RAIS MWINYI ATOBOA SIRI KUHUSU "TAXI BOAT" ANAZOTAKA KUZILETA ZANZIBAR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2024
  • Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    Follow Ktv Tz Online
    Facebook | KTV TZ ONLINE
    INSTAGRAM |@ktv_tz_online
    Wasiliana nasi kupitia number
    +255 717 619 834
    Ktv Tz Online Journalists
    cc: Sadia Rashid
    cc: Sauti Byego
    Camera Department"
    Dadi Ali
    Omar (OJ)
    Nassor Shaibu
    Abdallah Juma
    Editors:
    Juma Maulid
    Dadi Ali
    Video Zingine:
    Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
    - Ali Kiba akiwa Oman
    • ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
    • NI KWELI ALI KIBA AMNU...

ความคิดเห็น • 77

  • @alibhaindaro9187
    @alibhaindaro9187 6 หลายเดือนก่อน +4

    Maashallah muheshimiwa, Allah akulinde uzidi kuihimarisha zanzibar. ❤❤❤

  • @othmanawadh3964
    @othmanawadh3964 7 หลายเดือนก่อน +8

    Amin . ALLAH azidi kutupa afya njema ili tuijenge nchi yetu

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 7 หลายเดือนก่อน +3

    DR MWINYI IKIWA UTALETA MAMLAKA YA NCHI ZANZIBAR TU BASI ITAKUWA UMEFANYA MAENDELEO MAKUBWA SANA ILA HAYO NI MAMBO YA KAWAIDA YENYE MASLAH YAKO BINAFASI TU TUNAKUELEWA MOYO WAKO UKOJE

  • @EvaristoMlowe-yp3pu
    @EvaristoMlowe-yp3pu 7 หลายเดือนก่อน +3

    BIGUP SANA

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 6 หลายเดือนก่อน +1

    Baraka Shamte salamu zimefikia omva radhi kwa Mhe Rais

  • @jumamambo7471
    @jumamambo7471 7 หลายเดือนก่อน +2

    Masha-alah alah akulinde kipenz cha wazanzbar

  • @duniamapitosotewamungu3467
    @duniamapitosotewamungu3467 7 หลายเดือนก่อน +4

    nakubali uko kibiashara zaid wazanzibar wenye vigari vyenu vya Abiria ambavyo ndio vinakupatieni riks jipangeni na kulima

  • @AbdulRahimhoward
    @AbdulRahimhoward 7 หลายเดือนก่อน +3

    Allah Akubariki Mimi sijawahi kukupinga ulichofanya sasa ivi wengine hawajafanya mpaka sasa ivi

  • @hamadabdullahkhamis977
    @hamadabdullahkhamis977 6 หลายเดือนก่อน +2

    Yote tuletee lakini ujue muheshimiwa... Juzi Kiwengwa tulikosa umeme masaa mengi sana... Umeme umeme nguzo zimechoka tunadilishe kila siku nguzo zinanguka.. yaani rais wetu anataka mengi mazuri lakini kuna wachache wanatuharibia... Hongera sana..

  • @khalidibrahim4579
    @khalidibrahim4579 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera kwa maendeleo
    Ahsante kwa maendeleo
    Zanzibar iwe dubai

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akusaidie

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 6 หลายเดือนก่อน +3

    Safi sana mzee vijana tupo pamoja na wewe

  • @kimsamir965
    @kimsamir965 7 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana rais mwinyi nakukubali sana nani kama wewe ubarikiwe sana mungu akuweke

  • @salehjuma935
    @salehjuma935 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mitano tena kwako raisi wetu mpendwa hayo ndio mambo tunayoyataka In Shaa Allah

  • @kimsamir965
    @kimsamir965 7 หลายเดือนก่อน +2

    Rais wa future huna mbaya endelea kuleta maendeleo ya Zanzibar

  • @user-dl3ep1ow3y
    @user-dl3ep1ow3y 7 หลายเดือนก่อน +2

    MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @hmedoggftherljih199
    @hmedoggftherljih199 7 หลายเดือนก่อน +2

    Zanzibar ❤️💛💚

  • @hijahamadi5793
    @hijahamadi5793 7 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera kwa juhudi zako lakini mbona Zanzibar hatuhitaji usafiri wa treni kwa wala taxi boat, Zanzibar hali ya wananchi kiuchumi ni mbaya na sidhani kwamba hiyo treni na kituo cha boat kitasaidia lolote katika kuinua uchumi wao, Tunachojotaji Zanzibar ni Network nzuri ya barabara za kisasa zinazopitika mwaka mzima tu, Na hizo fedha Nyengine zipelekwe katika kero zilizoko katika Afya, maji , kilimo nk.

    • @mnahakikibwenihaji9563
      @mnahakikibwenihaji9563 6 หลายเดือนก่อน +2

      hizo pesa za tax bot zikibaki njoni mutusaidie sare za watoto wetu huko skuli wanawazuiwa wasiende

  • @nafisahalai5536
    @nafisahalai5536 6 หลายเดือนก่อน +1

    God bless you President Mwinyi. We love you

  • @abdul-halimhafidh642
    @abdul-halimhafidh642 7 หลายเดือนก่อน +5

    Namkubali RAIS MWINYI, fanya kila unalohisi lina maslahi kwenye nchi yetu na mengine pia tuletee yaliyokuwa mazuri, ipo siku tutaona na kukumbuka juhudi zako kwa nchi yetu, Allah atuwezeshe kuyaona mapinduzi ya kimaendeleo kwa Zanzibar

  • @kahilissa1862
    @kahilissa1862 6 หลายเดือนก่อน +1

    In sha Allah kheri

  • @alhajrahassan89
    @alhajrahassan89 7 หลายเดือนก่อน +6

    Hakika wewe ndio rais tulokuwa tunakutaka Allah atuweke inshallah tiweze kuja kuona Zanzibar yetu mpya inshallah Ameen 🤲🤲🤲

  • @asmasalummohamed5564
    @asmasalummohamed5564 4 หลายเดือนก่อน

    Let's go Mr president

  • @mohddelo
    @mohddelo 7 หลายเดือนก่อน +3

    Hawana sera hao

  • @suleimanrashid3918
    @suleimanrashid3918 7 หลายเดือนก่อน +4

    Rais chonde chonde mm naamini unaweza na mungu atakujalia in shaa Allah. Ila nakuomba usishindane nao hawa mwisho utatukomoa sisi wanamchi wanyonge.maana ukieka hvo vitaxi utatuumiza sisi wenye vitaxi vyetu vya vi alphard maana wageni itakua hawapandi tena. Tunakuomba utuekee tu hvyo trein na tena uweke moja yakuzunguka mji mkongwe Allah akujalie wepesi na uongoze tena ikibidi tubalishe katiba uchukue 10 tena.

    • @hijazhija316
      @hijazhija316 7 หลายเดือนก่อน

      😂

    • @rajabmsinzia1715
      @rajabmsinzia1715 7 หลายเดือนก่อน

      Hao Wageni pia tuna mpango wa kutembezwa kwa Mabus ya serikali mabus ya Garofa Moja ambayo juu yapo wazi ila msijali Serikali itaajiri madereva

    • @yasminjuma9146
      @yasminjuma9146 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂​@@rajabmsinzia1715

  • @user-dd3db5qb9s
    @user-dd3db5qb9s 6 หลายเดือนก่อน +1

    Allah Akupe wepesi kwa hayo

  • @bakarikombo6279
    @bakarikombo6279 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mitano x4 itafaa akipewa huyu mzee baba Zanzibar kama dubai

  • @allyvuai9762
    @allyvuai9762 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mitano tena dkt Mwinyi

  • @ibrahimabdullah1887
    @ibrahimabdullah1887 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hatufamu hayo ss tutaka zanzibar yenye malaka kamili bila ya kungiliwa na wabara

  • @afropanorama4730
    @afropanorama4730 7 หลายเดือนก่อน +2

    Maendeleo ya zanzibar yaendane na umaarufu wa zanzibar duniani,ni aibu nchi ndogo kua maarufu halafu maendeleo ziro,wakati umefika tuunge mkono kwa maslahi ya vizazi vyetu

  • @abdallahdullah8642
    @abdallahdullah8642 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asa treni mzee iende wapi wkt saiv suala la usafiri binafsi kila mtu anao.
    Nahc mabasi yanatosha km ulivyo ahidi.
    Lkn suala la water tax ni km vle boti ya bagamoyo ilioishia kupewa jeshi.
    Ivi niache kupanda basi mpk nungwi nipande boti mpk nungwi iyo nauli kiasi gani mpk ilipe gharama za uendeshaji na abiria wenyew mpk tupande na matenga yetu ya samaki.
    Suala muhim muheshimiwa tujengee bandari ya meli za kontena itakayo egesha angalau meli 3 kwa wkt mmoja angalau yenye ukubwa wa mita elfu moja.

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ndo walivo kila kitu wanasema hatuwezi Sasa wataona

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 7 หลายเดือนก่อน +3

    Umeme bado kero zito

  • @zainarashid1024
    @zainarashid1024 7 หลายเดือนก่อน +2

    Wambie hao wapinga maendeleo wapuuzi wengine walikuwemo serikalini hawakufanya lolote

  • @saidyussufmzee4548
    @saidyussufmzee4548 7 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂 Mzee..

  • @haroubhbm5728
    @haroubhbm5728 7 หลายเดือนก่อน +2

    Pesa imetumika kuhamisha taka so mchezo

  • @yassirmabuku7832
    @yassirmabuku7832 6 หลายเดือนก่อน

    😂 mbali na mipango ya dr Mwinyi kunikosa na Dj nae kanikosha

  • @SaidJangoli-hr7ww
    @SaidJangoli-hr7ww 6 หลายเดือนก่อน +1

    Napia huku shumba mjini hii bandari bado imeganda hatujuwi lini itakwamuka

  • @alihaji215
    @alihaji215 7 หลายเดือนก่อน +2

    Tutajitawala wenye msitutowe kwenyenjia ya reli

  • @abdallahdullah8642
    @abdallahdullah8642 6 หลายเดือนก่อน +2

    Na veep muheshimiwa kuhusu MV MAPINDUZI

    • @Asilimedia
      @Asilimedia 6 หลายเดือนก่อน

      Ipo katika Hatua za mwisho kwenye matengenezo (ukarabati) unaofanyika.

    • @salehkaroa2366
      @salehkaroa2366 6 หลายเดือนก่อน

      Nitaileta mpya msijali

  • @salehkaroa2366
    @salehkaroa2366 6 หลายเดือนก่อน

    Au sio Insha Allah kheri tupu

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 7 หลายเดือนก่อน +6

    Tunataka kila kitu kiwepo lakini, Maendeleo ya vitu yaende sanjali na maendeleo ya watu. Hali za wananchi kiuchumi ni mbaya sana, hiyo miradi ina dalili za kuongeza umasikini kuliko tija. Nakupongeza sana kwa maono lakini fanya moja moja tafadhali.

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 6 หลายเดือนก่อน +1

      Maendeleo ni sacrifice lazma kuna upande uumie kwa muda ili badae vitu vikae sawa

  • @zaexplore
    @zaexplore 6 หลายเดือนก่อน +1

    oyaaa mwinyi mitano tenaaaa

  • @user-go3bk6wr8u
    @user-go3bk6wr8u 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mipasho ila mda ndio jaji mkuu.

  • @rehanijuma1421
    @rehanijuma1421 6 หลายเดือนก่อน

    Haya sasa

  • @user-hn7uv4yg2q
    @user-hn7uv4yg2q 2 หลายเดือนก่อน

    mwinyi namkubali sana hapepesi maneno

  • @KijukuuMtemi
    @KijukuuMtemi หลายเดือนก่อน

    Raisi mwinyi tunakupenda sana lakini mkuu wa wilaya wa kati sadifa anatunyanyasa anatutukana tumemchoka please hatumtak

  • @yassirmabuku7832
    @yassirmabuku7832 6 หลายเดือนก่อน

    Dr Mwinyi tumuongezee miaka kama wenzetu wa china tumpe miaka 20 hadi 30

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz 6 หลายเดือนก่อน

    Mwinyi ushashiba aloooo

  • @user-qm9qw8et9v
    @user-qm9qw8et9v หลายเดือนก่อน

    Water tax

  • @htx1873
    @htx1873 6 หลายเดือนก่อน +4

    The MWINYI’S Never disappoint.❤

  • @mahamoudduchi3318
    @mahamoudduchi3318 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ndugu Rais hatupingi juhudi zako ila Hawa ndugu zetu wenye Gari za kubeba wageni vipi ushawatizama kwa jicho la Tatu kbl uwo mradi kuufanyia kazi chochonde utawaua na njaa sifikirii km mgeni atataka Gari ya taxi kupelekwa hotelini

  • @user-jx2jl8ii2w
    @user-jx2jl8ii2w 2 หลายเดือนก่อน

    Mh Mwinyi jenga nchi tunakukubali

  • @Asilimedia
    @Asilimedia 7 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu Raisi mitano tena Ikiwezekana tena na Tena

  • @salehkaroa2366
    @salehkaroa2366 6 หลายเดือนก่อน

    Kisima watu M2 hawafiki kila kitu aaah haiwezekani Siasa za Chuki na ujinga zimeekwa mbele ilikua ujinga mtupu

  • @user-vx5gz3yt9c
    @user-vx5gz3yt9c 6 หลายเดือนก่อน

    Mihezo

  • @amirmohamed2729
    @amirmohamed2729 5 หลายเดือนก่อน

    Sasa wataka kuzamisha watu

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj 7 หลายเดือนก่อน +2

    Na walodhumiwa vi inua mgongo wasaidia 😢

  • @user-gk3wz8wb3t
    @user-gk3wz8wb3t 6 หลายเดือนก่อน

    Tnataka maendeleo Yazidi kuongezeka na Pemba uijenge iwe na maendeleo Hususan Bandari ya Wete Pemba

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa Ana uwa kazi za wananchi ma beachBoy wakae juu anapiga deal

    • @AleiHadji-js3ed
      @AleiHadji-js3ed 6 หลายเดือนก่อน

      Unaharibu utatuharibia na Sisi brooo

  • @abdallahkassim8600
    @abdallahkassim8600 6 หลายเดือนก่อน

    Ss tupunguzie makodi kwni ss wnanchi tuna hali ngumu na maji bado hatupati hio tax bot kwnza mm nakushaur utufanye hayo kwnza ss mwngine bahari twaiogopa mambo mengi yapo yatuliwe tuhoi

  • @user-sl2hk8wp1p
    @user-sl2hk8wp1p 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kushinda kuchukua tu umeshinda wapi sema ukweli punzi isikuhadae amani yuko wapi sefu ali iddi yuko wapi salimini yuko wapi

    • @TahilaRamadhan-hz3pd
      @TahilaRamadhan-hz3pd 7 หลายเดือนก่อน

      Na sefsharif yukowapii

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 7 หลายเดือนก่อน

      Wahakutokea wa kumkamata ndio kushinda huko huko.

    • @user-sl2hk8wp1p
      @user-sl2hk8wp1p 6 หลายเดือนก่อน

      @@TahilaRamadhan-hz3pd sefu ametanguli mbele yy muliokuwa hamutokufa mutakaa duniani milele endeleeni kuzulumu tu

    • @user-sl2hk8wp1p
      @user-sl2hk8wp1p 6 หลายเดือนก่อน

      @@TahilaRamadhan-hz3pd na sefu ni mtu 1 tu lkn mumewazulumu wanzanzibari wengi yy hamufi muungu anawaanza kuwahukumu hapa hapa dunia kwanza alikuwepo salimini amuri jeee yuko wapi sefu ali idi jee yuko wapi amani kabakia kichwa tu

    • @allyvuai9762
      @allyvuai9762 6 หลายเดือนก่อน +1

      Wacha ufala kaka mwacheni Rais afanye kwa maslahi mapana ya taifa letu