#LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 มิ.ย. 2024
  • Fuatilia Mwanzo TV Plus
    SUBSCRIBE TH-cam Channel yetu
    Follow us on X, Facebook and Instagram

ความคิดเห็น • 97

  • @alphoncejmrema7912
    @alphoncejmrema7912 4 วันที่ผ่านมา +9

    Mheshimiwa Mpina sheria imebadilika imekaa chin ya cheo kiongoz sio juu pole mheshimiwa mungu ni mwema kila wakat

  • @michaelshegwando9125
    @michaelshegwando9125 4 วันที่ผ่านมา +7

    Mungu aendelee kukupa nguvu na hekima...
    Hakika utasimamiwa na Mungu

  • @user-cd9re4wt2b
    @user-cd9re4wt2b 4 วันที่ผ่านมา +10

    Wabunge hoja wazijibu wasikimbilie kukufukuza watanzania tunalaani vikali kufukuzwa kwa mh Mpina

    • @danielhumble4292
      @danielhumble4292 4 วันที่ผ่านมา +3

      Tulishasema wakiwamaliza wapinzani watarudiana hivyo Mpina ni mwanzo wengine watafuata kutolewa sadaka au kafara

  • @mchunguliechibwa198
    @mchunguliechibwa198 3 วันที่ผ่านมา +4

    Ndio mjue nyie chawa,ccm hina wenyewe tena wanatoka familia bora sio nyie maskini tu,chawa..Well done comrade Mpina..safi sana kuwapa mahua yao Mh Samuel Sitta and Anna ...

  • @nicholaskileka1160
    @nicholaskileka1160 4 วันที่ผ่านมา +4

    Mpina Mungu akutangulie karika kutekeleza majukumu yako. Mungu anawaona hao wenye nia ovu

    • @matiredms917
      @matiredms917 3 วันที่ผ่านมา

      Jamani tuache kila kitu kwa Mungu. Mungu mwenyewe anasema"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" Maarifa yenyewe tayari yamewekwa kwenye Ibara ya Nane(8) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano ambacho kina toa Mamlaka yote ya Nchi kwa Wananchi na wala si kwa Rais. Sisi Wananchi tunashindwa kutumia madaraka haya lakini tumeshindwa na sasa tunamwachia Mungu. Watanzania tuwaige wenzetu wa Kenya. Tuchukue na kutekeleza Mamlaka yetu kikatiba kuwawajibisha Watawala na Bunge vyombo ambavyo haviwajibiki vilivyo.

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 4 วันที่ผ่านมา +7

    Wala usijieleze sana Mhe Mpina. Wenye akili wanajua kinachoendelea ktk ufisadi wizi kuhujumu kunakofanywa na viongozi wanaojiita wasomi.

  • @EmmanuelJailos-pe3du
    @EmmanuelJailos-pe3du 4 วันที่ผ่านมา +8

    Mpina usichokijua bunge letu la Sasa ni la ccm! Na ccm ni chama kinachowachukia watu waadilifu ni chama kinachotetea ufisadi.Ukifichua maovu wewe ni adui wa chama na bunge sababu bunge Hilo lipo kwaajili ya kutetea uovu na kujitajilisha wao binafsi Hawa uchungu na maisha ya watanzani.

    • @user-eo4bl3do8k
      @user-eo4bl3do8k 3 วันที่ผ่านมา +1

      Ndio maana mimi huwa sianglii bunge letu la TANZANIA, KWASABABU HILO BUNGE KWASASA SIO BUNGE NI KIKAO CHA CHAMA CHA MAPINDUZI,, ,KILA KITU USEME NDIO NDIO HUKUSEMA NDIO WEWE NI MSALITI

  • @damaswikoko2596
    @damaswikoko2596 4 วันที่ผ่านมา +5

    Mpina uko vizuri sana

    • @minazsaid2470
      @minazsaid2470 3 วันที่ผ่านมา

      Mpina mungu akusimamie 👏👏

  • @danielkanso
    @danielkanso 3 วันที่ผ่านมา

    Pole mheshimiwa shida ni kusema kweli kwa watu ambao hawahitaji ukweli na uwazi inaonekana unawakera kwa maswali na hoja zako keep it up

  • @user-eg1pk1sw4j
    @user-eg1pk1sw4j 4 วันที่ผ่านมา +3

    Mpina GOAT,take your 🎉🎉🎉

  • @simonnaivasha6393
    @simonnaivasha6393 3 วันที่ผ่านมา

    Hongera Mpina ! Hata kanuni wazotunga wabunge wetu hawazijui hata spika, kumbe ndiyo maana mwanafun,I we fani ya😊 shule sheria shetia wafail😊ing wa mitihani waalimu eweinyewae

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 3 วันที่ผ่านมา

    Mmmmh ! Pole brother --- " Mungu ni mwenye haki,atakutetea "

  • @lupefiascojr.1896
    @lupefiascojr.1896 4 วันที่ผ่านมา +2

    Aiseeeee mpina kaonewaaaaaaaa Iko wazi

  • @meryshekoloa961
    @meryshekoloa961 4 วันที่ผ่านมา

    Kikubwa.mungu akutunze vuta subra.mtangulize mungu tusikupoteze napia usichoke kuomba rehema

  • @MariaCassian-e2i
    @MariaCassian-e2i 2 วันที่ผ่านมา

    Watanzania hatuna maamuzi wabunge wanao tetea wananchi kwa dhati wananyanyaswa namna hii 😂😂😂 watanza nia tuna heshimiana sana hebu tuendelee kuheshimiana tendeni haki vyeo ni dhamana tu❤❤❤❤

  • @omariSaliboko
    @omariSaliboko 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mpina uko. Sahihi tuandamane

  • @petersongoma7183
    @petersongoma7183 3 วันที่ผ่านมา

    Kwa mtazamo wangu tumebaki na Mbunge mmoja tu wa wananchi katika Bunge la JMT anayefaa kuwa Mbunge katika Jimbo lolote Tanzania. Namwomba Mhe. Mpina asivunjike moyo wala kukata tamaa, Mungu yuko upande wake.

  • @johnpeterson9333
    @johnpeterson9333 3 วันที่ผ่านมา

    Another jpm ... Uzalendo unatakiwa ktk hii nchii tupo pamoja mpina big up

  • @asungwilemwaifungapenginei2385
    @asungwilemwaifungapenginei2385 4 วันที่ผ่านมา +1

    Mpina ni kweli ni mnyonge wa Tanzania. Ameongeza kwa uchungu mkubwa kwa kuzuia kutekeleza wajibu wake wa kikatiba. Hazungumzii uchungu wa kukosa posho

  • @MariamKhamis-i3v
    @MariamKhamis-i3v 4 วันที่ผ่านมา +1

    Mpina👏👏👏

  • @tridabalira5992
    @tridabalira5992 4 วันที่ผ่านมา

    Too many mbuzi bungeni Ahsante Mh. Mpina fight on for the common Tanzania. Corruption inatuchosha.

  • @simonmanga7157
    @simonmanga7157 4 วันที่ผ่านมา +1

    Hadi hapa nimegundua kuwa:Tangu Tulia awe spika wa bunge Benger letu lomepoza mwelekeo,spika huyu ni wa hovyo kabisa!Wanambeya mmetuletea bomu bungeni!

  • @MsanangoMwalabu-rx1oo
    @MsanangoMwalabu-rx1oo 3 วันที่ผ่านมา

    Jamani kuweni makini haka kamchezo uchaguzi umekaribia tujifunze kws nyarandu na lowassa na sumayi

  • @BenjaminiEdward-zh7zt
    @BenjaminiEdward-zh7zt 4 วันที่ผ่านมา +4

    Kwa kitendo hiki cha kumnyanyasa Mpina CCM na Spika hawana nia njema na Watanzania tukutane Uchaguzi mkuu

    • @matiredms917
      @matiredms917 3 วันที่ผ่านมา

      Sawa kabisa ndugu umenena vema. Tawaamue kuwaondoa madarakani waliyopachikwa na Magufuli kinyume cha Katiba.

    • @TegemeaFutemakatifu
      @TegemeaFutemakatifu 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@matiredms917Mfumo huo tunaooooo??!!

    • @TegemeaFutemakatifu
      @TegemeaFutemakatifu 3 วันที่ผ่านมา

      Mfumo wakufanikisha Hilo tunaooooo??!!

  • @michaelmwambije3603
    @michaelmwambije3603 3 วันที่ผ่านมา +1

    Tanzania hatuna bunge tangu mwenda zake alipo jiona Yuko juu ya mungu mpaka leo tuna vibaka na majambazi ndo yamekalia bunge wanachi tuamke

  • @user-cd9re4wt2b
    @user-cd9re4wt2b 4 วันที่ผ่านมา +1

    Mh Mpina uko vizuri tunakuunga mkono uonevu huu uliotendewa ni unyama

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 3 วันที่ผ่านมา

    Huyu ndio mwenye uchungu wa nchi yake ipo siku mtaelewa

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 3 วันที่ผ่านมา

    Siasa ningumu sana unahitaji uwe na moyo ujitoe kweli kweli
    TANU kilukua Chama Cha watu..baadae kikabidilishwa kikawa chama Cha ccm
    Hapa watu wachache ndio walikua na nguvu hasa mwenyekiti...Tangu mwaka 1964
    Maslahi na maamuzi ya Tanzania yamekua yakiamuliwa na watu wachache

  • @simonchristian6319
    @simonchristian6319 3 วันที่ผ่านมา

    Dili ya sukari hiyo mpina,pole sana ,Sasa Kama mtu anaufanyia hivi mti mbichi,itakuaje kwa mti mkavu

  • @walesbernard9115
    @walesbernard9115 4 วันที่ผ่านมา +1

    Mpina wewe ndiye mbunge pekee bungeni unayetetea wananchi. Muda utasema hao wabunge wa ikulu itafika muda mkatafute kura huko.

  • @user-kg8dn6qr8o
    @user-kg8dn6qr8o 3 วันที่ผ่านมา

    Mpina ana fanya kazi kwa maslahi ya uma

  • @gasperjohnson3388
    @gasperjohnson3388 4 วันที่ผ่านมา

    Bora utufungue mana kanuni za kibunge sisi hatuzijui😢dah umeonewa kweli

  • @mariaanthoniangowi9376
    @mariaanthoniangowi9376 3 วันที่ผ่านมา

    Nfugu Mpina,jibu ni kwamba huomradi ni wa spika na hao watu wake. Kwahio umeganyaka nyoka mkia kaka yetu. Lakini Mungu yuko mbioni kutoa majibu . Na saa yake ndio sasa imewadia

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 4 วันที่ผ่านมา

    Sawa lakini nikuombe Sana Usije ukamkosea Mungu kwakutaka huruma ya hao walio kutenda isivyo haki mwache Mungu akupambanie wacha Mungu wanakuomea Sana ,kwani Ninani unayemsikia mwingine akipiga kelele kwaajili ya haki???

  • @NickTajir
    @NickTajir 4 วันที่ผ่านมา +1

    Utashinda wameaibika wao na waliochangia walipangwa na spika

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc 4 วันที่ผ่านมา

    Mh umegeuziwa kibao Kwa kuwa unasimamia haki na kweli,,Ulipinga uzwaji wa bandari,Utoroshwaji pesa za umma Kwa badhi ya mawaziri,Walikuwa wanakutafutia makosa ya kukutoa bungeni

  • @othmanyasin2838
    @othmanyasin2838 4 วันที่ผ่านมา

    Mpina mwamba sana,mtu mmoja ni jengo zima

  • @feliciankavishe6792
    @feliciankavishe6792 3 วันที่ผ่านมา

    Today huko ccm,wenimsema kweli

  • @negelepeter2295
    @negelepeter2295 4 วันที่ผ่านมา

    Nakuelewa sana

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 3 วันที่ผ่านมา

    Mpina ukiwa kwenye Hilo gwanda kazi Yako sio yakitoto

  • @wegesawaryoba3316
    @wegesawaryoba3316 3 วันที่ผ่านมา

    Mpina jeshi kubwa,sisi wananchi tunakuelewa.

  • @PeterKazimoto
    @PeterKazimoto 3 วันที่ผ่านมา

    Wananchi tunakuelewa sana.Tupo NYUMA yako.

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 4 วันที่ผ่านมา

    Wenzio hawakutaka uongelee mahali pawazi walitaka uwanong'oneze, watz wasije wakaelewa kinacho endelea pole ila Mungu muumba wa Mbingu nanchi hadhihakiwi.

  • @user-ii2vm5vv1b
    @user-ii2vm5vv1b 4 วันที่ผ่านมา

    Elieshi poul: Hakika Mpina ndie aina ya wabunge tunawowahitaji kwani anatetea haki ya wananchi

  • @Stevenmwanisawa-dt5vb
    @Stevenmwanisawa-dt5vb 3 วันที่ผ่านมา

    Mpina huna BAYA wanainchi tuko na wewe. Huyo bashe amekuwa mpiga maadili kama mwiguru. Taifa limeona

  • @CharlesElias-zh5hz
    @CharlesElias-zh5hz 4 วันที่ผ่านมา

    Jaman Mpina kumbe Kuna madudu hayo. Mzee ulilusha ndoano Nini? Mbona anakunyanyasa hivo Kuna nini? Funguka baba unawavua nguo Leo. Ila jiandae kuhama

  • @williamfrancis8724
    @williamfrancis8724 3 วันที่ผ่านมา

    Wanawake Hawana uwezo wakuongoza Nchi

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 4 วันที่ผ่านมา

    Hivi haya yana ukweli au😮 maana inauma sana ss wananchi

  • @mariaanthoniangowi9376
    @mariaanthoniangowi9376 3 วันที่ผ่านมา

    Walikuwa wamejiandaa baba

  • @RamadhanAndrea-q6j
    @RamadhanAndrea-q6j 4 วันที่ผ่านมา

    Mpina oyee

  • @elimelamerii2342
    @elimelamerii2342 4 วันที่ผ่านมา

    Hivi ni 26d na e au ni 29d&e??...mbona kuna kuchanganya hapo??

  • @matiredms917
    @matiredms917 3 วันที่ผ่านมา

    Mpina USHINDI dhidi ya Majambazi hayo ni dhahiri kabisa 2025. Magufuli ambaye kwa ubabe mkubwa angewatetea alishakwenda mbele ya HAKI.

  • @yonassngonye3759
    @yonassngonye3759 4 วันที่ผ่านมา

    Tumehama kwenye Reli

  • @CharlesElias-zh5hz
    @CharlesElias-zh5hz 4 วันที่ผ่านมา

    Hata bungen Kuna makund mzee

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 4 วันที่ผ่านมา

    Mpina you ok according your explanation Rong doing acson tulia take action agest you and lmbarasing to acson tulia as the palament speaker into our palament house but ccm won't agree on all this low act into Tanzania constitution still they will crush you by full force fear of cicret of explanation from you mpina you need saport from Tanzania opposition religious leader free team organization of tanzanian backing you if they won't backing you you will be on hard time way we know ccm ruling part

  • @BenjaminiEdward-zh7zt
    @BenjaminiEdward-zh7zt 4 วันที่ผ่านมา

    Kuweni makini na mambo mnayofanyia watu Spika na CCM huyu mtu atawapunguzia heshima ya chama na uongozi na wengine hawatarudi 2025 ikiwezekana watanzania tumalizane na ccm mwakani.

  • @idfoncekilawa7354
    @idfoncekilawa7354 4 วันที่ผ่านมา

    Hii vita ni ngumu ila kunaanguko la mtu hapo mbeleni mwenye nguvu atashinda

  • @user-ig7tb1cf8z
    @user-ig7tb1cf8z 4 วันที่ผ่านมา

    Yaani Binge la wananchi lilikuwa katika kipindi cha Samuel Sitta, na Anne makinda sasa vioja tupu

  • @labancharles8453
    @labancharles8453 3 วันที่ผ่านมา

    Hata itokeee nini MUNGU yu pamoja nawe Tanzania ni ya MUNGU ametupa usiogope sema ukweli maana msema kweli kipenz cha MUNGU

  • @BatazalNdifwa-nk2hl
    @BatazalNdifwa-nk2hl 4 วันที่ผ่านมา

    Mimi mipnzani ila nakuunga mkono. Pambana mh. Ccm waonevu mno. Ok

  • @elimelamerii2342
    @elimelamerii2342 4 วันที่ผ่านมา +1

    KWANI TARATIBU ZA KUAPPEAL ZIKOJE??... KWA NINI ASIKATE RUFAA YA ADHABU ALIYOPEWA??

    • @matiredms917
      @matiredms917 3 วันที่ผ่านมา

      Ndugu yangu utakata rufaa kutoka mahakama ambayo iliyotoa ilikuwa inaongozwa na kima/ngedere na unategemea mahakama ya nyani ndiyo itakupa haki?

  • @otswardowden6060
    @otswardowden6060 4 วันที่ผ่านมา

    Ngosha

  • @charlesmbaga6115
    @charlesmbaga6115 4 วันที่ผ่านมา

    Kinachokupponza nikiapo na sitaioa Siri xa BARAZA LA mawaziri Aluta cont

  • @CharlesElias-zh5hz
    @CharlesElias-zh5hz 4 วันที่ผ่านมา

    Ndo maana kumbe walikuwa wameandaliwa kukandamiza

  • @user-cd9re4wt2b
    @user-cd9re4wt2b 4 วันที่ผ่านมา +1

    Tunakuunga mkono tutetee mh Mpina uonevu waliokutendea tunaulaani vikali wananchi , WATANZANIA .Tuna laani kufukuzea Bungeni

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 4 วันที่ผ่านมา

    Rudisha hela za wenye viwanda vya sukari ....sisi tunachofurahi sukari inaendelea kujaa na Bei kushuka...wenye viwanda unaowatetea walimsumbua hata magufuli hadi akamuagiza waziri mkuu aandae utaratibu wa serikali yenyewe iagize sukari baada ya kubaini wafanyabiashara wenye viwanda vya sukari wanatengeneza uhaba wa sukari kwa kuficha sukari ile Bei ipande wauze kwa Bei ya juu

    • @user-xx1je7sy4h
      @user-xx1je7sy4h 3 วันที่ผ่านมา

      Wew ni chawa wa kijani achana na mpina huna hakir ya kubishana naye baki kuwa chawa ss wananchi tunamuelewa mpina

    • @mariaanthoniangowi9376
      @mariaanthoniangowi9376 3 วันที่ผ่านมา

      @ hajimnubi acha upumbavu que weelewa, au Ww ni Migongo mwauo uozo?

  • @AdamKaponda
    @AdamKaponda 4 วันที่ผ่านมา

    Hilo ni bunge la nani?nanikalichagua?bunge batili matendo yake lazima yawebatili SI vinginevyo,,wamejaa uchawa,mtupu,hao wote ni wasakadili Kwa warabu,

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 3 วันที่ผ่านมา

    hilo siyo bunge bali ni kikao cha wahuni mjanja ni wewe tu

  • @yonassngonye3759
    @yonassngonye3759 4 วันที่ผ่านมา

    Kipimo cha jazba!

  • @user-ju5ph3jp6f
    @user-ju5ph3jp6f วันที่ผ่านมา

    Kwa hili wametukosea watanzania wote sio wewe tu kama sio Mimi peke yangu nikiangalia bunge basi fahamu nataka kuona unaongea nini kwani walio wengi wamebaki kutafuta kiki tu

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 3 วันที่ผ่านมา

    Si uachane nao kaka kwani ccm imekuzaa mpina I imekusomesha?achana na ccm mpina kwani kabula hujawmbunge ilikua juli huvai?mbona mpina uwezo wa kula milomitatu mpende akupendae mpina achana nao fanta mambo yako achana na ccm mipina waachie lichama lao

  • @simonmanga7157
    @simonmanga7157 4 วันที่ผ่านมา

    Spika sufuri kabisa!

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 3 วันที่ผ่านมา

    Mpina nenda chadema hao wabunge na spika wote ni wachongo wa magu hakuna hta aliyechaguliwa na wananchi acha kupoteza muda kuwajibu wajinga wanajulikana japo wao hawajioni

  • @MonayLai
    @MonayLai 3 วันที่ผ่านมา

    Bora awawahi kabla wao hawajafanya lolote dhidi yake

  • @davidkawesa3594
    @davidkawesa3594 3 วันที่ผ่านมา

    Mwenda zake alijuwa atapata nafuu angalijuwa angeweka katiba mpya jina lake lingeandikwa kwenye kumbukumbu
    Ssm muache hila Mungu yupo kazini

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 3 วันที่ผ่านมา

    It show asheme to acson tulia on is low education doughty way mpina translation into Tanzania constuetion low act wich acson tulia use is lmbarasing under mpina low act translation Sasa watanzania ndio mchambue huyo mama uwanasheria wake alisoma wapi kwa nini ni speaker wa bunge lakini hizi hoja za mpina aibu tupu kwa speaker acson tulia ashrm to her lmbarasing her saif use act not me but is fellow ccmpina translate low act under Tanzania constitution

  • @yonassngonye3759
    @yonassngonye3759 4 วันที่ผ่านมา

    Kamati ya bajeti kumbe dili

  • @mariaanthoniangowi9376
    @mariaanthoniangowi9376 3 วันที่ผ่านมา

    Ndugu zangu mnashanaa nini? CCM uozo tu na hawana boa Wala Lego lá kubadilika. Ni Sisu tu kufanya maamuzi magumu ya kuchukua mundo na make e yao kutwanga nazi na kuzika tu,2025 na kufuta kumbukumbu ya CCM Tanganyika.

  • @JosephIbrahimu
    @JosephIbrahimu 4 วันที่ผ่านมา

    Mpina uko vizuri

  • @edwiniedwin3347
    @edwiniedwin3347 4 วันที่ผ่านมา +1

    Tungepata wabunge km hawa watano , Bunge lingekuwa bungen.

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 3 วันที่ผ่านมา

      Uchaguzi ujao ifanyike kwa vitendo. Inawezekana sana kama tutaamua

  • @MariamKhamis-i3v
    @MariamKhamis-i3v 4 วันที่ผ่านมา

    Mpina👏👏👏

  • @JosephIbrahimu
    @JosephIbrahimu 4 วันที่ผ่านมา

    Mpina uko vizuri