JOEL LWAGA - USIPIGANE (Official 4K Video) SKIZA CODE 5960596

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 มี.ค. 2021
  • Another blessing “Hit” Song in his Continuation, JOEL LWAGA the Best East African male Gospel artist of the year 2019.
    USIPIGANE is the Song that simply means “The Battle is the Lord’s when you fight he goes to rest and when you rest He(God) goes fight..”
    Produced by; HARRY Gb
    Mixing and Mastering; Taz Goemi
    Video by: Director Yotham Lyobha
    #JoelLwaga​ #Usipigane​ #NgommaGospel
  • เพลง

ความคิดเห็น • 745

  • @debilindasalamaofficial1573
    @debilindasalamaofficial1573 3 ปีที่แล้ว +252

    Daaaaaa Joel hii nyimbo itaishi milele aiseeeee ,nipe like jaman hata buku tu

  • @jacquelinejosiah4936
    @jacquelinejosiah4936 3 ปีที่แล้ว +68

    nimeona niandike ushuhuda wangu hapa
    kama utauona jua kuwa wimbo wako umefanyika baraka na maajabu na namshukuru sana MUNGU kwa wimbo
    sitaandika yote ............ila kupitia huu wimbo mengi sana nayapitia na nauona mkono wa MUNGU ukitenda maajabu maishani mwangu. kiuhalisia naona nashindwa lakini cha kushangaza niskilizapo huu wimbo tu najawa na furaha na tabasam na mara nijapotabasamu tu....... tatizo linapata saluhisho bila kujua nimepataje
    kweli kama maandiko yasemavyo sura ya mathayo mt. huyu ni BWANA WA SABATO
    Asante sana JOEL ASANTE MNOOOOOOO👌👌👌👏

    • @janewanjiku8269
      @janewanjiku8269 3 ปีที่แล้ว

      Kkkkkkknkkkkkkkkk kk kkk

    • @sterahdaris37
      @sterahdaris37 3 ปีที่แล้ว +1

      Kaka kiukwel napenda San yaan unavo imba pia nataman San nam niwe ka wew jmn Yan nyimbo zako zipo Makin San mungu akupe miaka mingi maan umenitoa mbali kupia ujumbe wa nyimbo zako

  • @ministerbukuku
    @ministerbukuku 3 ปีที่แล้ว +39

    Brother 🔥 Libarikiwe tumbo lililo kubeba kwasababu unatubariki wengi sana 🙌

  • @shadyahmadshebwanashebwana5651
    @shadyahmadshebwanashebwana5651 2 ปีที่แล้ว +2

    Am a Muslim but I like this song.Usipigane.

  • @stelakiula917
    @stelakiula917 3 ปีที่แล้ว +12

    NAKUAMINI MUNGU WANGU IPO SIKU NITAVAA SHELA NA MWANAUME SAHIHI UTAKAYE NIPA

    • @witnessdikson4474
      @witnessdikson4474 3 ปีที่แล้ว +1

      Mwaka huu mungu hatutuacha lazima tuvae shela

    • @rosemanase9663
      @rosemanase9663 3 ปีที่แล้ว +1

      Hakika mwaka huu na sisi tutavaa shela. Ewe Mungu tunakuomba

    • @sarahmpwehuka210
      @sarahmpwehuka210 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwaimani yote yanawezekana daima tusichoke kimshirikisha mungu kila hatua

  • @nancysereti7462
    @nancysereti7462 ปีที่แล้ว +4

    Usipigane! Vita ni vya Bwana! Ukipigana anatulia ukitulia anapigana❤️. I needed to be reminded this.🙏 Iwe unaona au huoni yeye anapigana

  • @kingswebe3251
    @kingswebe3251 3 ปีที่แล้ว +23

    unayesoma ujumbe huu Mungu atatue tatizo lako leo

  • @wemapraise
    @wemapraise 3 ปีที่แล้ว +37

    Joel, I am sending this song to the hospital bed of my grandparents. Siogopi kamwe ripoti ya daktari, vita hivi ni vya Bwana. This one was for me and my family. Nimetulia Bwana, pigana mwenyewe ujuavyo. Faith charged!!!!!!

  • @agneskayange2804
    @agneskayange2804 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli vita ni ya Bwana!!! Bwana akapigane nao wanaopigana nami

  • @edwinamos9734
    @edwinamos9734 6 หลายเดือนก่อน +1

    Naipenda sana hii nyimbo kiukweli Tuzo yako ipo mbinguni brother. God bless you.

  • @desangekahindo6745
    @desangekahindo6745 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa saana tena sana 🙏🙏🙏nashukuru kwa ujumbe mzuri, na pokeya na piya nasema asante sana Papa Mungu akubariki piya aendeleye kuku tumiya zaidi 🙏🙏🙏🙏💪💪💪💪🥰🥰🥰🥰🥰🥰❤️♥️♥️🇧🇻

  • @nkurunzizakeys1460
    @nkurunzizakeys1460 3 ปีที่แล้ว

    Vita niya Bwana,kabisaa vita siyo vyetu hatamimi nimeona kwamba vita siyo vyangu bali nivya Bwana,amen ubalikiwe sana kwawimbo huyuu

  • @mamasmartcollection7063
    @mamasmartcollection7063 2 ปีที่แล้ว

    Hakika vita ni ya Bwana,Bwana YESU naomba nipiganie maana peke yangu siwezi ninakuomba EE, Bwana usimame unipiganie

  • @gellshamsimon3347
    @gellshamsimon3347 3 ปีที่แล้ว +12

    Waliokuwa na shauku na video Kama mm tujuane hapa ,Vita Ni ya Mungu hakika

  • @wanjikumumbua
    @wanjikumumbua 11 หลายเดือนก่อน

    Like Joshua stand camly until I give you victory,says the Lord

  • @nyutwaclassic
    @nyutwaclassic 3 ปีที่แล้ว +17

    1:25-1:40 Kweri Baba 👏👏 Pumziko, Tabasamu katikati ya mapito jumbe tamu na nziri like kama nawe umemwelewa hapo 👍👍

  • @mankatemba4746
    @mankatemba4746 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atupe kutokuogopa katika jina lake kuu takatifu

  • @leticiamfugale1034
    @leticiamfugale1034 3 ปีที่แล้ว +1

    Usipigane,,,,vita ni ya Bwana,, Hallelujah,,Barikiwa brother

  • @hannachamwiyega1630
    @hannachamwiyega1630 3 ปีที่แล้ว

    Usipigane,that music,sauti zimepangiliwa na maneno yenye uvuvio.Barikiwa sana kwa wimbo huu

  • @happynessemmanuel1711
    @happynessemmanuel1711 3 ปีที่แล้ว +1

    Hujawahi kunishosha, wimbo wa Faraja

  • @paulinajemson2719
    @paulinajemson2719 3 ปีที่แล้ว

    Wimbo una ujumbe wa matumaini Sana ,unaganga mioyo,,,VITA NI YA BWANA

  • @judithkatoto3316
    @judithkatoto3316 2 ปีที่แล้ว

    Wimbo huu km utamwamni mungu basi ww sio mtu mungu MN unagusa unaponya unakupa kuinuka tena na kusimama kwa kqsi kubwa asant joeli mungu akuweke.kwa injili tamu ya uimbaji

  • @alicemwanjali9422
    @alicemwanjali9422 3 ปีที่แล้ว

    Niko kwenye wakati mgumu sana,Na kuzishiwa habari za uzushi, wakati nipo kwenye matatizo,Vita ni Bwana na kisasi Ni juu ya Bwana ubarikiwe Kaka JOEL

  • @lorettanechesa3269
    @lorettanechesa3269 2 ปีที่แล้ว +7

    My boyfriend had wronged me and I wanted a revenge on him ,till when I found this song it calmed my soul.i feel healed from the toxic relationship that I was in and was heard healing ...thank heavens for passing through you .

  • @ruthinyange3569
    @ruthinyange3569 ปีที่แล้ว

    Kweli huu wimbo umenigusa sana nilivyo sikiliza kwa hisia Kali Joel kaka

  • @Omariantony
    @Omariantony 3 ปีที่แล้ว +15

    Once you learn the secret to trust God...you win the war. Great song Joel

  • @mamasmartcollection7063
    @mamasmartcollection7063 2 ปีที่แล้ว

    Hakika nimemuona Mungu akitenda mambo makuu kupitia wimbo wako wa sitabaki kama nilivo

  • @hafilejakison1374
    @hafilejakison1374 3 ปีที่แล้ว +1

    Namkubali sana huyu bro kwa kweli barikiwa

  • @happynessmathias4085
    @happynessmathias4085 3 ปีที่แล้ว +1

    Sifa na utukufu ni kwa Bwana wimbo mzr sana

  • @vailethsapi8286
    @vailethsapi8286 3 ปีที่แล้ว

    Usipigane hakika vita ni ya Bwana sisi tunapiganiwa na Bwana,it blessed

  • @user-nu1jn9pu1p
    @user-nu1jn9pu1p 7 หลายเดือนก่อน

    Kupitia wimbo Huu namwachia mungu ndoa yangu ataipigania.

  • @mikemsoka2794
    @mikemsoka2794 3 ปีที่แล้ว

    good sana mkuu joel kwel kabisa nimeipenda san hii nyimbo tunazid kukuombea saaaana mungu akuzidishieee siku nyingi za kuishiiiii

  • @neemamarco1742
    @neemamarco1742 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akuinue zaidi na zaidi na kukulinda mtumishi Joel, hi nyimbo sijui hata chakusema ni Yesu mwenyewe alikupa hu ujumbe utufikie

  • @divine_lady1741
    @divine_lady1741 3 ปีที่แล้ว

    Wimbo mzuri mzuri yaan Ni mzuri sanaa ujumbe wake unatoa Faraja kwenye maisha ya watu ubarikiwe @joel lwaga hakika "Usipigane Vita Ni ya Bwana" Hallelujah

  • @jossythebrand9070
    @jossythebrand9070 11 หลายเดือนก่อน

    My breakthrough song..... breakthrough from anger and revenge

  • @kelvinngamilaga4962
    @kelvinngamilaga4962 3 ปีที่แล้ว +17

    Kweli vita si Yetu ,Vita ni ya Bwana....Be Blessed Man of God 🙏.....🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @Baraka27
      @Baraka27 3 ปีที่แล้ว +2

      ndugu naomba support yako kwa kusubscribe chanel yangu (baraka ernest up coming gospel artist) chakufanya ni kuclick kiduara chenye picha yangu kisha utaona maandishi mekundu yameandikwa subscribe click tafadhari nakuomba sana mungu akubariki🙏🙏🙏

    • @upendomsigwa6064
      @upendomsigwa6064 2 ปีที่แล้ว

      @@Baraka27 nce

  • @lucyvalerian2324
    @lucyvalerian2324 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakika Roho Mtakatifu ana mbinu nyingi za kuongea na watu, kuna wakati tunatumia sana akili na nguvu zetu na tunaishia kufail vibaya, lkn tunapomwachia Mungu kuwa sasa fanya mwenyewe hakika tunamwona akitupigania! Joel bro, Mungu aendelee kukutumia nyimbo zako zina ujumbe umeshiba!

    • @happylengata8144
      @happylengata8144 3 ปีที่แล้ว +1

      Also I realy like this song It have taught me something thank you so much may GOD bless U. I think so every body will have to put like🖒🖒🖒

  • @sheysarahnjeno5207
    @sheysarahnjeno5207 ปีที่แล้ว

    Penda sana,kaka Joel. Endlea kutubariki kwa nyimbo zako nzuri. Ubalikiwe

  • @beatricethuo5878
    @beatricethuo5878 3 ปีที่แล้ว +26

    Beautiful 😍 🇰🇪🇰🇪🇰🇪. Its good to see you young people on fire for Jesus and with such depth.
    Vita ni ya Bwana... Representing Africa

  • @happinessmtitu4485
    @happinessmtitu4485 3 ปีที่แล้ว

    Ameen, vita ni ya Bwana, asante Yesu nakuachia wewe unipiganie baba angu

  • @maombijames3716
    @maombijames3716 3 ปีที่แล้ว

    Wimbo mzur nauna ujumbe pia, sema hicho kipande ulichovaa kidunia kimetibua mtumishi

  • @getrudemallya5850
    @getrudemallya5850 3 ปีที่แล้ว

    Nimekosa maneno sahihi ya kuandika lkn acha niseme God is faithful
    Tunashukuru Mungu kwaajili yako

  • @RichardKakai
    @RichardKakai 4 หลายเดือนก่อน

    Ni Wimbo Mzuri, hakika una Ujumbe mzuri.

  • @MamaBearShila
    @MamaBearShila 2 ปีที่แล้ว +2

    ukipigana anatulia..ukitulia anapigana...that line encourages me to be patient in the Lord...Amen.

  • @user-nu1jn9pu1p
    @user-nu1jn9pu1p 9 หลายเดือนก่อน

    Kupigia wimbo huu .namwachia mungu ndoa yangu ataipigania.

  • @naomimachapula6084
    @naomimachapula6084 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen,hatimaye chakula kimefika kwa walaji.ubarikiwe sana.

  • @LauraPosh247
    @LauraPosh247 3 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU akubariki Joel Lwaga.

  • @milambojunior7772
    @milambojunior7772 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kwahatua uliyofikia Mtumishi kazizako nakufatilia sana unafanya vizur sana Mungu Akubariki

  • @anithakaijage9078
    @anithakaijage9078 3 ปีที่แล้ว +7

    I like you so much Joel.You sing The Word itself na that what the gospel is all about, the good news of Christ Jesus.Huduma Yako hata mipaka ya inchi hii haitaweza izuia, you will go places you never even thought of for the God we serve can do beyond that which we can think or pray...Wewe n watofauti Son of Zion

  • @jamesbahari7779
    @jamesbahari7779 3 ปีที่แล้ว +5

    Nmebarikiwa nimehudumiwa nimepokeaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🏾🙏🏾🙏🏾 The battle is not minee

  • @laurajohnson5106
    @laurajohnson5106 3 ปีที่แล้ว +2

    I pray that God will fight my battle for me ,I have received bad news from my teacher that I have failed the exams and I feel so sad and low and my only trust is in God ,I pray that God will do miracles for me 🙏

  • @aimboramwasha5946
    @aimboramwasha5946 3 ปีที่แล้ว

    Nimejikuta uchovu unatoka wenyewe..........wimbo umenigusa UBARIKIWE KAKA

  • @linetwangeci7236
    @linetwangeci7236 ปีที่แล้ว +2

    Even in my storms ...I know God one day I'll come and testify

  • @user-wf7tm8qg5g
    @user-wf7tm8qg5g 8 หลายเดือนก่อน

    Joel nyimbo hii kabisa Inanibariki sana!!! Mungu akubariki ❤❤❤

  • @lydiajulius9208
    @lydiajulius9208 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana kaka Joel, hakika huwa nabarikiwa sana na nyimbo zako.

  • @ezrayavan7686
    @ezrayavan7686 3 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukuinua, huduma yako ni kubwa sana kaka Joel; unapo takiwa kuwa bado haujapafika ila soon utapafikiatu. utakuwa pale Mungu alipo kuandalia na alipo kukusudia kwa ajili ya kazi yake;Amen

  • @chamblainreuben7431
    @chamblainreuben7431 2 ปีที่แล้ว

    Kwa kwel nyimbo zako zinanitoa sehemu mj na kunipeleka sehemu nyingine mda mwingine nakuwa na uchungu mkubwa san ndani lkb nkskia nyimbo zak najikut nainuka tena nasimama tena jina la YESU limidiwe milele na milele

  • @joelmulimbiOfficiel3089
    @joelmulimbiOfficiel3089 ปีที่แล้ว

    Mungu ni baba yetu, asante kwa wimbo mitumishi wa mungu Joël mulimbi

  • @owenmwamkinga5504
    @owenmwamkinga5504 3 ปีที่แล้ว +5

    Hii ngoma ni balaa imenibariki sana

  • @eliezermuchiri
    @eliezermuchiri 2 ปีที่แล้ว +8

    Philippians 3: 18 For as I have often told you before, and now say again even with tears: Many live as enemies of the cross of Christ. 19 Their end is destruction, their god is their belly, and their glory is in their shame. Their minds are set on earthly things (Berean Study Bible)
    This is a deliverance song: The kingdom and nature of our God is of peace. He is a warrior that fights to make peace. Much honour Joel Lwaga.

  • @marymwambamba6653
    @marymwambamba6653 3 ปีที่แล้ว

    MUNGU akubariki nyimbo zako zinanibariki sana MUNGU akuongoze daima

  • @d.m453
    @d.m453 3 ปีที่แล้ว +7

    Wewe ni kiboko,daaah!!!
    Nimeshindwa hata nicomment nini,naona MB zangu zinaishia kwenye huu wimbo tu khaaa!!!!

  • @salomemweri2253
    @salomemweri2253 3 ปีที่แล้ว

    Hakika Mungu si dhalimu....ukitulia anapigana. ahsante nimebarikiwa mnoo

  • @emmanuelnkalandula2157
    @emmanuelnkalandula2157 2 ปีที่แล้ว

    Barikiw sana kaka joel mungu akubarik kwa wimbo mzur.
    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @elisherhando
    @elisherhando 3 ปีที่แล้ว

    Nyimbo moja tamu sana,kubwa kuliko inaponya na kuburudisha

  • @user-nk4ei7lt2r
    @user-nk4ei7lt2r 2 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo hii imenifunza Mambo mengi sana kaka❤❤

  • @CarolyneBrightOfficial
    @CarolyneBrightOfficial 3 ปีที่แล้ว +2

    Vita ni ya Bwana. Tukitulia Anapigana🇰🇪🇰🇪🔥🔥

  • @edwardndaro8930
    @edwardndaro8930 3 ปีที่แล้ว

    Ukweli halisi uliosahaulika, Vita ni ya Bwana na si yetu. Good Message...

  • @marthajuma2840
    @marthajuma2840 3 ปีที่แล้ว

    Wow hapo Kwa kutotazama Uhalisia ni mm na ambia, najua ananipigania

  • @josephginawe8083
    @josephginawe8083 3 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa na wimbo huu mtumishi mung azidiii kukuwekaa juu zaidii

  • @wordsofhopewestpalzab4875
    @wordsofhopewestpalzab4875 2 ปีที่แล้ว

    Awesome Wani Bariki sana Case yangu naelewa si kwamba ni ya Mungu. Bariki mtumishi wa Mungu From Emirates

  • @khadijasaid5461
    @khadijasaid5461 ปีที่แล้ว

    Kuna yale ya wewe kufanya na kuna yale ya MUNGU kufanya asante MUNGU

  • @janethkiatu2856
    @janethkiatu2856 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana huu wimbo umenikumbusha vita nazopigana sio zangu

  • @obedigeorge7986
    @obedigeorge7986 3 ปีที่แล้ว +1

    Duuuh kweli ucpigane nao

  • @christerrodgers6519
    @christerrodgers6519 3 ปีที่แล้ว

    Utuwekeee namba angalau tutoe sadaka ya shukrani umenigusa joel

  • @ellyminja5707
    @ellyminja5707 3 ปีที่แล้ว +65

    The message in this song break me most. I will fight on my knees with my hands lifted high the battle belongs to you Lord. May this song brings peace,hope and Joy to someone in needs of God grace , Love and forgiveness.👐👐😭

  • @happymkini5701
    @happymkini5701 2 ปีที่แล้ว +1

    Kuna Yale mi natakiwa kufany, alfu kunayare ambayo yesu anatakiwa kumuachia dah🙏🙏nimebarikiwa Sana na huu wimbo siogopi na sitopigan MUNGU wa mbinguni azidi kukubarki kaka

  • @paulinafivawo2253
    @paulinafivawo2253 2 หลายเดือนก่อน

    Amen and praise for the lord Jesus bless you all

  • @juliethlobulu3615
    @juliethlobulu3615 3 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukuinua kwakweli hakuna aja ya kupigana mwenyewe barikiwa sana

  • @kevinmakau6183
    @kevinmakau6183 2 ปีที่แล้ว

    Waefeso 6:12
    Maana vita vyetu si vita kati yetu na binadamu, bali ni vita dhidi ya jeshi ovu la ulimwengu wa roho; tunapigana na watawala, wakuu na wenye nguvu, wanaomiliki ulimwengu huu wa giza.

  • @odiliamathias5424
    @odiliamathias5424 ปีที่แล้ว

    Nyimbo zako zinanitii nguvu na kunifanyia mpya Kila siku 🙏🙏🙏🪑🍉😘

  • @user-qo8qy8zv1f
    @user-qo8qy8zv1f หลายเดือนก่อน

    MUNGU alikupatia huu wimbo ili utujengee ujasili na kutuvusha,binafsi nimeulewa na souchoki

  • @oscarmwakalukwa8972
    @oscarmwakalukwa8972 3 ปีที่แล้ว

    Usipigane, ukitulia snapigana kwa kwelii,,Mungu akubariki mtumishii

  • @marylee4216
    @marylee4216 3 ปีที่แล้ว

    Maana wamisri hao unaowaona leo hutawaona tenaaaa. HALLELUYAH

  • @swahiliandculture6599
    @swahiliandculture6599 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakika vita ni ya Bwana... hatuwezi kubaki kama Tulivyooo... ❤

  • @visionmusickenya
    @visionmusickenya 3 ปีที่แล้ว +2

    Huu wimbo ni wabaraka kwangu....kila nikiuskiza nahisi kubarikiwa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @justinemrope9394
    @justinemrope9394 3 ปีที่แล้ว +11

    YESU BWANA WA SABATO...My vains gain new strength after listen this Anointed Song

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 3 ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzuri sana napokea baraka kupitia wimbo huu

  • @anastaziaemily4708
    @anastaziaemily4708 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda mtumish!
    Lkn jifunze vzr hbr za 7to

  • @sheilaadhiambo2503
    @sheilaadhiambo2503 2 ปีที่แล้ว +1

    Vita ni yako bwana❤️

  • @jonasmalima9143
    @jonasmalima9143 ปีที่แล้ว

    Joel we ni fundi kwa hili goma hatar sana

  • @stellapeter3034
    @stellapeter3034 3 ปีที่แล้ว

    Sita pigana vita ni ya Bwana nabarikiwa🙋🏼‍♀🙋🏼‍♀

  • @hyasintaveraeli9028
    @hyasintaveraeli9028 3 ปีที่แล้ว +3

    Who is enjoying the Love of God oooohh..God bless you Joel

  • @claudsinger6326
    @claudsinger6326 3 ปีที่แล้ว

    Nifanye Nini ili niweze kukutan nawew brother Joel Naitaj Nikushirikish katik Nyimbo zangu!! 😭😭😭

  • @jayzeem14
    @jayzeem14 3 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri sana Joel na mahubiri ya kutosha ubarikiwe kwa kutubariki!

  • @christopherSimbiye9966
    @christopherSimbiye9966 3 ปีที่แล้ว +1

    Wow wow wow message has been taken sir

  • @mosesmurioki9576
    @mosesmurioki9576 3 ปีที่แล้ว

    Nashukuru kaka yangu Mungu abariki kipawa hicho be blessed bro

  • @miriammolley3107
    @miriammolley3107 2 ปีที่แล้ว

    Asante bwana kwa kunipigania vita ni vyako woowoooo daaa emenigusa sana

  • @evelinelema4563
    @evelinelema4563 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki Joel kwa kweli tukitulia na kumkabidhi yeye atapigana

  • @Nenolauzima9
    @Nenolauzima9 3 ปีที่แล้ว +23

    "vita ni ya bwana"- Joel Lwaga. well said brother