@@graffinamisi failure ni ww,nakuhurumia sana ady,nani amekwambia niko na aja na kazi..na kitu ingine na ya mwisho achana na comment yangu la sivyo utajua mm ni mkamba na siliagi macho mshezi ww ata auna maisha
Ooooh God thank you kwa baba karobo kuona .tapfazalie usioneshe uyo mama wa roho cafu Kama umeona 🙄paka uyajuwe yote 🗣️Asante enjoy mama karabo🙏 nawapenda sana .from Rwanda 🙏
Jamani hizi vitu twaeza amini kweli viko wakati mkeo kafa na ww uwe mngonjwa napiga mkeo aje kukutokezea up one kweli viko 🤔🤔mm nabaki kushangaa ila hii movie inanitia manjodzi saana aki wanawake kma mama karobo wa Sasa sio wanake wazuri🎉🎉❤❤ kazi nzuuri baba jone
Wawooo nashukuru Sana baba karobo amepona watu mumefurahi kwakupona baba karobo munipe like
Aki final ameona sasa Wacha tuone Bora isiwe baba karobo anaota😂😂😂😂
Aki tume furahi sana kabisa sana 😊
Huyu atakua anaota@@janetkyumbe7154
@@janetkyumbe7154umeona pia ww😂😂
😅😅😅😅😅😅😅😅@@janetkyumbe7154
Ata kama wa 42 Léo nime Chelewa naombeni ata liké 10 nawapenda❤❤😂🎉 nyinyi nyote ongera baba karobo🎉 kwa movie zenu ❤🎉❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
wapenzi watazamaji Leo nimewahi mapema tu wapi like za baba Joan 🎉🎉
Hatimae baba kalobo kaona like kwake kwa waliofurahi baba kalobo kuona
kwel
halafu ukute ilikuwa doto,😂
Na nindoto kweli bc😂
@@maylucson001 ndoto Tena jaman
@@joelnyaga1985 aaa nayo yawezekana ety
Number one kilifi kenya mpoooo nimefika kikambala ❤❤kazi safiiii mamakalobo anaupiga mwingi😂😂
Like zangu ziko wapi💕🥰🥰🥰
Mtwapa nko apa
mama karobo akona roho chafu jamani😢😢,nipeni likes jameni
Like zikusaidie na nini jamani
@@graffinamisi none of your business braza
@@graffinamisi na sipendi uchokozi
@@faithkalulu failure badala ya kutafuta kazi ya kufanya ww huko uku hunaomba like
@@graffinamisi failure ni ww,nakuhurumia sana ady,nani amekwambia niko na aja na kazi..na kitu ingine na ya mwisho achana na comment yangu la sivyo utajua mm ni mkamba na siliagi macho mshezi ww ata auna maisha
Wa kumi na Nani kutoka Burundi
Munigongeye like tumuoneshe upendo baba karobo
❤
😅😅
Unacheka nini dodo
Wa kwanza Leo Kutoka kenya naomba like zenu Tafadhalii kma nishabiki mkubwa
Mie natokea Kenya naona uswahilini man warembo
Kenya
Apo n poa
Tuko wengi hapa.
Tupo hapa
Wa kwanza leo naomba likes hata kumi jamani
Dakika ya tatu naomben like jaman❤❤❤🎉
Weee mama kalobo roho mbaya natazama kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hi
Ako na roho mbaya sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Eeeeh mama kalobo ako na roho mbaya sana😂😂😂😂😂
Hivi huko kenya kaz za ndan wanaripa.shi ngap@@bridgetakuku6955
Baba yangu kipofu ❤❤❤so best i like from congo drc
Limama Karobo Fake nalichukia 😢😢😢 love from Burundi
Nalichukia sana kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Baba karobo leo nimefurahi sana,baba karobo amepoona kabisa,
Ni ndoto hiyo 😂😂
Woiyeee 😂 wapili kutoka Kenya naomba likes jameni,, ata kamoja😂
❤❤❤
Burundi mimi wakwanza🇧🇮 munipe like zangu
Eebaneee wakwanza kutolz🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 egzo nzuli bro
Baba Joan film y mafundisho y maisha nakukubali sana
Eheeeee Maman Karobo Wakwel Asante Mungu Aposasa Nimwoto ❤❤❤🇧🇮 Zugati Umefikilia Mapenzi Ya Baba Karobo ❤❤❤
mashaAllah nimefurh kumuon baba karobo akion tena furah ya karobo😊😊😊😊😊
Woow Baba karobo amepona kweli mungu ni wa ajabu aaishe leteni engine haraka iwezekanavyo🎉🎉❤
Guys Nani amamkubali baba joan but uwaga analeta video nyuma sana tunakuwaga tumechoka kusubiri Ila good job ❤❤
Leo wamewai jamani
Wow congratulations team kibanio nina imani watafanikiwa wow so nice wapi likes za baba karobo kaona congrats❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hata mm Leo nimejaribu like kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪Baba karobo kasha pona ❤
Wow nimewahi mapema ila saudat ameteka roho yangu from kenya nipe pia likes🤗
Me nawapendea ivi Yan hamcheleweshangi move yenu good work ❤❤
Leo niko wakalibu kwa kutok Burundi 🇧🇮 warundi wenzangu mukikuja nyuma tujuwane😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤
Nataman nikufaham
Baba Joan nakupenda kabisa Mutu mtulivu Kutoka kwenye filamu MWALIMU MUGENI kufika huku unanifunza sana ubalikiwe
imewai hii hadi laha🎉🎉🎉🎉
Waouh🥰🥰🥰🥰💋💋💋💋🤗🤗hapo sasa baguer oyaa itok mupusi nafurahi sana tena sana❤❤❤❤
Wow baba karoboo you are number one in Tanzania I respect you na MUNGU akupe hekima na maharifa ili tuweze kuburudika hivi Kila time 💪💪🌹
Duh mama karobo wa michongo atakoma kwa sasa baba karobo anaona amesaidiwa na mzimu wa mke wake ambaye ni mama karobo origino💪💪💪💪👏👏👏👍👍👍👍
Mama kalobo original uyoooooo Safi sana mama karobe nipende mimi sasa nikuchungiye mwanaoo vizuri from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Watching from Berlin Germany, nawapenda sana.
Baba joan toa hata episode mbili mbili kwa sku maan unatukatishia utamu brother,,,,,,
Baba kalobo uyo ajabadilika ni nyok uyo kua makin san
aaah kazi safi ila wakenya mnapenda likes😂😂am kenyan tho
😅😅😅😅😅
A la 1ere minute.kutoka 🇧🇮 like kwangu
Mhh ayo macho yama karobo Kama feniiiii❣️❤
😂😂😂𝐲𝐚𝐳𝐮𝐧𝐠𝐮𝐤𝐚 𝐛𝐥𝐚 𝐛𝐫𝐞𝐚𝐤
Mashallah mashallah ❤️ ♥️ 🇰🇪 🇰🇪
Ooooh God thank you kwa baba karobo kuona .tapfazalie usioneshe uyo mama wa roho cafu Kama umeona 🙄paka uyajuwe yote 🗣️Asante enjoy mama karabo🙏 nawapenda sana .from Rwanda 🙏
Asante sana baba joan kwa job yko nzuri naomba mola akuzidishie
Safi sana movie inazidi kunoga episode 15 ije haraka bwana
Baba Joan Mimi shabiki wako sugu , hongera sana Kwa kazi nzuri👏👏👏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ngojaa niangalie kwanza movie
Niko nafuraha sna leo mamakarobo namponya baba karobo ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
Zujati umebarikiwa maashaallah❤❤❤❤
Nafurahi sana kwasababu baba kalobo amewona🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂
Mama karobo bandia Hana mpango kabisa 😢😢 sheeeeeenzi sana
Namm nimewahi Leo jmn naomba like
Kutoka mozambique nawafatilia vizuri,hongera bakarobo na team yako kwa jumla
Sad swahili movie .it make sense like pete ya ajabu .watching live from Nairobi kenya❤❤❤
Weee uku hope cjachelewa sana pia mm naomba likes
Eeeeeeeeeeeeeeeee mnipe like kabisa kutoka Rwanda
Wawoooo Baba karobo umepona naomba muendelezo Niko. Oman. Nafurahia ninavyo angaria filam na tz
Amazing film rwanda we together
Whaaat!! Yani ndio tayari Baba Kalobo kapona macho😂😂😂😂nimefurahi sana😂😂❤
Mama karobo ni mbaya kiasi hicho aaaaah
Wow amazing baba karobo umeona mmmmh mungu ni mwema aki mama karobo amekusaidia sana ❤❤❤❤
Kazi nzuri sana
Hatimae baba karobo anaona 😂😂😂😂 hongereni sana mama karobo sasa naona kitamramba na hizo plan zake za kumtesa baba karobo 😮😮😮😢
Sasa imefika mahali pazuri sana ..tunasubiri 15 🔥🔥🔥
Woooow am so happy baba karobo kaona tena🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Afadhali sasa Baba Karobo anaona. Mama Karobo chuma chako ki motoni sasa. Much love from Mombasa Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wow spirit ya mama karobo haikua na amani😢🎉🎉🎉❤
Woow naomb utupatie next episode,naomb uy mama karob asijue kam umepona
Waah Babajoan umenikosha na team yako kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉
Hivi nyie wendzangu hizi like mnazipeleka wap ebu mnipe na mm nione zitanifkisha wap 😂😂😂
𝐊𝐝𝐨𝐠𝐨 𝐧𝐢𝐨𝐦𝐛𝐞 𝐥𝐢𝐤𝐞 𝐧𝐚𝐦𝐦😂😂😂
@@user-ii3rb6uj7g 🤣🤣🤣🤣
Aya jamani nimewahi😅
😂😂😂😂😂nikali sana mama kalobo ww nakuchemusiea chai yako motoni likes please hapo❤❤
Hongela sana baba yake Karobo.
Nafurahia kuona macho yako yanafanya kazi kama zamani.
Nina shauku ya kuyiona next period
Ooo, jmn Tasha aongea vizur huyu yahee,
Baaas imeanza kua fire❤❤❤❤❤❤❤mama karobo's ghost is back mashalla lets keep going❤❤❤🎉🎉🎉
Demuriah kutoka Kenya Nairobi jamani mvua leo imenifungia kazini lakini tuashukuru... Nimewai❤❤❤
Asante mama karobo qwa kujitokeza na kumponya mmeo ss bac nifanyie jambo uyo katili mpe uyo uwo upofu🙄😊
Nimewahi like zangu na mm
Aka katoto nako kameamua apite humo humo 😂😂😂😂 kama noma na iwe noma 😂
Leo nimekua wakwanza jamani maajabu
Hata Mimi na comment nipe likes
Baba joan unapendwa kweli na zujat balaa ila Zujat ni mzuri jamani sio siri
Ni ukweli zujat ana.mpenda baba karobo awachane na huyo shetan
Nmefurah sana baa kaloobo kuonaa
Jamani hizi vitu twaeza amini kweli viko wakati mkeo kafa na ww uwe mngonjwa napiga mkeo aje kukutokezea up one kweli viko 🤔🤔mm nabaki kushangaa ila hii movie inanitia manjodzi saana aki wanawake kma mama karobo wa Sasa sio wanake wazuri🎉🎉❤❤ kazi nzuuri baba jone
Waooo jmn nice plz leteni haraka uwii imenogaje
Wa ishirini na tatu 😀
Kumewaka moto plzz harakisha n part 15 thank you so much baba❤
Hongera kwako kwa kaz nzur
Team strong tuko ndani km kitu nyengine😂😂😂😂😂
Yan mam karobo wew mbingun utapasikia tu mbwa wewe😢😢😢😢
Raha iliyoje baba kalobo kaona,wale walio kuwa wakitaman aone ili mwanawe apumuzimke mateso wako wapi❤
Really amazing....I like it
❤❤❤❤❤baba karobo kapona jamani kesho tena
Jamani musijeharibu stori imalize mapema stori nzuri
Mama karobo akoswa amecheza poa
Tunafurahi sana baba kalobo kupona mungu akubariki namwanaho kalobo
Good mama kalobo akoze neza
Mwanamke una roho mbaya wewe mungu amusamehe
Wowwwwww mungu nuwajabu baba karobo amewona
Natazama Toka Kenya napenda sana hiyo karobo anavopenda babake🎉🎉
Leo mimi wa pili 🤙🤙🤙
Naomba like zangu from Burundi ❤❤❤