UBAHILI WA WA DUTCH |NAMNA YA KUCHAGUA MWENZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 เม.ย. 2023
  • Dorice, ametoa mtazamo wake kuhusu wanaume wazungu wa Uholanzi, na namna gani unaweza kupata mwenza.
    Pia ametuambia, ni lazima ujue unahitaji nini kutoka kwa mwenza.
    Ni sawa upo kwa fundi cherehani umeenda kushona nguo, utachagua mtingo wa nguo unaoutana na details zake.
    I Hope Video hii itakupa mafunzo mazuri.
    Enjoy and Learn
    Singles = Date with INTENT
    Thank you to Dorice for allowing it to be online

ความคิดเห็น • 162

  • @Shalom2018
    @Shalom2018 11 หลายเดือนก่อน +6

    Nimekupenda sana Doris,ni mchangamfu sana, from Netherlands,mama boys

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 11 หลายเดือนก่อน +12

    Yaani ni Kwamba ukianza Online dating hakuna kukata Tamaa mpaka uchukue National World Cup 😂😅

  • @jackynygard2123
    @jackynygard2123 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mdada mcheshi na pia yuko real.... Was good to watch

  • @SophiaAlice-xe3xi
    @SophiaAlice-xe3xi 11 หลายเดือนก่อน +4

    Hapo kwenye mikate 😂, kuna siku nilienda kigamboni tulialikwa kwenye party ya wadutch my God nilihisi tumetembelea bakery now I get it

    • @hanswan1
      @hanswan1 3 หลายเดือนก่อน

      Umenichekesha, utadhani umeenda bakery 😂😂😂😂ungenijua ningekupa hints zao nimewahi kuishi kwao sana.

  • @IreneMwanaa-zo2wz
    @IreneMwanaa-zo2wz 7 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda mbena mwenzangu

  • @magdalenajoel4539
    @magdalenajoel4539 11 หลายเดือนก่อน +1

    Tunawapenda jamn

  • @valerieshinia8526
    @valerieshinia8526 ปีที่แล้ว +4

    Doris ni mrembo kweli❤alafu sauti Daaah😊😊:Alafu wengine wanatamani wazungu mjitume pia kujifunza kizungu .

  • @user-ef2gv8ny7l
    @user-ef2gv8ny7l 6 หลายเดือนก่อน

    Hahaha Doris umenichekesha asante kwa stories nzuri, God bless you Shania kwa kumleta Doris kwenye show

  • @kibouttv7148
    @kibouttv7148 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nimechelewa kuona hii Interview jamani Nampendaga huyu mdada jamani namuonaga Instagram tu ni Mrembo sana alaf very classy! Na tunaishi nchi moja sema mini tofauti

  • @LucyMalingumu-xb2vp
    @LucyMalingumu-xb2vp 8 หลายเดือนก่อน

    Jamani Hadi laha

  • @jennifermmanyema6693
    @jennifermmanyema6693 ปีที่แล้ว +5

    Honger Sana dada mnaendelea kututia moyo Sisi wengine ❤

  • @user-iz9ci4rs3d
    @user-iz9ci4rs3d 10 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤😂😂😂😂😂kama mchina vile 🎉🎉🎉

  • @nimosaid2497
    @nimosaid2497 5 หลายเดือนก่อน

    Mashalla Mashalla Mashalla

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mzungu Hana Shida anaheshimu ukisema kitu 😂😅

  • @rynesalewa7043
    @rynesalewa7043 ปีที่แล้ว +2

    Good story, you never get tired of listening...... ☺️😍

  • @hanswan1
    @hanswan1 3 หลายเดือนก่อน +1

    Aardappellen, umenichekesha viazi na mikati typical dutch trot....😂😂😂 Uzuri tu kimombo utaishi nacho mpaka vijijini.

  • @user-go8nq7gi5k
    @user-go8nq7gi5k 6 หลายเดือนก่อน

    Asante tunajifunza

  • @tausilifestyle795
    @tausilifestyle795 11 หลายเดือนก่อน

    Wao❤❤❤

  • @doedoyne-te6ty
    @doedoyne-te6ty ปีที่แล้ว +2

    Beautiful story

  • @reginamanyangu7258
    @reginamanyangu7258 9 หลายเดือนก่อน +1

    Doris mrembo mcheshi mashallah ❤❤❤❤

  • @shaliskitchen
    @shaliskitchen ปีที่แล้ว +1

    Hongera kwa Interview nzuri. 😍

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 ปีที่แล้ว +1

    Hiki kipindi nimekipenda sana.,kinaelimisha vizuri.,na kupatia watu upande wa pili wa shilingi. Big up sana

  • @blandinamrusha-pj2ro
    @blandinamrusha-pj2ro 6 หลายเดือนก่อน +1

    Dorice she beautiful 🎉🎉🎉

  • @katejolly6752
    @katejolly6752 ปีที่แล้ว +1

    Ihi stories nimeipenda sana...nimecheka sana...

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 9 หลายเดือนก่อน

    Ukiwa na ndoto yako usikubali kukata tamaa maana ule uwa ndiyo uhalisia wa safar ya maisha yako issue kubwa watu ukata tamaa mapema ndiyomaana wanaofanikiwaga kufikia ndoto na malengo yao ni wale wapambanaji wasiokata tamaa Big up wapambanaji wote

  • @dorcaskuselya6927
    @dorcaskuselya6927 ปีที่แล้ว +6

    She is a good story teller ❤

  • @sophiarwehumbiza209
    @sophiarwehumbiza209 ปีที่แล้ว +3

    Doris haboi wala hapoi🥰😘

  • @immaculatakadyanji5927
    @immaculatakadyanji5927 6 หลายเดือนก่อน

    Sauti mashallah

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 ปีที่แล้ว +5

    You're truly nice ❤❤❤

  • @juliethkereth8911
    @juliethkereth8911 ปีที่แล้ว +1

    My dia mzima

  • @nashonikazabukeye5259
    @nashonikazabukeye5259 ปีที่แล้ว +2

    Muko vyemaaa tuna wachek from Tz

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 11 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤

  • @rosemery3017
    @rosemery3017 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂🙌 mashem shem

  • @MartinaMsimbe-qk8ug
    @MartinaMsimbe-qk8ug 2 หลายเดือนก่อน

    Dada anachekesha 😂😂😂 nimempenda

  • @savoirplus7410
    @savoirplus7410 9 หลายเดือนก่อน +1

    From Amsterdam Nederlands,
    Nikipenda kipindi powa ❤

    • @hamisndusu3625
      @hamisndusu3625 27 วันที่ผ่านมา

      Nipokee nakuja January 24

  • @aminaabdulghanim8256
    @aminaabdulghanim8256 2 หลายเดือนก่อน

  • @suzanalucasemanuel7006
    @suzanalucasemanuel7006 ปีที่แล้ว +2

    Nimekupenda dada unasimulia vizur

  • @jacquelinemwakasala9563
    @jacquelinemwakasala9563 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa hiyo kumbe wazungu unahusstle kuwatafuta yaan Hadi ww ndio uhangaike kuwapata Sasa sijui unakuwa ni mpango wa MUNGU wa kufosi😂😂😂😂

  • @rosemery3017
    @rosemery3017 ปีที่แล้ว +1

    Wallah nimechaka vibaya mno😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @abednegopaul2705
    @abednegopaul2705 ปีที่แล้ว +5

    Doris Your So Beautiful.... Your husband is One Lucky Man... I think angechelewa tuu... Ningekubeba mzima mzima... Ur so beautiful na bando langu umemalizaaa ... Tigo wzi sna.... Real talk I enjoy you

  • @adamummy4363
    @adamummy4363 11 หลายเดือนก่อน +1

    Samaki wabichi na vitunguu 😂😂😂😂

  • @yesuanikumbukejanuary8363
    @yesuanikumbukejanuary8363 ปีที่แล้ว +1

    Nime cheka saana lakini upo vizuri.

  • @Shalom2018
    @Shalom2018 11 หลายเดือนก่อน +3

    Nimekipenda kipindi chako dada,halafu kidogo umetaka kufanana na Joyce Kiria

  • @zaydelabay9776
    @zaydelabay9776 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 ngoja niingie mtandaoni

  • @dorisndyamkama3336
    @dorisndyamkama3336 ปีที่แล้ว +2

    Doris....you are so charming babe❤

  • @BerthaKihanga-qd5hy
    @BerthaKihanga-qd5hy ปีที่แล้ว +1

    Shennah wangu

  • @fahidashishi255
    @fahidashishi255 ปีที่แล้ว +1

    Mnajiungaje

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 ปีที่แล้ว +1

    Mgeni ana vidole vizuri mnoo

  • @SalvTesha
    @SalvTesha 15 วันที่ผ่านมา

    amestacki

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 11 หลายเดือนก่อน +5

    Wa Swiss pia wabahili sijapata kuona but tuko nao tunapambana nao hivyo hivyo 😜🇨🇭

  • @nickylyanga2139
    @nickylyanga2139 ปีที่แล้ว +2

    Punguzen kingeraeza hatuwaelew banaaaa

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว +2

      Pole na karibu sana i hope itakusaidia pia ku improve kingereza mdogo mdogo.. darasa ni popote 😁

    • @valerieshinia8526
      @valerieshinia8526 ปีที่แล้ว

      Nivizuri pia kujifunza kama unatamani kuolewa na mzungu : don't limit yourself in one language jifunze jifunze

  • @bennywalase1434
    @bennywalase1434 ปีที่แล้ว +4

    Dadaa D yuko na stor poa sana

  • @somiasomia2306
    @somiasomia2306 2 หลายเดือนก่อน

    miaka 9 naangaika kutafuta wazungu nasijapata jmni unafika atua unakata tamaa

  • @jacquelinemwakasala9563
    @jacquelinemwakasala9563 10 หลายเดือนก่อน

    Mm ninayependaga kutunzwa kwa kila kitu mbn hapo pagumu.kweli kila mtu na mtuwe.

  • @sarahmcharo1548
    @sarahmcharo1548 9 หลายเดือนก่อน

    tunaomba hiyo list ya mitandao na sisi

  • @humulinyanga1136
    @humulinyanga1136 ปีที่แล้ว +1

    Amestuck

  • @salmahoperi9783
    @salmahoperi9783 ปีที่แล้ว +2

    Ukipata bahati wewe shukuru Mungu usipate zambi za kumuangamiza mtu

  • @willymonyo8701
    @willymonyo8701 ปีที่แล้ว +2

    Mimi natafuta mke model,flani,kutoka,UK,Marekani,na,mholanzi

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 11 หลายเดือนก่อน +3

    Online dating ukiwa mvumlivu unafanikiwa mie jamani nilikuw nahahakisha daily sikoni Elfu moja ya vocha.

    • @lilywei2967
      @lilywei2967 9 หลายเดือนก่อน

      Amen

    • @AsengoAdam
      @AsengoAdam 3 หลายเดือนก่อน

      Inasaidia sana mitandao mimi nilivyofika Usa nilihakikisha napata mume haraka nilikuwa na dating site karibu 6 mume wangu nilimpata baada ya mwezi mmoja tangu nijiunge dating site mmarekani wangu nikajipatia

  • @roddyfawaz8167
    @roddyfawaz8167 ปีที่แล้ว +3

    Huyu dada yaani kma Gigi money vile aiseee daaah 😁

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว

      Atatuma makavu live.. she is amazing

    • @roddyfawaz8167
      @roddyfawaz8167 ปีที่แล้ว

      @@OfficialDatingAssistance nlipenda alivyo kuwa anaongea yaani kma Gigi money 🙌

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 11 หลายเดือนก่อน +1

      Anawasha Moto wa Gas ⛽️

  • @ruuhbakary
    @ruuhbakary ปีที่แล้ว +6

    Jmn nimempend hy dada 🤣🤣🤣🤣😂🤣🤣 anatumia jn gn inst nikamuone

  • @veronicapaulo2233
    @veronicapaulo2233 ปีที่แล้ว +2

    Naomba unielekeze uwe menta wangu tafathali

  • @VictoriaKihaga-df3dc
    @VictoriaKihaga-df3dc ปีที่แล้ว +1

    Jmn mm natamani kujiunga lakn sijui naanzaje amestak

  • @athumanmbelako4317
    @athumanmbelako4317 9 หลายเดือนก่อน

    Ndio

  • @user-gp5lc7wc8t
    @user-gp5lc7wc8t 8 หลายเดือนก่อน

    Amestak

  • @PascalinaUrasa-mv7on
    @PascalinaUrasa-mv7on 9 หลายเดือนก่อน

    Amestaki

  • @immaculatakadyanji5927
    @immaculatakadyanji5927 6 หลายเดือนก่อน

    Kipindi kinaondoa stress.

  • @anisiamchembe6552
    @anisiamchembe6552 11 หลายเดือนก่อน

    Amesck

  • @user-zt8vf9nf3u
    @user-zt8vf9nf3u ปีที่แล้ว +2

    Wee dorice mweu kweli, eti mbagala uwezi kukutana nayeee, nikweli nimeipenda

  • @neemalema5312
    @neemalema5312 11 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba namba yako

  • @aromaofzanzibar
    @aromaofzanzibar 11 หลายเดือนก่อน

    Because kopo la deodorant 🤣🤣🤣

  • @abdifatahduchtholland5473
    @abdifatahduchtholland5473 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nina ability ya ki afrika ila nina uraia ya dutch national holland nina ishi amasterdam netherlands

  • @VictoriaKihaga-df3dc
    @VictoriaKihaga-df3dc ปีที่แล้ว +2

    Jmn mm natamani kujiunga lakn sijui naanzaje

  • @diananyankweli1022
    @diananyankweli1022 ปีที่แล้ว +2

    Shena natamani kusikia na wewe love story yako na your husband kama huyojali😃

  • @amanimanase8798
    @amanimanase8798 9 หลายเดือนก่อน

    Hili neno la UBAHILI kwa kila mwanamke linakera sana yaani wimbo ubahili kwa maana hiyo kumbe huwa mnatakaga wanaume incase of money sio? Kwa vile wanawake mnalizungumzia sana nadhani ndo mwapenda pesa sana kuliko mhusika mwenyewe

  • @annamussa185
    @annamussa185 ปีที่แล้ว +4

    Me naweza kusema wazungu wa Netherland wanaume ni mfano wa kuigwa Wana care sana na utu wanao.najivunia Kwa hili

  • @komboko4143
    @komboko4143 3 หลายเดือนก่อน

    Unaongea lugha nzur ya mama samia twakusiliza uongee twaomba

  • @AdillahBilal
    @AdillahBilal 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nawish niwape na story yangu😢 mjifunze kitu

  • @stephaniabenjamini2848
    @stephaniabenjamini2848 ปีที่แล้ว

    Ni wa ngapi huyo sasa

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 8 หลายเดือนก่อน

    Bundle in Tz is worse than anywhere in the World.mzungu Mbagala😂😂

  • @waelyrobart296
    @waelyrobart296 6 หลายเดือนก่อน

    Dada naomba namba yako

  • @simonmwandu2214
    @simonmwandu2214 8 หลายเดือนก่อน

    Acheni hizo mie nimeenda bongo kifurushi cha elfu thalathin nimetumia karbu mwez mzim

    • @zaydelabay9776
      @zaydelabay9776 6 หลายเดือนก่อน

      Kama unatumia watsapp tu unategemea nini😂😂😂😂

    • @simonmwandu2214
      @simonmwandu2214 6 หลายเดือนก่อน

      @@zaydelabay9776 music TH-cam

  • @KIMALEX255
    @KIMALEX255 ปีที่แล้ว +2

    dada uko vzuri na sr yupo open sana sasa tnataka tips na experience za wanaume kupata wanawake wakizungu so wadada tu🤣

  • @bettystanslaus356
    @bettystanslaus356 ปีที่แล้ว +2

    My dream also

  • @AshaMohamed-ib4le
    @AshaMohamed-ib4le 7 หลายเดือนก่อน

    Amestck

  • @willymonyo8701
    @willymonyo8701 ปีที่แล้ว +2

    Muwe,mnajibu,mesege,zetu,pia

  • @ChoroTesla
    @ChoroTesla ปีที่แล้ว +2

    anaweza tutajia hiyo dating site.

  • @nashonikazabukeye5259
    @nashonikazabukeye5259 ปีที่แล้ว

    Naskia wazungu wa ulaya mashariki Hawana shda sana