Pole sana Dada binafsi siwezi kukulaumu maana tunakutana na watu wengi sana tusiowajua undani wao lakini kikubwa ni kua makini kuwachunguza na kuwafahamu undani wao ila mwisho wa yote ni kumshirikisha Mungu katika kila kitu maana yeye ndie mwanga wetu palipo na giza.
Pole sana dada hilo jambo la kudanga halifai muogopeni mungu na km unafanya hiyo biashara usikukubali kwenda kwenye nyumba ya mtu usiyemfahamu nendeni hotel
Hii nzuri sana, inafaa kukomesha umalaya maana mnajilegeza sana mnauza utu wenu sana, me mwenyewe nikikuchukua hunijui ukakubali lazima nikakutelekeze hata porini ili kukufundisha adabu japo siku nyingine ujue kuna binadamu wabaya na utu wako ni zaidi ya pesa.. Angekunyoosha kabisa nimpate huyo shetani aje mtaani kwetu kukomesha umalaya🎉
Wadada mujifunze acheni kutamani mali za watu mmekua watu wa kujali pesa kuliko utu wenu, na siku hizi mnajfanya mmevurugwa akili kuweni makini sana sanaaa hizi pesa ztakuja kuwaua ridhikeni na waume zenu mlionao haijalishi mna maisha kiasi gani mnachoweza fanya ni kuwatia moyo waume zenu hizi pesa znatafutwa na znapatkana huu ndio ushauri kwa waschana wa kisasa nafikiri mmenielewa
ASANTE KWA HIYO HABARI NZURI DADA. WENGINE TUNEJIFUNZA. JAMANI WASICHANA TAFAZALINI MIAKA HII SIYO ILE YA ZANANI YA MTU KUCHUNA BUZI. TUTAFUTE KAZI ZA KUFANYA. WAKATI WA KUTEGEMEA WANAUME NA MABUZI SIYO HUU TENA.
Achana na maneno y wa2 bna we mxhukur mungu songs mbelee😢😅
Pole sana dada jamn mungu yupo all the time God is good
Duh!!! Pole sana na ushukuru Mungu umetoka salamaa na unamungu pia hao n wachuna ngoz na damu za watu huwa wanatoaga pia
Pole sana Dada binafsi siwezi kukulaumu maana tunakutana na watu wengi sana tusiowajua undani wao lakini kikubwa ni kua makini kuwachunguza na kuwafahamu undani wao ila mwisho wa yote ni kumshirikisha Mungu katika kila kitu maana yeye ndie mwanga wetu palipo na giza.
Poleni njameni
Pole
7:04 😅😅😅😅😅 7:42 😅 8:13
Pole sana maisha Yana mithihani san
mwongo huyo mambo yakufikika
Pole Sana dada mungu atakuwa nawwe siku zote na kwaushuli usimwache mungu wako kuwa name pamaneti ama kweli mungu anatujua kuliko SS tunvyo jijua
mhuuu pole sana
Mungu yumwema dada
Jna la move
Pole sana dada Mungu anakipenda endelea kumshukulu
Dah pole sana dada mungu yupo na wewe atakuokoa muombe wakati wote hatakuacha mtumikie kwa moyo wote yy nimwaminifu
Duu pole mmy
Daa poresana dada mg anakupenda sana
Pole sana dada hilo jambo la kudanga halifai muogopeni mungu na km unafanya hiyo biashara usikukubali kwenda kwenye nyumba ya mtu usiyemfahamu nendeni hotel
Pole sana sister
Hii nzuri sana, inafaa kukomesha umalaya maana mnajilegeza sana mnauza utu wenu sana, me mwenyewe nikikuchukua hunijui ukakubali lazima nikakutelekeze hata porini ili kukufundisha adabu japo siku nyingine ujue kuna binadamu wabaya na utu wako ni zaidi ya pesa.. Angekunyoosha kabisa nimpate huyo shetani aje mtaani kwetu kukomesha umalaya🎉
Wadada mujifunze acheni kutamani mali za watu mmekua watu wa kujali pesa kuliko utu wenu, na siku hizi mnajfanya mmevurugwa akili kuweni makini sana sanaaa hizi pesa ztakuja kuwaua ridhikeni na waume zenu mlionao haijalishi mna maisha kiasi gani mnachoweza fanya ni kuwatia moyo waume zenu hizi pesa znatafutwa na znapatkana huu ndio ushauri kwa waschana wa kisasa nafikiri mmenielewa
Tamaa na uvivu wa kazi ndio unao waponza mabinti wengi
Soma kumenti nd ujibu
Pole xn dada ni mung tu aliekuokoa
Poleee saana dadaanguu kwa kweri mungu alikuwa pamoja naweee na pya enderea kumuomba mungu🙏
Pole sana dada Mungu anakupenda sana endelea kumwomba na kumtumikia
Pole sana ndgu yangu endelea kumuombba mungu,😢😢
Pole.sana .dadayangu.sukuru.mungu.uko.uai sana
Pole sana dada,usiongeze Tena kurafikiana n'a MTU usiye juwa dada.
Pole sana Dada muombe mungu akusaidie
Pole Sana dada angu tuwe makini dunia imebadilika sana
Pole sana dada Mungu bado yu pamoja nawe
Pole sana dada muombe mungu kwamambo yaliyo kukuta
Angekutoa figo na maini
Pole sana dada kumbuka maombi ni nguzo yetu duu pole
Duuh pole xn hla chunga xn awo wanaume
Pole sana Dada yangu endelea kumuomba mungu 😢😢😢😢😢😢😢😢
Duh pole sana dada mungu akusaidie nauokoke sasa dada mjuwe naumtumikie
Pole sana dada kwa yaliyo kukuta sio kosa lako ndio ma binti wottulivo xax
I'm surprised how you accepted to go with a stranger na hata kuenda hadi kwake but I'm glad you survived. You have learned your lessons
Perhaps she is sex worker
Mungu ni mkubwa dadangu,husichoke kumwomba,anashinda nguvu zote
Polee dad angu' tuwemakin jaman si wadada
😢😢duh!! Dada mungu kakunusuru
Pole sana dada mungu bad anakulinda
Pole sana dadangu
Pole my dear kwakilicho kusibu
Pole sasa mung akulinde
Pole Sana dada yng ila endless kumwamini mungu kbs
Pole sana dada mungu akusaidie
Hujui kutunga story kudanganya pia hujui
Huu msalama unatumika vibaya
Hahaha hatar😅😅😅
Pole Dada kwa yaliyo kusibu
Mungu akusaidie sana
Pole sana 😢😢😢😢 mungu atusaidie
Endelea kumtegemea mungu
Pole Santa dada mm nakufahamu imenigusa
Pole sana dada mungu Yuko na wewe
Pole sana mdada haikuwa siku yako yakufa mungu yupamoja nawe
Pole Dada mungu anakupenda sana
Pole dada usipende kutembea usiku na usali sana omba dua sana
pole sana dad angu mungu azid kukutia nguvu na kuepuka vishawishi 14:18
Pole sana dada Kwa mkasa mzito
Daaaadaaa ulikua utolewe kafara wewe🎉❤😢😢
Pole sana dada, daaaaaaaaah inatisha sana
Hawemakini sana
Mmmh kazi kweli ila kama ni kwel yamekukuta hayo usimwache mungu mana amekuokoa na bado upo hatarin
Apo kuna kitu kizito🎉
😅😅😅kwamba hii sura kweli ni kukataa wine?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🔥
pole sana dada.kwanza tu untakiwa kufanyaaombi ya toba na kisha kufanyilawanaombi wa nguvu mingu atakulinda kwa dami ya yesu
Jaman pole sana ila kwanini uwe mwepesi kiasi hicho jaman eee muda huo huo kwel duuu
Pole sana dada 😮😮😮😮😮😮
Duuh! Pole Sana sister
Pole sana dada mung amekusaidia
Pole sana dada umepambana😮
Pore Sanaa mdogo wangu
Pole xana dada inabid tuwe makin na wanaume tuxiwe karb na wat tuxio wajua😊
Daaah kwakwel ata mimi yangenikuta maana napenda pesa but nimejifunza now
Pole sana daa
Aiseee 😢😢 pole sanah
Pole sana dada nahiro nisomo kwawengine
Polee sana
Jaman dada yangu pole sana
Pole sana dada kuwa makini
pole mdogo wangu
Pole sana dada
Pole jamani ndo ukubwa huo
Wanataka matajiri hawa masikin wanawaona vishoka 😂😂😂
Ila apunguze hatakam mnakutan na mengi
Pole Sana Binti mungu awe pamoja nawe
Hadithi nzuri Sanaa inafundisha
Maisha nikumtegemea mungu🪟
Pole dear kitambo sijakuona
Pole xana hapoulikutana naji
Pole dada tuwe making wanawake
Pole sana mdogo
Pole dada inama alikubaka bila makubaliano bila kupenda ila ndo Micheal ilioingiamjini
Pole Dana dada ang
Pole tamaa ilikuponza
Pole sana kipenzi
ASANTE KWA HIYO HABARI NZURI DADA. WENGINE TUNEJIFUNZA. JAMANI WASICHANA TAFAZALINI MIAKA HII SIYO ILE YA ZANANI YA MTU KUCHUNA BUZI. TUTAFUTE KAZI ZA KUFANYA. WAKATI WA KUTEGEMEA WANAUME NA MABUZI SIYO HUU TENA.
Pole Sana dada angu kwayaliokukuta
Pole Sana jamani
Wasichana msipende pesa sana utaangamia Bute.
Daah, pole sana dadaangu ila kuen making jaman dada zangu mtu usiemju kiundan Zaid usikulupuke kumuamin kirahisi tu jaman
Tamaa mbaya
Pole xana dada angu mungu akuxaidie lakn pia mjue mungu xana ILI uwe na amani❤
Usingesimulia aibu hio.
Amesama uongo jamani Alain zaluke from drc
Pole sana dada ila tuwe makini natuzidi kmuomba mungu atusaidie