What im going through now my boss amechage allover sadden nilkua namtegmea kubadlisha maisha angu but kile unakipanga weww mungu amekupagia kizuri.hi nyimbo imenifunza nisiweze kutgmea mtu ila mungu tu thank u very much my brother educative song God bless u🙏🙏🙏
I've been depressed and hopeless until i came across this inpirering song,,my brother may God bless you for us who are going through alot and no one is understanding us even those who we trusted more😢😢😢❤❤❤❤
Dunia iko bize hainielew kwa kweli barikiwa sana kaka kwa wimbo mzuri umejitahid sana kweli mwanadamu hta umfurahishe kadri uwezavyo lkn mwanadamu ni mwanadamu tu
Ndio nimeusikia wimbo huu kwa mara ya kwanza❤❤ wimbo unaeleza yale watu wengi hupitia. Kaka Komando wimbo nzuri kazi nzuri Mungu aendelee kukubariki kwa kazi yako unavyoendelea kubariki watu wake❤❤❤❤❤❤❤❤
Watu wametoka tiktok pita na like❤
Huu wimbo umenigusa sana utafikili umeniimbia mm
Nikwel sijafanya wanasema nadanganya ,ukwel na uwongo naujua mwenyew kimbembe wakunianimi wanadam hawanielew brooo be blessed and GOD bless you ,💖💕💕💕💕
Huu wimbo unapa nyoyo nyingi sana matumaini,..barikiwa na mungu
Wakati wa mungu ukifika watanielewa❤️💞
Amen 🙏
Songa zaidi❤❤❤
Barikiwa saaana Mtumishi
God hears what is not spoken and understands what is not explained, for His love doesn't work in the lips or in the mind, but in the heart.🙏
Kweli unaemwegemea anaweza anguka
I have been listening to this song on repeat, wimbo mzuri sana barikiwa kaka🙏
I love it for sure congrates
Hongera kaka wimbo mzuri beat nzuri sana
Ahsante 🙏🙏🙏
Macho ya moyo
What im going through now my boss amechage allover sadden nilkua namtegmea kubadlisha maisha angu but kile unakipanga weww mungu amekupagia kizuri.hi nyimbo imenifunza nisiweze kutgmea mtu ila mungu tu thank u very much my brother educative song God bless u🙏🙏🙏
Am really blessed...
Haki nilimbebeleza mpenzi wangu hkube ndie niliaribu kabisa hakunielewa ahsante mungu msaada wangu watoka juu
Amen
Wimbo muzur sana kiukweli unabaliki Sana Kaka komando upewe mauwa yako Kaka🎄🎉
Mungu akubaliki sana kwelii hawaelewi
Amen
Binadamu hawanielewi kabisa,mungu anipe neema
Amen
huu wimbo nimzuri sana barikiwe mtumishi wa Mungu 👏👏🙏
❤❤❤❤ 🎉🎉 mungu akubaliki
Amen 🙏🙏
Mtani unajitaidi ila sio kawaida umeenda kwa kalumanzila kigoma😅 mm mtani wako muaya ila nakukubali sana. ❤
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mgaga wangu ni Yesu 💪
Barikiwa sanaaaa,songa mbele ,endelea kuwa komando haswaa
Amen
Tamu sana
Ahsante 🙏
I've been depressed and hopeless until i came across this inpirering song,,my brother may God bless you for us who are going through alot and no one is understanding us even those who we trusted more😢😢😢❤❤❤❤
God is near to the broken hearted Cate. He rescues those that are crushed in the spirit. Psalms 34:18
Dunia iko bize hainielew kwa kweli barikiwa sana kaka kwa wimbo mzuri umejitahid sana kweli mwanadamu hta umfurahishe kadri uwezavyo lkn mwanadamu ni mwanadamu tu
Ubarikiwe mtumishi wamungu kunauwepo wamungu ndani yako pia sauti yako inaupako
Nice song❤❤❤❤
Congratulations bro,I like dis song 3:38
Be blessed
Fell in love with this song 🙏🙏😭😭
Dunia hainielewi. . .
Unaetegemea anaweza anguka puuh ,iyo wimbo yanibariki sana
Hongera sana wimbo mzuri sana
❤❤❤
Nyimbo nzur,ujumbe mzuri anaetujua zaid yupo ju
Dunia iko bizie hawanielewi Mungu tu ndiye anayenielewa
❤❤❤nimeupenda ujumbe umekaa njema Kwa asilimia 💯
Ndio nimeusikia wimbo huu kwa mara ya kwanza❤❤ wimbo unaeleza yale watu wengi hupitia. Kaka Komando wimbo nzuri kazi nzuri Mungu aendelee kukubariki kwa kazi yako unavyoendelea kubariki watu wake❤❤❤❤❤❤❤❤
Hongera Sana kaka nimebalikiwa Sana na huu wimboe
Ahsante 🙏
Hii ni big up baba ni nzuri mnoo kupitiliza maana nikiiskia mpaka mizuka inapanda woow thanks a lot comando wa yesu
Barikiwa saana naipenda iii wimbo kwa saana 🔥❤️🙏
Ahsante 🙏🙏🙏
@@komandowayesu3642 your welcome bro
Nikweri mwanadamu hanamsada zaidi ya mungu
Unayemwegemea anaweza anguka puuu!! Mwanadamu ni mwanadamu tu,.
Wakumuamini ni Mungu tu.
Barikiwa sana kwawimbo mzuri
My daily anthem 😢😢❤❤dunia hainielewi mimi kabisa😊…God bless you brother for always ministering in your songs
Barikiwa sana 🙏
Kaka ngoma imekaa sawa utukufu kwa Jehova
Nyimbo nzuri sana hawatuelewi kabisaa...
Wanadamu hawanielewi,ananielewa Mungu tu, barikiwa sanaa
Good tone waaah Good music Mungu akulinde
Hey buddy....I will live to support you ❤❤❤
🙏🙏🙏
Hakika wimbo no mzuri mnoo
Anatuelewa zaidi anatujua zaidi.🙏🙏🙏
Amen 🙏
Hii nyimbo imenishika kuliko zile zote zina trend za kule tictok.congrats bro hii ni Moto.
Wimbo mzuri sana,barikiwa
Wimbo mzuri Sana ubarikiwe sana kaka
Sure
Ooh ooh nimebarikowa na huu wimbo
Msaada wetu unatoka juu ❤❤
Wimbo hauchoshi kuusikilza kwa kwel ❤
Wanadamu hawanielewi....Ni Mungu tu😪🙏
Nice song....imefanya nisahau stress niko listening since morng
Bwana Yesu Apewe Sifa..
Morali sana bro kwa nyembo kali sana
Hallelujah! Yesu nikubaliiiii🎶
I had this song for the first time today morning for sure God has a plan for us...this is what I just needed...
I love this😍❤️
More grace bro...kupitia nyimbo zako nabarikiwa sanaaa
Barikiwa sana mtumish
Kazi nzuri sn. Mungu azidi kukubariki
This song 😢😢 thank you
🙏🙏🙏🙏
Msaada wetu unatoka juu 🙏🙏
Kweli hawanielewi💪💪💪💪💪
Hakika Mungu ndio anatuelewa 🙏
Nakubali sana kaka 🤝🤝🤝
Hawanielewi Kwa kweli
❤❤🎉🎉🎉yako bro
Mzee wangu hii kazi
Nzur sana
Wimboo huu...unafunza kabisaa
Napendaaa
Its always in God's hand. Binadamu too much know ndivyo walivyo but silence is contempt.
The song weeeuh🔥🔥🔥🔥🔥🔥 good message
😭😭😭😭😭AAWANIELEWI YESU WANGU
Ameen wimbo mzuri unafariji moyo
Blessings kaka mungu akubariki sana😊
Barikiwa sana kijana kwa wimbo mzuri!!! Nimebarikiwa sana!
Good 🎉
I have listened to this song 1000 times....tells my story...God bless u!!!
Wimbo huu🔥🔥🔥🔥
💯💯💯💯
God...hawanielewi...this hits differently😢,blessings bro.
Wow, good message,be blessed minister of God
Nice song it is so powerful
So intresting❤❤like it ,,ever best to me..keep up!!
Nice song.much love from Kenya ❤️
Haleluyah
Very nice song be blessed .
My all time Best 💪🏻💪🏻💪🏻
Vain is the help of man My help comes from God.🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
🙏🙏🙏👍