moyo wangu (Official Video) komando wa Yesu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 เม.ย. 2023
  • #MOYOWANGU#255679772248#komando
  • เพลง

ความคิดเห็น • 563

  • @komandowayesu3642
    @komandowayesu3642  ปีที่แล้ว +102

    Hello. jiandae kubarikiwa na wimbo huu. sina shaka. naamini. utabarikiwa. MOYO WANGU

    • @joselynempawenimana6019
      @joselynempawenimana6019 ปีที่แล้ว

      Mutumish mtumishi🎉🎉🇧🇮

    • @angelphay2573
      @angelphay2573 ปีที่แล้ว +1

      Wangu unapasuka jameni...Dear God listen to my cry oh Lord

    • @angelphay2573
      @angelphay2573 ปีที่แล้ว

      Wangu unapasuka jameni...Dear God listen to my cry oh Lord

    • @gracejaphet1022
      @gracejaphet1022 ปีที่แล้ว

      🎉

    • @frankfrancis6965
      @frankfrancis6965 ปีที่แล้ว

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @damianmwombeki2595
    @damianmwombeki2595 ปีที่แล้ว +17

    Kiukweli Moyo umebeba maumivu ambayo hata machozi na vilio vyetu havitoshi kuyaelezea...ponhezi kwako kaka wimbo umenibariki💪💪🥰🥰🥰

  • @ivonesisa5271
    @ivonesisa5271 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kama kuna wimbo napenda ni huu wimbo god bless you man of god

  • @godfreymatikoo
    @godfreymatikoo ปีที่แล้ว +10

    Ameen leta huo mbaraka mtumishi wa Mungu tunausubilia kwa hamu saana,, wanaongoja kubarikiwaa weka like hapa

  • @AnnaBosco-xx6pq
    @AnnaBosco-xx6pq 3 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤❤mungu akutie nguvu katika uduma hii kwani nabarikiwa sana na nyimbo zako.

  • @AndreaHamisi-fg9bt
    @AndreaHamisi-fg9bt 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kuanzia leo mimi ni shabiki ako mkubwa 💥💥

  • @queendeeofficial9810
    @queendeeofficial9810 ปีที่แล้ว +9

    Amina ndugu Kwa hakika haja Ya Moyo Ni kusifu Kwa kweli , hauwezi jua mioyo Ya watu wangapi ulioinua kupitia wimbo Huu umetubariki zaidi

  • @esthermutii8905
    @esthermutii8905 9 หลายเดือนก่อน +1

    Be blessed nyimbo zako zinabariki Tena tuna download

  • @saumukahindi3795
    @saumukahindi3795 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi muislamu nyimbo za uyu kama zanishawishi ❤❤❤

  • @user-kx2ql5vl1x
    @user-kx2ql5vl1x 11 หลายเดือนก่อน +2

    Nyimbo nzuri sana inafariji moyo wangu sana,

  • @janeroseKhaoya
    @janeroseKhaoya 6 หลายเดือนก่อน +2

    Pongezi kwa wazazi walio kuleta Dunia hii. Wimbo unanifariji

  • @SHUJAAWAIMANIHYLINEBAKE
    @SHUJAAWAIMANIHYLINEBAKE ปีที่แล้ว +5

    Moyo wangu Una mambo mengi 😭😭💔🙏 mungu tu 🧎🏼‍♀️🔐💃barikiwa Sana nyimbo zuri Sana 🔥👏🙏🙏

  • @norbertsungu3922
    @norbertsungu3922 5 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana congratulation brother umeimba vema Kama waimbaji tuna kazi ya kuitangaza Injili watu wapone wamjue vema Mungu 🙏

  • @ASPIREDAVID
    @ASPIREDAVID ปีที่แล้ว +6

    Yani mm hapa kutoka Kenya nausubiri kwa hali na mali...🎉🎉yani naamini kuwa mungu amekuinua kwa ajili ya watu Kama sisi...sirondoki hapa mpaka wimbo uachiliwe❤

  • @BornyLee-wu4yb
    @BornyLee-wu4yb ปีที่แล้ว +2

    Sijawai guswa kama nilivyo guswa na huu wimbo, pongezi Sana commando

  • @uwizeyimanasara
    @uwizeyimanasara ปีที่แล้ว +1

    Kabsa. Nyimbo nzuri❤❤❤❤🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @SelvineLumumba
    @SelvineLumumba ปีที่แล้ว +4

    😭😭😭😭so touching,Bora kulitaja Jina la Mungu wakati WA machozi😭😭 Jehovah interven in my life 🙏

  • @TheeBrandy045
    @TheeBrandy045 ปีที่แล้ว +7

    Wimbo huu umekuja kwa wakati mwafaka kwangu ,wakati napitia mengi pia kufikiria mengi ,heri nikuabudu ww mungu ya dunia ni mengi

  • @emaculatemusyoka2824
    @emaculatemusyoka2824 9 หลายเดือนก่อน +1

    My everytime song naipenda na inanitia nguvu...barikiwa sana

  • @Josephinechaimwanzije-it6qu
    @Josephinechaimwanzije-it6qu 8 หลายเดือนก่อน +1

    Your to good bro haki unanibariki na nyimbo zako

  • @Dramackjr
    @Dramackjr ปีที่แล้ว +3

    Good job

  • @stellahndakwa4980
    @stellahndakwa4980 10 หลายเดือนก่อน +1

    Aky moyo ubeba mengi ubarikiwa sana from kenya

  • @coolbenzofficial8508
    @coolbenzofficial8508 หลายเดือนก่อน +1

    Waoo! my role model in gospel industry big up Komando.

  • @user-hm1dj2em1l
    @user-hm1dj2em1l 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo bora sana ..unabariki na unaguza moyo..Barikiwa ndugu

  • @benjaminngaah8364
    @benjaminngaah8364 ปีที่แล้ว +1

    Amen wapi likes zangu 😅kama mtu wa kumi on the comment section

  • @danymahona7855
    @danymahona7855 ปีที่แล้ว +3

    KAZI IKO VIZURI SANA SANAAAAA, NA YENYE U QUALITY MKUBWA SANA YANI IKO POWA KABISA NIMEBARIKIWA HAKIKA KAKAA. NAMINI KUTIA HII WATABARIKIWA WENGI SANA KAKAA..MOYO WANGU

  • @ObadiaKadege-rz9wq
    @ObadiaKadege-rz9wq 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ameniii good song nipo kigoma nimependa Sana

  • @patrickkessy5374
    @patrickkessy5374 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo unabarik sana nakutia moyo mungu azid kkutumia kaka

    • @redemtashirima733
      @redemtashirima733 ปีที่แล้ว

      MUNGU azidi kukutumia zaidi, wimbo umenibariki na kunifariji,barikiwa Mtumishi wa MUNGU Komando

    • @komandowayesu3642
      @komandowayesu3642  ปีที่แล้ว

      Amen

  • @frankfrancis6965
    @frankfrancis6965 ปีที่แล้ว +3

    Barikiwasana mtumishi,,KAZI njema!!!🎉

  • @PapaTheKingmusicTv
    @PapaTheKingmusicTv ปีที่แล้ว +6

    Wimbo mzuri umejaa na ujumbe

  • @rebeccamaunde4085
    @rebeccamaunde4085 ปีที่แล้ว +4

    Kweli kabisa moyo una mengi sana ila mungu ndie anajuwa yote..much love from Arabs countries

  • @jacklinemmari2167
    @jacklinemmari2167 ปีที่แล้ว +2

    Amen
    Nmebarikiwa sana MUNGU akuinue viwango vingine

  • @peterjuma6703
    @peterjuma6703 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hallelujah Mungu akupeleke mbali ktk mataifa

  • @kewashone3437
    @kewashone3437 ปีที่แล้ว +7

    I believe that Easter will not pass with this song🙏🏿

  • @noellangat-nt7hs
    @noellangat-nt7hs 11 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa .yesu akitie nguvu zaidi na zaidi

  • @lilianmathayo7638
    @lilianmathayo7638 9 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana nyimbo nzuri sana hii

  • @godwingodwin2564
    @godwingodwin2564 ปีที่แล้ว +2

    Ukweli nyimbo nzuriiiii atareeee✨🎁

  • @faithkola5058
    @faithkola5058 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa Sana na Keep 😮 it up kutuliza mioyo iliyio vunjwa na mengi Mola azidikukuonekania😅

  • @dorismkoma4228
    @dorismkoma4228 11 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana kaka Mimi kwangu nyimbo zako ni mahubiri naaombi tosha.Mungu azidi kukuinua viwango vya juu zaidi

  • @raphaelnyagah6256
    @raphaelnyagah6256 ปีที่แล้ว +6

    Wimbo mzuri sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @PeterkenyaOfficial
    @PeterkenyaOfficial ปีที่แล้ว +4

    Brother 🎉🎉From +254✅💯 You're a blessing to me

  • @sebonikegobi6244
    @sebonikegobi6244 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera mtumishi wa Mungu kwa wimbo mzuri nimebarikia mno

  • @wambuiirene
    @wambuiirene 4 หลายเดือนก่อน +1

    Very nice song🎉🎉🎉🎉nipitie pia🙏

  • @elviraawinja4340
    @elviraawinja4340 7 หลายเดือนก่อน +1

    Baraka Teleee kaka ,Mungu akuinua viwango Hadi viwango 🙏🙏🙏🙏

  • @JudithKhavayi
    @JudithKhavayi ปีที่แล้ว +2

    God grace U more am blessed U have sing my heart

  • @bloodofjesus7542
    @bloodofjesus7542 ปีที่แล้ว +1

    Pia vituo vya habari Kila mkoa yaan ishi kwa kutawala nchi sio kwa kusubir neema ya Mungu ma'an tumepew tutawale tumiliki

  • @hoseajohn8197
    @hoseajohn8197 ปีที่แล้ว +5

    Mtumishi hongera sana kwa wimbo mzur sana

  • @kewashone3437
    @kewashone3437 ปีที่แล้ว +4

    Tuna husubiri kwahamu🔥

  • @RoseNdanu-yv2uc
    @RoseNdanu-yv2uc หลายเดือนก่อน +1

    Wow..nice song I like it

  • @mapachawayesu
    @mapachawayesu ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa saana Mkuu tunabarikiwa saana wewe

  • @michealrimui3931
    @michealrimui3931 ปีที่แล้ว +4

    Wale wa TikTok hii ndio tent 🎉🎉another great one @komando wa Yesu

  • @agnesayaako115
    @agnesayaako115 ปีที่แล้ว +3

    Watching after Easter Sunday from Nairobi Kenya,,cool music

  • @GloriaNdelisho
    @GloriaNdelisho 7 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢😢Moyo wangu unapitia mazito acha tu nikusifu Mungu hata kwenye haya mapito

    • @GloriaNdelisho
      @GloriaNdelisho 7 หลายเดือนก่อน

      dharau kejeli masengenyo yote namshukuru Mungu

    • @GloriaNdelisho
      @GloriaNdelisho 7 หลายเดือนก่อน

      Nijalie moyo wa kukusifu kukuabudu Mungu wangu neema yako isiondoke kwangu

    • @komandowayesu3642
      @komandowayesu3642  7 หลายเดือนก่อน

      Amen

  • @lucypaulo9238
    @lucypaulo9238 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @kassebo
    @kassebo ปีที่แล้ว +1

    Ahsante Sana. Mtumishi mwenzangu kwa wimbo mzuri Sana,

  • @janechaungu9573
    @janechaungu9573 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu kwa ujumbe nami nasubiri haja ya moyo wangu

  • @user-zu3xq6ee6t
    @user-zu3xq6ee6t 3 หลายเดือนก่อน

    My heart is heavily burdened by pains and sorrow ,, heartbreaks,,,at my age,, let me lean to God😢😢

  • @jumachango
    @jumachango ปีที่แล้ว +3

    Wow !! Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu

  • @kesheninaftal
    @kesheninaftal ปีที่แล้ว +5

    Hii ni haja ya moyo !!! MUNGU akubariki mtumishi

  • @mercysamuel294
    @mercysamuel294 ปีที่แล้ว +1

    Nibora TU nimsifu mungu nakumuimbia nmebarikiwa San 🙏🙏

  • @gershomchallo
    @gershomchallo ปีที่แล้ว +4

    Kaka big up....May God lift you on high

  • @jonathanmwakai2821
    @jonathanmwakai2821 ปีที่แล้ว +2

    Komando mungu akubariki sana

  • @samsonkihombo8817
    @samsonkihombo8817 ปีที่แล้ว +1

    Jumbe kubwa sana hasa kama ushapitia mambo magum yakukatisha tamaaa hii nyimbo nilazima ikutoe chozi mwenyewe nishamwaga choz lakutosha wakati nausikiliza ujumbe huuu 🙌🙌🙌🙌

    • @komandowayesu3642
      @komandowayesu3642  ปีที่แล้ว +1

      Pole sana. Mungu akuinue zaidi. pamoja na yote Mungu ndio kila kitu

    • @samsonkihombo8817
      @samsonkihombo8817 ปีที่แล้ว

      @@komandowayesu3642 kabisa kaka Mungu atabaki kuwa Mungu

  • @irenemukami5735
    @irenemukami5735 ปีที่แล้ว +1

    Bora kksifu wewe Mungu,Barikiwa mtumishi

  • @peninahnishimwe9797
    @peninahnishimwe9797 ปีที่แล้ว +1

    Moyo wangu umebeba mingi umeumizwa na mengi😢😢😢😢respect bro comando wa yesu barikiwe sanaaa

  • @user-eq1tm7ic8u
    @user-eq1tm7ic8u 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikwa sana kaka yangu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @perisnelima
    @perisnelima ปีที่แล้ว +3

    Nimeparikiwa sana God bless you 🙏💐

  • @maureendama1395
    @maureendama1395 ปีที่แล้ว +2

    Amen, wimbo nzuri 🙏

  • @beritainjete6027
    @beritainjete6027 ปีที่แล้ว +2

    Nimebarikwa na huu wimo Amen

  • @bloodofjesus7542
    @bloodofjesus7542 ปีที่แล้ว +1

    Fanya promotion Kila mkoa omba kwenye matamasha tofautitofauti mfano fiesta , Yale ya wasafi ,mzik mnene ilikuongez fane bas sababu nasem hivyo kunarafik yangu hajaokoka ila nyimbo zako anazipenda sana

  • @Chrisviva-ki5pu
    @Chrisviva-ki5pu ปีที่แล้ว +9

    nyimbo hii ime nipa moyo sana mungu akubariki sana 🙏🙏🙏

  • @eaglebwoy9228
    @eaglebwoy9228 6 หลายเดือนก่อน +1

    I like every thing in this song

  • @carolinanduku573
    @carolinanduku573 ปีที่แล้ว +1

    Wow, singing from inside your heart kaka Mungu akubariki sana

  • @furahakikoti8053
    @furahakikoti8053 ปีที่แล้ว +4

    Wimbo mzuri,sana unabariki moyo 🙏🙏🙏🙏

  • @jeniphachabili
    @jeniphachabili 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mzur sana🙏🙏🙏

  • @ObadiaKadege-rz9wq
    @ObadiaKadege-rz9wq 8 หลายเดือนก่อน +1

    Komando kalibu kigomaaaa aise

  • @jardinemwasi8123
    @jardinemwasi8123 ปีที่แล้ว +3

    Wimbo huu umebariki moyo wangu sana,kutoka kenya. Natamani na ni ombi langu pia kama huu wimbo ungeuimba na Mardam Martha. Barikiwa sana.

  • @user-sj6uh8un4n
    @user-sj6uh8un4n ปีที่แล้ว +1

    Amen god bless u komando kwa kazi nzuri unayofanya

  • @Mwl_Lupimo_
    @Mwl_Lupimo_ ปีที่แล้ว +2

    Naisubiri iachiwe

  • @sakinalianna1785
    @sakinalianna1785 2 หลายเดือนก่อน

    I don't know why when i listen your songs I'm feeling so blessed mashida zangu zinaishia hapa be blessed my brother 🙏

  • @ziggymavera6295
    @ziggymavera6295 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu nikumbuke

  • @Crazyrich-hi5fb4oz7u
    @Crazyrich-hi5fb4oz7u 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo wako umenibariki sana😢

  • @lenita4547
    @lenita4547 ปีที่แล้ว +3

    hii wimbo imeniguza sana kwa kweli aja ya moyo wetu nimungu ajuaye, barikiwa sana man of God 🙌🙌🙏🙏🌹🌹

  • @cotney7625
    @cotney7625 4 หลายเดือนก่อน +1

    Very powerful 💪 this song touches

  • @bintikiziwi.
    @bintikiziwi. หลายเดือนก่อน

    Let me just cry I don't have otherwise 😭😭😭😭😭😭😭

  • @mary-cm5je
    @mary-cm5je ปีที่แล้ว +5

    Ameen kwa mungu ubarikiwe sana 🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ezekielmapesa8811
    @ezekielmapesa8811 ปีที่แล้ว +3

    Thanks bro for your encouragement 😭😭 machozi ya furaha yananibubujika🙏🙏🙏

  • @christinerobby7276
    @christinerobby7276 ปีที่แล้ว +3

    Good bless you servant

  • @rosejoachim
    @rosejoachim ปีที่แล้ว +1

    Nimeipenda sana mtumshi mungu akubariki

  • @tutindagabahati
    @tutindagabahati ปีที่แล้ว +1

    🤲🤲ee Mungu bora nikusifu wewe tu

  • @mariamdumi9584
    @mariamdumi9584 ปีที่แล้ว +3

    Ameen ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU, wimbo huu umekuja wakati mwafaka kwangu maana daah

  • @ibrahimuimaniofficial
    @ibrahimuimaniofficial ปีที่แล้ว +1

    Aisee mda mrefu siko hewani ndani ya TH-cam Leo nimeingia nakuta na kazi hii ,aisee brother Asante kwa kazi hii #Ibrahimuimani#Nashukuru

  • @saudashabani1560
    @saudashabani1560 5 หลายเดือนก่อน +1

    hallelujah hallelujah hallelujah Jehovah

  • @Loriet-vl1mf
    @Loriet-vl1mf ปีที่แล้ว +1

    Let me the one getting that blessing what is happening to me only God knows

  • @sirgcomedian4499
    @sirgcomedian4499 ปีที่แล้ว +4

    Ubarikiwe mno Man of God...Komando wa Yesu, ufike mbali🙏🙏🙏 Endelea kumshika Huyu Mungu aliye hai.Wimbo umenibariki sana.

  • @irenembise541
    @irenembise541 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kukuinua viwango hadi viwango

  • @mirriamdelight
    @mirriamdelight 9 หลายเดือนก่อน +1

    Love your songs

  • @phassi10tz30
    @phassi10tz30 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri sana barkiwa bro

  • @sharonachieng8723
    @sharonachieng8723 ปีที่แล้ว +10

    Very powerful
    I just want to worship forever

  • @alyciahnyambu318
    @alyciahnyambu318 ปีที่แล้ว +16

    One of those musicians that i believe they understood Gods assignment very well....good song be blessed