Ufunuo Choir - Maisha Yangu (Live Performance )
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 1 พ.ย. 2023
- Stream And Download Ufunuo Choir Audios on all Platforms
Boomplay:www.boomplay.com/albums/80176...
Audiomack:audiomack.com/ufunuo-choir/al...
Sportify:open.spotify.com/album/4MLJ2e...
Deezer:deezer.page.link/zfpqMWGgsVrf...
Amazon Music:amazon.com/music/player/album...
For Booking Contact Ufunuo Choir
Phone:+255684479638
Email: ufunuoc@gmail.com
Catch up with Ufunuo Choir on Social Media
Instagram: / ufunuo_gospel_choir
Tiktok:www.tiktok.com/@ufunuo_gospel...
Boomplay:www.boomplay.com/albums/80176278?from=search&srModel=COPYLINK&srList=WEB
Audiomack:audiomack.com/ufunuo-choir/album/maisha-yangu
Sportify:open.spotify.com/album/4MLJ2eCUzfcrmwjSuLHfwd?si=AtXHMPTiTy28ZuivD-WEWw
Nabarikiwa sana
Q
Kama umemkubali mzungu Kam mm gonga like Aki Ako na sauti mzuriii sanaa
Kwa wimbo huu Mungu amponye mume wangu,
Amen
Amen Naiwe hivyo Mungu atamponya kwa Imani🙏🙏
Tulioangalia hii nyimbo zaidi ya mala 10 tujuane❤
Kuna siku nimeirudia mpaka mb zikaisha😅
Yangu ni kila siku
Vyote nilovyonavyo ni Mungu amenibariki hata kuishi kwangu nineema ya Mungu Sina chakujisifu Ila ni Mungu tu ❤❤
nimependa sauti ya mzungu jamani anaimba sanaa japo wote wanaimba mungu awabariki
Ukitaka kushuhudia ufundi wa melody, pitch na umahiri wa soloists, basi kwaya hii ni moja ya kwaya zenye umahiri huu kwa viwango vya juu. Ni neema ya Mungu tu na wala si kwa uwezo wenu. Mungu aendelee kuwapa maono walimu wa kwaya hii. Tunabarikiwa sana na huduma yenu❤❤🎉🎉,, mzungu amenikosha sana kwenye ku-solo,, kumbe ana kipaji pia cha solo mbali na style. Mungu ni mwema sana❤❤
Amen 🙏
Bila shaka kwaya iko viwango vya kipekee
@simon....uko sahihi
Bila shaka ni Alois huyu maana ni Miaka sijamuona.
tuko pa1
Kupitia wimbo huu mdogo wangu atoke gerezani na dadaangu apokee uponyaji wa kansa pale ocean rod
Bwana akutendeee
Amina
Na ikawe kama ulivyoomba. Amen
Amen Amen
Amen
If you listened with tears in your eyes 😢😢let's gather here and clap for Jesus +254 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Kila nikiamka nasali na kwaya hii kweli mungu awatuze na awape maisha marefu katka uimbaji wanaokoa watu katka ulimwengu huu
Mzungu mungu amempa kila kitu style anakosha sauti anakosha ❤
I love how he does it. ❤❤
Well said❤❤
Yaan anaomba kwa hisia. Mungu amuinue Zaid🙏🙏
Hatari, amebarikiwa🤣
Ningetamani watakapo kuwa kwenye maandalizi ya kutowa wimbo nyingine wanihusishe na mimi niweke wangu muchango
Kupitia wimbo huu naomba Mungu awaponye wagonjwa wote popote walipo Kwani bila Mungu hatuwezi Kwa lolote!hata madaktar na manes Mungu awatumie kama vyombo vya uponyaji na Kila haja za mioyo yetu Mungu akatujibu vile aonavyo Mungu wetu 🙏
Hakika,Mungu amewatumia kutukumbusha kuwa tulivyo ni yeye amefanya.❤❤🎉
Ufunuo choir is a Sleeping Giant 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙏🏿👌🏽Mungu ana watu wake , na Tanzania 🇹🇿 tumebarikiwa kua miongoni mwa watu hao . …PIGENI KAZI WAPENDWA TAJI ZENU ZITANG’AA NYOTA MBINGUNI
Tanzania mna choir nzuri sana mbarikiwe jamani
Hii choir kila mtu ni powerful soloist. Hatari sana❤
Sure
This year has been a big one for me. God has been so faithful to me. I went through the worst periods in my life between August and December 2022. I got broken 💔 emotionally, physically and financially while in Kenya 🇰🇪. I trusted God and had faith in him to get me through it all. A year later, he was faithful enough. Wiped me all the tears and paid it all. Now in my third month in the UK 🇬🇧, I can only listen to it, look back and thank God. He's truly an amazing God. All Glory to Almighty God.
Hallelujah
Powerful testimony God bless you
Nimewapenda bure watumishi wa jehova, mungu wa mbinguni awakumbuke
asante sana Mungu wetu maana ni mwema sn kwetu,unatutendea yaliyo mema mengi hata sisi tusiostahili,asante sn Ufunuo kwa kutukumbusha ukuu wa Mungu wetu tukiwa hapa duniani
MAOMBI YANGU KWA BWANA juu ya kwaya Hii. Ni kwamba Roho mtakatifu awape kushuka na kunyenyekea, Awape utulivu ndani yenu na kukubali yeye awe SUPER STAR adui yetu Ibilisi anajua moja kati ya kitu kinachomchukiza Mungu sana ni kiburi na kukosa unyenyekevu.
NINA AMINI MATAIFA YANABARIKIWA NANYI. Bakini chini wapendwa YESU atukuke zaidi kati yenu.
NAWAPENDA UFUNUO CHOIR
Amin MUNGU wambinguni awabalik katika maishaa yenu sku zotee ameee Amin🙏🙏🌹🌹💐💐💞💞💞
Nina Mimi Cha kujisifu Nina nini Mimi Cha kujivuna
Mungu amefanya Kwa mapenzi yake
Mzungu yupo vinzuri sana mungu akutunze
Neema ya Mungu imenifukaa.... Mimi Sina chakudaii mbele za Mungu wangu
Hii kwaya imenikosha moyo wangu jamni mbarikiwe san san ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sure Manara wa hiii kwaya huwa unanifurahisha sana Mungu aendelee kukuinua
Deus emmanueli 🤚🙏Mungu akuinue katika viwango vingine kifra na maarifa zaid
Ni nanini Mimi hakika wewe ni Mungu😢😢
Mungu Baba Mwenyezi Awape Amani na Furaha katika maisha yenu. Amina
Manjosi yanatoka tu nilo Nalini mimi naomba msamaha mungu nihurumie barikiwa wapendwa sana
Mimi sina cha kujivuna wala cha kujidai mbele za MUNGU wangu,mbarikiwe sana kwa maono haya ya wimbo
Nawapenda sana na Mungu awazidisie baraka zake najifunza vitu vng kwenu
AMEN AMEN WATUMISHI WA KRISTO. HAKIKA NI KWELI. MMBARIKIWE SANA SANA. MPO WAPI JAMANI
Nasikiliza wimbo huu ikiwa siku ya birthday yangu, nawashukuru kwa kunipa wimbo wa kumsifu Mungu kwa kipindi hiki, Maisha yangu yote ni Mungu tu
The mzungu guy has everything to praise God
My all time favourite my brother mzungu🙏 my celeb I can watch ur vedios over n over again his dancing moves acha tu , yaani husifu kwa roho kabisaa na ukweli
Definitely....he sings so well &dances so well too❤...blessings upon him
@@FLOH9876 amen 🙏🙏 he is a blessing to many
Ñawapenda mnoo Mungu wa mbinguni awaepushe na Kila mabaya hakika Sina Cha kujisifu
Wow 😲😲 MUNGU AZIDI KUWAINUA NIKISIKILIZA NYIMBO ZENU NAHISI KUINULIWA❤❤
Wimbo huu umenifunza kunyenyekea kweli mimi ni bure bila Mungu... sina hata cha kujisifu😢..
Huwa mnanibariki sana nyie watumishi wa Mungu jumbe zenu huwa zinaugusa sana moyo wangu😢
Kwaya bora kabisa yenye nguvu za Mungu ndani ya nyimbo zakey
The melody, words,dance moves,uniform everything on point . Glory to God
Maisha yangu ni Mungu ametenda ,sina cha kujivunia ,Glory to God ,wimbo unanibariki sana,mbarikiwe waimbaji wa kwaya ya ufunuo
Ufunuo mungu awainue zaidi na zaidi nyimbo zenu zinanibariki ktk viwango vikubwa Sana
😭😭😭😭😭😭😭🙌🙌🙌🙌🙌 sina chakujisifu...
Ahsante Sana Baba,
Ahsante Sana Mungu mwema,
Ahsante Messiah,
Ahsante
Ahsante
M-mbarikiwe mnoo....❤❤❤❤
Mubarikiwe sana wainbaji kwa winbo mzuri kabisa ina tu tiya kabisa nguvu na ku tu elekezeya mbele za mungu na kujuwa kumuchukuru Mungu Wetu kwa kila jambo
Amaizing song.... glory to God. God bless Tanzania for such a wonderful revival
Kweli sinachakujivunia whatever I have God has given me I wonna say thank you Lord. Great job n great inspiration God bless you
Ri livhuwamudzimu nga this choir God bless you
MUNGU asiwapite nanyi pia kwa kweli mimi ni nani ni MU NGU ametenda.
❤ vrmt napenda sana mubarikiwe sana batoto ya mungu aksanti
Amen, nabarikiwa san na kwaya hii Mungu azidi kuwainua.
Nawapenda buree watu Hawa
Mungu aendelee kuwainua ninyi na huduma yenu
Kazi mnayoifanya kwa kweli inabariki wengi nikiwa mmoja wapo katika taifa la kenya,nawaombea mudumu katika hisia hiyo na kuzidi,salamu za pekee zimwendee mzungu
Ni nanini mimi cha kujisifu, nina nini mimi cha kujivuna🙏🙏🙌👐❤❤
Sina chochote baba Cha kujisifu😢
Mzungu 🎉🎉🎉 amazing amefanya wonderful mungu anaendele kuwapa nguvu na kwaya mzima Kwa ujumla❤
Yaani wananibariki saaana Mungu awe pamoja nao
Silali bila kusikiliza huu wimbo huu Sina cha kujivuna wa Cha kujisifu ila no mungu anatenda 8:15
Mungu ni mwema kwa wakati wote,asante kwa wimbo🙏
👍👏♥️ Mungu aikuze huduma utukufu kwa Mungu nyimbo inabariki inaelezea wema wake kwetu yatupasa tumshukuru Mungu Kwa yote anayotutendea.
Namshukuru Sana MUNGU kwa ujumbe ulio ndan ya wimbo huu nimevuka
Vyote Mungu ndiye amenipa,, nice song
I can't control my machozi 😭😭😭😭I'm so humbled...... I feel every word from God in this song..... It pierce my heart like a double edged sword 🙌🙌🙌🙌 much blessings servants of God 🙏🙏🙏🙏 mbarikiwe na mungu azidi kuwainua tena na tena
mtunzi wa wimbo ana maono makubwa sana,sichoki kuusikiliza umekuwa kama sala yangu ya asubuhi maana nausikiliza njia nzima mpaka ninapofika kazini uso wangu unakuwa umejaa machozi mengi nikitafakari maneno ya huu wimbo,,Mungu abariki huduma hii❤
Nina Nini Mimi Cha kujisifu❤ be blessed
Mungu awwbariki kwa kutuhubiria kwa njia ya nyimbo tunabarikiwa sana🙏
MUNGU awabariki Sana wote mnao..
Ujumbe mzuri Sana sana
Yes na hii ndio maana halisi ya Ufunuo. Hakika mnatubariki kwa viwango vya juu.. Mungu wa mamlaka azidi kuwatumia kwa viwango vikuu 🙏🙏🙏🙏🙏.
Mungu wa Binguni awalinde kutokana na mishale yoote na silaha zote inayotumwa kinyume cha woote wahudumuo kwa roho na kweli... Bwana awe Ngome yenu.... Awafiche kutokana na macho ya waovu na maneno yao...avunje ngome zoote na ibado zozote za uovu ili ibada yeenu kwa Mungu isizuilike... Nimesikiza hasa "usisahau hata kidogo napia huu wimbo... Ni dawa inayoingia kwa moyo,,, mawazo,,, mifupa na kila wkt nashuhudia uwepo wa Mungu mnapohudumu kupitia nyimbo.... Mimi ni mwanaibada kutoka Kenya,,,,ambaye Mungu ameniinua kupitia kwa ya AIC Unity(Naivasha).... Namtukuza Bwana Yesu kwa ajili yenu.... More Grace,,,
My goodnes hii kwaya wapoo njeeema balaa yaaani wapoo njema zaidi ya njeeema wanaimba balaaa my goodnes hawa plse wanatakiwa kuwa kwenye mojawapo ya mikesha ya Mwisho wa mwaka na kwenye matamasha
Hii choir lazima wawe ni watu waombezi vizuri sana ndiposa Mungu anawapa kibali cha nyimbo tamutamu zenye ujumbe mtamu na mzito.
Mungu akubariki mzungu jamani ,na kwaujumla wenu saluti kwenu
Mnafanya vizuri sana. Mzungu wetu uko vizuri sana
Craignons DIEU LE CRÉATEUR DU CIEL ET DE LA TERRE . OUI TOUT EST À LUI en commençant par le souffle de vie qui est en nous jusqu aux bénédictions tant financières matérielles spirituelles intellectuelles...que maritales vraiment soyons humbles et reconnaissants à Dieu et rendons LUI TOUTE la GLOIRE ET LOUANGES qu ' IL mérite. Merci beaucoup UFUNUO pour ce profond message
Amen 🙏
Jamani Mungu ana watumishi Mungu awakumbuke ktk ule ufalme wake
Kubwa zaidi ni wengi na wote ni mashine,kupitia hawa Mungu aione kwaya yangu ili ijitambue ktk nafasi yake kwa utukufu wa Bwana.
Hv hii kwaya imekosa kabisa wapiga picha wazuri Mungu kawainua,kumbukeni Eneo la video mnatuangusha kila siku.
Chezayenu naipenda waweza nenepasikumoja kwanza hatamajasho hakinaaaaa
Mungu awabariki
Wait a minute yaani Kila mtu in this group can sing nicely like this waah respect.
Here is how am going to make sure that am rewarding them for a good worship song, I will watch this song over and over and over and allow ads to over and , never skipping , I know this is one way I get to promote their good work , plus I share and comment and like Nicholas from Nairobi Kenya, this such a powerful choir
Amen watching from Qatar nawapenda bure mungu awatie nguvu kwa kazi yake ❤
Me too,let's watch and be blessed
Niko hapa kwa ajili ya mzungu😊
Yaani huu wimbo ni must listen kila siku. Hizo vocals sio mchezo na uchezaji. Kazi nzuri mno.
zungu noma!!!!190%
sehem aliyoinbisha yule kijana ifutwe inaalibu wi
Another amazing song from Ufunuo. You never disappoint❤❤🎉🎉
Amen🙏
Amen
Barikiwa sana🙌🙌🙌
Mungu awakumbuke watumishi wa mungu
Zungu awe anakaa mbele jamani ananibariki mnoo 😍😍❤️
Nmeanza kuwafatilia kuanzia wmbo wa usisahau hata kidogo usisahau kumshukuru Mungu nikajikuta nawakubali sana sna Mungu wa mbinguni awabariki ufunuo kwaya
Vyote nilivyo navyo Ni vyako Baba, Sina Cha kujisifu kabisa.
Much blessed Ufunuo Choir.
Vitu vyote nimepewa na Mungu, Amen❤
Nashangaa zoezi hupigwa saa ngapi sababu wako sawa kabisa
Mmmh! Mmmh Muzungu and bonge first lady I fert different announcement from your voice may the Highest God keep you into the room of humbleness for the soul of many Aaaaaamen.
😢😢😢Nina nini?????? Cha kujisifu?????? Ila Munqu wewe Unajua sana❤❤❤❤❤❤
Wimbo mzuri Sana, unanibariki. Mungu awainue viwango vya juu.
neema ya MUNGU imenifunika 🙏🙏🙏🙏
Akiii nyieee watu mnajuaaaa aminaaa Mungu awabariki sana
Eeeish....am in awe❤❤❤❤Such vocalist 💪💪.
The harmonisation is🔥.Such a beautiful song,truly a blessing all our life,all we have belongs to God.Glory&honour
Mzungu yupo vema sana . Ukimuona step ndo usisema
Nina nini mimi? NINA NINI MIMI?: Maisha yangu yote ni Mungu anatenda.. Powerful
Nawapenda❤
Vyote tumepewa na MUNGU tusijisifu