VIDEO: SPIKA TULIA NA HALIMA MDEE WAVUTANA VIFUNGU VYA SHERIA ISHU 'MKATABA WA BANDARI'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 มิ.ย. 2023
  • Mbunge wa Viti Maalum Halima Mdee amechangia maelezo ya Serikali kuhusu mapendekezo ya kuridhia mkataba baina ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu ushirikiano wa kiuchumi na kijamii kwa ajili ya Uendelezaji na Uboreshaji wa Utendaji kazi wa Bandari Tanzania ambapo amesema manufaa ambayo yanatarajiwa kupatikana iwapo Bunge litaridhia azimio hilo ni pamoja na kuongezeka kwa Mapato ya Serikali.

ความคิดเห็น • 908

  • @rehemaabdallah9370
    @rehemaabdallah9370 ปีที่แล้ว +36

    Mungu akuzidishie maarifa Halima mdee uko vizuri sana

  • @emmanuelafrica
    @emmanuelafrica ปีที่แล้ว +31

    Barikiwa sana dada Mungu akuzidishie umeonesha Mwanga ila huwezi kubadili chochote acha tuliwe tulimkosea sana Mungu 😭😭😭

    • @hussenaaghe2760
      @hussenaaghe2760 ปีที่แล้ว

      Barikiwa chama gani chadema hamtabi

    • @ayubusimake
      @ayubusimake ปีที่แล้ว

      @@hussenaaghe2760 ß

  • @gloryclement6400
    @gloryclement6400 ปีที่แล้ว +7

    Natamani upinzani wangekuwepo hata 10 tu hapo bungeni.😢😢hili swala
    Lingeisha chap
    Sana!! Halima mdee🔥🔥🔥!! Unajitahidi mama

  • @emanuelandronicus2574
    @emanuelandronicus2574 ปีที่แล้ว +6

    Prophetess halima mdee🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏Mungu akulinde

  • @angelmashauri6961
    @angelmashauri6961 ปีที่แล้ว +44

    Mheshimiwa Halima Mdee ishi miaka mingii…unaongea points sana👏👏👏👏

  • @fatmaayoub8298
    @fatmaayoub8298 ปีที่แล้ว +3

    Ishi sana Mheshimiwa Mdee you're a true Hero of Tanzania..your legacy will remain always 💪💪💪🙏

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 ปีที่แล้ว +2

    Mh Halima Mungu akutangulie kwa kila kitu unachofanya na kubariki kazi zako pamoja na tumbo lilolokuzaa
    Hakika ww ni mfano wa kuigwa 🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @MagrethMallya-we8ui
    @MagrethMallya-we8ui ปีที่แล้ว +13

    Nakupenda sana dadaangu Halima, Hawa wengine bana!! Mungu tusaidie.

    • @yassinkimolo2943
      @yassinkimolo2943 ปีที่แล้ว +1

      Halifax unaumia sana kwasababu unajaribu kuelewesha hayo mazuzu malarushwa hayaelewi

  • @danielworshiper6002
    @danielworshiper6002 ปีที่แล้ว +18

    Mdee mmoja ni sawasawa na wabunge wote wanaume wa CCM........
    Nakupenda Halima Mdeee

    • @fatmaayoub8298
      @fatmaayoub8298 ปีที่แล้ว

      ❤️❤️❤️💪💪💪

    • @neemamasimba2981
      @neemamasimba2981 10 หลายเดือนก่อน

      Bravo bravo bravo bravo, Halima Mdee

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 ปีที่แล้ว +12

    Halima ana hoja kali sana ila wamemkatisha katisha ile asiseme ukweli daah bongo nyoso wallah 🙌

  • @japhethcharles5791
    @japhethcharles5791 10 หลายเดือนก่อน +4

    Tunaangamia kwa ujinga wetu peke yetu,wanaoongea ukweli wanazibwa midomo kisa ulafi wa wachache wenye Dola😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Mungu ingilia kati

  • @dawndawn387
    @dawndawn387 ปีที่แล้ว +4

    Inaumiza kuona speaker wetu anakuwa namna hii ! Hili ni jambo kubwa ambalo wanainchi tulitakiwa tuelemishwe kwa muda wa kutosha .Mungu ibariki Tanzania

    • @lubangompyalimi8922
      @lubangompyalimi8922 ปีที่แล้ว

      Spika wakati mwingine hafai kabisa.analinda ufisadi unaotaka kufanywa bandalini.

    • @mustafahakim-iq7dj
      @mustafahakim-iq7dj ปีที่แล้ว

      We umesoma wapi mpaka unamuona mwanasheria anakosea au ni fikira zako tu

  • @calistustitus4566
    @calistustitus4566 ปีที่แล้ว +11

    Uyu spika ni boya kuwai kutokea na ana wadharilisha watu wa mbeya linafiki sana

    • @birianination7097
      @birianination7097 ปีที่แล้ว +1

      Spika ajampinga ila anahakikisha kilamtu anasema vitu vilivyo kwenye mkataba

    • @kefajoseph158
      @kefajoseph158 ปีที่แล้ว +2

      @@birianination7097 spika gani msenge huyo anamsaidia Samia kuuza nchi

    • @birianination7097
      @birianination7097 ปีที่แล้ว

      @@kefajoseph158 ni wapi nchi imeuzwa,
      Usikute unafikiri kua huu mkataba unao zungumzwa ndio mkataba wa makubaliano ya kazi.

    • @user-nn8um3qh6y
      @user-nn8um3qh6y ปีที่แล้ว

      Huku kwetu tunanufaika na tamasha lake la utamaduni na diamond alimleta tulia wewe

  • @flavianmashimi6327
    @flavianmashimi6327 ปีที่แล้ว +18

    Maoni yangu ni kwamba. Mjadala huu umegeuzwa kubwa malumbano ya uchama na siyo uhalisia. Chama tawala ninaona kinajitahidi kuhakikisha kinawavuruga wapinzani ili wananchi wasiwaelewe na kuwa brand kama WAPOTOSHAJI ili kulinda makubaliano yaliyosainiwa chini ya usimamizi wa Mwenyekiti wa chama. Kinachoangaliwa hapo ni maslahi ya chama na siyo nchi. Sisi wananchi tulio makini kufuatilia tunaona majadiliano yamekuwa malumbano na vipengele tata halitashughulikiwa. Mungu ainusuru nchi yetu

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 ปีที่แล้ว

      Kweli umeongea

    • @exavelyjohn346
      @exavelyjohn346 ปีที่แล้ว

      Kwani siye twasoma ili iweje km kila kitu twategemea kusaidiwa

    • @margarethsaramaki3966
      @margarethsaramaki3966 ปีที่แล้ว +1

      Kwenye point za maana zinakuja TAARIFA
      Mwaitara anaongea utumbo wanampa muda aseme tu UJINGA
      Wana tabia mbaya utadhani Chadema siyo wa Tanzania sijui wabunge gani hawa kwenye majimbo next time tuwapige chini hawafai

    • @engmwalukasa9764
      @engmwalukasa9764 ปีที่แล้ว +1

      Naungana na wewe... Bungeni saizi ni vyama tu... CCM wanajinadi kabisa kuwa hoja inayoamzishwa na mwenyekiti wao haipaswi kupingwa...

    • @engmwalukasa9764
      @engmwalukasa9764 ปีที่แล้ว

      @@margarethsaramaki3966 Nakuunga mkono... Mtu akiwa anaunga hoja yao... Wanampa muda wa kutosha... Lkn mtu akiwa anapinga wanaishia kumkosoa...

  • @IreneFabiani-ug3en
    @IreneFabiani-ug3en 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ishi saaaaana halima❤️tunakupenda mungu akupe maisha marefu tunakuombea pia 🙏

  • @andrewpaul6531
    @andrewpaul6531 ปีที่แล้ว +7

    Inauma na kusikitisha sana kwa viongozi walopewa dhamana wanakosa uzalendo na nchi yao 😢😢

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 ปีที่แล้ว +33

    SAFI SANAA BI HALIMA MDEE.

    • @Fardadihd
      @Fardadihd ปีที่แล้ว +1

      Tulimezeshwa ujinga kuhusu bandari nilimsikiliza anaongea pumba mdee sijui km halewi

  • @jtheophil5499
    @jtheophil5499 ปีที่แล้ว +26

    Halima ni kichwa sana!Inapendeza mno.Spika wa bunge ni kichwa sana yuko makini na ni smart sana.Nimeamini wadada wembamba ni vichwa sana.

    • @kasangagregory5747
      @kasangagregory5747 ปีที่แล้ว +1

      Hapo kama mvivu kusoma na kufikiri unabaki unatoa macho.

    • @mimikimanga3126
      @mimikimanga3126 ปีที่แล้ว +1

      Sanaaaa yani

    • @EditaJoseph-zo9dv
      @EditaJoseph-zo9dv ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂 kwahiyo wanene 🤪

    • @jumannemohamedy1456
      @jumannemohamedy1456 ปีที่แล้ว

      Tena spika ni kichwa kweli kweli wala sio masihara Tanzania 🇹🇿 tume barikiwa kuwa na wanawake vichwa sana na ndio maana wame aminiwa na wana wajibika

    • @ndayimanase7123
      @ndayimanase7123 ปีที่แล้ว +2

      Spika kapangwa hajadili anatetea mkataba, hajadili chochote but ukwel mkataba n mchongo persee

  • @PROFESSOR_OF_THE_CENTURY
    @PROFESSOR_OF_THE_CENTURY ปีที่แล้ว +7

    Daaah ukitumia akili ktk hii speech ya mdee na tulia utagundua kuna mmoja yupo kwa ajili ya maslahi ya chama na mwingine yupo kwa maslahi ya nchi. Ni huruma sanaa😢😢😢😢One day ukweli utasimama

  • @chesconkwera2005
    @chesconkwera2005 ปีที่แล้ว +6

    Halima mdogo wetu, dada yetu Umeeeleza kwa mapana yake ipo siku utakumbukwa

  • @judithgeorge1756
    @judithgeorge1756 ปีที่แล้ว +12

    Nakupenda sana halima mdee

  • @ibrahimtesha2733
    @ibrahimtesha2733 ปีที่แล้ว +48

    Naona kama Halima amevurugwa vurugwa asieleze alichotaka tujue, hadi muda wake umeisha kwa taarifa za "hovyo" tu. Sijaelewa, na nadhani waTZ wengi wanachanganywa ili tu kuitetea Serikali. Naona umuhimu wa kuahirisha jambo hilo tupate nafasi ya kukubaliana kama wananchi. Bandari si mali ya kukodishwa ovyo hivyo ninavyoona! Kama tulishakosea, bora tujenge uwezo wa kumiliki wenyewe hata kama tutaendelea polepole.

    • @jamhuri_imala3976
      @jamhuri_imala3976 ปีที่แล้ว +1

      nikweri kaka

    • @realswahilicultural8140
      @realswahilicultural8140 ปีที่แล้ว +1

      Alima Hana kitu ni muzuka tu anao😅

    • @evancegidion9155
      @evancegidion9155 ปีที่แล้ว +1

      Bandari sio mali ya Tulia,na akina ..... mnaowashabikia mhimu ujumbe ukiacha inaendelea mtu ana uwezo kuchangia chochote tulia acha ubabe

    • @ANJELACHALE-od3ki
      @ANJELACHALE-od3ki ปีที่แล้ว +1

      Uko sahihi,bandari ibaki kusimamia na watanzania wenyewe.

    • @ANJELACHALE-od3ki
      @ANJELACHALE-od3ki ปีที่แล้ว +1

      Tuiboreshe vizuri bandari yetu na tuisimamie vyema.

  • @MariaCassian-ys7pt
    @MariaCassian-ys7pt 3 หลายเดือนก่อน

    Mtuakiongea vitu vizuri utasikia taarifa ilikumpotezea tu mtu point zake HALIMA chukua 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤

  • @scolamwamokye2096
    @scolamwamokye2096 ปีที่แล้ว

    You're strong my sister that's y,, hukutaka kustaafu bunge!! Live long great woman (lawyer)of Tanzania 😊

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 ปีที่แล้ว +12

    R. I. P JPM. Hakika ulikuwa shujaa kweli kweli. Majizi wamerudi tena, hawana huruma wala uzalendo kwa nchi maana sio watanganyika hivyo huuza kila kitu. Tumepata Rais bomu kuwahi kutokea tangu dunia iubwe. Ee Mola tuepushe na haya majizi.

    • @anthonyleonard7273
      @anthonyleonard7273 ปีที่แล้ว

      Magufuli ndo chanzo cha haya matatizo… kuweka wabunge wote wa ccm

    • @kefajoseph158
      @kefajoseph158 ปีที่แล้ว

      Kabisa jamaa yule ni SHETANI watanzania

    • @kefajoseph158
      @kefajoseph158 ปีที่แล้ว

      @@anthonyleonard7273 umeona eee

    • @margarethsaramaki3966
      @margarethsaramaki3966 ปีที่แล้ว

      @@kefajoseph158 wakubali wakatae Mbuge wa Chadema akisimama Bungeni ni TAARIFA wana uweledi wa kutosha sana mimi siko chama chochote ila ukweli ni huo Halima ni juu juu zaidi🥰🥰

    • @josephstephen1079
      @josephstephen1079 ปีที่แล้ว

      Alichokosea ni kuua upinzani na madhara yake ndiyo haya sasa

  • @simonibonifasi3131
    @simonibonifasi3131 ปีที่แล้ว +5

    Watanzania tuamke miaka60 yauhulu bado hatuwezi kujenga bandali yetu bado tunangangania ccm kwanini tusibadili chama maana hawa watu wameshashindwa kuendesha hii inchi

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 11 หลายเดือนก่อน

    Halima ni jembe tangu sana.Tumekuelewa mwanangu,Tulia amekubana sana,wale wa ndiyo wakikazana kuomba mitaarifa wakumbuke yupo hasiyedanganywa.Halima mungu akulinde saana akuinue umeweka alama ya kuigwa.

  • @shangwejumanne466
    @shangwejumanne466 ปีที่แล้ว +1

    Halima Mdee keep it up kuna siku watakukumbuka huyo sijui naibu waziri Mama hata haoogopi wanatetea kitu kitakachotafina mpk vitukuu bahasha za Kaki zinachanika ila haki ya watanzania itawatafuna Halima siku moja utakuwa kinara just keep it up Si

  • @ImanMwanji-rd3lu
    @ImanMwanji-rd3lu ปีที่แล้ว +8

    Ubarikiwe sana harima mungu akubariki

  • @user-hw3iy8jo3w
    @user-hw3iy8jo3w ปีที่แล้ว +3

    Nakuapia huyu spika anacho kitenda kwa wapinzani sio Sawa ila tunamuachia mungu atasimama na ww

  • @anncharlesombijaombija3056
    @anncharlesombijaombija3056 ปีที่แล้ว +2

    Kwanini Zanzibar aiuzwi anajuwa akishatuuza anarudi kwao mungu tusaidie

  • @user-bj6bs9do2f
    @user-bj6bs9do2f 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bando langu Nalitumia Vyema kuwasikiliza Watu kama hawa Yani Mbunge Mmoja Wa Upinzani kama Wabunge Elfu M1 Wamafisiemu🤣🤣Big Up Halima mdee A.k.A Sauti Ya Zege

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 ปีที่แล้ว +17

    Halima mdee nakupenda sana wngu saut yako tu mdee Halima nakupenda sana saut yako

  • @epifaniaminja6284
    @epifaniaminja6284 ปีที่แล้ว +4

    Hongera sana Halima. Umetuwakilisha vyema waTanzania. Speaker ingependeza zaidi kuwa neutral bila kuegemea upande mmoja.

  • @scopy0428
    @scopy0428 ปีที่แล้ว

    Kuna Baadhi Ya Wabunge huwa wanapotosha jamii kwa kias kikubwa sana Hongera sana Mh Spika Madam Tulia Akson.

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 ปีที่แล้ว +1

    Spika:
    -mwalimu anavyosimamia wanafunzi
    _mchungaji/padre Kanisani
    _waziri wa katiba na sheria
    _chuef whip
    Kwa ufupi haonekani kama kiongozi wa bunge..maana anavuruga michango ya wabunge..
    Bi kidude kavuruga bunge...ovyo

  • @chantalmulasi5663
    @chantalmulasi5663 ปีที่แล้ว +3

    Uyo Halima mdee kweli yako na Akili nyingi sana kabisa

  • @josehaulee1508
    @josehaulee1508 ปีที่แล้ว +15

    Ila huyu mama anajua kutengeneza hoja sanaa basiii tuu yaan

    • @jamhuri_imala3976
      @jamhuri_imala3976 ปีที่แล้ว

      tumshauli tu aunt yetu aweanaenda kwenye points mojakwa moja itamsaidia na kupunguza maswali ili kuokoa muda

  • @pekomisegese7724
    @pekomisegese7724 ปีที่แล้ว

    Spika Wetu Tulia Akson Upo Vizuri Sana,Sana,Tena Sana. Hawa Wapotoshaji Ukiwabananisha Namna Hii Wote Watafunga Midomo Yao.

  • @nangugu1657
    @nangugu1657 ปีที่แล้ว

    Harima mdee nguvu Yako tumeiona umepambana mama ila waache wapitishe mikataba. Kama neema Itakuwepo tukapata magufuli mwingine huenda atavunja hiyo mikataba tena. Lakini nimeumia sipika Ktk majibizano ya halima na yeye Ameahidi kuulinda Mdaa Kwanini kampa sekunde 30 Amemlindia wapi mda hapo Watanzania Tujifunze sana haya Mambo. Ushauli Mkataba wa miaka 100 kama ni kweli selekali iangalie Kwa umakini kwani Waliopitisha Mkataba hawatakuwa wapo madalakani Kwa miaka yote hiyo apana Bali Watakuwa wamewaachia changamoto Vizazi vijavyo wajuku na vituku zungumzeni Kwa masrahi ya Vizazi vijavyo pia Litazameni Kwa umakini Asanteni

  • @mathewyoung2159
    @mathewyoung2159 ปีที่แล้ว +23

    Wabunge wa CCM waovyoo kabisa

  • @sanaanimaisha4072
    @sanaanimaisha4072 ปีที่แล้ว +28

    So planned, and decided before hearing. It breaks my heart

  • @norahsteven2662
    @norahsteven2662 ปีที่แล้ว +2

    Love you so much halima mdee😍😍

  • @raysetallent1588
    @raysetallent1588 ปีที่แล้ว +1

    QOUTE... KUTOKA KWA WAKILI MSOMI ...MR.. BONIFACE MWABUKUSI KAMA SISI HATUNA AKILI ZA KUONGOZA HI BANDARI WATAKUJA WATOTO WETU WENYE AKILI ZAIDI YETU KUONGOZA ... HONGERA SANA DADA YANGU HALIMA MDEE ELIMU INAKUSAIDIA SANA 💯💯 HUJASOMA BURE .... SISI KAMA WANANCHI TUNAOMBA BARAZA LA MAWAKILI NA MWANASHERIA MKUU WAKAE WALICHABUE KISHERIA ... BILA KUKIUKA KATIBA ...NB.. KATIBA IFUATWE YA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YAAN TANGANYIKA NA ZANZIBAR

  • @methuselategemeomanace5213
    @methuselategemeomanace5213 ปีที่แล้ว +3

    Hamuwezi kutumia siku Moja kufanya mjadala wa Jambo lililotumia siku nyingi za mchaakato huu. Mind you kwamba muangalie maamzi yaliyoyanyika siyo sahihi. Sanjali na Hilo Madam Sipika najua wewe hujakaa hicho kiti hujakaa hovyo umekaa kiutaratibu, Mdee anachoongea Ni kitu kuntu. Na na cha msingi once more nitalishuhudia as long as Mungu atatupatia uhai.

  • @zenj1986
    @zenj1986 ปีที่แล้ว +3

    Spika upo vizuri. Wallahi tungekupata zamani basi Tanzania ingekuwa na mikataba ya uhakika. Mama Tulia chukua fomu ya urais

    • @SBMEDIA79
      @SBMEDIA79 ปีที่แล้ว

      Kwendraaaaa

    • @ndayimanase7123
      @ndayimanase7123 ปีที่แล้ว

      Uzur wake n upi kutetea ujinga

    • @zainabuselemani6709
      @zainabuselemani6709 ปีที่แล้ว

      anapotosha unasema ni mzur anachokiteta ni nn asa apo

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 ปีที่แล้ว +1

      TULIA ANATAKA KILA KITU KIWEKWE WAZI KWA MASLAHI YA NCHI SIO KUROPOKA ROPOKA TU.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 ปีที่แล้ว

      ​@@zainabuselemani6709 UTAJUWAJE WAKATI HUNA ELIMU???

  • @LoxloxJuma
    @LoxloxJuma ปีที่แล้ว +1

    Wamemchanganya halima wamemto katika reli mungu akulinde

  • @jacktonetiibuza9970
    @jacktonetiibuza9970 ปีที่แล้ว

    Karibu chadema kwetu tena my sister 2025 tena bungeni salute kwako dada

  • @mhinahalfan2694
    @mhinahalfan2694 ปีที่แล้ว +6

    Hongera sana Halima, Leo ulikuwa unawekana sawa na mwalimu wako .
    Kwa pamoja mmefanya mjadala kuwa mzuri sana....

  • @rajabtwahakombo
    @rajabtwahakombo ปีที่แล้ว +4

    Da inasikitisha sana Yani taarifa taarifa taarifa inaonekana kama sio haki kuchambua

  • @shanifesto9037
    @shanifesto9037 ปีที่แล้ว +2

    Kwahiyo mbunge miaka yote haikuwa series sio ,,mjadala wa Leo ndio muhimu sana dahh ,,,kwann tunafunywa watoto wadogo kwani watanzania kuwa wapole na nchi yetu ndio mtupeleke mnavyotaka kweli ama tunaonekana hatuna haki ama hatuwezi kupiga na kuandamana ila ee MWENYEZI mungu tusaidie sana ,,wabunge wamekuwa kama watoto wa chekechea ,,ee mwendazake tutakukumbuka daima😢

  • @loycep7785
    @loycep7785 ปีที่แล้ว

    Hata mimi ndg zangu watanzania nani aliyeturoga
    Mungu ametupatia akili na utajiri mwingi wa kuweza kunufaika sis watanzania ktk Taifa letu
    Leo mnatanga kujichanganya kudanganywa na hizi zawafi hamsomi neno la Mungu kukosa Upendo nyumbani kwetu na kwa kushirikiana kujenga Taifa kuliko kujiuza utumwani tunaona hivi hivi
    Tena miaka mingi hivyo kwa hiyo kizazi kijacho kitafsidi ni uTanzania wao Jamani mwogopeni Mungu msijinufaisha wenyewe Mungu hadhihakiwi Nchi hii ni yetu Mataifa mengi wanaitamani
    Mara ushoga ili watoto wasiendelee kuzaliwa ili Taifa life tuje kutawaliwa na mali zetu zitahifishwe
    Mungu anaona sirini
    Tuombee Taifa letu jamani watumishi tupaze sauti zetu kwa Mungu wetu yeye anaweza kubadilisha hata kama pesa imetolewa hatutaki kuuziwa Bandari zetu

  • @raymondstewart228
    @raymondstewart228 ปีที่แล้ว +4

    Sina Imani na tulia akson Sina Imani Nae kabisa

  • @alexkakwaya4383
    @alexkakwaya4383 ปีที่แล้ว +13

    In every law there is a loophole. Halima mdee anaiona hiyo loophole lkn spika haioni au anajifanya haioni.

    • @ndayimanase7123
      @ndayimanase7123 ปีที่แล้ว +3

      Vitu viko planned kuwa ipite tu hakukuwa na majadiano yeyote ndo maana halimaanapingwa

    • @kefajoseph158
      @kefajoseph158 ปีที่แล้ว +1

      Huyo malaya tulia anataka tuuzwe

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 ปีที่แล้ว

      Anajifanya haoni

    • @lucykinabo
      @lucykinabo ปีที่แล้ว

      Hyu spika anajifanya haelew

    • @lucykinabo
      @lucykinabo ปีที่แล้ว +1

      Hyu spika anajifanya haelew

  • @goodwellmutambo7607
    @goodwellmutambo7607 ปีที่แล้ว +2

    HALIMA kichwa sana yaani ukitaka kujuwa kwamba CCM hamnazo eti mwana fa ni waziri

  • @christianmwabukusi8132
    @christianmwabukusi8132 ปีที่แล้ว

    Hatutaki mkataba huu! Ulazima unatokea kwenye Bunge Kupitisha! Bunge likipitisha inakuwa Sheria...

  • @nicolausmundi
    @nicolausmundi ปีที่แล้ว +5

    Spika umepangwa cha kusema ndiyo maana unajibu hoja Za halima bila kujali zina mantic gani kwa baadaye

  • @agathaaroni7783
    @agathaaroni7783 ปีที่แล้ว +14

    Nilichogundua hawa wabunge wanatetea vitamb tu mana wanaacha kujadili vit tuelewe wanang’ang’ana tu kukubali huo mkataba😢Mungu tukumbuke.

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 ปีที่แล้ว

      Mungu kamwe hatajiingiza kwenye mambo kama haya

  • @salmanmagwe2612
    @salmanmagwe2612 ปีที่แล้ว +2

    Kuna vitu vinafanywa hovyo mno na wafanyakazi wa serikali na njia nzuri ni kubinafsisha:
    -Uhamiaji
    -Bandari
    -Reli,police,TRA n.k kwa manufaa ya watanzania kwani hata nabii gani aje hawa watu wataendelea kula rushwa tu na kutusumbua sisi Raia

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 ปีที่แล้ว +2

    Halima km halima anajitahid sana huyu mama lkn anabanwa banwa kwa sbb anaongea point

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 ปีที่แล้ว +31

    Uko.vizuri harima mdee kuna watu wako nje Wana akili ila nyie Mungu kawachagua muwe mbele

    • @yassinkimolo2943
      @yassinkimolo2943 ปีที่แล้ว

      Nashauri mikoa yote yenye bandari ifanya maandamano kupinga huu upuuzi

  • @geraldlyimo2859
    @geraldlyimo2859 ปีที่แล้ว +8

    Maswali anayoulizwa mdee ni ya mtego mdee yuko sahii

  • @Joseph-wz3jy
    @Joseph-wz3jy 2 หลายเดือนก่อน

    Nakupongesa halima mdee umeonge point safi sana

  • @simonibonifasi3131
    @simonibonifasi3131 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana halima mdei maana ujanja ujanja umezidi inchi hii

  • @rugijofrey3685
    @rugijofrey3685 ปีที่แล้ว +3

    Yani vitu vinaandikwa kwa Kingereza yanakua kama mambo ya Fei na Yanga tusizunguke mbuyu Ili jambo kama nchi hatutaki sababu atuna tunachopoteza , ipo cku kama nchi tunakuja kuzuiliwa mlangoni kwenye Ardhi yetu wenyewe

  • @nardhismhagama6266
    @nardhismhagama6266 ปีที่แล้ว +10

    Spika unalazimisha

  • @kayunganandelema8688
    @kayunganandelema8688 ปีที่แล้ว +2

    Dada halima wanakupoteza Ili ushindwe kuongea na lengo tusijuee wananchii huko hao wabunge wa CCM kazi nikusaport kilakituu mungu tusaidiee

  • @benjaminnungu8428
    @benjaminnungu8428 ปีที่แล้ว +2

    Mungu atatupa wate na wao, Amen.

  • @bettyrugemalila9185
    @bettyrugemalila9185 ปีที่แล้ว +14

    Safi cna Halima,hao wengine ni makofi tu

  • @shafee9128
    @shafee9128 ปีที่แล้ว +7

    Ukweli unapanda kwa miguu Uwongo unapanda kwa lift Mungu atakulipa khalima wajina wa Mamaa yangu

  • @eliasjoseph8830
    @eliasjoseph8830 10 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana halima mdee kwa kutetea maslahi mapana ya nchi yetu

  • @sharifalengima5605
    @sharifalengima5605 ปีที่แล้ว

    Nalia Sana na elimu hurahisisha Sana utendaji kazi Tulia mama Asante

  • @zeyzey5439
    @zeyzey5439 ปีที่แล้ว +5

    Halima MUNGU WAMBINGIN AKULINDE

  • @flavianmashimi6327
    @flavianmashimi6327 ปีที่แล้ว +3

    Nashauri Serikali ifanye due diligence kujua hizo kesi alizonazo DP World huko nje ni za kweli na je, hakuna njia nyingine ya kuongeza ufanisi?? Dhana ya PPP si mbaya lakini maslahi ya nchi yazingatiwe na si hofu ya kuona kuwa chama kitaonekana cha hovyo. Bandari ni yetu sote kwa sasa tunaweza kuonekana hatuwezi kufanya lolote kwa vile tuko nje ya Bunge naona wameishapitisha. Hiyo mikataba itakayofanywa tuione, tuione, na Bunge liwe live. Pia Wabunge waheshimiane wanatusikitisha hizo taarifa, zimekuwa nyingine ni uvurugaji. Tunajua Caucasus za vyama zimekaa na kuweka mikakati ya kulindana. Hebu kila mbunge achangie maoni yake na siyo kabla hajaanza kutoa hoja yake ya msingi ananyanyuka mtu " Taarifa" majaribu flow wananchi tunakosa ukweli

  • @justinamwirabi5730
    @justinamwirabi5730 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Halima nimekuelewa Sana.

  • @arcadilamu396
    @arcadilamu396 ปีที่แล้ว

    Halima anaongea point Spika anaongea porojo kwa kuruhusu taarifa nyingi ili zimkwamishe Mdee,kwa maana hiyo Spika na Rais ni kitu kimoja wanaolenga kuupitisha kwa haraka

  • @HuliloDonard-gu9bp
    @HuliloDonard-gu9bp ปีที่แล้ว +9

    Harima mdee ww nichuma kweli hunanidhamu yauoga.

    • @birianination7097
      @birianination7097 ปีที่แล้ว

      Halima kafeli, anasema lazima wapewe miradi yote ya bandari, ila akiombwa aoneshe wapi kwenye mkataba hawezi, sasa kivipi

  • @getrudewillson308
    @getrudewillson308 ปีที่แล้ว +3

    Japo Mimi sio msomi ,elim yangu ni 0 Kwa elim ya ki MUNGU Yani ekima ya ki MUNGU aliyo nipa , nikwamba amjashindwa kuiendesha bandali na kama ajira zinazo zungumzwa , zinaweza kutolewa ata Sasa akujashindikana ajila kutolewa? naomba bandali isibinafisishwe. Maana atakae chukua bandali ataweza kupangiwa jinsi ya kulipisha ushuru hivyo watanzania ni kama tuna uzwa niaka mia Moja sio mchezo , jamani haki ya watz ntadaiwa nikononi mwenu jamani waeshimiwa wabunge, msaidieni mama atutakiiiii ibinafisiswe.

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 ปีที่แล้ว +2

    Kweli kufundisha ni wito.halima anatumia nguvu kufundisha.hajui anachofanya.

  • @VinriPL
    @VinriPL ปีที่แล้ว

    Ja chcąca znależć piosenkę zespołu Tulia z dziś :)
    youtub : TRZYMAJ POLITYKĘ TANZANII XD
    Pozdrawiam Tanzanie z Polski :D
    Me wanting to find a Tulia band song from today :)
    youtube : KEEP TANZANIA'S POLICY XD
    Greetings to Tanzania from Poland :D

  • @fidelisjeremias3145
    @fidelisjeremias3145 ปีที่แล้ว +4

    Mbona kama tuliaa anakandamiza

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 ปีที่แล้ว

      KAULI ZA KAMA KAMA HAZINA MSINGI NI UJINGA.

  • @petermwanyondo5370
    @petermwanyondo5370 ปีที่แล้ว +3

    Hongra dada alima wanawake mnaweza kweli itabaki kuwa kweli

    • @jonasimwanzi3632
      @jonasimwanzi3632 ปีที่แล้ว +1

      Munawza nini munatupeleka tu akuna lolote eshimuni waume zenu

  • @shalommgalawe3800
    @shalommgalawe3800 ปีที่แล้ว +1

    Tumeibiwa kweupeeee....! Njaa na tamaa ni kitovu cha ushetani, sasa tushajiuza for 100 years.... We can only pray, hoping miracles will save our sorry assez from ourselves!

  • @princekarani7836
    @princekarani7836 ปีที่แล้ว +2

    Halima mdee wamemdistruct kinouma yani ile wamchanganye hasiulize kwa uhuru

  • @nicolausmundi
    @nicolausmundi ปีที่แล้ว +4

    Kiukweli Tanzania hatuna bunge lindeni hoja za watu

  • @JacksonMahenge-qx6ev
    @JacksonMahenge-qx6ev ปีที่แล้ว +6

    hichi kichwa, mskilizen vzur sana mdee

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 ปีที่แล้ว +1

    Wanamchanganya tu wakitetea miugali yao sisi wananchi tuko na Halima Mdee.

  • @emmanuelraphael679
    @emmanuelraphael679 ปีที่แล้ว +2

    Daah hii nchi hii mungu atusaidie tu

  • @TumainielKitundu
    @TumainielKitundu ปีที่แล้ว +2

    Niliposoma tweet moja inayosema "Kuna walio lipwa kuikosoa na waliolipwa kuitetea" sasa naelewa kuuzwa hakuji kwa wakati moja, kila ajae atauza kitakacho mnufaisha!

  • @Jessiefrank872
    @Jessiefrank872 ปีที่แล้ว +7

    💐💐💐💐 to her

  • @abdonesrom5009
    @abdonesrom5009 ปีที่แล้ว

    Nawaombea muelewane kwaajiri ya ujenzi wa Taifa letu MUNGU Awabariki wabunge wetuu nawapenda

  • @Missionary_work
    @Missionary_work ปีที่แล้ว +1

    HUYU SPEAKER, HAFAI KABISA.

  • @justusjulius9279
    @justusjulius9279 ปีที่แล้ว +4

    Shule za kata mlitujengea ninyi vijana tumesoma na saivi tunajitambua vzr tuu japo hatujanufaika na hzo Elimu ila zinatusaidia Kwa mapana yake vijana wa kitanzania si wajinga tena.

  • @rugijofrey3685
    @rugijofrey3685 ปีที่แล้ว +2

    Tunatakiwa tuwe na plan za mda mrefu tu invest kwenye ujuzi/Elemu vijana wajifunze kwa manufaa ya baadae vya bure vina gharama

  • @sophiashomary8542
    @sophiashomary8542 ปีที่แล้ว

    mange kawajaza ujinga humuu na wengne wanawachukia waarabu wakijua ztakuwa sheria za kiislam mange anasupport ushoga ndo maana awatak waarab

  • @philemonlwoga9065
    @philemonlwoga9065 ปีที่แล้ว +3

    Halima mdee unaeleweka

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 ปีที่แล้ว +3

    Tulia kichwa boga safi sana halima mwakani chukua nchi chadema mwacheni halima wetu apige kazi tuwaburuze hawa ccm wa hovyo kabisa

  • @neemagift4921
    @neemagift4921 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli kaona mbali

  • @stefanomasolwa8979
    @stefanomasolwa8979 ปีที่แล้ว

    Alima.Mdee dadangu uko sahihi kabisa dada yani akili yako kama vile Rais wetu Mpendwa J.P Magufuli. Yani Alima Mdee ubarikiwe sana kwakweli

  • @ibrahimsuleyman9465
    @ibrahimsuleyman9465 ปีที่แล้ว +3

    Mtu na mwalimu wake!!