TULIANZA KUCHAGUA PETE HATA HATUJAONANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 เม.ย. 2023
  • Walikutana mtandaoni, na yeye ndie aliepanda ndege kumfata mwanaume Sweden ambae ni mume wake sasa.
    Anasema vijana wapunguze expectations na wawe na goals.
    Kupata depression Ulaya ni kawaida kama utakua na expectations kubwa.
    Thank you to Neema for allowing it to be online

ความคิดเห็น • 97

  • @user-wm5lg8xg1c
    @user-wm5lg8xg1c 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mchaga mwenzangu kaongea

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hiyo mtu sahihi kwa wakati sahii namkumbuka mchungaji alikuwa anapendaga sema hivyo .Hongera dada

  • @marykisoka4233
    @marykisoka4233 10 หลายเดือนก่อน +1

    Big up sana shena nakukubali mno rafiki yangu

  • @leilaassey1726
    @leilaassey1726 ปีที่แล้ว +3

    Wow 👌 swadacta kishoiya yesu wangu nimekumbuka moshi iko 🔥

  • @chumchum1526
    @chumchum1526 8 หลายเดือนก่อน

    Nimekupenda bure❤

  • @mariamahmad8261
    @mariamahmad8261 ปีที่แล้ว +3

    Maa shaa Allah

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 10 หลายเดือนก่อน

    Nakupendaga mtangazaji

  • @Jessy-f9w
    @Jessy-f9w ปีที่แล้ว +1

    Asante unatuletea madini kweli

  • @user-iz9ci4rs3d
    @user-iz9ci4rs3d 7 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana 😅😅😅

  • @trinahahans3737
    @trinahahans3737 11 หลายเดือนก่อน +1

    Sio wote wenye aibu bwana hiyo ni tabia ya mtu kila binadamu ni nusu kwa nusu watesi wapo wabahiili wapo Malaya wapo roho nzuri wapo roho mbaya wapo

  • @elifurahamassawe3439
    @elifurahamassawe3439 11 หลายเดือนก่อน

    Thanks to be open

  • @catherinemaroda7992
    @catherinemaroda7992 ปีที่แล้ว +1

    Woow nampataje mzungu mie jaman!

  • @eaglenoe576
    @eaglenoe576 ปีที่แล้ว +5

    Awww🥰🥰🥰

  • @gsurasa6366
    @gsurasa6366 10 หลายเดือนก่อน

    Dada zangu mependeza sana Hasa maria

  • @jasminyabdully499
    @jasminyabdully499 ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂😂Dating up sikufuta😂nmempenda sn huyu dada

  • @neemamassawe8091
    @neemamassawe8091 ปีที่แล้ว +1

    Dada kaongea vzr sana

  • @joycemboya-rr1xd
    @joycemboya-rr1xd ปีที่แล้ว +4

    Hello dear nice to meet you,,,m interested kuwa na mzungu coz ngozi nyeusi ni shida m tired na ngozi nyeusi .....matukio ya ngozi nyeusi yanachosha tatizo uongo mwingi ngozi nyeusi real love kwa hawa wenzetu ndio kitu cha msingi

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว +1

      Karibu
      Tuandikie +4367764790884

    • @praisetashblessed7065
      @praisetashblessed7065 ปีที่แล้ว

      ​@@OfficialDatingAssistance dada hili number ni lako au ni za watapeli tafadhali nijulishe Dio nipate kukuoa nawe dada.

  • @pendo8082
    @pendo8082 ปีที่แล้ว +2

    Wape somo wadada

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ndio wazungu wanasheherekea sana krismas ata mama alisemaga

  • @chrissdilly
    @chrissdilly 11 หลายเดือนก่อน +1

    Sweden My dream country...ila naona basi tena

    • @mickeyraymond8007
      @mickeyraymond8007 3 หลายเดือนก่อน

      Don't give up

    • @chrissdilly
      @chrissdilly 3 หลายเดือนก่อน

      Aaaa☹️ muda umeshanitupa

  • @mariamdimosso621
    @mariamdimosso621 ปีที่แล้ว +3

    Dada ameleza ukweli kabisa ukitegemea kupewa huku utabaki hoi mwendo wa kufanya kazi mzigo mezani hamna kuwategemezi.

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว +3

      Amesema ukisubiria kupewa utavuna depression 😁

    • @mariamdimosso621
      @mariamdimosso621 ปีที่แล้ว

      @@OfficialDatingAssistance kabisa mtoto akianza kazi ajiandae kuhama mie first wangu soon anahama.

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 10 หลายเดือนก่อน

    Pole kwa kuingia na kope ata Mimi ilishawai kuniiingia inakuwa inazinguwaga

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe upo austria gutten morgen

  • @user-wx9or8rw4n
    @user-wx9or8rw4n 6 หลายเดือนก่อน

    Good

  • @moana4987
    @moana4987 ปีที่แล้ว +1

    😂😂 huyu dada nimempenda

  • @DavidWanjohi-vv8qt
    @DavidWanjohi-vv8qt 10 หลายเดือนก่อน

    Mimi nmejaribu Sana npate mzungu but wapi saidia mm.nko Kenya

  • @gsurasa6366
    @gsurasa6366 10 หลายเดือนก่อน

    Pole na kope dd

  • @RachelRachel-zx6dx
    @RachelRachel-zx6dx ปีที่แล้ว +2

    Nawaona warembo watz mnatuwak8lisha huko❤❤❤

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 10 หลายเดือนก่อน

    Mimi nilipataga mzungu supamaket zaman nilikuwaga nasemaga sinaga bahati ya wazungu japo ngozi nyeupe nabahat nawo hila walikuwa warabu ,wapemba na wahindi siku hizi wanakuja wazungu nilivyokuwa fild ya hotel ndo nilianza kupendwa na wazungu

  • @sharoncollince5094
    @sharoncollince5094 ปีที่แล้ว +1

    Dear sorry uwe unawauliza ni mtandao hupi alopata ili tujue jamani ukute kunamitandao mingine hatuijui

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 10 หลายเดือนก่อน

    Mimi mwenyewe nakope ndefu paka Kuna dada aliniambia mbona una kope ndefu sema watu hamliziki bado mnaweka kope hila Mimi Mara chache Sana kuweka kope

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 10 หลายเดือนก่อน

    Ndio mtandaoni wanakuwa hawana aibu.zaman nilikuwaga na aibu nikitumwa nikiona wanaume wamekaa nageuza njia

  • @mimiinvestments8406
    @mimiinvestments8406 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana ODA nazidi kupata maarifa kuhusu Online Dating. Nitaendelea kuwahamasisha Vijana maana wengi bado hawaelewi!

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 10 หลายเดือนก่อน

    Kwel wengine wanakuwaga na nia nzur tu nilikutanaga na mkaka mzur tu fb akawa anazungumzia maswala ya ndowa sema nikapata safar ya gafla ya mbali nikawa nimeondoka kabla hatujaonana

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 10 หลายเดือนก่อน

    Ndo nilitaka sema wengine wanakuwaga waoga.hila upo kama mimi nikisita uwa ndo naogopaga kufanya ndio ubalozi unakuwa wanajuwa nilisema hilo

  • @patrinraura1397
    @patrinraura1397 ปีที่แล้ว

    Ok Binti" 33:33 ¥Kama ulilelewa kimaadili ya Kiafrika na unaamini haita athiri asili yako ya Tamaduni za kiafrika na hasa kabila la Wachaga ni Sawa Ila Wazungu wana Tamaduni zao Mtoto atabaki kuwa ni raia ya huko Na uombe Mungu ndoa isivunjike maana utatelekezwa Uko ushaidi kupitia Mabinti wengi huko kukumbwa na matatizo Ushauri hakikisha unakuwa Karibu na Ubalozi wako

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 10 หลายเดือนก่อน

    Kwanini unaona basi Tena ata Mimi Sweden Norway nilipataman

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 10 หลายเดือนก่อน

    Yule mzungu naye alisema hajawai kuwa na muafrica ndo alikuwa anataka kujalibu kuwa na muafrica

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 11 หลายเดือนก่อน +1

    Joint account

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 10 หลายเดือนก่อน

    Mbona hajaonyesha picha ya shemeji

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 10 หลายเดือนก่อน

    Alilipia mana wengine wanasema Mambo ya kulupia

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 10 หลายเดือนก่อน

    Ndio angesema date ipi aliyokuwa nayo mana zipo nyingi

  • @annamussa185
    @annamussa185 ปีที่แล้ว +2

    Hahaha,vishoia😂

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 10 หลายเดือนก่อน

    😂mambo yalienda valuo

  • @subiratembo3033
    @subiratembo3033 ปีที่แล้ว +3

    Inapendeza sisi tulioko ugaibuni tunapata mambo mengi ya kujifunza

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว

      Amen 🙏

    • @hidayaswai3119
      @hidayaswai3119 11 หลายเดือนก่อน

      Hongera mwaya. Mm natamani sana lkn hata namna ya kuingia kwa hizo official dating sijajua. Naomba mnieleweshe ndugu zangu

    • @VickKulekana-si1ib
      @VickKulekana-si1ib 10 หลายเดือนก่อน

      Hidaya Mimi zipo kibao unatafuta majina ya magrupu inakuletea join unajiunga hila mengine yanakuwa yanakuuliza maswali mawil matatu au wanaweza kwanini unataka kujiunga na hili grupu au maswal mengine

    • @hidayaswai3119
      @hidayaswai3119 10 หลายเดือนก่อน

      @@VickKulekana-si1ib my dya kuna wakati inaniambia update na inakua km wanataka nilipe inakuja interms of dola,namna ya kuendelea ndio changamoto. Nakwama hapo.

  • @rosestigeneriksson8387
    @rosestigeneriksson8387 ปีที่แล้ว +1

    Sweden sehemu gani?niko Sweden pia

  • @rosestigeneriksson8387
    @rosestigeneriksson8387 ปีที่แล้ว +1

    Julbord 😅😅😅fika

  • @DarleneCapher-vs6ze
    @DarleneCapher-vs6ze ปีที่แล้ว +1

    Hi shena naitwa grace nilikuwa naitaji namba ya dada apo coz me nitaelekea Sweden na nakutana na mtu wangu kwa mara ya kwanza so plz help me to communicate with her

  • @rehemambene6746
    @rehemambene6746 ปีที่แล้ว +1

    Lakini dada date zote wanasema adi ulipiye

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว

      Nyingi ni za kulipia lakini unaweza tumia bila kulipia pia

    • @VickKulekana-si1ib
      @VickKulekana-si1ib 10 หลายเดือนก่อน

      Ndio nyingi unalipia

    • @VickKulekana-si1ib
      @VickKulekana-si1ib 10 หลายเดือนก่อน

      Ukilipia ndo wanakuunganisha na mtu unayemtaka ambaye umemuona wakimtangaza

    • @MaaneML
      @MaaneML 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@OfficialDatingAssistancennnawezaje nawezaje kutumia bila kulipia? Maana kila ukitaka kujibu au kutuma email unaona unaambiwa upgrade. Msaada please.

  • @user-sg7nz7od5j
    @user-sg7nz7od5j ปีที่แล้ว +1

    Sweden unaishi wapi?

  • @billtv3342
    @billtv3342 ปีที่แล้ว +1

    KUNA JAMBO MOJA ANGETUAMBIA NI DATE APP GANI ALIKUTANA NA MUME WAKE??

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว

      Dating site nimeziweka kwa video

    • @VickKulekana-si1ib
      @VickKulekana-si1ib 10 หลายเดือนก่อน

      Kuna dada mmoja mkenya sijui mnaijeria nilikuwaga namuonaga Sana yutub aliolewa na mzungu na wana mtoto kumbe naye badaye nikaja kuona alimpata mumewe uko walikuwa wamesema kwenye hayo magrupu wakawa wanawapongeza

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 10 หลายเดือนก่อน

    Hiyo mtu sahihi kwa wakati sahii namkumbuka mchungaji alikuwa anapendaga sema hivyo .Hongera dada