Hongera Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan kwa kufanya kazi kwa vitendo. Umemtumbua Waziri wa TAMIISEMI kwasababu ya kutoajibika ipasavyo. Wote Wanaofanya rushwa waondolewe. Tunahitaji serikali yakutekeleza Kazi zilizopangwa.
Kweli tuna uzuni sana, lakini nimemfurahiya huyu mzee🤩 kwa ku mchekesha kidogo mama yetu mjane Janeti Magufuli. Mama ujipe moyo MUNGU anaweza yote, faraja pia ni kwake👏👏👏
Mashallah tabarakallah Allah akujalie afya njema mzee bodyguard ana kazi hadi ya kumsaidia kuongea maneno mazuri babu Muheshimiwa Rais usimchoke msikilize😊
Asante BABA YETU KIONGOZ WETU MZEE WETU MSTAAFU n kweli tumepotewa na Kiongoz Bora Rais wawanyonge ama kweli inauma sn Ila bas tumwachie MUNGU WATANZANIA tuzdn kujipa pole na kujipa Moyo wa huruma
Alisimama kidete kuimarisha na kutetea uzalendo wa kiafrika ki siasa, ki jamii na ki uchumi na kupelekea Kiswahili kupendwa na kutukuzwa kiasi cha kupelekea kufanywa kuwa ndio lugha rasmi ya nchi nyingi za Africa.
Mzee alitoa ya moyoni hasa. Na alimkubali sana Magufuli. Sasa wewe unayeponda kazi za Magufuli unataka kubishana na huyu mzee aliyeshika uraisi pande zote mbili za muungano.
Wee!! Acha kumtania babu yetu bhana...alishakuambia siku hizi anasahau..tukimpa mitano atakuja kujisahau kuwa yeye ni rais..halafu unatarajia nini 🤝🤣🤣🤣🤣
Kweli Jungu kuu halikosi ukoko. Yaani katika hotuba zote watu hawakutabasamu kwa takribam week, ni vilio tuu vilikuwa. Ila wewe umekuja watu tumeona meno yao kwa mara ya kwanza hata ya mama mfiwa. Daah! Kweli uzee si mvi ni akili.
Hv azam mnakwama wapi?? Maana picha mbovu sauti ziro yaani nynyi mliopewa mamlaka mnamuangasha sana muwekezaji wetu mzalendo bakhalesa ili hali yopo vzuli sana ktk bizaa sake
Kaka mbona unawalaumu hao Azam lkn ss wengine tunaona picha kali tena HD na sauti safi tunampata mzee mwinyi bila chenga, ebu jaribu kuchukuwa simu ya mtu mwingine na uangalie tena huwenda ukaona tofauti na ulivyoona kwenye simu yako 🙏
Pamoja na kwamba mimi si mtanzania, ila nashangaa kuamini ma rais watanzania wenye agenda ya africa ni wakristo na nasikitika tanzania kubaki mikononi mwa viongozi wastafu wote wa islam, kwanini iwe ivo, naweza nikaeleweka kuwa mbaguzi ila sielewi kwanini fikra kama hizi zinijie. Que Dieu me pardone
@@Chalii_ya_Pastor Ni yuke alieumba mbingu na Ardhi pamoja na vitu vyote vilivyomo kati yake wakiwemo viumbe vyote vinavyoishi au vilivyo wahi kuishi ulimwenguni. Mungu wa kweli hajazaa Wala kuzaliwa na Hakuna mfano wake Bali ameumba vitu vingi kwa mfano wake autakao!Na hapa ndipo watu wanapojichanganya na kuhusu kuwa wao wanafanana na Mungu.Mungu Huyu hawahi kuka,kunywa,kwenda chooni, kushindwa, kuomba msaada Wala kulia machozi.
Ni mtu gani aliyebora kwa MwenyeziMungu? Karibu kuitazama hotuba ya Ijumaa na Sheikh IBRAHIM BOMBO (MBEYA)👇👇... th-cam.com/video/SYm02ba3dns/w-d-xo.html
Kama Bado unairudia hotuba ya Mzee wetu gonga like😂😂😂
Tupo mamy
Hongera Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan kwa kufanya kazi kwa vitendo. Umemtumbua Waziri wa TAMIISEMI kwasababu ya kutoajibika ipasavyo. Wote Wanaofanya rushwa waondolewe. Tunahitaji serikali yakutekeleza Kazi zilizopangwa.
Mungu mjalie maisha marefu mzee wetu Ally Hassan Mwinyi aendelee kuwepo kwa Faraja na maliwazo sisi wajukuu zake waTz
Tanzania yangu nchi yangu. I love you Tanzania
Amewainua wamachinga, kamemsumbua kutamka mzee wetu. Like kwa mzee wetu...
Tunakupenda Sana doctor Ally Hassan Mwinyi Rais WA pili WA Tanzania mwenyezi Mungu akupe Maisha marefu
Mzee wa ruksaaaaaaa. Stay safe n healthy mr president Mwinyi😅🥰😍🤩😛❤❤❤❤💕💕💕💞💓💗💖❣❣
Kweli tuna uzuni sana, lakini nimemfurahiya huyu mzee🤩 kwa ku mchekesha kidogo mama yetu mjane Janeti Magufuli. Mama ujipe moyo MUNGU anaweza yote, faraja pia ni kwake👏👏👏
Sawa Furaha Beatrice
@@officer1208 a
Nimefurahi sana mzee wetu mwinyi umejua kutufuta machoz. Mungu akupe baraka na maisha marefu
Mashallah tabarakallah Allah akujalie afya njema mzee bodyguard ana kazi hadi ya kumsaidia kuongea maneno mazuri babu Muheshimiwa Rais usimchoke msikilize😊
Great speech. Rest in peace great man ❤
Mzee Mwinyi ni Mzee kijana kabisa hapa🇷🇼🇷🇼 tunampenda sanaaaa👍🏻👍🏻
Musikilize mzee Mwinyi yani pamoja na msiba, utacheka utafurahi! Mungu azidi kumpa maisha marefu babu wetu wa faraja
Mungu akupe maisha marefu Rais wate, mzee wetu tunakuhitaji uweze kukemea tunapopotoka.
Asante baba kwa kuwafariji wafiwa na watanzania wote 🙏🙏
Mzee Mwinyi 🙏🙏🙏kwa humri huu atumie miwani???✌✌✌shikamoo mzee mungu hakujali.
Umeona mimi mwenyewe nimekoma iki chuma hakina gongo wala mawani na anasoma kaaaaa🇹🇿✋✋🕋
Mashaa Allah mzee wetu Allah akupe maisha marefu Inshaa Allah
Mungu amlaze pema rais wetu
Hadhina ya taifa tutakuenze Allah akupe mwisho mwema
Ni wewe uliumia mzee lakini watu wengine walifurahi,😭😭😭😭😭
Kiswahili cha mzee kizuri sana..kinavutia kusikiliza
Unguja mjina ndiyo.kunako.ongewa kiswahiki fasaha
@@abubakarshoka3799 kiswahili fasaha kipo kwa watu wa pwani sio zanzibar tanga dares salaam tuna kiswahili sahihi
Man of the match msibani
Hahaha
Mwinyiiiiiiiiii dah Allah akupe kheri kwa kusuuza nafsi za watu Allah akupe afyanjema na umri mrefu wa baraja
Uzee wote huu bado anasoma bila miwan hongera yako.
A graceful old man, still strong!
Mungu ibariki tanzania uwabariki na viongozi wake🙏🙏🙏
Mungu akulinde rais mama weye amin ya rabi 😭
Mungu akujarie maisha marefu Babu
Thanks fomer presidol of tz
Hongera mzee kwa kuwa na afya njema hasa macho yenye uwezo wa kuona bila miwani
Safi sana Mzee wetu Mwinyi 👏👏👏... Wazee ni hazina ya Taifa
Tunaongalia 2024 tujuane
Kabisa
👏👏👏👏👏👏
Love you Mwinyi
Panaitwaje APA
Aaah chato mzee Wa ruksa maisha marefu
Mzee who transformed Tanzania for the late to stabilize the government to serve it's citizens.Hongera Mzee Mwinyi
maisha marefu kwake
Ilike that thank you azam tv
Good nice to here you
Good nice to here you
Wajukuu wakikaa na Mababu zao ua wanafurahia kwa maneno ya Babu Yao. ONGERA Mzee Mwinyi Mungu akupe miaka mingi.
Asante BABA YETU KIONGOZ WETU MZEE WETU MSTAAFU n kweli tumepotewa na Kiongoz Bora Rais wawanyonge ama kweli inauma sn Ila bas tumwachie MUNGU WATANZANIA tuzdn kujipa pole na kujipa Moyo wa huruma
Alli Hassan mwinyi oyeeee
Mzee fundi sana huyu
Nataman sana mzee mwinyi hata ungekua babu yangu tuwe tunacheka tuu jaman Mungu akuweke
Panaitwaje hivi hapa🤣🤣 asante babu
Alisimama kidete kuimarisha na kutetea uzalendo wa kiafrika ki siasa, ki jamii na ki uchumi na kupelekea Kiswahili kupendwa na kutukuzwa kiasi cha kupelekea kufanywa kuwa ndio lugha rasmi ya nchi nyingi za Africa.
RIP, GOOD SPEECH
Fulaha kwenye huzuni Asante nzee wetu kwakutufaliji msibani🙏🙏
Pumzika kwa amani mzee wetu mwinyi.comrade
Mzee alitoa ya moyoni hasa. Na alimkubali sana Magufuli. Sasa wewe unayeponda kazi za Magufuli unataka kubishana na huyu mzee aliyeshika uraisi pande zote mbili za muungano.
Nice mzeee
Allah akbar Mzee umeleta faraja mungu akuongezee umri
Alhamdulillah
Allah akupe umri mrefu mzee wetu,
11
11
Pumzika Kwa amani Mzee Ali Hassan Mwinyi..tumekupenda sana..mtu mwema na muungwana sana.. Allah akupe kauli thabiti insha Allah
Good memories and is strikes 7:27
Hongera bwana bodyguard inabidi aisome hotuba na awe makini kumsikiliza mzee wetu
Mwinyi alikuwa muungwana sana,Mungu amrehemu huko alipo
Miongoni mwa viongozi na wazee bora na hawatumii miwani kwa umri huu mzee mwinyi in bora sana
Babu yetu mwinyi
God bless you guys
Good
Mwinyi mi5 tena
Wee!! Acha kumtania babu yetu bhana...alishakuambia siku hizi anasahau..tukimpa mitano atakuja kujisahau kuwa yeye ni rais..halafu unatarajia nini
🤝🤣🤣🤣🤣
Kenge
Allah awalinde viongozi wetu hawa
Innalillah waina lillah rajuuni Allah amsamehe makosa yake baba aitu wa taifa Allah anhehemu amlahemu
Mwiny tunakutakia Kila la kher mung akulinde umemfarij mjane janeth magfuli
Mzee amejua kutupunguzia huzuni, kucheka kwenye majonzi makubwa mzee ulitusahaulisha kwa muda
Alie sikia kwamba sisi tulikua nakaubairi aweke like hapa👇
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mwinyi nikiboko yao tulikua nakaubairi
😂😂😂😂😂😂
Kweli Jungu kuu halikosi ukoko. Yaani katika hotuba zote watu hawakutabasamu kwa takribam week, ni vilio tuu vilikuwa. Ila wewe umekuja watu tumeona meno yao kwa mara ya kwanza hata ya mama mfiwa. Daah! Kweli uzee si mvi ni akili.
tet
kumchekesha mjane aliefiwa na mumewe!tena rais
Daaah
Babu yuko poaaa mzee ruksa uyooo
Kenyaaa chukuweeeni mfano wa mzee mwinyii kwa kuitangamanishhaa nchi kwa upend woo na Amani na imani….nchi ipateee kuendeleyaaaa….
Mji bila wazee haiwezekani
Buriani Baba Magufuli
Huyu mwenetu anaitwaje vilee?
Babu wetu wa Taifa❤️
Uzee mwema ni hazina njema.
Great Man. May his soul rest in erternal peace.
Mzee anatambua lakini wajanja hawatambui, pole baba
🤣🤣🤣🤣 babu yetu umejua kutufurahisha hata kama tunamajonzi yamepungua kupitia hotuba yako mungu akuongezee umri mrefu zaidi.
Hv azam mnakwama wapi?? Maana picha mbovu sauti ziro yaani nynyi mliopewa mamlaka mnamuangasha sana muwekezaji wetu mzalendo bakhalesa ili hali yopo vzuli sana ktk bizaa sake
Kaka mbona unawalaumu hao Azam lkn ss wengine tunaona picha kali tena HD na sauti safi tunampata mzee mwinyi bila chenga, ebu jaribu kuchukuwa simu ya mtu mwingine na uangalie tena huwenda ukaona tofauti na ulivyoona kwenye simu yako 🙏
@@manenoibrahim980 Safi Kabisa
Pamoja na kwamba mimi si mtanzania, ila nashangaa kuamini ma rais watanzania wenye agenda ya africa ni wakristo na nasikitika tanzania kubaki mikononi mwa viongozi wastafu wote wa islam, kwanini iwe ivo, naweza nikaeleweka kuwa mbaguzi ila sielewi kwanini fikra kama hizi zinijie.
Que Dieu me pardone
Unawaza mini mbona majibu unayooo
We nguruwe acha usenge na ubaguz
Joshua Alsel, nimekuelewa Sana Ila ukitaka kuishi umri mrefu nakushauri mfuate na kumuabudu Mungu wa kweli.
@@wazirisaid8326 Mungu wa kweli ni yupi?
@@Chalii_ya_Pastor Ni yuke alieumba mbingu na Ardhi pamoja na vitu vyote vilivyomo kati yake wakiwemo viumbe vyote vinavyoishi au vilivyo wahi kuishi ulimwenguni. Mungu wa kweli hajazaa Wala kuzaliwa na Hakuna mfano wake Bali ameumba vitu vingi kwa mfano wake autakao!Na hapa ndipo watu wanapojichanganya na kuhusu kuwa wao wanafanana na Mungu.Mungu Huyu hawahi kuka,kunywa,kwenda chooni, kushindwa, kuomba msaada Wala kulia machozi.
😂😂
Ukitenda mema hapa duniani utaishi marefu kama mzee mwinyi.
Uzee dawa
😂😂😂😂😂😂😂😂hii ni zaid ya comedy
Kicheko cha kwanza baada ya week nzima ya majonzi. Kweli wazee ni dawa.
Ata sisi pia tumeemewa kwa huzni moaka leo 🇴🇲
Jina lake liimidiwe.
R I P
I hi
Mtu mzima dawa
Mmezingua sijaona inatosha apo
Mama Siti yuko pale panaitwaje vile hapa? (Chato)
Why this body guard was so furious?
Ni mtu gani aliyebora kwa MwenyeziMungu? Karibu kuitazama hotuba ya Ijumaa na Sheikh IBRAHIM BOMBO (MBEYA)👇👇...
th-cam.com/video/SYm02ba3dns/w-d-xo.html
.mzee anaye ongea kwa ukakamavu mwingi sana
Ama kweli ishi uzomewe kufa usifiwe.
Kweri kbs siku zote ukifa ndo unasifiwa
kweli kabsa yaani
Board guard wa Hussein Mwinyi hana mbavu
Hahaa
Somo
Mzee wa busara
Bodyguard mbona sura ngumu🤣🤣🤣
Yuko kazini jamani
Hata wacheke vipi haruhusiwi kucheka ndio kazi inavyomtaka
Mzee mwinyi alishawahi pigwa vibao ndio maana bodyguard wake yuko vizuri....
Anasura ngumu sana mpaka anatisha sana
@@jockdominic8527 wewe kama nan unaesema hivyo
Unaweza kumuumba
Mitindo nywe