komando wa Yesu - Hawanielewi (Official Music Video) SMS: Skiza 6983738 to 811

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024
  • #0679772248 #Komandowayesu #tanzaniagospel
    Yapo mambo ambayo wanadamu hawawezi kuelewa, Ashukuriwe Mungu anae tuelewa zaidi. Mungu Awabriki

ความคิดเห็น • 1.7K

  • @komandowayesu3642
    @komandowayesu3642  ปีที่แล้ว +661

    Hello ndugu zangu. kwanza nitangulize shukurani kutoka moyoni kwa kuendelea kunishika mkono kila ninapo toa nyimbo mpya. nimekuja kwenu kwa mara nyingine tena. tarehe 29 jumamosi hii tukutane hapa . kisha ku like ku shere na ku comment. Mungu awabariki sana 🙏🙏🙏

  • @komandowayesu3642
    @komandowayesu3642  ปีที่แล้ว +223

    watu wa kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nimeanza kuwaelewa😃

  • @peterkascratchofficial
    @peterkascratchofficial ปีที่แล้ว +139

    Kenya 🇰🇪🇰🇪 tunakuelewa sana 🙏🙏 WAPI LIKES ZA WAKENYA WENZANGU ❤❤

  • @komandowayesu3642
    @komandowayesu3642  ปีที่แล้ว +39

    tz 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 nione like zenu hapa 😃😃😃😃

    • @JoyceOkatala-gr7wh
      @JoyceOkatala-gr7wh 5 หลายเดือนก่อน

      Mungu akubariki kwa wimbo huu.Joyce from The Netherlands

    • @GladysKadii
      @GladysKadii 29 วันที่ผ่านมา

      hawapo lakini kenya yunakuelewa sana❤❤

  • @juliusmgundoy
    @juliusmgundoy ปีที่แล้ว +26

    Kama unamkubari @komandowayesu Kama mimi weka like hapa

  • @jaelokeke4835
    @jaelokeke4835 ปีที่แล้ว +21

    Kenyans🇰🇪🇰🇪🇰🇪 in diaspora 🇶🇦🇶🇦🇶🇦tunakuelewa saaanah kaka congratulations 👏👏👏👏🎉🎉🎉🎉

  • @eunicevidzo5716
    @eunicevidzo5716 ปีที่แล้ว +25

    From Kenya 🇰🇪 i love the song🙏

  • @hopekanake5443
    @hopekanake5443 ปีที่แล้ว +21

    Huu wimbo unaimba kwa akili yangu.❤❤❤ listing from 🇰🇪🇰🇪

  • @nyotashabani9951
    @nyotashabani9951 ปีที่แล้ว +35

    Wanao subiri,kabla ya wimbo upostiwe tujuane ❤❤❤❤

    • @komandowayesu3642
      @komandowayesu3642  ปีที่แล้ว +1

      Kesho mapema sana. jamani mnisamehe tu nimewasubiri shana 🙏

    • @clemzevans4155
      @clemzevans4155 ปีที่แล้ว +1

      Sema kuingoja

    • @nyotashabani9951
      @nyotashabani9951 ปีที่แล้ว

      @@komandowayesu3642 its worth the waitting, my number one song now, ubarikwe sana kwa massage hii nime upenda sana tu

  • @naimakawina4276
    @naimakawina4276 4 วันที่ผ่านมา +1

    Sijui niseme nn yaan unajua tena unajua mwenyewe mungu aendelee kukupatia vyote maana unatuinua sana kupitia nyimbo zako nataman siku moja nionane na wewe

  • @josphatchomba4688
    @josphatchomba4688 3 หลายเดือนก่อน +3

    Amen buro wimbo wako umenipedesa nimeuoeda

  • @AbigaelyNoely
    @AbigaelyNoely ปีที่แล้ว +12

    Kaka angu hii nyimbo imehusisha historia ya maisha ya familia yangu Mungu akubariki sana na daima tuko pamoja 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @kesheninaftal
    @kesheninaftal ปีที่แล้ว +10

    Waoooo hii ni Kali ya mwaka kaka ,, MUNGU akubariki sana mtumishi wa MUNGU

  • @lillykuiname69
    @lillykuiname69 ปีที่แล้ว +35

    This song just came the right time, I'm passing through alot😢 but huu wimbo umenifunza kitu.Thanks alot, listening from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @johnmwangi3781
      @johnmwangi3781 10 หลายเดือนก่อน +1

      May Almighty God see you thru your bitter tears and turn them into tears of happiness ☺️☺️☺️

  • @eunicewaweru2173
    @eunicewaweru2173 ปีที่แล้ว +9

    Kenya tuonyeshe upendo wetu kwa ma likes

    • @komandowayesu3642
      @komandowayesu3642  ปีที่แล้ว

      🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @damarismueni7531
    @damarismueni7531 ปีที่แล้ว +20

    This song has gone viral in Kenya,more blessings komando

  • @moreenvinaywa3552
    @moreenvinaywa3552 ปีที่แล้ว +28

    Wow I really like listening to your gospels songs they are really touching Amen love from Kenya blessed blessed 🎉🎉🎉🎉🎉🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @komandowayesu3642
      @komandowayesu3642  ปีที่แล้ว +2

      🙏🙏🙏

    • @Namakala6
      @Namakala6 ปีที่แล้ว +1

      Mimi nlikwama kwa moyo wangu,na sina uende...I know poa hii itakuwa hit,napia itabariki moyo wangu, 🎉❤Mungu azidi kukuinua,unapoendelea kumtumikia..much love from 🇰🇪kenya

    • @florencewangari1096
      @florencewangari1096 ปีที่แล้ว

      Can't get enough of this song ooh my 🎧🎧🎧🎵🎵🎵 Love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @monicabahati
    @monicabahati ปีที่แล้ว +10

    Nimebarikiwa Sana na wimbo umebeba majibu ya mtu mwenye maswali. Nitamtegemea MUNGU daima.🙏

  • @DamalisMasika-gj1el
    @DamalisMasika-gj1el ปีที่แล้ว +6

    Sijawahi Choka kufuatilia nyimbo zako toka enzi za wimbo huu ufike enzini Pako Kila nyimbo ni bora hazichoshi masikio tunaburudika mno barikiwa Sana mtumishi tunakupenda sana

  • @zablonsaima6024
    @zablonsaima6024 ปีที่แล้ว +6

    Wanadamu hawanielewi🤔🤗😘
    @ZablonMukungKenya 🇰🇪,,, kazi Maridhawa Komando💪💪, na ninachokijua Wakumwamini ni Mungu tu🙏🙏

  • @silivesterstobias857
    @silivesterstobias857 ปีที่แล้ว +9

    Napenda sana nyimbo zako mungu akubariki na akuinue kihuduma

  • @miryammupa5417
    @miryammupa5417 ปีที่แล้ว +34

    This song has a very strong massage..never relay on people trust and believe In God

  • @phoebeadikinyi3441
    @phoebeadikinyi3441 ปีที่แล้ว +13

    Hakika mwanadamu will always disappoint you,our God never fails ,he is ever there for his people

  • @Leizer452
    @Leizer452 ปีที่แล้ว +20

    This Song makes me cries for sure Let God be God for sure🙏🏻❤️

  • @AdamWawo-fe9kx
    @AdamWawo-fe9kx ปีที่แล้ว +8

    Kaka upo vizuriii huo wimbo mpya nausubiriii

  • @bettychilwa3361
    @bettychilwa3361 ปีที่แล้ว +1

    😫😫 anayetuelewa ni mungu pekeee......barikwa mnooo

  • @elizabethjuma9434
    @elizabethjuma9434 ปีที่แล้ว +16

    I declare this song an international hit❤❤❤❤❤

  • @ananialijahe9957
    @ananialijahe9957 ปีที่แล้ว +1

    Hakika hawanielewi wimbo mtamu daaa Mungu akubariki swaiba

  • @cptnbazil6121
    @cptnbazil6121 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akubariki ,tunasubiria Masaa tu .Machache tupate wimbo wetu tuzidi ma sisi kusikia raha na kuinuliwa kwa Mungu

  • @rechopiahmusic9331
    @rechopiahmusic9331 ปีที่แล้ว +1

    Haki nimebarikiwa nahuu wimbo sanaaaaaaaa🤞

  • @rechopiahmusic9331
    @rechopiahmusic9331 ปีที่แล้ว +5

    Natamani hata kuokoka nianze himba zangu gospel kwajili ya huyu jamaa komando❤️❤️🤞🙏

    • @komandowayesu3642
      @komandowayesu3642  ปีที่แล้ว +1

      😃😃😃😃 itapendeza sana. Karibu sana katika ulimwengu wa amani 🙏

    • @rechopiahmusic9331
      @rechopiahmusic9331 ปีที่แล้ว

      @@komandowayesu3642 amen🙏🙏❤️❤️❤️

  • @gladdytims3371
    @gladdytims3371 ปีที่แล้ว

    Kweli hawanielewi,,, wewe God ndiye tu unaeza nielewa

  • @markmngola
    @markmngola ปีที่แล้ว +7

    Much love from kenya...napenda hii song ...inafanya natulia kwa mungu..ubarikiwe sana

    • @komandowayesu3642
      @komandowayesu3642  ปีที่แล้ว

      Amen

    • @Beingme2024
      @Beingme2024 ปีที่แล้ว

      ​@@komandowayesu3642 Asante kijana wangu kwa wumbo nzuri love from uk 🇬🇧

  • @NemaNema-c1m
    @NemaNema-c1m ปีที่แล้ว +1

    Mungu.azidikukuinu.uinuenawengine.kakanyimbo
    Imenibarikisana🙏🙏

  • @catherinemutethya9554
    @catherinemutethya9554 ปีที่แล้ว +8

    I look forward to be approved by God,for he is the one who chose me,.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @wilsongichohi4298
    @wilsongichohi4298 ปีที่แล้ว +1

    Ooh from Kenya,kweli na haitaelewa

  • @barakadieudonne
    @barakadieudonne ปีที่แล้ว +7

    I can't wait for this powerful song Ubarikiwe sana ❤

  • @Praisy-i6f
    @Praisy-i6f ปีที่แล้ว +1

    Unaemuengemea anaeza ...anguka puuu.God above all more grace

  • @risperndege5548
    @risperndege5548 ปีที่แล้ว +10

    Human beings are difficult to understand. Only God who understands us better ❤️❤️❤️❤️❤️❤️ nice song

  • @veronicalameck6982
    @veronicalameck6982 ปีที่แล้ว +2

    Msaada wetu unatoka juu tu 🙏🙏

  • @emmahinenafula8800
    @emmahinenafula8800 ปีที่แล้ว +7

    Story of ma life...usimuegemee mwanadamu kwa lolote...our God is awesome.ukimuegemea Mungu unanawiri zaidi❤🙏thanks bro for this awesome song🥰

  • @marcyrommy3224
    @marcyrommy3224 ปีที่แล้ว +1

    Enyewe hawakuelewi. Hit after hit

  • @agathatuuya
    @agathatuuya ปีที่แล้ว +4

    Indeed only God can understand us, even though u try explaining urself, they don't understand

  • @shangweremiofficial4124
    @shangweremiofficial4124 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa Sana Rafiki kazi yako njema Anayetuelewa Ni Mungu tu

  • @happynessyusufu8258
    @happynessyusufu8258 ปีที่แล้ว +7

    Mi na family yng.tunapenda nyimbo zako kk.

  • @stellakanisio4253
    @stellakanisio4253 ปีที่แล้ว

    Msaada wangu unatoka juu..asanti yesu kwa kuniekewa zaidi!

  • @joywinekhalivitsi
    @joywinekhalivitsi ปีที่แล้ว +7

    Wow, can't get enough of this 😊😊😊
    Sending love from 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @komandowayesu3642
      @komandowayesu3642  ปีที่แล้ว

      🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏

  • @naomindolo9291
    @naomindolo9291 ปีที่แล้ว +1

    Wanadamu hawanielewi namtaka tu YESU

  • @luckshedy1200
    @luckshedy1200 ปีที่แล้ว +7

    This song is really blessing me,,Dunia hainielewi❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤God knows me better❤

  • @edwinweyao5175
    @edwinweyao5175 9 หลายเดือนก่อน

    Unayemwegemea anaweza anguka pu
    Mwanadamu ni mwanadamu tu
    Msaada wetu unatoka juu
    Wakumwamini ni Mungu tu×2
    Anatujuwa zaidi ya wanavyotujuwaa×2
    Anatuelewa zaidi ya wanavyotuelewaa
    Huyu Yesu anatujua zaidi
    Binadamu hawanielewi hawanielewi

  • @msaghadee006
    @msaghadee006 ปีที่แล้ว +4

    Ila kwa kweli Mungu tuu peke yake ndiye anayetuelewa wanadamu hawawezi tuelewa kamwe, santiii kwa ujumbe huu mtumishi wa Mungu, God bless you 🙏🙏🙏

  • @RealGiftLydia
    @RealGiftLydia ปีที่แล้ว +2

    Mungu pekee ndie anae kuelewa❤❤❤❤❤🙌🙌🙌

  • @MALAHOCLARICE-zt2xv
    @MALAHOCLARICE-zt2xv ปีที่แล้ว +8

    Kutoka Kenya... This is Clarice.. You truly have an angelic voice.. blessed music.. More grace komando...

  • @CelineSamson-n8u
    @CelineSamson-n8u ปีที่แล้ว +1

    Itoshe kusema asanteee MUNGU, Amen 🙏🙏🙏

  • @priscachiunga602
    @priscachiunga602 ปีที่แล้ว +6

    Powerful song,much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @MwaaziElisha91
    @MwaaziElisha91 ปีที่แล้ว +2

    Zambia🇿🇲🇿🇲🇿🇲 in the house people will never understand us only the one in heaven

  • @EmmyWendy-zn5vj
    @EmmyWendy-zn5vj ปีที่แล้ว +5

    The message I have learnt from this song, God is my best friend, mwanadamu nimeachana naye. Msaada wangu u katika Bwana, aliyeumba mbingu na nchi. Congratulations bro

  • @jukaelyelisha6311
    @jukaelyelisha6311 ปีที่แล้ว

    Barikiwa mnoo mtu wa MUNGU huu wimbo umekuja kwangu kwa wakati sahihi hawanielewi kabisa kila nikiwaelezea hawaelewi namaanisha nini

  • @vellarykhamsa4574
    @vellarykhamsa4574 ปีที่แล้ว +4

    Someone has spoken my heart out❤❤❤

  • @mapachawayesu
    @mapachawayesu ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana Mkuu wimbo umetulia saana❤❤

  • @enockkipngeno6178
    @enockkipngeno6178 ปีที่แล้ว +12

    Nothing is as beautiful as living with God's Grace,God's word of hope and prayer.. keep up the good work

  • @Jowarilili-q5p
    @Jowarilili-q5p 6 หลายเดือนก่อน +1

    Merican tunakuhelewa komando wa Yesu alleluia 😘😘😍

  • @elizabethrotich3785
    @elizabethrotich3785 ปีที่แล้ว +5

    You have done it again... Congrats and Big up.... Kenya enjoys and are blessed by your music....

  • @emmanuelmtundo001
    @emmanuelmtundo001 ปีที่แล้ว

    Kiukwel komando wanibarik na nyimbo zako..Mungu akubarik na akuzidishie ujuz na akufikishe kwa hatma yako..you are ma role model

  • @dough_reen
    @dough_reen ปีที่แล้ว +3

    Indeed there's nobody whom you can trust on this earth but only God. Human beings will never understand you.❤

  • @makejaffar8119
    @makejaffar8119 ปีที่แล้ว +1

    Mi nakuelewa sana ndugu yangu🥰🥰🥰Kenya we love you

  • @Oscar-uf9lr
    @Oscar-uf9lr ปีที่แล้ว +13

    So touching🙏 your songs inspires me so much. You're such a blessing to us. Much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @sarahyamungu3115
    @sarahyamungu3115 ปีที่แล้ว +2

    jamani jamani jamani ni🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪💪💪

  • @dianahkanyuka5634
    @dianahkanyuka5634 ปีที่แล้ว +6

    So powerful... indeed it's always been God 💪💪🙏🙏
    Human changes anytime everytime..I atest to the greatness God has done me

  • @estherhadassah4289
    @estherhadassah4289 ปีที่แล้ว

    From tiktok
    Unaye mwegemea anaweza anguka pu,mwanadamu ni mwanadamu tu;
    Msaada wetu watoka juu,msaada wetu ni Mungu tu.
    Lets trust in the Lord brethrens.

  • @jaynabrown7602
    @jaynabrown7602 ปีที่แล้ว +4

    From Kenya , only God knows us..Hongera Komando wa Yesu

  • @emaidoemaidor4296
    @emaidoemaidor4296 6 หลายเดือนก่อน

    I love this song wooow,wa kumuamini ni Mungu tu ,kweli wanadamu hawanielewi ,usijali watu wa Mungu huwa hawaeleweki.Even God is always mysterious in his works He can never be understood,that makes Him a mysterious God....#Msaada wetu unatoka juu ,AMEN#MARCH 2024
    love your songs
    #love from Kenya.....

  • @kevinmugoha4664
    @kevinmugoha4664 ปีที่แล้ว +3

    A wonderful song .....ujumbe mwafaka kwa wakristu❤

  • @rachelisaya3038
    @rachelisaya3038 ปีที่แล้ว +2

    Hawaelewagi kamwe, Yesu akituelewa inatosha

  • @faith3525
    @faith3525 ปีที่แล้ว +4

    Wow this is the best bongo gospel have ever heard....perfect message ❤❤❤love from kenya

  • @andrewmhagama9816
    @andrewmhagama9816 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana mtumishi na uzidi kuwainua walio pondeka mioyo hipo siku watakuelewa tu.Amina

  • @sabinaelizabeth2340
    @sabinaelizabeth2340 ปีที่แล้ว +4

    Glory to God much love from kenya 🇰🇪 🙏🏻

  • @amidayusuf4491
    @amidayusuf4491 ปีที่แล้ว

    Uyumwimbo nukuzuri sana mungu akubariku akiagejeya maonyo mege ❤❤❤

  • @joanochanda8038
    @joanochanda8038 ปีที่แล้ว +5

    Amen. Thank you for this timely message. Am blessed.

  • @estherwamboi7683
    @estherwamboi7683 ปีที่แล้ว +1

    Mm kama mkenya nakuelewa zaidi nice song this is my daily dose natoa stress na hii nyimbo nakusikiza nikiwa Gulf keep going ❤❤❤

  • @DianaAbok
    @DianaAbok ปีที่แล้ว +4

    Nice song, thank you Lord for always understanding me, am blessed

  • @nellykobadi8142
    @nellykobadi8142 ปีที่แล้ว

    Unaemwegemea anaweza akaanguka puuuh msaada wetu ni Mungu tu, wa kumtegemea ni Mungu tu

  • @maryannewambura1505
    @maryannewambura1505 ปีที่แล้ว +11

    Nice and touching song brathee ,congrats from 254 ❤❤❤❤ May Almighty God Bless you🙏🙏🙏🙏🙏

  • @laventahakinyi5532
    @laventahakinyi5532 ปีที่แล้ว +2

    Wanadamu wanaweza kosa kukuelewa lakini Mungu anakuelewa siku zote. Wimbo nzuri sn

  • @EstherMulwa-kk9pp
    @EstherMulwa-kk9pp ปีที่แล้ว +6

    Such touching song ...much love from Kenya 🇰🇪

  • @MillyMilly-h2q
    @MillyMilly-h2q 11 หลายเดือนก่อน +1

    Powerful message, hakuna siku wataniewa🙏🙏

    • @komandowayesu3642
      @komandowayesu3642  11 หลายเดือนก่อน

      Amen 🙏

    • @MillyMilly-h2q
      @MillyMilly-h2q 11 หลายเดือนก่อน

      🇰🇪🇰🇪Unapepea brother, africa hoyee

  • @rebeccamunyasia9638
    @rebeccamunyasia9638 ปีที่แล้ว +4

    Such an inspiring song. You bless me man of God.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @moseskhaemba3925
    @moseskhaemba3925 ปีที่แล้ว

    Huu wimbo uko sawa kapsa,mwanadamu hawes kukwelewa

  • @pharianneatieno5509
    @pharianneatieno5509 ปีที่แล้ว +2

    After along wait🎉Amazing work,God bless you always🙏

  • @fromgrasstogracekate1404
    @fromgrasstogracekate1404 ปีที่แล้ว +2

    Team 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 this song should be a national song

  • @brillianmargarets8422
    @brillianmargarets8422 ปีที่แล้ว +5

    I can't get enough of this dong🎉❤ I'm blessed

  • @Tibafeza
    @Tibafeza 6 หลายเดือนก่อน

    nikweli mwanadamu ni mwanadamu mungu njo wakumwamini sababu yeye njo Masada mukila jambo

  • @faithkathure9194
    @faithkathure9194 ปีที่แล้ว +5

    This song is about what i go through the whole part of my life, but God has come through my life🙏

  • @VaneKwamboka-e7r
    @VaneKwamboka-e7r ปีที่แล้ว +4

    We appreciate as Kenyans God bless you

  • @damarismumbua8439
    @damarismumbua8439 10 หลายเดือนก่อน

    Mwanadamu n mwanadamu tu,msaada wangu utoka kwa Mungu juu❤

  • @beatricealimlim5046
    @beatricealimlim5046 ปีที่แล้ว +4

    Such inspiring song..much love from Kenya

  • @AnnaHalinga-v7i
    @AnnaHalinga-v7i ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana komando nimebarikiwa sana na uu wimbo

  • @miryammupa5417
    @miryammupa5417 ปีที่แล้ว +3

    Finally inacheza

  • @puritynanjala3874
    @puritynanjala3874 5 หลายเดือนก่อน

    Kwa hakika huu wimbo unikuza sana.na nimeusikiliza mara mingi coz napitia magumu bt Mungu ndo ananielewa pekee.barikiwa Ndugu

  • @jonasiarex8914
    @jonasiarex8914 ปีที่แล้ว +2

    Balikiwa sana nyimbo zako zina nibaliki sana