ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

Dk Slaa Auwasha Moto Sakata la Bandari na DP World, Asisitiza Msimamo Wake

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 373

  • @sekiondowarema1786
    @sekiondowarema1786 11 หลายเดือนก่อน +2

    Daaaah, huyu mzee ni mkongwe wa siasa.haki anaongea kisheria haswa. big up mzee

  • @angelsulle7177
    @angelsulle7177 ปีที่แล้ว +11

    Dr.Slaa Mungu akulinde mtoto wa kiume ulizaliwa Kwa ajili ya hayo Mungu akutangulieeeee!!!!!!

    • @ashuusomi390
      @ashuusomi390 ปีที่แล้ว +1

      Hakawii kubadilika huyo

    • @swalehkwangaya1258
      @swalehkwangaya1258 ปีที่แล้ว

      Uyo mnafiki mmemsahau

    • @angelsulle7177
      @angelsulle7177 ปีที่แล้ว +1

      Mnafikii mkubwa wewe Ile bandari Sio Mali ya waislmu wekezeni nyumba zenu Kwa waarabu

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 ปีที่แล้ว

      ​@@ashuusomi390nyie ndio hamuelewi ndio maana mnazidi kuongeza umasikin inchini huyu aliwahama wapinzan kwa sabab hawakua wakweli kwa rais mzalendo kama miaka yote wapinzan walipiga kelele wanataka rasi mzalendo atae simamia mali za inchi na kuwatoa mafisad magu akapatikana akayafanya yote hayo walio yataka wapinzan miaka 60 ila wapinzan mkaendelea kumpinga rais kwa yote aliyoyatekeleza mlikua mnayataka sasa hapo mtu mwenye akili na uchungu wa inchi atabaki ndani ya upinzan wakijinga kama huo tatizo leni baadhi ya watanzania mnadhan chama ndio maendeleo ya inchi na wanainchi kumbe chama ni kikundi tu na maendeleo yatafanywa namtu mzalendo alie toka kwenye kikundi chochote kile mue na akili sio kilakitu siasa na uchama tu mpunzan wa kweli niyule anaetaka masrahi ya inchi nasio masrahi ya chama ndio maana sraa aliamua kuwaacha wapinzan wanao kataa hata mazur ya magu ambayo wao wapinzani waliyapigia kelele miaka mingi hayajatekelezwa akayatekeleza magu kwahiyo wewe ndio huwaminik huyu slaa mpinzan wa hak za inchi nasio mpinzan wa chama kupata fursa yakula

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 ปีที่แล้ว

      ​@@swalehkwangaya1258e ndio mnafiq

  • @azizabdallah585
    @azizabdallah585 ปีที่แล้ว +13

    Bravo Mh. Mzee Slaa....WATANZANIA WOTE BILA KUJALI VYAMA VYETU TUKO NYUMA YENU WAZALENDO WA KWELI WA NCHI YETU...NGUVU YA UMMA IKO NYUMA YENU....TUTAWANG'OA WAHUSIKA WOTE WA UFISADI HUU WA BANDARI KWA NGUVU YA UMMA NA HATUTAWAACHA SALAMA MAISHANI.

    • @ameedamilja7992
      @ameedamilja7992 ปีที่แล้ว

      Wewee ndio Uko nyuma yao na Sio Watanzania wote, Tena Ukome Kabisa.. Nani atafuata wapumbavu wa Maslahi Hawa.

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 ปีที่แล้ว

      kabsa na Mungu amlinde na Mungu aingilie kkati kwa hawa mafisad insha allah

  • @SongilGook-ei2my
    @SongilGook-ei2my ปีที่แล้ว +7

    Mzee hataki ujinga😂😂😂😂😂😂😂😂, kaanza na waandishi wa habari wapotoshaji

  • @simonlulenga7062
    @simonlulenga7062 ปีที่แล้ว +8

    Jamani wapihaniaji wetu mlioko mstari wa mbele wa mapambano haya ya kuikomboa nchi mikononi mwa mafusadi Hawa songeni mbele wengine tuko pamoja nanyi katika Maombi na Mungu atatujibu tu.

  • @user-mv1kq5ev4m
    @user-mv1kq5ev4m 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mama Maria tunaomba ongoza nchi yetu!! Baba Mungu akulinde malaika walinzi wakulinde. Roho mtakatifu akufiche kwenye mbawa zake dhidi ya maadui wanaotaka kuteketeza Tanzania yetu. Mungu ibariki nchi yetu

  • @lifeisgood4841
    @lifeisgood4841 ปีที่แล้ว +7

    Katika hili namuunga mkono Dr. Slaa kwa kuwa hoja hapa ni mkataba wa wizi dhidi ya mali za watanzania.

  • @ephraimkalanje7105
    @ephraimkalanje7105 ปีที่แล้ว +5

    Ni wazi TBC hawawezi kuwa critical kwa serikali na hawezi kusema ya waonekanao kuikosoa serikali. Siyo chombo cha taifa. Ni chombo cha CCM. Tuseme ni "chombo chawa kikuu" cha serikali! Utaifa wake uko wapi? Kinamsemea nani? Watawala? Watawala wamepewa hivyo vyeo kama dhamana tu! Je, siku mathalani, wakaingia wengine madarakani TBC itakuwa ndo mwisho wake? Itakwenda na CCM yao?

  • @jumanjiku163
    @jumanjiku163 ปีที่แล้ว +5

    Big up Dkt.Slaa

  • @janejomo7046
    @janejomo7046 11 หลายเดือนก่อน +2

    Well spoken indeed serikali inabidi ifanye evaluation namna inavyoendesha nchi kwa manufaa yetu sote

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 ปีที่แล้ว +3

    Nimeipenda umeongea point baba pasuwa baba

  • @phiniaswandiba3130
    @phiniaswandiba3130 ปีที่แล้ว +5

    Nakubali sana mawazo yako niko tupambane na Hawa wezi ,hawatufai,

  • @obedpeter6874
    @obedpeter6874 ปีที่แล้ว +7

    Hii inchi tunawanasheria wasomi wengi waliosomea hela za watanzania wenye msaada ni wachache wengi wao wa ovyo ,mungu awasaidie mliojitokeza kwenye hili

  • @amanikitengegeofrey2956
    @amanikitengegeofrey2956 ปีที่แล้ว +6

    Dr, slaa tuko nawewe paza sauti tuko nyuma yako🙏🙏

    • @justinezubery608
      @justinezubery608 ปีที่แล้ว

      Sasa tufanyeje sisi kama wakanusha huwauzi

    • @amanikitengegeofrey2956
      @amanikitengegeofrey2956 ปีที่แล้ว

      @@justinezubery608 kwenye mkataba hakuna sehemu inaonyenyesha mauziano ...na hakuna anaesema wameuza,ila vipengele vya mkataba ni sawa na kuuza bndari zote za tanzania bara ...ukisha kosa ukomo hapo ni sawa na kumuuzia mtu kitu hicho🙏

  • @gerraldchristian2001
    @gerraldchristian2001 ปีที่แล้ว +5

    Mtanzania yoyote asipokuunga mkona 1 mbinafusi 2 mwizi

  • @joshuasamson9618
    @joshuasamson9618 ปีที่แล้ว +4

    Kusoma Raha s a na sheria Ahsanteni wasomi wetu

  • @success-only
    @success-only ปีที่แล้ว +3

    Hakika Dkt slaa ,
    Umezungumza Vizuri Sana

  • @lenardkabange-me7ph
    @lenardkabange-me7ph ปีที่แล้ว +2

    Eeee Mwenyezi Mungu onyesha uwepo wako katika hili

  • @user-fs8ch2nw2q
    @user-fs8ch2nw2q ปีที่แล้ว +2

    Mung yupo nanyi milele ❤❤❤

  • @habityabsa997
    @habityabsa997 ปีที่แล้ว +2

    Ume ongea vizuri sana Dr. Slaa 🤝 Allah atulinde sisi wa Tanzania na rasimali zetu.

    • @daudilfrans996
      @daudilfrans996 ปีที่แล้ว

      na wewe ujitambui na uislam wako

    • @habityabsa997
      @habityabsa997 ปีที่แล้ว

      @@daudilfrans996 uislamu ni dini ya kweli na ndio sababu watu wenye chuki na wa Islam kama wewe wata endelea kuwepo. Hivyo hunipi tabu kabisa. So don’t waste your time on me my friend, I am not your enemy but your own nafsi is. May Allah grant you guidance!

  • @Domini-wh3ez
    @Domini-wh3ez ปีที่แล้ว +1

    Unapopewa dhamana ya Uongozi ni MUNGU amekupa,usimamie kwa Haki kwa ajili ya watu wake,Kila mmoja atatoa Hesabu ya jinsi ulivyosimamia pale ulipowekwa

  • @warrenmgode1837
    @warrenmgode1837 ปีที่แล้ว +7

    Katiba inatakiwa sana na tume hulu,ccm wanajuwa watanzania hawawezi kufanya Chochote ndiyo maana wanakibuli Kuna siku watajuta jeshi likiwageuka

    • @emanuelmhoja2411
      @emanuelmhoja2411 ปีที่แล้ว +1

      Jeshi hili ninalolifahamu mimi?

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 ปีที่แล้ว

      ​@@emanuelmhoja2411😂😂😂sindi hapo jeshi la wanywa gongo na rushwa na masirahi ya watu nasio inchi rabda kama kunajeshi jipya litakuja nasio hili lililopo jeshi linaogopa hata inzi 😂😂

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 ปีที่แล้ว +9

    HUU NI MSIBA MZITOO

  • @gloriakalinga4628
    @gloriakalinga4628 ปีที่แล้ว +2

    Wooooow ,ilove this. Now mh umerudi enzizako

  • @elirehemapallangyo9705
    @elirehemapallangyo9705 ปีที่แล้ว +1

    Dr Slaa wewe ni mwamba na Bwana Yesu akulinde ktk msimamo wako///

  • @petermboje5839
    @petermboje5839 ปีที่แล้ว +2

    Ndio slaa unaweza baba

  • @user-xc4gr6by1y
    @user-xc4gr6by1y ปีที่แล้ว +3

    Mwenyezi mungu akuepushe na mabaya na wabaya inshaallah,tutetee babaaa

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 ปีที่แล้ว +4

    KWELI KABISA CHOMBO CHA HABARI KINACHO TETEA BANDARI NA MALI ZETU KUUZWA, BORA WANANCHI TUSIFUATE HABARI NA MEDIA ZA KUTETEA SERIKALI HII

  • @andersonimwakyusa5869
    @andersonimwakyusa5869 ปีที่แล้ว +6

    kazi kweli kweli

    • @estachengula3902
      @estachengula3902 ปีที่แล้ว +1

      Makofi kwa dk slaa jamani baba kajitoa makofi tafadhali

  • @edwardmizambwa237
    @edwardmizambwa237 ปีที่แล้ว +17

    Kasema:- Kama tuliweza kujenga gati 12 wenyewe, tutashindwaje kuwekeza wanyewe? (Mkuu wetu mmoja wa kidini alishauli na kusema miradi mikubwa kama hii ni vizuri ikiwanufaisha vijana wa Kitanzania kwanza kabla ya kufikilia wawekezaji toka nje).
    Akasema:- Sheria kanuni na taratibu za manunuzi zimekiukwa. Hapa ni busara Serikali ingefafanua uhalisia wenyewe.
    Akasema;- Bandali ni moja ya mipaka nyeti kabisa kwa nchi, haiwezekani mwekezaji apitishe bizaa zake bila kuchekiwa. Kweli hii ni hatari kubwa kwa nchi yetu. Hapa Serikali inatakiwa itoe maelezo ya kina kwa ajiri ya mustakabali wa usalama wa nchi yetu.
    Sheria inasema:- Tanzania haitaruhusiwa kuwekeza katika Bandali yake yeyote ile bila kupata RUHUSA / KIBALI toka DPW. Hapo sasa ndio kuuzwa kwenyewe. Maana bandari zote na maeneo husika itakua mali ya DPW, Watanzania hatuna chetu ss mbwa kabisa. Hapo wananchi ndipo ugomvi unapoanzia.
    Sijui elimu yake ikoje.
    Hebu Serikali, tutafsilieni vipengere tata ki undani isiwe kijumla jumla wananchi tuwaelewe!!.

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji ปีที่แล้ว +1

      TATIZO SIO BANDARI NI UDINI NA CHUKI NA WIVU NA UCHU WA MADARAKA 🤪🤪🤪🤪WAGALATIA MTALIA SANA

    • @martinkipenya4592
      @martinkipenya4592 ปีที่แล้ว

      ​@@OmmyJames-xn7jiAcha usenge wewe bandari ni ya dini?

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji ปีที่แล้ว +2

      @@martinkipenya4592 WAGALATIA MAJIZI MTALIA SANA SANA KUHUSU BANDARI 🇹🇿🇹🇿🇹🇿😛😛😛😛😛😛

    • @user-uy2dk2yv2c
      @user-uy2dk2yv2c ปีที่แล้ว

      ​@@OmmyJames-xn7jiwewe Ni mjinga angalia mkataba huo unaozungumziwa ni wa hovyo na ni mkataba wa kifisadi.

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji ปีที่แล้ว

      @@user-uy2dk2yv2c MKATABA NDIO KICHAKA CHENU WAGALATIA MAJIZI HAHAHAHA MTALIA SANA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿WADINI NA WAKABILA MMEPITWA NA WAKATI NA PROPAGANDA ZA KISENGE HIZO 😇😇😇😇

  • @yohanampamba601
    @yohanampamba601 11 หลายเดือนก่อน +1

    Napata raha Sana kuwasikiliza nyie People! Mwenyezi MUNGU mwema asiwapungukie kitu. Hawa watawala wasishupaze shingo juu ya hili la Mkataba mbovu wa Bandari. Kiufupi Mh. Rais na Safu yake wajitathimini kama wanatosha kwenye nafasi zao.

  • @JovinesBenedicto
    @JovinesBenedicto ปีที่แล้ว +2

    Asante baba naomba uwambie mapema

  • @JovinesBenedicto
    @JovinesBenedicto ปีที่แล้ว +2

    Asante sana wambie baba

  • @andrewmmassy5204
    @andrewmmassy5204 ปีที่แล้ว +12

    Nakumbuka wakati nasoma shule,nilipenda sana SoMo la history na nilifaulu vizuri sana
    Nimekumbuka neno "Mikataba ya ulaghai"kati ya wazungu na wazee wetu iliyopelekea kutawaliwa.

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana Dr Slaa. Tuipiganie chi yetu sote dhidi ya maalamia hawa wanao taka kutuingiza ktk mikataba feki. I love Tanzania

    • @Bikhafija
      @Bikhafija ปีที่แล้ว

      Dokta Allwa akubariki sana

    • @allanmbilinyi4826
      @allanmbilinyi4826 ปีที่แล้ว

      WABUNGE WALIPOKWENDA DUBAI WAMEHONGWA PESA NYINGI KISHA WAKASAINI BILA HATA KUUSOMA MKATABA HUO.

  • @francismomo7067
    @francismomo7067 ปีที่แล้ว +5

    Mnipe website ya sauti ya watanzania niwape mchango jaman.nawaunga mkono

  • @hansmosses9422
    @hansmosses9422 ปีที่แล้ว +5

    Sikuzote jambo la kweli likizungumzwa huwa linagusa moyo... Dr slaa umesema kweli

  • @user-yb1vi7un8w
    @user-yb1vi7un8w ปีที่แล้ว +1

    Dk slaa mungu akupe maisha marefu nakuongoze katik njia za kupigania haki za watanzania kwa faida ya vizaz vijavyo

    • @juliusnyerere5393
      @juliusnyerere5393 11 หลายเดือนก่อน

      Huyu mbinafsi mwamba alipoitwa mwenyekiti Mboe Gaidi ukisahau. Aliungana na magufuli naeye akaungana nae kumwita Mboe gaidi kwa tamaa akapewa. Ubalozi akanyaza kimyaaaa. Ni mbinafsi. Leo hii haoni Hata aibu Yule Yule mboe aliyemwita Gaidi Leo anakaaa nae na kuhubiri. Mambo ya bandari. Laiti ingelikuwa bado hadi Leo ni balozi basi huyu slaa msingelimuona kusema kitu Ila samia kampiga na chini imekuwa chuki. Kanyang’anywa. Ubalozi. Choyooo. Tu. Hadi utakufa hutapata uraisi. Hadi utaingia kaburini hakuna anaekutaka useless. Ni mnafiki tu. Tu huna lolote Mboe mpaka kesho hakusahau na hakuamini. Anakaa na wewe kwa hadhari Sana ni nyoka mkuuu

  • @CornelMaganga-ej3jq
    @CornelMaganga-ej3jq ปีที่แล้ว +3

    Kutoka karatu naangalia hii video😂😂🤸

  • @marecanimtambo2503
    @marecanimtambo2503 ปีที่แล้ว +1

    Wambie hao mafisadi wanao taka
    Kutuuza. DKT SLaa tunashuru kuwanusulisha watanzania. hata
    Kipofu asie ona analifaham Hiro
    Mungu awalinde ichi yetu isiingie
    Mafhafuko kwa ajili ya viongozi wabonafusi

  • @ablahamkizo472
    @ablahamkizo472 ปีที่แล้ว +2

    Mungu yupo pamoja nawe
    ahera umeitendea haki elimu yako hapo mpaka Mungu anapenda

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 ปีที่แล้ว +3

    HATUTAKI CCM, HATUTAKI UTUMWA NA UFISADI

  • @user-bq6kt1ys9u
    @user-bq6kt1ys9u ปีที่แล้ว +1

    Saf xana doctor slaaa sis wananch tunateseka Sana.

  • @SamsonAthman-vb7pn
    @SamsonAthman-vb7pn ปีที่แล้ว +2

    Nimekuelewa silaa!!

  • @user-xi6qz2mp2i
    @user-xi6qz2mp2i ปีที่แล้ว +2

    Du kweli hats vitabu vitakatifu vinasema watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa acha tuisome namba.

  • @ayubukilatungwa340
    @ayubukilatungwa340 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa elimu hiyo kutuelimisha

  • @user-km6lu2lu9m
    @user-km6lu2lu9m 11 หลายเดือนก่อน +1

    Tumekusikia wewe ni mwalimu Mungu akuongoze

  • @KobeTweve-ln8pz
    @KobeTweve-ln8pz ปีที่แล้ว +4

    Kweli mzee

  • @user-gw4vv5uh9z
    @user-gw4vv5uh9z ปีที่แล้ว +3

    Kazi kazi

  • @RichardDamian-mp7kv
    @RichardDamian-mp7kv 11 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana Yesu awatete

  • @olivapaul2018
    @olivapaul2018 ปีที่แล้ว +2

    Well said Daddy

  • @justinemaingu1460
    @justinemaingu1460 ปีที่แล้ว +1

    Dr Slaa uko sahih kabisa ao mambulula wanaokudis ni wajinga tu uo mkataba ata mwanangu mdogo tu autaki kabisa

  • @KamkuruBaina
    @KamkuruBaina ปีที่แล้ว +1

    Ongea baba na mungu yuko upande wako atakulinda achana na wauni wapigaji hao

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji ปีที่แล้ว +5

    AMECHANGANYIKIWA ANAZEEKA HALAFU HALAFU HAKUNA WAKUMPA CHEO AMA KAZI 😢😢😢😢HOPEFULLY CHADEMA WATAMCHUKUA AGOMBEE KATIBU TARAFA 😇😇😇😇😇😇

    • @mchunguliechibwa198
      @mchunguliechibwa198 ปีที่แล้ว +1

      Chawa wewe,very stupid na chama chenu hicho cha dili ,dawa yenu hinachemka soon mtatuheshimu wananchi, tutadeal na 1 1 1 especially kenge nyie CHAWA wa mama ..stupid...

    • @godfreymartine5857
      @godfreymartine5857 ปีที่แล้ว

      Hujielewi unaonekana chawa jike ww

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji ปีที่แล้ว

      @@godfreymartine5857 WAGALATIA MTALIA SANA KUHUSU UWEKEZAJI WA BANDARI NO MORE MAJIZI PALE BANDARINI HAHAHAHA

    • @wakatinisasa
      @wakatinisasa ปีที่แล้ว

      Chawa wa nzanzibar kunduch

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji ปีที่แล้ว

      @@wakatinisasa FALA WEWE MIMI MTOTO WA DAR 😛😛😛😛WAGALATIA TUNAMIRUDISHA MKANYWE MBEGE MACHAME NA KUCHEZA KAMARI KKKKKKK NO MORE MAJIZI PALE BANDARINI 🇹🇿🇹🇿😛😛😛

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 ปีที่แล้ว +3

    Tunakuelewa mzee usihofu together we are fear not father

  • @user-ts2lz6zr7f
    @user-ts2lz6zr7f ปีที่แล้ว +2

    Me naona wajitafakari tu km wanasitahili kulipwa mishahara ya watanzania kwa madudu ya mkataba huo

  • @mzarendo.com9624
    @mzarendo.com9624 ปีที่แล้ว +5

    HONGERENI SANA VIONGOZI WAAMINIFU MLIO WEKWA NA MUNGU KWAAJIRI YA KUTETEA MALI ZA WATANGANYIKA.
    MUNGU AWARINDE NA KUWAPA AFYA NJEMA.
    MUNGU IPONYE TANGANYIKA; MUNGU IBARIKI AFRIKA.
    🥺🥺😳😳😟😟🥺🥺🥺

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 ปีที่แล้ว +2

    Muhimbili wazazi anajifungua anazuiwa kutoka eti hajalipa hela hadi mtoto anaanza kucheka bado mamake kazuiwa ndugu walioambiwa katafureni hela muje mchukue mtu wenu wanaingia mitini hawana 300.sasa hayo manufaa ni yapi?

  • @basilhamis681
    @basilhamis681 ปีที่แล้ว +2

    Naomba mfanye kimatendo mmeongea san mnao tutetea ichi yetu kama kunauwezekano fanyeni kitu kwa vitendo tuvunje huo mkataba

  • @danielchacha1305
    @danielchacha1305 ปีที่แล้ว +11

    Ni vyema Rais na timu yake wafahamu kuwa nchi hii imegharimu mali, maisha na damu ya maelfu ya Watanzania wengi na sio kuchezea chezea nchi yetu ndiyo ambayo ni MAMA yetu Halisi. Chezeni na waume, wake na watoto wenu na sio nchi yetu Tanzania.

  • @victorishengoma4599
    @victorishengoma4599 ปีที่แล้ว +4

    Angalieni majina ya wanaompinga silaha

  • @bensimon7330
    @bensimon7330 ปีที่แล้ว +2

    Tanzania inako enda itakua masikini ya kutupwa

  • @wilsonmahundi6816
    @wilsonmahundi6816 ปีที่แล้ว +1

    Ivi kuingia kwenye room tunafanyaje ili tutoe mawazo yetu

  • @user-td4kd7ke7d
    @user-td4kd7ke7d ปีที่แล้ว +1

    Ihi ni nchi yetu ,huyo mwizi hanayejiita dp world Hana Nia njema ,huuu ni mchongo

  • @YusufuIddi-ll6ow
    @YusufuIddi-ll6ow ปีที่แล้ว +1

    Hapana jamani, tote tumuachie mungu Tu.👏🙏

  • @alfrediaugustino1026
    @alfrediaugustino1026 ปีที่แล้ว +3

    Hii nchi tunaviongozi hovyo kabisa hatuna viongozi wengi wao ni wapuuzi

    • @KassimKatelephone-nx8hh
      @KassimKatelephone-nx8hh 11 หลายเดือนก่อน

      Wengi wapo kimaslai na family zao ila kwassa wakati umefika

  • @HajiJuma-xw7vh
    @HajiJuma-xw7vh ปีที่แล้ว +2

    Mungu akuweke baba

  • @HildaLuoga-dl7je
    @HildaLuoga-dl7je 11 หลายเดือนก่อน

    Viongozi wa Tanzania wapo kwaajili ya kujaza matumbo Yao, tunashukuru Kwa kufunguka na Mungu akubariki.

  • @jeremiatitus4414
    @jeremiatitus4414 ปีที่แล้ว +1

    Dct Mungu akulinde ukwel unauma,rushwa ni adui wa haki

  • @sebastianmwantuge5597
    @sebastianmwantuge5597 ปีที่แล้ว +2

    Nikisoma comments za vjana wa Mtume Muhammad wenye vinasaba na Dunai wanamcritisize Dr Slaa.
    Hamna akili nyie

    • @manzodomanzodo547
      @manzodomanzodo547 ปีที่แล้ว

      Uwe na adabu na comments yako wewe, usiseme usiyoyajua.

    • @hekimasanga6028
      @hekimasanga6028 ปีที่แล้ว

      Wew ndio huna akili toa maono yako sio matusi.
      Kwa dr slaa ndio ana nini? Si msomi tu km mimi. Tofauti ni exposure to.

  • @user-uy6bb6wl1x
    @user-uy6bb6wl1x ปีที่แล้ว +2

    Baba nimependa poenti zako

  • @FrankMwaiswasu-dt5ey
    @FrankMwaiswasu-dt5ey ปีที่แล้ว +4

    Viongozi wetu wangekuwa hawajahongwa na hiyo kampuni wangefuta huo mkataba lakini kwakuwa wameshibishwa uchafu ndo maana wamegagania licha kelele zote za wananchi

    • @paulolohay1017
      @paulolohay1017 11 หลายเดือนก่อน

      Ninaumia mpaka moyoni kuna hila si bure

  • @VunjaBoy
    @VunjaBoy ปีที่แล้ว +1

    Hawa viongozi siyo wasitarabu jamani mungu warani hawo wanao kubari mkataba

  • @PiusPatrick-qj8fi
    @PiusPatrick-qj8fi 11 หลายเดือนก่อน +1

    Big up slaa

  • @user-ch1ms3sd6l
    @user-ch1ms3sd6l ปีที่แล้ว +1

    👏👏msiache kutupigania

  • @user-en7sg1kn6v
    @user-en7sg1kn6v 11 หลายเดือนก่อน +1

    Unafaa kuwa Raisi wa watanzania

  • @malamlaaj9852
    @malamlaaj9852 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna namna lazima mikataba irekebishwe ili zoezi la ubinafsishaji liendelee. Hapa ni busara tu ya kiungozi. Ni wazi hatuwezi kuendesha Bandari. Ni lazima ibinafsishwe baada ya kurekabisha mkataba.

    • @kawiche4911
      @kawiche4911 ปีที่แล้ว

      TUNAWEZA KUENDESHA BANDARI KAMA HAWA WEZI WATAONDOKA SAMIA NA GENGE LAKE
      MKATABA TUNAUPINGA NA TUNAENDELEA KUUPINGA.
      WEZI HAO KILA KITU KUIBA TU . HAWAWEZI BASI WAACHIE NGAZI WAPEWE WENYE UWEZO WA KUONGOZA

  • @chrszcham4771
    @chrszcham4771 ปีที่แล้ว +3

    Sawa

  • @keasaid
    @keasaid ปีที่แล้ว +2

    Samia ana akili za mtoto mchanga

  • @geraldndila5172
    @geraldndila5172 ปีที่แล้ว +2

    Tuna hasiranao sana sema hawajui2 wajitasimin kama serikali, nawasipo jitasimin watavuna wanachopanda tena soon2;

  • @happyjeremiahmhuli4043
    @happyjeremiahmhuli4043 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @willibroadwilliam6798
    @willibroadwilliam6798 ปีที่แล้ว +1

    Bila kuwa na sera kama za Hayati Magufu Tanzania aiwezikani. Rabda tutumie sheria za kijeshi uchumi utapanda kura mara mbili kwa siku itawezekana.

  • @titoedward6883
    @titoedward6883 ปีที่แล้ว +1

    Mubarikiwe sana wazee wetu

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 ปีที่แล้ว +1

    Sisi tunawaomba wenye haki pamoja naviongozi wote wa madhehebu ya dini kutoa tamko la pamoja kwakuwa wao ndiyo wanaomiliki waumini wawe wakristo au waislam ,kwani mivutano yoyote juu Jambo hili la bandari, inaweza kuiacha nchi isivyo

  • @allanmbilinyi4826
    @allanmbilinyi4826 ปีที่แล้ว +2

    WANANCHI HATUNA MPANGO NA MKATABA WA BANDARI ,UFUTWE KAMA MMECHUKUA PESA MRUDISHE.MKATABA WAHOVYO HATUTAKI.

    • @hafidhseif9638
      @hafidhseif9638 ปีที่แล้ว

      Bandar ulijenga wewe au mzee wako unaijua history ya bandari kama hujui ndio haohao waarabu ndio walijenga hiyo bandari, na wazee wa kizaramu ndio walimpa mwarabu ardh yao kujenga bandari unakuja wewe kutoka songea huko kigoma huko unakuja kupiga kelele hata haikuhusu ndewe wa sikio ardhi sio ya mzee wako wala babu yako

    • @allanmbilinyi4826
      @allanmbilinyi4826 ปีที่แล้ว

      TUWEKEZE WENYEWE,KAMA KUNAUPIGAJI PESA KUWADHIBITI TU,KUNA MABILIONEA WAKITANGANYIKA WAWEKEZE SIO KITU BANDALI WAWEKEZE WAGENI.HIYO ROHO YA NCHI.

  • @HajiJuma-xw7vh
    @HajiJuma-xw7vh ปีที่แล้ว +2

    Safi sana mkuu

  • @YusufuIddi-ll6ow
    @YusufuIddi-ll6ow ปีที่แล้ว

    Nchi yetu sasa imeshavurugika👏 kwakweli, we mungu inusuru na utuongoze😭🙏

  • @user-uh7oc2jw2k
    @user-uh7oc2jw2k ปีที่แล้ว +1

    Upo sahihi Ila elimu mutuelimishe kwa amani wengi tulikua hatuyajui hayo

  • @DanielPanga-fi9om
    @DanielPanga-fi9om ปีที่แล้ว +2

    Kweli Mzee wetu

  • @bungesabaya8062
    @bungesabaya8062 ปีที่แล้ว +1

    Vyombo vyetu vya Habari hamna kitu ,machawa . Raisi wetu hatumulewi

  • @samwelrobertmwakatobe6467
    @samwelrobertmwakatobe6467 ปีที่แล้ว +2

    Sema baba uko vzr

  • @mchunguliechibwa198
    @mchunguliechibwa198 ปีที่แล้ว +1

    Wajitafakari sana waandishi wa habari ni wa ovyo sana ,na TBC ndio ovyo kabisa nina miaka zaidi ya 10 sijawai kuitazama,,bure kabisa..

  • @user-qz4bx6lq4i
    @user-qz4bx6lq4i 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe nguvu na ujasiri mpana

  • @johnshayo9635
    @johnshayo9635 ปีที่แล้ว +2

    Mzee ubaeleweka vyema sana

  • @summanelson5523
    @summanelson5523 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo viongozi wetu tukisha wachagua na wakishika ofisi nyeti wanajisahau na kujiona wana akili kutuzidi wananchi wa nchi hii!!!!!

  • @allanmbilinyi4826
    @allanmbilinyi4826 ปีที่แล้ว +4

    Dr.Silaa kaza Uzi TUPO nyuma yako wewe ni Mzalendo HALISI.

  • @bughalimboka1643
    @bughalimboka1643 ปีที่แล้ว

    Hivi wakati wa mkapa " ubinafsishaji " unafanyika mbona ulikuwa kimya??? ama kwavile ni MKATOLIKI...? huo ni udiniiii bosi.

  • @babuloliondo74
    @babuloliondo74 ปีที่แล้ว +1

    Musisaau mkataba ariotia saini nyerere na kaunda mau wachina unasemaje kuhusu TAZARA unasemaje

  • @patkrinsliy7389
    @patkrinsliy7389 ปีที่แล้ว +1

    Mzee upo kizalendo la msingi ni kuunda chama kipya cha siasa chenye sura na mikakati ya kizalendo zaidi. Tumeshuhudia kwa macho yetu kiasi gani baadhi ya viongozi wa upinzani na vyana vyao walivyo wanafiki na wanatumia suala hili kujinufaisha kisiasa zaidi na sio kulinufaisha taifa na watu wake. Chama kipya kinahitajika tena haraka kitachokuwa na wazalendo wa kweli sio wachumia tumbo.

  • @ustawiwetu
    @ustawiwetu ปีที่แล้ว +1

    Waafrika tulipigwa ktk mikataba ya carl peters na chief mangungo wakat hatuna elimu cha ajabu hadi sasa na elimu zetu tunapigwa, nani katuroga