Nimesikiza huu wimbo hata nikatokwa na machozi,nakumbuka nikianza kuimba injili,karibu niingizwe kwa kanisa la kuabudu ndio ati muziki wangu uchezwe radio,Aki komando umefanya nalia sana,nashukuru Mungu na anafanya naimba sai nafika viwango vingine
I love this song the message is deep, msaada wa mwanadamu huna mwisho wake msaada wa Mungu hauna mwisho kamwe...inafaa kungojea baraka zetu Hadi itakapotimia.Barikiwa
I'm leaving this comment here so after a month or a year when someone likes it I remember this song what a blessing song be blessed my brother❤️❤️ Baraka zangu zinatoka juu🙏🙏,, hata zichelewe nitazipata tu SINA UENDE🙏
Awww.....from TikTok and I had to come listen if Giza na mwezi hazipatani is out.... you're really blessed man of God...keep winning keep serving ....neema zaidi
Ni kweli dunia Ina Siri, Wala tusiyatamani mafanikio ya watu ambao hatujui asili ya mafanikio yao, ni Bora kumngoja Mungu kwa wakati wake atatubariki tu, barikiwa Sana Kaka yangu
Tukutane hapa jumamosi hii saa 9 jioni. Naamini huu wimbo utakubariki sana sana sana 🙏
🔥🔥🔥🔥
Amena
Nakubali saana mtumishii,,
Barikiwa Saana kaka yetuu,
MUNGU AKUPE NEEMA zaidii...Sina uende on 🔥🔥
@@eliasmosses8121 Amen 🙏🙏🙏
Hatazichelewe nitasubiri tu.hawaruki pamoja ndege wasiofanana,sina uende.MUNGU ataniinua.ubarikiwe
Amen 🙏
SINA UENDE.
Kidogo changu. kuliko kikubwa ambacho akitoki kwa Mungu. Naamini mimi na wewe Mungu wetu atatuinua bila makando kando 😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏
Sure
@@annstaciambithi6841 🙏🙏🙏
Yes, I believe 🙏
@@marthamic7218 Amen 🙏🙏🙏
Nafikiria hii mistar inamuhusu nan aliyekuja kwako maana ninavyohis atakuwa msanii mwenzako Tena wa injili SAS Nan ??
Twende kazi sasa 🇹🇿🇰🇪🇨🇩🇱🇷....
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷 together big 👏
Hongera sana wimbo unaujumbe mzuri MUNGU akubaliki mtumishi
Amen 🙏🙏🙏
Nimesikiza huu wimbo hata nikatokwa na machozi,nakumbuka nikianza kuimba injili,karibu niingizwe kwa kanisa la kuabudu ndio ati muziki wangu uchezwe radio,Aki komando umefanya nalia sana,nashukuru Mungu na anafanya naimba sai nafika viwango vingine
Amen 🙏🙏🙏
True
@@komandowayesu3642gyu87😢
😊
Amen
Rewatching brother, naomba collaboration
Mda mwing maskio yangu yanakusikilizaa sanaaaa kakaaa
Ahsante sana 🙏🙏🙏
Nimeupenda huu wimbo umenibariki na kunifungua kiimani hakika mwenyezi mungu anaweza tuombe sana .
Amen 🙏🙏🙏
AyayayA kawaimbo ni kakari "Imana ishime
😀😀😀🙏🙏🙏
Waiting on God is not easy, but His promise are worth waiting. Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tufike million views soon.
Amen 🙏🙏🙏
Uy@@komandowayesu3642oitin more.d tttttttttttctttttttttttttttttttttttttttrt
Amen mungu akubariki sana usiache Mambo yko ykaenda
Sanaaaa bro unajua mpaka wanaojua wanakujua
😂😂😂🙏🙏🙏
I love this song the message is deep, msaada wa mwanadamu huna mwisho wake msaada wa Mungu hauna mwisho kamwe...inafaa kungojea baraka zetu Hadi itakapotimia.Barikiwa
Amen 🙏🙏🙏
hawaruki pamoja ndege wasiofanana ,, teh, teh, teh, teh.... #Sina uende# 🔥 type AMEN.
🙏🙏
Barikiwa mtumishi kazi nzuri
Ahsante 🙏
Kaka yangu mungu anatenda
Amen 🙏
Let's reach 1million views Aki,this man is a vibe🥰🥰🇰🇪🇰🇪
😀😀🙏🙏🙏🙏
You have done well Komando we like your songs
@@julianejepkoros3037 🙏🙏🙏
Barikiwa sana kaka
Amen 🙏
I'm leaving this comment here so after a month or a year when someone likes it I remember this song what a blessing song be blessed my brother❤️❤️
Baraka zangu zinatoka juu🙏🙏,, hata zichelewe nitazipata tu
SINA UENDE🙏
Amen 🙏🙏🙏
@@komandowayesu3642 be blessed🙏🙏
Pokea Baraka tele tele Komando Wa Yesu Mungu azidi kuku tumia Mtumishi
Amen 🙏
Amina Sana komando wa Yesu.Kwakweli sina waende TU.Acha waendelee kuloga Ili wapate fame ila sisi tutamtegemea Mungu TU 🙏🙏🏾🙏🙏🏾💪💪💪💪.
Amen pastor 🙏
Barikiwa sanaa mtumishi wa Mungu. Namwamini MUNGU tu
Amen 🙏
Hongera Ndugu yangu Mungu kakupa zawadi ya kuimba na wewe unaitendea haki kweli kweli, Nakubali unacho kifanya Ujawai kosea baba🔥🔥👏👏👏
Ahsante sana ndugu yangu 🙏🙏🙏
Mungu azidi kukuinua
Amen 🙏
Kwa kweli huu wimbo umeanza kunijenga already.wacha mungu abaki kuitwa mungu en be blessed broh komando,milele ubarikiwe na mungu🙏
Amen 🙏🙏🙏
Much love from 🇰🇪 🇰🇪
@@caroc6047 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️
Hallelujah hallelujah wimbo nzuri sana
Ahsante 🙏🙏🙏
Hallelujah kaka,nimebarikiwa sana na wimbo huu,na pia Nashukuru mungu kwa kipawa hiki
Amen 🙏
Namwamini Mungu tena namwamini sana❤❤❤
Waiting... ninajua wimbo huu itakua wa baraka tele 🙏
Amen 🙏🙏🙏
Amen🙏🙏🙏 huu wimbo naomba unirudishe qwenye huduma qw jna LA yesu
Love your songs.. Keep soaring.
Love from Nigeria 🇳🇬
🙏🙏🙏
HONGERA SANA MTUMISHI WA MUNGU KOMANDO WA YESU.KWA WIMBO MZURII HAKIKA #SINA UENDEE BONGE LA WIMBO MUNGU AZIDI KUKUTUMIA KAKA
Ahsante 🙏🙏🙏
I can't get enough of this song nimeusikia Leo for the first time in milele fm May God bless you abundantly and expand your territories mtumishi
Fans wa Milele FM wa'Like 👍wakipita🔥
Injili kama hii hufukuza mapepo kabisa. Hata shetani huogopa sana noma. Mungu bariki huyu komando wa yesu.
Amen 🙏🙏🙏 a
Awww.....from TikTok and I had to come listen if Giza na mwezi hazipatani is out.... you're really blessed man of God...keep winning keep serving ....neema zaidi
🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️
The song is exceptional, well articulated, nice nice.
i love it!❤❤❤
Umetisha sana Mungu awe nawe mdogo wangu
Ahsante sana 🙏🙏
Haleluya wimbo mzuri sana sina uendeee
Amen 🙏
Ni Mungu tu kweli,ngiza na Nuru haziwezi patana...Mungu tu atatufanikisha tunaomtegemea...ya dunia Yana mwisho!!!! Baraka Kaka Komando
Amen 🙏🙏🙏
AMEN
Dunia kweli imebadilika sana...wachache tuliobaki kwa njia hii ya nuru tujitie nguvu sana...ata mimi ni mungu tu...
Amen 🙏🙏
Uplifting,more love from Kenya🇰🇪
🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@@komandowayesu3642 Imana ishimwe Chane nimefulahia sana nanikebalikiwa nahuu wimbo sina waende
@@esternkiulikiye1162 Amen 🙏🙏🙏
Ni kweli dunia Ina Siri, Wala tusiyatamani mafanikio ya watu ambao hatujui asili ya mafanikio yao, ni Bora kumngoja Mungu kwa wakati wake atatubariki tu, barikiwa Sana Kaka yangu
Amen 🙏🙏🙏
You never disappoint ,you are indeed God's soldier
🙏🙏🙏
Nakukubali sana mtumishi
Ahsante 🙏🙏🙏
Ok keep it up
Such a blessing song, May God increase you
Amen 🙏🙏🙏
Kazi nzuri saana
Ahsante sana 🙏🙏🙏
Hii ndo maana ya sanaa! Vina vimepangiliwa kwa weledi mkubwa! Hongera sana Komando! Am blessed 🙏
Amen Amen Amen 🙏
Ubarikiwe mtumishi jihadhari wasikuingize Freemason
😀😀😀🙏🙏🙏
Amen. Baraka zangu hata zichelewe nitasubiri tu.
Thank you for such a powerful message. God bless you
🙏
Amen 🙏🙏🙏
Yaani najaribu kusema niache kuisikiliza hii nyimbo najikun naimba tu sina uende
Narudia na kurudia wara sichoki
😂😂😂
Ni Mungu tu..
Sibanduki..
God and I forever ❤️📌
Good music 💯✅
Amen 🙏
Bila Yesu usijisumbue ati mambo yako yaende...
Wow wow, I will wait for my blessings, even though it'll probably come late! I will wait..cause I believe in God...very deep message...
😂😂😂🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana kk. nazipenda sana nyimbo zako sanaaaaaa sababu zinaniingizaga kwenye uwepo wa Bwana unastaili mauwa yako ubarikiwe sana 🙌🙌👌👌👌🙏🙏
Siku moja tutafanya kazi pamoja
Ahsante sana
Kaka kazi nzur sana barikiwa
Ahsante 🙏🙏🙏
Nimebarikiwa sana. Mungu akubariki sana tena sana
Ahsante 🙏
Una jumbe kali sanaaa sanass
God is with you I see him through your songs ,God bless you sir
Amen 🙏
God's tyme the best true as long as you have faith
Amen
Sina Mimi la kufanya, Sina Uende!! Wimbo mzuri sana, Mungu azidi kukuinua Komando!!!💯💯💯💯
Amen 🙏🙏🙏
Ooh my God Laiti watu wangeelewa zaidi huu wimbo... Kaka Mungu akupandiahe zaidi kwa kweli Sina uende.. Aisee
Amen Amen kaka 🙏
Amazing song. Powerful voice and message. Very informative is our current generation where everything is instant.
🙏🙏🙏
Barikiwa mtumishi wa Mungu ujumbe mzuri sana
Ahsante 🙏
Mungu help my sons to be just like you...loving all your songs🙏🙏🙏
🙏🙏🙏🙏
balikiwa sana mtumishi wa Mungu hakika wewe ni balaka kwa wa tanzania
I can't get enough of this song
🙏🙏🙏🙏
Dah😊hii nyimbo it's one of the greatest song nimeshawahi sikiza wenye kujaa hisia
Amen 🙏
Barikiwa sana bro,huu wimbo unanitia nguvu sana,kila asubui lazima niusikize na jioni,,be blessed brother God give you strength 🙏🙏🙏🙏🙏
🙏🙏🙏🙏
Kweli tupewe macho tuone
th-cam.com/video/jsa5wT1eB4Y/w-d-xo.html
Mwanangu umeimba wimbo mzuri kutukumbusha kwamba mafanikio hapo kwa Mungu tu ubarikiwe
Amen 🙏🙏🙏
The love I have for this gospel artist is unmeasurable much love komando from Kenya
🙏🙏🙏🙏
Amina Kwa wimbo wenye ujumbe mzuri mungu akumbariki
Amen 🙏🙏
I think I just heard him say "Imana ishimwe" in my language😄 which means "Praise God"
🤣🙏🙏🙏🙏
Ishimwe chane
Am a Muslim na nimebarikiwa na haka kawimbo
Wahooooooo 🥰🥰🥰. Nimefurahi sana 🙏🙏🙏
Falling in love with this song. On repeat mode. You're blessed sir.
🙏🙏🙏🙏
Komando wa yesu kutoka moyoni unaugusaga moyowangu sana mungu akufanya wamataifayote MTU wa Mungu
🙏🙏
I was in the same situation last week but 😭 but God is still on the throne 👋
🥲🥲🙏🙏
Imana ishimwe kamanda, nahitaji tuongee bwana we
😃🙏
Beautiful message. On Christ Jesus I shall wait.
🙏🙏🙏
Umefufua imani yangu...yani nilikua nimefika mwisho walai..barikiwa komando...
Amen Amen Amen 🙏
I'm so blessed by your songs asante sana kaka...kuna vile maisha yangu yamebadilika juu ya kuskiza nyimbo zako🙏
Ahsante sana 🙏🙏
Mungu akubarikii
@@janetylutego2896 Amen 🙏
The guy in the video acted in Devils Kingdom. Steven Kanumba.
Hallelujah! Trust me, this one will be on my repeat playlist! Love love love this song! Asante sana from Florida, USA!!!!
Amen
Ahsante sana 🙏
Kazi nzuri poti barikiwa sana hadi ushangae
Amen
Can't get enough of this song huwa naiskiza kuanzia asubuhi hadi jioni I love it so much 😍❤♥🙏🙏🙏🙏🙏
😀😀😀🙏🙏🙏. Ahsante sana
@@komandowayesu3642 you Welcome 😊🙏
I will stay still and wait upoun the lord no pressure na magari ya watu na masuti ambayo sijui wameyapata aje
😀😀😀😂😂😂🙏🙏
MB zangu zinaishia kwenye wimbo huu kila siku...
Be blessed my dear brother!!!
😀😀😀😀😂😂🙏🙏🙏🙏
Ndio na charge inaishia 😃😃😃😃
Sina uende
Msaada wa mwanadamu una mwisho ujue!!!
@@modeemojombo5662 Amen
Hakika Mungu nimkuu zaidi balaka zetu zipo kwa Mungu tumwamini kazi zuli sana
Ahsante 🙏🙏
Wonderful, there's no need to compromise when the one who has our back is consistent and ever so loving .
🙏🙏🙏
Wonderful song
@@gracekim3685 🙏🙏🙏
Siri ni yesu tu,touching song aki,halelluhya
Amen 🙏
Powerful message Man of God. Glory to the almighty one
Kazi nzuri Mungu aendelee kukufanya wa viwango vya juu
Amen
Sina uende ...wimbo mzuri sanaaaaaa🙏🙏❤️❤️
Ahsante 🙏🙏🙏
waoo,Hallelujah, wimbo mzuri
Ahsante 🙏
I love this song ❤️. Am on repeat mode.🇰🇪🇰🇪
🙏🙏🙏🙏🇰🇪
Mungu azidi kukuinua uzidi kulitangaza jina la Mungu
Amen 🙏🙏🙏
Amazing song God may he expand your territory 🙏
🙏🙏🙏
Amina barikiwa San mtumish wamung kwa hudum kwa nyimbo zako shetan Han nafasi ten
Amen 🙏🙏🙏
Very inspiring, educating and spiritual..... God bless you brother,, big ups from.. Bungoma Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🙏🙏🙏🙏🇰🇪
Dunia Ina Siri Dunia hii jamani dah lakini yupo Mungu anayeinua na msaada wake ni wa milele utambue barikiwa kaka I honestly needed this
Ahsante sana 🙏🙏🙏