RAIS MWINYI AONESHA HISIA ZAKE, HAFURAHISHWI KINACHO WAKUTA WANANCHI WA PEMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ม.ค. 2024
  • Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    Follow Ktv Tz Online
    Facebook | KTV TZ ONLINE
    INSTAGRAM |@ktv_tz_online
    Wasiliana nasi kupitia number
    +255 717 619 834
    Ktv Tz Online Journalists
    cc: Sadia Rashid
    cc: Sauti Byego
    Camera Department"
    Dadi Ali
    Omar (OJ)
    Nassor Shaibu
    Abdallah Juma
    Editors:
    Juma Maulid
    Dadi Ali
    Video Zingine:
    Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
    - Ali Kiba akiwa Oman
    • ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
    • NI KWELI ALI KIBA AMNU...

ความคิดเห็น • 20

  • @mrok284
    @mrok284 7 หลายเดือนก่อน +2

    Asante mh.

  • @abubakarsaid7303
    @abubakarsaid7303 7 หลายเดือนก่อน +4

    Allah akufanyie wepesi inshaall

  • @salmaissa1807
    @salmaissa1807 7 หลายเดือนก่อน

    Mashalla Rais wetu kwa kutujali sana Allah akusimamie na akupe nguvu na akufanikishe katika malengo yote kwa wananchi wako hakika ww ni Kiongozi wa mfano na wa kuigwa kwa mazuri uyafanyao Allah akupe umri mrefu zaidi uendelelee na majukum yako ya nchi nzima Amin

  • @khalfanshahabakar7439
    @khalfanshahabakar7439 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana

  • @user-et3de6kk3z
    @user-et3de6kk3z 6 หลายเดือนก่อน

    Bora biashara ikiwa ya ushindani nakupgeza kwa hilo Allah akupe nguvu Amina

  • @user-ig6ig5ii4k
    @user-ig6ig5ii4k 7 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 7 หลายเดือนก่อน +4

    Mjomba mwinyi maeneo yapo na tulime Tu kama hao vikosi vya SMZ.migambo jku. Polisi magereza.faya wawe wakulima mana hawana kazi kubwa kupokea mshahara Tu na kuvuta mabangi.wape jembe walime sio kutegemea nchi za watu wakati ardhi Mungu ametupa.kama huko pemba na unguja maeneo mbalimbali yapo matupu

    • @abuujihad8411
      @abuujihad8411 7 หลายเดือนก่อน

      polisi haimuhusu wala magereza huku zanzbar kuna mafunzo

  • @abubakarsaid7303
    @abubakarsaid7303 7 หลายเดือนก่อน +2

    Nia njema hairogwi

  • @faizmohammed4188
    @faizmohammed4188 7 หลายเดือนก่อน

    Nia yako Allah anaiona na siku zote anakupa nguvu❤

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ili kurahisisha nafuu ya bei ya bidhaa,ni vizuri bandari iwe WESHA(CHAKE CHAKE).Hapo itakuwa kati baina ya kusini na kaskazini

  • @hatibbaraka3956
    @hatibbaraka3956 7 หลายเดือนก่อน +1

    Viva mheshimiwa Raisi!

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 7 หลายเดือนก่อน +1

    SIJAACHA KUMKUBALI DR HUSEYN NITAKUPA DADAA

  • @sulimanm6525
    @sulimanm6525 6 หลายเดือนก่อน

    Muheshmiwa kanini meli zifikie bara nawakati sisi ndio twenye bandari ya kimataifa kuliko bara kwa nini ni hivi muheshmiwa

  • @adamaliali2206
    @adamaliali2206 7 หลายเดือนก่อน +1

    Uwongo tu unyonyaji tu unaotafutwa

    • @rajabmsinzia1715
      @rajabmsinzia1715 7 หลายเดือนก่อน +2

      Chuki na roho mbaya haijawahi kumuwacha mtu......Wazanzibari huyo ndio Raisi wetu Tena tunataka akae Milele madarakani mpaka tumchoke au Achoke yeye kutuongoza

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 7 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@rajabmsinzia1715uhakika hasaa huyu ni kiumbe stahiki

    • @rajabmsinzia1715
      @rajabmsinzia1715 7 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa bidada maana Zanzibar hatujawahipo kupata Aina ya Raisi huyu mwenye Maono na Nia Safi ya kututumikia Wazanzibari ukimuondoa Karume Baba....Ila nashangaa Hao wenye kumpinga kisa tu wanataka wao ndio waongoze Serikali hahahaha watasahau

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 7 หลายเดือนก่อน +1

      @@rajabmsinzia1715 sema tumepata mcha mungu anahofu ya Mungu haswaaa mengine mishenzi tu piga uwa