![KTV TZ ONLINE](/img/default-banner.jpg)
- 4 648
- 66 565 238
KTV TZ ONLINE
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 2 ก.ค. 2017
KWA HABARI, VISA NA MIKASA, MAKALA, VIDEOS NA VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI
KTV TZ ONLINE ni channel ambayo imejipanga kukuletea habari, makala, na vipindi tofauti! moja kwa moja kwa uelezi mzuri
Subscribe sasa ili upate Taarifa na mambo mengi mazuri.
Our vision is to offer a wide range of programmes consisting of both international and local News content,Documentaries and live event coverage.

RAIS MWINYI ACHUKIZWA NA KAULI HII AVUNJA UKIMYA "RAIS GANI KASEMA ? KINANIKERA KULIKO VYOTE
Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
Follow Ktv Tz Online
Facebook | KTV TZ ONLINE
INSTAGRAM |@ktv_tz_online
Wasiliana nasi kupitia number
+255 717 619 834
Ktv Tz Online Journalists
cc: Sadia Rashid
cc: Sauti Byego
Camera Department"
Dadi Ali
Omar (OJ)
Nassor Shaibu
Abdallah Juma
Editors:
Juma Maulid
Dadi Ali
Video Zingine:
Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
- Ali Kiba akiwa Oman
th-cam.com/video/QQjaQ7ey9Pg/w-d-xo.html
th-cam.com/video/Mscbg7grm9Y/w-d-xo.html

มุมมอง: 11 268
วีดีโอ
MZEE ALIETEMA CHECHE MBELE YA RAIS MWINYI AKITAKA AKUBALIWE OMBI LAKE LA MNADA
มุมมอง 12K4 หลายเดือนก่อน
Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number 255 717 619 834 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Sauti Byego Camera Department" Dadi Ali Omar (OJ) Nassor Shaibu Abdallah Juma Editors: Juma Maulid Dadi Ali Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Pla...
RAIS MWINYI "HILI SIO JAMBO ZURI / TUKIFIKA RAMADHANI HAKUNA JIBU"
มุมมอง 5K4 หลายเดือนก่อน
Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number 255 717 619 834 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Sauti Byego Camera Department" Dadi Ali Omar (OJ) Nassor Shaibu Abdallah Juma Editors: Juma Maulid Dadi Ali Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Pla...
HII NDIO HALI YA DAFTARI LA KURA 'TUME YA UCHAGUZI' ZANZIBAR YATOA TATHMINI
มุมมอง 4334 หลายเดือนก่อน
Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number 255 717 619 834 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Sauti Byego Camera Department" Dadi Ali Omar (OJ) Nassor Shaibu Abdallah Juma Editors: Juma Maulid Dadi Ali Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Pla...
SAKATA LA VURUGU ZA WAMASAI JESHI LA POLISI LATOA TAAMKO KUHUSU UKWELI WAKE
มุมมอง 73K5 หลายเดือนก่อน
Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number 255 717 619 834 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Sauti Byego Camera Department" Dadi Ali Omar (OJ) Nassor Shaibu Abdallah Juma Editors: Juma Maulid Dadi Ali Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Pla...
SHUHUDIA MFUMO WA KIDIJITALI ALIOTUMIA RAIS MWINYI KUTIA SAINI SHERIA 4 MPYA
มุมมอง 1.2K5 หลายเดือนก่อน
Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number 255 717 619 834 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Sauti Byego Camera Department" Dadi Ali Omar (OJ) Nassor Shaibu Abdallah Juma Editors: Juma Maulid Dadi Ali Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Pla...
RAIS MWINYI ALIVYO FICHUA SIRI YEYE KUTAKA KUJIUZULU, ILA ALIKATALIWA "HAKUNA ALIESIKIA"
มุมมอง 1.2K5 หลายเดือนก่อน
Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number 255 717 619 834 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Sauti Byego Camera Department" Dadi Ali Omar (OJ) Nassor Shaibu Abdallah Juma Editors: Juma Maulid Dadi Ali Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Pla...
RAIS MWINYI AFUNGUKA LEO SAKATA LA WAZIRI ALIEJIUZULU "KAMA UNA BAR WATU WAMEZUIA POMBE"
มุมมอง 85K5 หลายเดือนก่อน
Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number 255 717 619 834 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Sauti Byego Camera Department" Dadi Ali Omar (OJ) Nassor Shaibu Abdallah Juma Editors: Juma Maulid Dadi Ali Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Pla...
TAAMKO LA SERIKALI Z'BAR WATU 4,500 WASHAPATWA NA UGONJWA HUU | HALI NI MBAYA | RED EYES
มุมมอง 2.3K5 หลายเดือนก่อน
#Redeyes #Zanzibar #Afya #wizara Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number 255 717 619 834 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Sauti Byego Camera Department" Dadi Ali Omar (OJ) Nassor Shaibu Abdallah Juma Editors: Juma Maulid Dadi Ali Video Zi...
SAKATA LA WAZIRI WA RAIS MWINYI KUJIUZULU, IKULU NAYO YATOA KAULI HII
มุมมอง 29K5 หลายเดือนก่อน
Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number 255 717 619 834 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Sauti Byego Camera Department" Dadi Ali Omar (OJ) Nassor Shaibu Abdallah Juma Editors: Juma Maulid Dadi Ali Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Pla...
KAMBI YA MATIBABU YA MACHO BURE ILIVYO VUTA UMATI WA WATU | MBUNGE MASAUNI ASHIRIKI
มุมมอง 6705 หลายเดือนก่อน
Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number 255 717 619 834 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Sauti Byego Camera Department" Dadi Ali Omar (OJ) Nassor Shaibu Abdallah Juma Editors: Juma Maulid Dadi Ali Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Pla...
RAIS SAMIA AFURAHISHWA KUSINI UNGUJA | ABAINASHA PALIPO MNYANYUA KUPATA UBUNGE
มุมมอง 4.3K5 หลายเดือนก่อน
Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number 255 717 619 834 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Sauti Byego Camera Department" Dadi Ali Omar (OJ) Nassor Shaibu Abdallah Juma Editors: Juma Maulid Dadi Ali Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Pla...
RAIS SAMIA AFUNGUKA MAZITO KWA WANACHAMA WA CCM "AWAPA TAHADHARI"
มุมมอง 1.7K5 หลายเดือนก่อน
Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number 255 717 619 834 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Sauti Byego Camera Department" Dadi Ali Omar (OJ) Nassor Shaibu Abdallah Juma Editors: Juma Maulid Dadi Ali Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Pla...
RAIS SAMIA:-"TUTAANZA KUCHUJANA, ANAWAPA HONGO MUMCHAGUWE, NAJUWA NANI AMEFANYA NANI HAKUFANYA"
มุมมอง 1.7K5 หลายเดือนก่อน
Mwenyekiti wa ccm taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Dkt Samia Suluhu Hassan, amezindua Chuo cha wajasiriamali Wanawake Mkoa wa Kaskazini Unguja Cha Jumuiya ya Wanawake UWT ambacho ujenzi wake umegharimu Shilingi Milioni 72 na kitatoa mafunzo kwa Wanawake jambo litakalosaidia kupunguza ukosefu wa ajira kwa vijana. .....................................................................
SIKU MBILI ZA RAIS SAMIA ZANZIBAR KUTIKISA MIKOA MINNE KUANZIA KESHO
มุมมอง 1.4K5 หลายเดือนก่อน
Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number 255 717 619 834 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Sauti Byego Camera Department" Dadi Ali Omar (OJ) Nassor Shaibu Abdallah Juma Editors: Juma Maulid Dadi Ali Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Pla...
SHIRIKA LA BIMA ZANZIBAR LATANGAZA MABADILIKO MAPYA NA MUONEKANO MPYA
มุมมอง 8575 หลายเดือนก่อน
SHIRIKA LA BIMA ZANZIBAR LATANGAZA MABADILIKO MAPYA NA MUONEKANO MPYA
RAIS MWINYI ALIVYOMPOKEA RAIS SAMIA IKULU ZANZIBAR, AMTUNUKU NISHANI
มุมมอง 4.8K6 หลายเดือนก่อน
RAIS MWINYI ALIVYOMPOKEA RAIS SAMIA IKULU ZANZIBAR, AMTUNUKU NISHANI
VIFO NA WAGONJWA VINAONGEZEKA TU | RAIS SAMIA ATOA TAKWIMU | MARADHI YASIYO AMBUKIZA
มุมมอง 1.1K6 หลายเดือนก่อน
VIFO NA WAGONJWA VINAONGEZEKA TU | RAIS SAMIA ATOA TAKWIMU | MARADHI YASIYO AMBUKIZA
NAMNA RAIS SAMIA ALIVYO VUTIWA NA HOSPITAL HII MPYA YA LUMUMBA ZANZIBAR | AGUSIA BIMA YA AFYA
มุมมอง 9K6 หลายเดือนก่อน

HATIMAE ILE BANDARI YA 'WATER TAXI BOAT' RAMANI IMETOKA RASMI LEO, SMZ YATILIANA SAINI
มุมมอง 12K6 หลายเดือนก่อน
HATIMAE ILE BANDARI YA 'WATER TAXI BOAT' RAMANI IMETOKA RASMI LEO, SMZ YATILIANA SAINI
UTACHEKA TAMBO ZA 'RAIS MWINYI' KWA CCM | AZIKATAA KABISA 200 | 'LETENI 1,000 AU 2,000'
มุมมอง 9K6 หลายเดือนก่อน
UTACHEKA TAMBO ZA 'RAIS MWINYI' KWA CCM | AZIKATAA KABISA 200 | 'LETENI 1,000 AU 2,000'
HII NDIO MITAMBO ITAKAYO TUMIKA KATIKA BANDARI MPYA HUKO FUMBA "IMEZINDULIWA"
มุมมอง 11K6 หลายเดือนก่อน

RAIS MWINYI ATOBOA SIRI KUHUSU "TAXI BOAT" ANAZOTAKA KUZILETA ZANZIBAR
มุมมอง 35K6 หลายเดือนก่อน
RAIS MWINYI ATOBOA SIRI KUHUSU "TAXI BOAT" ANAZOTAKA KUZILETA ZANZIBAR
HII NDIO HOSPITAL ANAYOITAKA 'RAIS DKT MWINYI' IJENGWE PEMBA
มุมมอง 7K6 หลายเดือนก่อน
HII NDIO HOSPITAL ANAYOITAKA 'RAIS DKT MWINYI' IJENGWE PEMBA
RAIS MWINYI AONESHA HISIA ZAKE, HAFURAHISHWI KINACHO WAKUTA WANANCHI WA PEMBA
มุมมอง 6K6 หลายเดือนก่อน

VIJANA WA FORODHANI NI NOMA WAMPAGAWISHA KAMISHNA WA POLISI ZANZIBAR
มุมมอง 9K6 หลายเดือนก่อน
VIJANA WA FORODHANI NI NOMA WAMPAGAWISHA KAMISHNA WA POLISI ZANZIBAR
RAIS MWINYI: HAIWEZEKANI HATA SIKU MOJA | SERIKALI INAWEKA DHAMANA ITALIPA.
มุมมอง 6K6 หลายเดือนก่อน
RAIS MWINYI: HAIWEZEKANI HATA SIKU MOJA | SERIKALI INAWEKA DHAMANA ITALIPA.
HUU NDIO UJUMBE WA WAJANE ULIOKUJA ZANZIBAR MPAKA KWA RAIS
มุมมอง 1.9K6 หลายเดือนก่อน
HUU NDIO UJUMBE WA WAJANE ULIOKUJA ZANZIBAR MPAKA KWA RAIS
RAIS MWINYI AVUNJA UKIMYA "NIMESHTUKA KIDOGO" ATOA TAHADHARI NZITO KWA VIONGOZI WA UMMA
มุมมอง 11K6 หลายเดือนก่อน
RAIS MWINYI AVUNJA UKIMYA "NIMESHTUKA KIDOGO" ATOA TAHADHARI NZITO KWA VIONGOZI WA UMMA
HII NDIO ABILITY TUITION CENTER INAYO WAJENGA WATOTO WA ZANZIBAR KUWA NA ELIMU BORA
มุมมอง 6476 หลายเดือนก่อน
HII NDIO ABILITY TUITION CENTER INAYO WAJENGA WATOTO WA ZANZIBAR KUWA NA ELIMU BORA
Sawa😊
Asalam aleku, mim uwa naota nakimbizwa na Masai na mkuk, pilin naluka shamban kwenye matura mpaka nafika nyumban na kumuacha pia
Subhanallah Yarabi tujaalie mwisho mwema utuepushe na shirki
Anapatikana wapi
Anapatikana wapi
Kijazi
Asalamghaykm shekhe
Hao mabeach ni Masai tu?
Airstrip na sio Airport
Ahsate Sana Kwa ujumbe mzuri
Uzalilishaji mkubwa kuwahoji kwa kuwarekodi video kama mnakuwa na lengo la kukomesha basi tumieni utu.
Balaah
Kujiuza kwao kunatokana na serikali kushindwa kuwa makini na uwongozi
Hongera
MKANYAGENI WAPII? KIGOMAA? DARESALAAM?. DODOMA AU WAPI. UNAPOTOWA HABARI ZINGATIA 1 kitu gani au niji? 2, wapi 3, lini?.4 mtowa habar hiyo nani?.
Hizi ni mbinu za Ibilisi kutaka kupotoa kizazi kijacho Allah atuhifadhi
Big up sana
Sasa kama aligundulika uwanja wa ndege kia ilikuaje akafika zanzibar
Mwanamke ni rahisi sana kuritadi zama hizi kuliko wanaume kutokana na sumu mbaya wanazoambiwa wanawake kuhusu Uislamu hii inatokana na kuwa wanawake wingi hawana elimu sahihi juu ya Uislamu na nafasi yao katika Uislamu, miongoni mwa maswala yanayowafanya wanawake wengi kupotoka ni propaganda za kuwa Uislamu unamkandamiza Mwanamke na Umemnyima uhuru wake, uke wenza na Mirathi
Hakuna kitu kibaya kama Binti kukosa bikira kapoteza heshima ya ndoa,hatowahi aminika anaemuoa lakini pia wakati mwingine hunyanyapaliwa na mpenzi
Bora kutengeneza kuliko kukutwa huna, heshima ya mwanamke ni bikira
Raisi mwinyi tunakupenda sana lakini mkuu wa wilaya wa kati sadifa anatunyanyasa anatutukana tumemchoka please hatumtak
So jengo hilo la mahakama t hadi ikulu imechakaa yahitajika ccm zanzibar waondoke kivyovyot vile vinavyo kuwa tupigane kama kufa tushakuf md t sasa nikuikomboa zanzibar 2025 inshaallah wanzanzibar mupo tayariiiiii
Ama utapeli mwingi sana
Pole sana kaka kwa mitihan hii
Yaan mtoto huyo unamwacha peke yake inauma sana
Kumbe ujinga huu sio bar tu na zenj upo. Ni hatari sana
Kitu kinachosikitisha ni kua waelezaji wa tarekhe (historia) hawafanyi utafiti kujua ukweli. Wanaeleza tarekhe kwa mujibu ya maelezo walioambiwa na watu wasioijua tarekhe ya Zanzibar. Na mara nyigi ni kuongeza chuki tu. Kuhusu hichi kisiwa cha Changu, kabla ya mwaka 1895, Ngome Kongwe ilikua ni jela ya mahabusi/mahalifu. Serikali ikaamua kujenga jela kisiwani Changu. Jela ilimalizika1896. Lakini ilivyoka wazungu wengi wakikitumia kisiwa hicho kwa mapumziko yao, wakapinga fikira ya kuhamisha jela huko. Mahabusi hawakuhamishwa lakini kisiwa kikapata jina la Prison Island. Katika miaka hiyo ya 1890s Waingereza walikua wakileta wafanya kazi kutoka India kujenga reli (railway) huko Kenya. Wakati huo kulikua na tauni (plague) huko India. Waingereza wakaogopa kua hao wajao wasije wakaleta hayo magonjwa. Serikali ya Kiingereza ikaamua kukifanya kisiwa ni waweka karantini (quarantine) hao wanaokuja katika hilo jumba (jela). Katika mwaka 1910 ikawa hakuna haja tena ya karantini. Serikali ikaamua kuwaweka wagonjwa wa ukoma (leprosy) hapo kisiwani. Kuhusu kisiwa “Chapwani” (Grave Island) katika miaka ya mwanzo wa 1800. Wafaransa walikua wakileta watumwa kutoka bara na wakiwaweka hapo kisiwani. Wakishatimia idadi kubwa wanaleta majahazi yao makubwa kuwachukua na kuwapeleka Mauritius, Reunion na wengine Amerika Kusini. Tukumbuke kua baina ya miaka 1624 na 1860 wazungu wakipeleka watumwa 550,000 kila mwaka huko Amerika. Zaidi ya milioni 12 ya Waafrika walifariki vifyo vya ukatili mbali mabali katika mikono ya hao wazungu wa biashara ya utumwa. Lakini hayo wazungu hawayasemi. Kisiwa ‘Chapwani’ kiliitwa Grave Island baada ya vita vya kwanza vya ulimwengu (WWI). Kwa ufupi, mwanzoni wa vita Mjarumani aliipiga manuwari ya Kiingereza “Pegasus” na kuizamisha mbele ya mji wa Unguja (Zanzibar). Hujuma hiyo ilikua tarehe 20 mwezi watisa 1914. Waliuwawa mabaharia wa Kiingereza 39 na 55 walijuruhiwa. Hao waliokufa walizikwa hapo Chapwani na kisiwa kikabandikwa jina la Grave Island. Mpaka hivi karibuni hayo makaburi yakitizamwa na serikali ya Kiingereza kupitia Commonwealth Office.
watu wazima kabisa hao
Vijana wanajitafutia riziki wanatoka maskani kutafuta maisha yao wakijua kuhangaika na boda bodaa na Zanzibar iyangaliwee kimaendeleo wazanzibari maneno mengi Zanzibar kioza kwa umasikini punguzeni maneno mengi.
Uyo afungwe na jengo litaifishwe
Co Kila ulemavu ni kutokua na Elim lamsingi kushauriana na kurekebishana
Unamwambia nani maneno hayowakati yeye hakuwa ina wanawake wa kiislamu wa maana ( washirika uhakika ala muumini) mshauri wake mkubwa asili ni mkiristo
Hao majini si wawatie adabu CCM wakome kututesa
Mlete bunju mama anapona uyo nitafute nikujulishe
Uyo mlete Dr bunju Kwa kiboko ya wachawi anapona uyo bira shaka
Pole teacher
Mtangazaji Swariganiwee Unaswari Ujuikutangaza Msikiti kaziyake Nini😅 Unaziguwa Wee Dinigani Baniani Uwelewi
Mtu kwao uongo😂😂😂
Shule yangu pendwa from form 1 to form 6 chini ya mwalimu mkuu wangu kijana kabsa Mr. Khamis Adam
Msikiti wa mwanzo usiokuwa w haki wa mwanzo ni ule masjidi dhirarah, kwa hiyo sio ajabu kusikia jina linaitwa msikiti, lkn mbele ya Allah sio msikiti, utabakia kwao wao tu. Allah atuongoze kwenye haki.
Hondera sana ila kama kuna uwezekano hio gari yako badilisha hilo jina la mbele(MAN)
😂😂😂 bora nicheke ansema hataki kuona mtu adhulumiwa, wakatii yeyemweyewe,kadhulumu.dhulma kubwa kuliko ardhi
sheha huyu bangi moto
machizi washapewa rungu
Tatizo mazoezi bila mechi ni tatzo kubwa sana,
woteee kutoka nchi jirani loooooo
😂😂😂😂😂
Police msichukue uamuzi wa haraka.wa.kumpiga.mhalifu kwanza fanyeni uchunguzi
Sisi hatuna maoni yoyote kwasababu hakuna haki zakibinaadamu, askari wetu hawana elimu kwasbb kufanya kitendo.kama Nicholas niunyama nahakuna kinachofanyika,kidumu Chama camapinduzi