulo5371 ปีที่แล้ว

      Kwani hujui ni serikali ya ccm akiwepo wakiwepo marais kumtoa Magufuli tu maana Magufuli alikuwa mpangua mikataba ya hovyo na kwa taarifa yenu Magufuli wazungu aliwaweza na wakawezeka, ila alipokufa kwa sababu maizi yapo ndo marafiki na waizi wa kizungu wamegeuka upande wa pili washirikiane kuishtaki serikali kwa ajili ya Magufuli kisha watu wapige hela, wananchi mpaka mtii bila shuruti kuhamia Burundi si mnakataaga au hamkusikia mwigulu alivyowaambia.

    • @kisangageorgethomasi2830
      @kisangageorgethomasi2830 ปีที่แล้ว

      Uspotumia akili akili itakutumikisha

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 ปีที่แล้ว

    Bongo jalala unafiki ndo mwingi wanasifiana kwa mgongo wa chupa

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 ปีที่แล้ว

    Mpumbavu mkubwa raia wa Ubeligiji mlevi mkubwa muongo mkubwa

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 ปีที่แล้ว

    Mlevi mkubwa fatani mkubwa kabimwe akili mkimbizi mmja

  • @chinxflaaw4908
    @chinxflaaw4908 11 หลายเดือนก่อน

    Mnafiki wewe bandari haijauzwa nimkataba