This song this song this song😭😭😭I even don't know if i should explain or.....the day yenye song ilitoka is the same day that my mum just grand mum bt she was like my mum died😭😭,,,,,hapo kwa wanadamu usimpe asilimia mia it true😭😭i was depending on my uncle in everything to pay my campus school fees,rent en just everything bt hisia zake ziligeuka akanyamaza hivyo,,,,,for real this song was perfectly meant for me 😢😢
Barikiwa saana komando, binadamu ni vinyonga, wakati WA furaha watafurahi saana lakini wanakusema mabayaa, sio wote Wanao kuambia pole wanakufariji, ilihalii ni furaha Yao, Bali muumba ndiye komando mkuu🙏🙏
Ukweli kabisaaa, msahada wetu ni kwa Mungu, mwanadamu anaweza anguka. He has done me well, I really trust in Him for any support. I don't trust human beings but God. ❤❤❤. Blessings, in Jesus Name. 🇺🇸 🇺🇸 🇰🇪🇰🇪.
I was depending on my husband of 23 years in USA , Nc . One day in august 0f 2023 it was over. I have since moved on only by the Grace of God . “ unayemtegemea or kuegemea anaweza kuanguaka puu”
This song this song this song😭😭😭I even don't know if i should explain or.....the day yenye song ilitoka is the same day that my mum just grand mum bt she was like my mum died😭😭,,,,,hapo kwa wanadamu usimpe asilimia mia it true😭😭i was depending on my uncle in everything to pay my campus school fees,rent en just everything bt hisia zake ziligeuka akanyamaza hivyo,,,,,for real this song was perfectly meant for me 😢😢
😢
Karibuni sana ubarikiwe na huu wimbo 🙏🙏🙏
Nakukubali sana bro thanks maze nice song
Ase hii ni balaa moja ya ngoma . Zidi kuinuliwa kaka. Shabiki wako kutoka kaunti ya kilifi Kenya
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Hakika pokea baraka nyingi
Jamani amkeni amkeni Komandoo la Yesu limetinga tena mjini mikono salama ni ya Yesu tu. Mungu azidi kuipa kibali Huduma yako
NI MUNGU TU❤ AKUNA MWENGINE ❤ NI MUNGU 2❤
Amina mtumishi 🙏 endelea hivyo hivyo usikate tamaa kilicho unacho fanya 😭😭😭😭😭🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen
❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I have 100 reasons why i replay this song time in time out. Its really a true song. Very true.
This song slaps differently,, keep it up mtumishi wa mungu🙏🙏🙏🙏
Barikiwa saana komando, binadamu ni vinyonga, wakati WA furaha watafurahi saana lakini wanakusema mabayaa, sio wote Wanao kuambia pole wanakufariji, ilihalii ni furaha Yao, Bali muumba ndiye komando mkuu🙏🙏
Binadamu ni binadamu tu lakini mungu ndo wa kuokoa kila wakati asante sana wimbo tamu sana
I’m just obsessed with Tanzania people . Intelligent & kind people❤❤❤
Kaka kaka kaka nimekuita mara 3 naongeza kaka
Nibariki ilo vazi la suti 🙏🙏🙏
Mungu akubariki wimbo mzuri
Ahhh niliemtegemea aliangushaa buuu but my God keep me up
Ubarikiwe sana kaka unanibariki kila siku Niki sikiliza nyimbo zako napata faraja sana
Ukweli kabisaaa, msahada wetu ni kwa Mungu, mwanadamu anaweza anguka. He has done me well, I really trust in Him for any support. I don't trust human beings but God. ❤❤❤. Blessings, in Jesus Name. 🇺🇸 🇺🇸 🇰🇪🇰🇪.
Mbarikiwa bro,hiyo imehenda, good song ♥️👏
Ubarikiwe sana mtumishi nyimbo zako zimeniinua kiimani ubarikiwe sanaa🙌🙏
Mungu akubariki Ndugu.
Huo wimbo machozi ya mwisho unanibariki shukrani Ndugu
TUMELIZWA NA HAWA TULIOWAEGEMEA
ASANTE SANA KUNIAMINI NA KUNIPA NAFASI KAKA
😢😢message home... powerful song
❤lovely this song ❤ touch my heart ,God bless you bro 🎉
Kwakweli mwanadamu ni mwanadamu tuu Msaada wangu watoka juu wakumuamini ni Mungu tuu☝️☝️🙌🙏🙏🙏🙏 barikiwa sana ndungu
Nice song,,keep it up broo
Kazi nzuri sana balikiwa sana mtumishi
For really its touching be blessed komando much love from poland🤗
Kaka unajua sana nyimbo zako zinanifundisha sana
such a blessing. Tanzania God favored you with music. just on repeat mode.
Mwanadamu ni mwanadamu tu.....wakumwamini ni Mungu tu🙏🙏
Anatamani kufanya kazi na wewe uko vizuri
Mungu ni mwema
I've replayed This song so many times be blessed @komandowayesu kazi nzuri 🔥💯💯💯🔥🔥🔥 cc presenter Kai
Amen mtumishi, endelea hivyo hivyo usikate tamaa your song uplifting my soul broh congrats, yesterday was boom wrm nice perfomance👏👏
Wimbo tamu Sana inabariki Sana 👏🎉
AMEN,,, but,,,support ST Family(nharrd)
Ubarikiwe sana nyimbo zako huwa zinanifariji wakati wa shida
Here courtesy of Presenter Kai
Msaada wetu unatoka juu❤❤❤❤
Usichoke bro❤
Hakika unayemwegemea anaweza anguka,Ni vyema kumwamini MUNGU tu
Yani wimbo umenigusa sana Mungu akubariki sana mtumishi
Amein kaka na barikiwa naamini na mimi imani yangu itakuwa kupitia wewe
Kazi safi Sana tusaidiane kushare Tu kila sehemu
Mtumishi umesema ukweli umenipa nguvu mapya tena yakuendelea
Mikononi mwangu ni salama. Hayo mavazi yako yako sawa kabisa yana pendeza
Kaka kazi nzuri
Hakika hi rimsi ya hawanielewi imekaa vizur sana kaka
Unatisasha kijana mungu akuinue zaid nazaid🙏🙏🙏
Ujai nangusha
Wimbo una ujumbe mzuri
Sauti nzuri pia🙌
I was depending on my husband of 23 years in USA , Nc . One day in august 0f 2023 it was over. I have since moved on only by the Grace of God . “ unayemtegemea or kuegemea anaweza kuanguaka puu”
May God give you strength and may He give you solace. Irregardless of who's on the wrong
😢😢😢😢😢😢😢. I feel like i will never recover. I loved my husband soo much more than my life but he just didnt know 😢😢😢😢😢
Keep it on there is a reward for you
Woow Amen kazi nzuri Sana baraka
Amen 🙏🙏🙏
Big up man of God Kazi nzuri sana. One day one time tutakuja toa moja nawe barikiwa sana
Ameen mtumishi wa mungu
my beloved artist, Amen. God bless you abundantly
woooow my Jesus bless you and your work mmmwaaàa
My colleague at primary school mbeya tanzania 🇹🇿
Nikweli kaka yangu
Amina Amina Mtumishi nyimbo ya viwango video ya viwango 🔥🔥🔥🔥🔥
Ahsante 🙏
The simplicity in such a powerful song, loving the words. Beats are on point too! Barikiwa sana brother ❤
Good video🎉🎉🎉
Nimeipenda sana ❤❤
Wimbo mzuri mnoooo🙏🙏🙏🙏🙏
Ameeen, Nyimbo zako zinanibariki sana utafika mbali zaidi ya hapa, Mama B from Majohe Gomz.
Mungu mwema
That's for sure,,, only God can be trusted ❤❤❤
Bro🔥🙌🎉
Bonge la wimbo, barikiwa sana
Amina mtumishi
Mtumishi you're the best
Acha Mungu akuzidishie .....
Amen
Mungu asaidie huu wimbo ufike 2m... it's a song encouragement
Noma sana 🎉🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
❤❤❤❤ God bless you 🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana Guy wa Yesu🙏
Wimbo mzuri sana🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Much appreciated brother, I'm from Uganda but wherever l listen your songs, Will never loose hope ❤❤❤❤
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪 kazi nzuri mutumishi keep up
Nice song. Much ❤ ❤. From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Congratulations bro
God bless u
Amina,kweli kabisa mtumishi🎉🎉
I love youre songs Kommando
Kazi nzuri mtumishi ubarikiwe zaidi
Mungu asifiwe 🇨🇩
Kaka ukopow kinoma mungu akubariki
Ahsante 🙏
Right song right time... #feeling stressed now. Ubarikiwe for the message... Let me believe in God i know he has good plans for me
Presenter Kai videos brought me here. Have been wondering which song it is bt finally have found it❤
Barkiwa
Keep up the good don’t giveup
Mikono ya yesu n salama akikumbatia jua uko salamaa❤❤❤❤
Amen
No matter,I've commented or not, but let me say "Be blessed man of God!!"coz your messages are so touching.The right message for the right time!!
Sure. God bless you
Ubarikiwesana
Kazi nzuri hii
❤❤❤I love these unayemwegemea anaweza anguka puuuuh
Nice one brother 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nakubali sana komando wa wa yesu kristo.hakika tusimwegemee mwanadamu ni mwanadamu tu.
Sauti aki umenyima huu wimbo baze aki 😢😢sauti aki woooi
Good song
Ubarikiwe mtumishi
God bless you
Ubarikiwe sana kwahiyi mwimbo 🎉🎉🙏🙏
Amen