TAZAMA BINTI MREMBO ZANZIBAR ANAVYO TENGENEZA PESA NYUMBANI KWAO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 พ.ค. 2020
  • Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    #JikingeNaCoronaBakiSalama #KtvTzOnline
    Follow Ktv Tz Online
    Facebook | KTV TZ ONLINE
    INSTAGRAM |@ktv_tz_online
    Wasiliana nasi kupitia number
    +255 625 323 932
    Ktv Tz Online Journalists
    cc: Sadia Rashid
    cc: Juma Maulid
    cc: Masoud Maganga
    cc: Sauti Byego
    cc: Tunu Salum
    cc: Maryam Busara
    Camera Department"
    Dadi Ali
    Mwarabu Mmadi
    Nassor Shaibu
    Abdallah Dula
    Editors:
    Juma Maulid
    Video Zingine:
    Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
    - Ali Kiba akiwa Oman
    • ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
    • NI KWELI ALI KIBA AMNU...

ความคิดเห็น • 563

  • @aromaofzanzibar
    @aromaofzanzibar 4 ปีที่แล้ว +94

    Mashallah. M.Mungu amfungulie milango ya kheri

    • @lavieestbelle3263
      @lavieestbelle3263 4 ปีที่แล้ว +2

      Amiin ya rabi l~alamiin.....najitahidi kufatilia mapishi yako lakini vifaa vingi kwenye supermarket zetu vinamiss

    • @latifahjamal2999
      @latifahjamal2999 4 ปีที่แล้ว

      Ameen

    • @raashidibrahim851
      @raashidibrahim851 4 ปีที่แล้ว

      Elfu kumi Original. Hhhhhh hhhhh umenifurahisha. Ila mashallah

    • @ubwakhamis7520
      @ubwakhamis7520 4 ปีที่แล้ว

      Very good shaimaa.Allah bless u

    • @hafidhali7294
      @hafidhali7294 4 ปีที่แล้ว

      Ameen

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 4 ปีที่แล้ว +39

    Hongera Shaima, utakuwa mfano wa wanawake wengine hapo Zanzibar. Kujitegemea ni ngao na ni silaha halisi ya kukimbia manyanyaso ya kuajiriwa.

    • @fahadfahmy
      @fahadfahmy 4 ปีที่แล้ว

      Kabisa bro mimi mwenyewe nimepitia hayo unayoyasema

  • @LADYZEE702
    @LADYZEE702 4 ปีที่แล้ว +2

    Am kenyan but am proud to say am so proud of you shaymaa. May Allah continue to put baraka in all that you do. You are a beautiful example for our ummah

  • @awadhtevez2918
    @awadhtevez2918 4 ปีที่แล้ว +20

    Mashallah we need more women's like her hapa Zanzibar Allah afungulie milango ya kheri na pia ningeomba angeanza seminar ndogo ndogo kuwa motivate vijana wengine wakike wakizanzibar pia km atakua anahitaji mchumba mwenye connection au information zozote tusaidiane jamani I'm serious about this guys this woman she's the future KTV Tz Online tusaidiane jamani

    • @kisunannannav.9210
      @kisunannannav.9210 4 ปีที่แล้ว +1

      awadh tevez wataka muoa ?

    • @kisunannannav.9210
      @kisunannannav.9210 4 ปีที่แล้ว +1

      Wataka muoa ?

    • @awadhtevez2918
      @awadhtevez2918 4 ปีที่แล้ว

      @@kisunannannav.9210 eehh! haswa kama kuna uwezekano ila kama hakuna uwezekano basi tutazid kuombeana dua azid kufanikiwa katika maisha yake

    • @kisunannannav.9210
      @kisunannannav.9210 4 ปีที่แล้ว +1

      @@awadhtevez2918 Swadakta!

    • @awadhtevez2918
      @awadhtevez2918 4 ปีที่แล้ว

      @@kisunannannav.9210 Swadakta kabisa ss kama kuna uwo uwezekano wakusaidiana tusaidiane seriously

  • @al-mamarial-mamari5457
    @al-mamarial-mamari5457 4 ปีที่แล้ว +9

    MaShaAllah. Allah akuzidishie ujuzi na uzidi kupata mafanikio ktk biashara yako . Allah akuhifadhi na kila Hassid . Ameen.

  • @neemaally8981
    @neemaally8981 4 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah jaman, nmepata moyo wa kufanya nami nnachokipenda, ALLAH akufanyie wepes

  • @aliymurid4433
    @aliymurid4433 2 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah.
    Allah akubarik .
    Na azidi kukufungulia na mambo mengine.
    Amiin

  • @samoocoolingsystem93
    @samoocoolingsystem93 4 ปีที่แล้ว +16

    Dada Mrembo Halafu Kazi Kazi 🔥🔥🔥

  • @ukhtyalpha1344
    @ukhtyalpha1344 4 ปีที่แล้ว +6

    Very impresive mwanangu I adore you May Allah Bless you

  • @ummyhassan383
    @ummyhassan383 4 ปีที่แล้ว +11

    MASHALLAH ALLAH AZIDI kukufanyia wepesi ktk mafanikio yako

  • @thuthasworldworld137
    @thuthasworldworld137 4 ปีที่แล้ว +1

    Bravo habibty wewe ni mfano bora kwa jamii yetu naamini hakuna kisichowezekana. Allah akuongoze pema zaidi kwa ujuzi zaidi ili usaidi wengi. Jazakillah kheir.

  • @aydasalim4679
    @aydasalim4679 4 ปีที่แล้ว +8

    MashaAllah our lil one❤keep on going and make us proud dear

  • @nayraseif2876
    @nayraseif2876 4 ปีที่แล้ว +22

    MashaAllah mungu akulinde na hasad na akujaalie mafanikio makubwa kwani ur talent deserves an appreciation 🌟🌟🌟🌟🌟

  • @sanaaseif2731
    @sanaaseif2731 4 ปีที่แล้ว +22

    In sha Allah utafika mbali ndugu yangu...
    Allah akuepushie hasad🌹

  • @mussakiziyzi408
    @mussakiziyzi408 4 ปีที่แล้ว +2

    Alf mabrouk Shaymaa Allah akutilie barka na ufanis zaid katika kazi zako.Aamiyn

  • @samohazakwani6899
    @samohazakwani6899 4 ปีที่แล้ว +1

    Assalaam alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh Mashaa Allah TabaarakAllah. Allah ambarikie na ampe elimu zaidi bint Shaymaa aendee na anufaishe umma. Awe ni kiigizo chema kwa wengine. Pongezi sana bint wa Kizanzibari tunaona fakhari.

  • @Itzurfavpetpo
    @Itzurfavpetpo 4 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah Allah akubarik akupe siha afya na umri taweel wenye kheri akutilie barka rizqi yako Ameen

  • @hamidahamdoun8201
    @hamidahamdoun8201 4 ปีที่แล้ว +1

    Kila la kheri mdogo wangu. Allah akufungulie rizki zaidi, Soma uje kufikia ndoto yako na ufikie ngazi za kimataifa. Allah aliibariki kazi ya mikono.

  • @salmasaidi2875
    @salmasaidi2875 4 ปีที่แล้ว +3

    MASHAA ALLAH Mungu akuzidishie Elimu na wengine pia In Shaa Allah

  • @hassanmkuta7784
    @hassanmkuta7784 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashaa Allah my students from memon Academy

  • @hadiyajuma3974
    @hadiyajuma3974 4 ปีที่แล้ว +6

    MashaAllah ubunifu Mzuri hio ni biashara kubwa ulaya watu wanauza mpaka supermarket jaribu kupeleka na madukani au supermarket

  • @abdullabakar2939
    @abdullabakar2939 4 ปีที่แล้ว +8

    Asalam alaykoum. Mashaallah... Allah akuongoze na akulinde na hasadi dada wewe kweli ni mjasiriyamali hivyo inapaswa kushukuru Allah kwa kipaji na uwezo aliokupa.. pia jitahidi kumueka Allah mbele jua kwa mafanikio yako yapo kwake juu ya jitihada unayoifanya pia . Mapendekezo yangu elimu uliopewa unapewa kufunza kwa wengine hii itakua umefanya kazi ya Mitume. Pia ushiwe na riaa juu ya ukifanyacho haitaleta maendeleo kwako .
    Sambamba na hilo nilazima uendelee kupata elimu zaidi na.kutafuta wadhamini ili kuwa na kituo kikubwa upate kuwaajiri na wengine na kukupatia taifa faida. Baba Asinaat @ abkally

  • @magdalenashija1203
    @magdalenashija1203 4 ปีที่แล้ว +2

    Beauty with brain💪🏻 I like that and personally am crazy about natural cosmetics 🥰

  • @maryamhadid7753
    @maryamhadid7753 4 ปีที่แล้ว +5

    Masha Allah allah azid kukubariki kwa neema aliyokupa pambana dada usichoke 😍😍😍

    • @nawabmtambo8336
      @nawabmtambo8336 4 ปีที่แล้ว

      Mawasiliano yako

    • @ktvtzonline
      @ktvtzonline  4 ปีที่แล้ว +1

      Namba za simu za Shayma Zipo Upande wa Kushoto Juu Ya Video Hii

    • @hawaasaidi2246
      @hawaasaidi2246 4 ปีที่แล้ว

      wekaa number tutawasiliana nae vp

  • @mtitimtiti376
    @mtitimtiti376 4 ปีที่แล้ว +2

    Dada sadia una sauti nzur sana ya utangazaji siku inshallah itafika na utakuwa mtangazaji bora wa kike wa zanzibar/Tanzania/Africa/Dunia

  • @thelistener8357
    @thelistener8357 2 หลายเดือนก่อน

    Welldone. I hope you succeed in life n you help many

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah , Lalwa wakuwatah ilabilah . Mungu akuzidishie Elimu na akuruzuku fahamu. INSHA ALLAH mwaka ujao utahajiri wenzako.♥️♥️😍😍

  • @nadirmahfoudh1812
    @nadirmahfoudh1812 4 ปีที่แล้ว +4

    Masha'Allah,
    I'm impressed with you. Be blessed.

  • @buzyformylovedone5964
    @buzyformylovedone5964 4 ปีที่แล้ว

    Maa Shaa Allah Allah amlinde na hasad ktk kazi zke I'm so proud of her wallah nikioma Wanawake wanamaendeleo halafu ktk umri mdogo nakua naona raha kweli kweli hata cjali ikiwa namjua au cmjui. Any way km kuna contacts zke tuekeeni tumfollow she is an inspirational for me.

  • @abdullahabubakar2357
    @abdullahabubakar2357 4 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah shaymaa congratulations ur the best ur one girl I like ur hard working keep going mungu akufungulie akusimamie katika kazi zako akutie nguvu imani usivunjike moyo alf alf mabrouk

  • @salmaalbarwani2618
    @salmaalbarwani2618 4 ปีที่แล้ว +1

    You are gifted God bless you shaimaa

  • @gulamnanji5747
    @gulamnanji5747 4 ปีที่แล้ว

    Very inspirational, may God take you long way and big success in your future life

  • @khadijatoby7407
    @khadijatoby7407 4 ปีที่แล้ว +1

    Good girl keep it up, in shaa Allah all the best, well come to oman🇴🇲

  • @khamisjuma5046
    @khamisjuma5046 4 ปีที่แล้ว

    Beautiful my sister my message from USA marekani good jobs zanzibar people 👍🌻

  • @aliarkam9548
    @aliarkam9548 4 ปีที่แล้ว +5

    Mashaa allah . Hongera sana

  • @khasuab2067
    @khasuab2067 4 ปีที่แล้ว

    MaashaAllah grow my little sister and keep it up we here to support you. InshaAllah your dream will come true and benefit your goals.

  • @laylamohammed6708
    @laylamohammed6708 4 ปีที่แล้ว +3

    Congrates shaymaa
    U can do more than that dear
    May Allah bless you

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 4 ปีที่แล้ว

    Mashallha ongera sana Mungu akuzidishie zaidi me napenda sana nije kuwa mfanya biashara lnshallha mungu atufanyie wepesi nasisi tuliokuwa na ndoto za kufanya pia mm nina makovu sijui kama nitapata sabuni ya kuniponesha miguuni ninge kuwa tz basi najua nisinge kosa kwa sheimha

  • @suleshkaka6622
    @suleshkaka6622 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah
    Allah akuongeze katita kazi zako pimoja nakumtii yeye na akuongezee ubunifu zaid pia akueepusha na shari ya hiyo kazi yako
    But also never be boast for what allhu gave to you and pray for only yeye

  • @jarsjam8894
    @jarsjam8894 4 ปีที่แล้ว +13

    Uzuri kujitegemea Allah atakusaidia. Tuletee Oman tunahitaji vitu km hivyo

  • @khazinaadulla211
    @khazinaadulla211 4 ปีที่แล้ว

    MashaAllah nimependa sana kaziyako InshaAllah Mwenyezi Mungu akufungulie barka iendelee nawatu wa furahi

  • @fridajeremy6445
    @fridajeremy6445 4 ปีที่แล้ว +11

    In 10yrs she's a billionaire in zanzibar if she doesn't stop

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Mungu azidi kukubariki Mungu akijaria nikirudi Zanzibar nitakuja kununua

  • @ibnbilali7258
    @ibnbilali7258 4 ปีที่แล้ว +2

    Good girl, be blessed Shaima.

  • @rahimaally6471
    @rahimaally6471 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah support muhimu hilo ndio tatizo letu ishallah Mwenyenzi Mungu atamjaalia ndoto zake zitimie 🙏

    • @maryamabdallah3866
      @maryamabdallah3866 ปีที่แล้ว

      Asalamaalikumu warahamatuwahi unapatikana maneo gani nataka

  • @suleymanseif5000
    @suleymanseif5000 4 ปีที่แล้ว

    MashaAllah mungu azidi kumpa kipaji zaid y hicho n kiweze kuendeleza jamii n maisha yake n wazazi wake...🤲🥰

  • @didabeibz8014
    @didabeibz8014 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah hongera dada ... Allah akufanyie wepesi wa kazi yako.....nilichokipenda ni jinsi unajisitiri..... ALLAH akuzidishie stara daima....

    • @nassernajm5417
      @nassernajm5417 4 ปีที่แล้ว

      Nikweli MashaAllah!! Kujistiri kwake kunaonesha kiwango cha imani na dini yake MashaAllah...!!
      Allah atambarik na kumjalia kila la kheri katika maisha yake inShaAllah.
      Ningekuwa cjaowa basi nafikiri leo hii hii ningepeleka posa wallahi 😭😭😭 lol!😇

  • @suleimankhalfanaltiwan1583
    @suleimankhalfanaltiwan1583 4 ปีที่แล้ว

    Well done dada Allah akulinde katika maendeleo ya kazi na akujalie mwendelezo mwepesi katika kusudio lako la kusaidia taifa ammin

  • @rizikimohammed4297
    @rizikimohammed4297 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah akubariki mwenyezi uziidi wako ujuzi.akuepushe na ftina na hasad n husda za viumbe wakiwemo binadaamu,mashetani na majiini. Alkah akujaaluw afya na afwa insha allah

  • @alawiali3475
    @alawiali3475 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kwa ubunifu na juhudi ya kujituma ktk kujiletea maendeleo,hongera sana ubarikiwe

  • @khamisraweh1481
    @khamisraweh1481 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah baaraka allah fiikum
    Dadaangu,insha allah nikitua tu Zanzibar nitakuja dukani kwako

  • @aminamsellem637
    @aminamsellem637 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah fantastic one 😘

  • @saydfuad6914
    @saydfuad6914 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha'Allah! Nimependa hii. Made in Zanzibar

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi4882 4 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri dada, endelea kufuata njia zako, Mungu atakuongoza insha Allah.

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 4 ปีที่แล้ว +1

    Mzuri tena mrembo kweli masha Allah 😘😘😘All the best shaima

  • @shaharaltaiwan4645
    @shaharaltaiwan4645 4 ปีที่แล้ว

    Maashaa-Allaah M/Mungu akulinde na hasadi.

  • @aminaothman9757
    @aminaothman9757 3 ปีที่แล้ว

    MASHAAllah Shaymaa 😍 nimewahi kutumia sabuni yake na ni nzuri sana ..Keep it up shayma👍🏻♥️

  • @najwaeladawy8343
    @najwaeladawy8343 4 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah bismillah MashaAllah, Allahumma laa hasad😍🙇🙇🙇

  • @zulfahhussein505
    @zulfahhussein505 4 ปีที่แล้ว

    MashaAllaah mwanadada jasiri yaani Alhamdulillaah
    Allaah akuzidishie daaimaa

  • @zaitunshaban9220
    @zaitunshaban9220 4 ปีที่แล้ว

    MashaAllah MashaAllah MashaAllah.
    Keep on.

  • @fatmasaid5864
    @fatmasaid5864 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah sheimaa Allah akulinde na kila aina ya hasad na akuzidishie kipaji uweze kufikia malengo yako

  • @swabriali4583
    @swabriali4583 4 ปีที่แล้ว +8

    MashaAllah Mola akuzidishie kheri na baraka

  • @naahemed4374
    @naahemed4374 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera mamy Allah akuzidishie

  • @aishaabdurahman1185
    @aishaabdurahman1185 4 ปีที่แล้ว

    Yah good luck 🍀 my sis,insha Allah mola akutilie baraka kwa kazi yko

  • @fatmasalim7132
    @fatmasalim7132 4 ปีที่แล้ว

    Maa shaa Allah! Tabaaraka Allah! Mwenyezi Mungu akufanikishe ufikie malengo yako,jicho la hasad lisikupate yaarabby,nielekeze ulipo pls...

  • @nassormussa5062
    @nassormussa5062 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana. Allah akujaaliee uwezo zaid

  • @amourhasaan7242
    @amourhasaan7242 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah unajitahidii naa vipii mchumbaa kashapitaa hapaa

    • @RahmaRashid-lc6nw
      @RahmaRashid-lc6nw 5 หลายเดือนก่อน

      Allah amjaalie mume mwema ya Rabby

  • @xjjxjsjzjdjdhdjdjd593
    @xjjxjsjzjdjdhdjdjd593 4 ปีที่แล้ว +1

    MaashaaAllah Allah akuzidishiye uwezo wako

  • @shabanikassimu8534
    @shabanikassimu8534 3 ปีที่แล้ว

    Hongela dada

  • @ruksanaeddy7616
    @ruksanaeddy7616 4 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah ❤️🌹.. Allah azidi kukupaa ujuzi

  • @ismailabdallah8263
    @ismailabdallah8263 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah Dada shaymaa usichoke inshallah utafika mbele Allah akuhifadhi. Amin

  • @mohamedabubakarmohamed8465
    @mohamedabubakarmohamed8465 4 ปีที่แล้ว

    ma shaa Allah
    Baraka Allahu fiik🤗

  • @nourkondo714
    @nourkondo714 4 ปีที่แล้ว

    Aalykum ww hongera sana binti mwenzngu Allah akusimamie na kazi yako

  • @jamaalali4564
    @jamaalali4564 4 ปีที่แล้ว

    Maa shaa Allah Allah akubarikie kazi zamikono yako

    • @wizardshop4264
      @wizardshop4264 3 ปีที่แล้ว

      Habar duka liko wap nataka huduma mm nataka dawa ya nywele na ngozi

  • @zuhurasega167
    @zuhurasega167 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Allah bless you in all things inshaallah🎁

  • @sonaamohd5461
    @sonaamohd5461 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah allah akupe wepesi wa kazi zako na akulinde na mahasidi

  • @mwajumahaji3718
    @mwajumahaji3718 4 ปีที่แล้ว

    MaaShaAllah Allah akuongoze zaid😍

  • @nasranassor6796
    @nasranassor6796 4 ปีที่แล้ว +1

    Maasha allah c kazi rahisi,

  • @mangogreen6231
    @mangogreen6231 4 ปีที่แล้ว +1

    Super woman,,,, congrulation

  • @aishasaid5702
    @aishasaid5702 4 ปีที่แล้ว

    Maa shaa Allah Mungu akuzidishie Sheymaa

  • @rayyanalkindy176
    @rayyanalkindy176 4 ปีที่แล้ว

    MashaAllah tabaraka Rahman Allah akuzidishie elimu ya kuweza kutengeneza vitu vyengine zaidi ya hivi Allah akuondoshee husda na akulenda na macho na midomo mibaya امين يارب العالمين

    • @fatmajuma9201
      @fatmajuma9201 4 ปีที่แล้ว

      Mashaallah hongera kwa kuvumbua biashara hio ambayo ni tiba kwa binaadam, labda nikuulize unapatikana wapi nije nikutembelee?

    • @al-khairat63
      @al-khairat63 4 ปีที่แล้ว +1

      Wow mashallah 😚

  • @khimjikerai8053
    @khimjikerai8053 4 ปีที่แล้ว

    God bless you for your Hard work

  • @kassimali2947
    @kassimali2947 4 ปีที่แล้ว

    Mashallh m, mungu akuongezee zaid

  • @azanazan6577
    @azanazan6577 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sister keep moving 👏🔥

  • @maryamswaleh1333
    @maryamswaleh1333 4 ปีที่แล้ว

    Ma shaa Allah Tabaraka'Allah,Allah akuzidishie

  • @saidatmasoud4239
    @saidatmasoud4239 4 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah....Allah kazidishie

  • @sleymkadam2929
    @sleymkadam2929 4 ปีที่แล้ว

    Mashhallah ,ubarikiwe Sana'a sanaaaa ,,,nawapendaa sanaaaa wanaharakt wenzanG

  • @mrfix6596
    @mrfix6596 4 ปีที่แล้ว

    KTV Leo mmenipatia kwa kweli, dk 14 zote nimeangalia kipindi hiki, Mashallah, zidini kupekechuapekechua vipaji vipo vingi mitaani, wale wanaohangaika na vyeti kutafuta ajira wazinduke.

    • @ktvtzonline
      @ktvtzonline  4 ปีที่แล้ว

      Mr Fix Ahsante Kwa Kuwa Nasi "KTV TZ ONLINE HAKIKA HII NI FAHARI YETU"

    • @khalidbahorera8106
      @khalidbahorera8106 4 ปีที่แล้ว

      Mzee baba sema tu umeangalia dakika zote 14 kwasabab hujatosheka kukitizama hcho chuma hapo😄😄😄

  • @mohamedmusa8651
    @mohamedmusa8651 4 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri dada. Ongeza bidii...

  • @abdulhalimahmed341
    @abdulhalimahmed341 4 ปีที่แล้ว

    MASHALLAH Barrick ukhty Shayma

  • @ukhtyalpha1344
    @ukhtyalpha1344 4 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah tutakuja kununuwa mwana kwetu Allah akubari zaidi na wanawake wengine tafuteni chengine kama yeye

  • @samiaalriyami3488
    @samiaalriyami3488 4 ปีที่แล้ว

    Bismillah masha Allah tabarrak Allah ♥♥♥♥Allah akuhifadh

  • @hafsanatoo8365
    @hafsanatoo8365 4 ปีที่แล้ว

    Maa shaa Allaah ,Allaah akubaarik..

  • @yussufabdalla9377
    @yussufabdalla9377 4 ปีที่แล้ว

    Great work sheyma big up

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallahu mungu akuongoze ufke mbal sana

  • @fatmakombo7584
    @fatmakombo7584 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah mashallah mungu akubariki katika mazur zaidi inshaallah

  • @khadijakhalfan8275
    @khadijakhalfan8275 3 ปีที่แล้ว

    A.alaikum shaimaa dukalako likowapi tunahitaji nasiye mashallah allah akuzidishiye

  • @hamadatahir9307
    @hamadatahir9307 3 ปีที่แล้ว

    Jitahidi kutoa sadaka kwa kile kidogo unachokipata haswa kwa kuwapa Mayatima,masikini na wajane in shaa Allah.

  • @muhmuhsini005
    @muhmuhsini005 3 ปีที่แล้ว

    Taarifa nzuri sana na yakushajiisha, asanteni 👍🏼

  • @abdulkadiraminawes5881
    @abdulkadiraminawes5881 4 ปีที่แล้ว

    MaShaa Allah. Fikiria. think of expanding your products market. Unaweza hata kupata wateja hapa Kenya.