VUTA NIKUVUTE NZITO YAIBUKA NA MGOGORO MKUBWA KUHUSU HOTELI HII KUSINI UNGUJA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 มี.ค. 2021
  • Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    Follow Ktv Tz Online
    Facebook | KTV TZ ONLINE
    INSTAGRAM |@ktv_tz_online
    Wasiliana nasi kupitia number
    +255 625 323 932
    Ktv Tz Online Journalists
    cc: Sadia Rashid
    cc: Sauti Byego
    cc: Maryam Busara
    cc: Masoud Maganga
    Camera Department"
    Dadi Ali
    Omar (OJ)
    Nassor Shaibu
    Abdallah Juma
    Editors:
    Juma Maulid
    Dadi Ali
    Video Zingine:
    Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
    - Ali Kiba akiwa Oman
    • ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
    • NI KWELI ALI KIBA AMNU...

ความคิดเห็น • 39

  • @talibsaid8081
    @talibsaid8081 3 ปีที่แล้ว +5

    Lakini itakuwaje makhkama imzuwie mwenye mali kutembelea mali yake ?

  • @sfiniyussur4460
    @sfiniyussur4460 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana bi Naila. If this is the situation then you have every reason to fight for your sweat and blood. Inasikitisha.

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 3 ปีที่แล้ว +2

    Wahimdi Washenzi Sana hao sio watu wazuri kabisa

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 3 ปีที่แล้ว +1

    Mahakama za ccm hazitendi HAKI.

  • @jumamatao3628
    @jumamatao3628 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyo muahindi ni mshenz sana jeved

  • @MohamedAli-ds8uz
    @MohamedAli-ds8uz 3 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo ya serekali zetu za afrika inawapa sana nguvu wageni kuliko wenyeji

  • @mahmoudsuleimanmohamed4969
    @mahmoudsuleimanmohamed4969 ปีที่แล้ว

    Kesema kweli inauma mimi nakumbuka jinsi bi naila alivyohangaika na hii hoteli ni haki yake jamani mtu kulilia chake ni wajibu jikaze mahfouz usikubali ujinga huu uharibu kila kitu chenu.

  • @nadinahfurseth2019
    @nadinahfurseth2019 3 ปีที่แล้ว

    Javed anajulikana kwa utapeli lazma achukuliwe hatua

  • @fadhilaahmed6639
    @fadhilaahmed6639 3 ปีที่แล้ว

    Kawaida ya hapa kwetu haitochukiliwa hatua yoyote hapa tupo hapa hapa

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 3 ปีที่แล้ว +1

    Ni lazima washtakiwe wetoa rushwa kwenye mahakama ya ccm.

  • @shadyasaid3224
    @shadyasaid3224 3 ปีที่แล้ว

    Hii Hotel ilikua nzury Sana mimi holidays zangu zote nalala hapo Palm beach na wageni wengi wanafakia hapo,services zao nzury,chakula chao kizury+mazingira ya nje mpaka ndani room yalikua mazury now nimeona ivo nimesikitika sana😢😢Wamlipe pesa zake aitengeze tena hotel maana wamemtia hasara sana mwenyewe airudishe kama mwanzo bado wananchi wanaihitaji hii hotel na wageni pia kwa ajili ya mapumziko na family zao.

  • @kreamagdfsa1697
    @kreamagdfsa1697 3 ปีที่แล้ว +2

    Subiri utasikia mali ya serikali hio ndio ZANZIBAR

  • @yahyashaib5116
    @yahyashaib5116 3 ปีที่แล้ว +3

    Doo jamaa mshenzi sn

  • @omarimbarakamikidadi1314
    @omarimbarakamikidadi1314 3 ปีที่แล้ว

    Sheha Nakipa 💯

  • @zanzibarexcursions6087
    @zanzibarexcursions6087 3 ปีที่แล้ว +1

    Wote wajanja hao, wacha vyombo vya kisheria vifanye kazi zao

  • @eenpaard3915
    @eenpaard3915 3 ปีที่แล้ว

    Atiwe ndani

  • @felixntenyange4593
    @felixntenyange4593 3 ปีที่แล้ว

    Wamiliki wanajitahidi kuleta uzalendo ili kutupa sisi nafasi nakuacha watu wa nje halafu hatuthamini nia zao... Jamani tubadilike tuwasaport matajiri wanapo amua kutuinua

  • @kreamagdfsa1697
    @kreamagdfsa1697 3 ปีที่แล้ว +1

    Sasa hio hotel ni orra bungalow resort au club

  • @carolmuchiri9921
    @carolmuchiri9921 3 ปีที่แล้ว

    Mahakama gani hio ya Pesa nane inamrudishia Mwenye Hotel Halisi wakati imesha Haribiwa bila kulipiza Walio iteleka na Kuharibu Hoteli🤔😭😠😠

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 3 ปีที่แล้ว +2

    Wote matapel hawa dhulma nyng mwisho wake huo

  • @themoudy17
    @themoudy17 3 ปีที่แล้ว

    Sio kweli....hapo pana figisu...asiejuwa ukweli ataamini hayo maneno.

  • @yahyashaib5116
    @yahyashaib5116 3 ปีที่แล้ว +1

    Rushwa mbaya mpaka mtu mnammalizia maliyake

  • @kreamagdfsa1697
    @kreamagdfsa1697 3 ปีที่แล้ว +2

    Sijui ni HOTEL ya nyota ngapi

    • @fatemaligalawa1918
      @fatemaligalawa1918 3 ปีที่แล้ว

      Five😂😂😂

    • @kreamagdfsa1697
      @kreamagdfsa1697 3 ปีที่แล้ว +1

      @@fatemaligalawa1918 😄😄😄asante ila naona kama ya nyota 1

    • @jakayamati3510
      @jakayamati3510 3 ปีที่แล้ว

      @@kreamagdfsa1697 hahaha hta moja haifiki nahic ni bangaloo au mgawaha wa hazi ya juu

    • @kreamagdfsa1697
      @kreamagdfsa1697 3 ปีที่แล้ว

      @@jakayamati3510 Nilikua natania tu my dear hio sio restaurant bali ni bungalow

  • @ebrahimosman5477
    @ebrahimosman5477 3 ปีที่แล้ว

    🙏

  • @aleiali9676
    @aleiali9676 3 ปีที่แล้ว

    Bii Naila ana chukua pesa then anaiharibu hoteli

  • @osmanha6915
    @osmanha6915 3 ปีที่แล้ว

    Ogopa tapeli

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 3 ปีที่แล้ว +2

    Ushenz zanzibar imekua dili

  • @aleiali9676
    @aleiali9676 3 ปีที่แล้ว

    Bii naila nyumba huzieka majini zisikalike

  • @shanishamsi9576
    @shanishamsi9576 3 ปีที่แล้ว

    Hom sweety hom mmbwejuu halis

  • @youngteo4158
    @youngteo4158 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 3 ปีที่แล้ว

    HIIINIHUJUMAWASHTAKIWEHAO

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 3 ปีที่แล้ว

    Msiwache

  • @barrysulty1756
    @barrysulty1756 3 ปีที่แล้ว +2

    Punguzeni rushwa nyingi2