PRAISE TEAM TAG FOREST YA KWANZA - BWANA NIMERUDI TENA (FOR SKIZA SMS : SKIZA 6983105 TO 811)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 18 พ.ย. 2022
- #PraiseTeamTAGForestOne
Ni wimbo wa shukurani kwa Mungu pale unapokua umeafanyiwa jambo zuri na Mungu na unaamua kurejea kushukuru bila kuangalia wengine wameshukuru.
Audio: Samuel Mboya
Video: Steve Tobs Media - เพลง
Nimerudi tena kushukuru 15th April, 2024. Nipeeni 1,000 likes🙏❤😊
same here 🙏
Kama Mungu amekutendea muujiza kupitia kutazama na kusikiliza wimbo huu
,weka like hapo chini.
Nimerudi tena..., nakushukuru bwana. Since 2021 i lost my job na haijawa rahisi..... Last God did a miracle i got a well paying job. May God remember those who are in need of jobs and restore our strength.
Nimerudi kusema asante Mungu❤❤❤❤❤
Glory to God
Amen Mungu atende na kwangu kama alivyotenda kwako.
Amen
amen
Glory to God 🙏
Who is here in January 2024? Mimi Nimerudi tena 🙌🙌
Mimi
Am here in March 2024
you have done me well
After dv lottery results na us visa nitarudi hapa tena,ila niko hapa tena kwa maana umenitendea mengi
Love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪nipeeeni likes za Kenya
Tr
Treasured we Kenyans
Vip nakujua nitafute
Welcome🎉🎉🎉🎉
Kama una play mara kadha kwa ck gonga like🙋🙋☝️☝️
❤❤❤❤
❤
@@amosijohnA of the
Ni no>
March 3, 2024.....nani mwingine yupo hapa mwezi huu wa tatu
🎉
🎉
Nipo hapa
❤❤❤bwana nimerudi Tena YESU nakushukuru
February 20 ,2024 kama uko kusikiliza nyimbo nzur like hapa
24 feb 2024
@NaomyMwangjjjk5yyi-hd9Dr 😮😅ktta😊7
Glory to you God
Verse number two is killing Nimeomba mengi umenijibu moja umetutendea wengi mimi nimerudi japo wengine bado ila natambua thamani ya hili moja ulilolitenda 🙏🙏🙏asanteni kwa wimbo mzuri 🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️
God is good
🥰
Wimbo huu unabaraka na utukufu hakika Mungo upo❤
❤
Mwenyewe napapenda sana hapo
am leaving this comment here so that years later when someone likes I will be reminded of this masterpiece that we listen over and over again in a day and sing and dance along with my daughter....God has been faithful in my life🙏
Ll🎉😢😢😮😅😊😂❤😊 4:57
Oh yes
Pp
Amen 🙏🙏
🎉amenitendea
Kama umeangalia hii video zidi ya mara moja weka like hapo chini
Huu wimbi mzur sana maana Mungu anapenda shukran sana
It's my first tyme but I'll like. Iko wao
Mimi every morning
Mm nimeangalia Zaid ya malakum na hakikanajengeka kiiman
p5p0😊😊😊😊😊😊
Kama umeupenda wimbo huu ni like na reply 😇😇🙏🙏🙏👍👍⛪⛪⛪🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Huu utakuwa wimbo wangu na mume wangu yule mmtarajiwa kwenye IBADA YETU YA SHUKURANI 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Aaaaaaaah....Mengine Sijui Ila hili Bwana Wewe Najua Umenitendea!!
😭😭😭😭😭😭🙌🙌
Nilidhani Ukimwi Utaniua Aaaah Kwa Mapigo yako Bwana Umeniponya!!
Mungu ni mkubwa kuliko Virus vya UKIMWI ni kuamini tu
@@mankambise2000 amen Mungu wetu ni mkuu
@@mankambise2000mungu mkubwa sana
❤❤❤❤
🎉🎉🎉 Glory to God 🙏🙏🙏
Jumapili ya Leo pasaka mach 31/2024 njooni mlike hapa
Hii 21st April 2024 nimerudi kushukuru ,kama hii nyimbo i mekunice like this🙏🙏🙏🙏🙏
Huu wimbo unanibariki san sichoki kuusikiliza kiukwel unanihamasisha kushukuru kwa kila hatua nayo pitia kweny maisha yangu
Nimemuomba Mungu kazi .
Naiacha comment nitakuja kurudi kutoa ushuhuda kwenye hii madhahabu
Wimbo mzuri na mavazi ya heshima.mbarikiwe kwa uduma mungu awainue.zaidi
Nyimbo nzuri na ninaipenda ❤❤❤❤❤❤❤ kama unipenda like hapo
Hakika mnanikumbusha siku zote kumshukuru Mungu
Umetutendea wengi mimi nmerudi,..2024 song of the year,..its such a blessing
Tar 9/4/2024 still watching this song
Still here in APRIL 2024.
THANKING GOD ❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏
Bwana nimerudi tena Yesu nakushukuru😢
"Nimeomba mengi umenijibu moja umetutendea wengi mimi nimerudi....japo mengine bado ila natambua, thamani ya hili moja ulilolitenda"😢🙏🧎❤😍
Namconect mwanangu na huyu dada na yeye awe mwimbaji kama yeye kwa Jina la Yesu, nimempenda, utukufu ni kwa Bwana Yesu
Wow Tanzania Wana ubora kwenye muziki wao,may the Lord bless you all,excellency at its better,this has been my no 1 list since I heard it since 2023 started the Lord is just doing it for me In all aspects...🙏🙏🙏wueeeh I'm on tears because what the Lord is doing for me 😭😭
Safi sana kwa wimbo mzuri Mungu aendelee kuwatumia hakika
I just love this song
Imechukua muda najua umenitedea
Tumeokolewa wengi ila hao wengine mimi sijui, ila mimi nimekuja kukushukuru, when a song is accompanied with the Holly spirit it's no longer a normal song!!!
Today, I just feel like being thankful to God. His blessings are beyond explanation. I just pray that He blesses anyone reading this comment in a similar manner.
Bwana nimerudi tena,march 11 eleven 2024,nasema asante Baba,3 months to go fir my contract to end here in gulf,haijawa rahisi but you've been with me Lord,nashukuru 🙏🙏🙏😭😭😭
Same ni God akii❤
Huu ni ushuhuda wangu
God has been so good..hakuna chochote special nilichomfanyia for him to be this good to me..
Ohh his grace😭❤🙌..jamani hakuna maisha bila Mungu..tumtegemee katika kila jambo ili ajitwalie sifa kupitia sisi.
Asante Mungu kwa nafasi nyingine..Take all the glory❤❤
Amen amen and amen ❤❤❤
Amen.
Hii wimbo ni ina manukato nzuri mbele za Bwana, kama ninafuraha ndani yangu....Je Kwa Mungu, nimerudi kushukuru Tena mie niliyekua nimepotea
Kwa kweli MUNGU anipe yule mume aliyemkusudia maana kila nikisikiliza huu wimbo machozi na picha kichwani ya mimi na mume wangu tukimmchezea , najiona nitalia sanaa siku hiyo. Eeheee BABAAAA Tenda kwa UTUKUFU WAKO BABAAAAA YANGU😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Usihofu we mwamini Mungu TU,omba Kwa bidii bila kukoma. Mtolee Mungu sadaka na uweke maombi ya nadhiri Kwa Mungu, akikutendea utamtolea Nini.
I don't know about others but, I came to say thank you. So powerful! be blessed Praise Team TAG for such great composition.
I woke up from my sleep singing this song😢😢❤❤❤
Just heard this song while at the gym and it blessed my heart. April 9, 2024
Yani hii yataka mtu ambea anajua kuomba na ajua kuna Mungu binguni, na ajue pia lazima tumrudia Mungu kumshukuru anapotutendea wema maishani. Huu wimbo ni ombia la roho. Barikiweni sana.
Bwana nakushukuru, Hakika wewe ni Mwaminifu Ahsante kwa kunipenda Hata ukamtoa Mwana wako ili Sisi Tusamehe Dhambi zetu Hakika Nimeuona Mkono Wako katika Maisha Yangu🙏
Huu wimbo unaniliza sana nikiimba kwani bwana amekuwa mkuu sana kwenye maisha yangu Hadi siwezi kuelezea🙏🙏
BWANA akutendee zaidi na zaidi, ubarikiwe sana
AM HERE AFTER LISTEN THIS SONG FRO RADIO USHINDI FM..😘😘😘😘😘😘😘
❤ Bwana umenitendea mengi na baraka zako nimeziona nakushukuru sikustahili ni kwa.Neema sifa.nakurudishia wewe Mungu❤🎉
Baba nimerudi tena Yesu nakushuru..akika umenitendaa wema...utukufu kwako,na heshima zote kwako tu.Forever grateful 🙏
MUNGU Awabariki Forest T. A. G. Maombi yangu kwa Daddy Aendelee kuinua zaidi waimbaji kama nyie ktk kizazi chetu wakina sisi vichwa vigumu.
No one is talking about the man's voice....the vocals👏
asante kwa kumwelewa
Amen
@@bonifacedickson8412 amen
Myself I'm blessed by the boys voice. Thank you, Jesus ❤
Kila siku lazima nisikilize huu wimbo unanibariki sana nikifikiria mengi Mungu aliyofanya kwenye maisha Nina kila sababu ya kumshukuru 🙏🙏😭WEWE YESU
The best song of my Son baby Gabriel, Niliempata kwa muujiza tuu! Anaupenda sn jpo ana miaka miwili tuu! Hakika Mungu alinitendea wema tuu🙏🏼 sjui wengne wanaona nn ila mm nauona ni muujiza wa ajabu !!
😭😭😭😭 my daughter from kutokutembea ad kutembea akiwa na mwaka na miez mitano akaumwa degdeg ya kuangua dah Mungu ukayapangua mashauri yao wakaja kwa kigugumizi nalo ukalitengua😭😭😭😭😭😭 mjane mimi sina cha kukulipa
Painful hope alipona
Aisee MUNGU UTUKUZWE! Wengi wetu huwa tunasahau kurudi mbele za Mungu kwa ajili ya shukrani mara baada ya kutendewa mambo tuliyomwomba haijalishi ni mangapi tumejibiwa. Tumekumbushwa kurudi tena kumshukuru MUNGU. Mungu awabariki T.A.G Forest P&W Team
Hakika Mungu kwangu ni mwaminifu siku kwa siku nampenda Yesu wangu alikonitoa mbali
Jamani naomba Msaada kwa ni nina hamu sana ya kumuona mwanadada huyu ambaye amemchanganya mwanangu kwa kupitiya wimbo huu bila shaka na juwa mlikuwa katika roho kwa ajili ya upako wa wimbo huu mimi mwenyewe sijui ni seme nini sababu ya upako sijui wengine wanaona nini ila mimi nauona utukufu na upako. Naomba contact yako dada mwimbaji tafazali sana
Hakika sikustahili haya Mungu amenitendea maishani mwangu!!utukufu kwako tu Yesu,umenitendea wemaaaa❤️👌👏
My favourite song keep up in God my brother and sister your work is Good💓🎻🎹
Kila wakati napenda sikiliza huu wimbo nabarikiwa amen
Glory and honor to the most high King 🙏
Yeshua Hamashiach Nimerudi tena ...kukushukuru .... wengine sijui ...... AMEN
Uhu wimbo unanikumbusha ykuwa nishukuru Kwa Kila jambo mana Kuna ndugu zetu wametwaliwa kwenye haya maisha lkn mim bd ni naneema acha tyu nishukuru mungu😢😢😢😢😢
Hongereni kwa wimbo huu mzuri, uliojaa ujumbe wa kuona tunatakiwa kumshukuru Mungu Kila wakati.
Mara ya kwanza niliusikia huu wimbo na Kingdom Seekers Fellowship worship team ya Nakuru. Kuna vile huu wimbo unaniguza na ninajua umenitendea Bwana niko na imani, nakushukuru mapema ukienda kunitendea 😭🙌🇰🇪
Same to me nikisikia KSF mara ya kwanza
😅😅😊😊
Hii wimbo inafanyanga nifeel alive tena❤❤i love this Tag Praise team❤
Who is here 🖐️ 2024🎉
Sitaacha kumshukuru Mungu wangu unanitendea mambo ya ajabu sana katika maisha yangu .nipe ROHO ya SIFA nikusifu wewe pekeako.Mbarikiwe sana wanaTAG wimbo mzuri mno kila saa niko hapa.
Powerful worship 🙌🏽🙌🏽🙌🏽 prayer anthem😭😭😭Everytime I listen to this song there is fresh anointing, a different increased anointing! Mmebarikiwa sana watumishi wa Mungu🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Narudi kutestify next month. For positive pregnancy results by faith. Amen
Nimependa wimbo mpk mavazi yenu malefu MUNGU awabariki Sana nyimbo zingne kwenye mavazi dah wanamkosea San MUNGU wetu wakivaa ndefu ujue zinabana, na wakivaa Pana ujue fupi. Ila nyie mmetisha sana
Umenitenda wemaaa , umenitenda vyema oooh Mungu
Hakika amenitendea. Baraka naziwe nanyi milele. Nimebarikiwa sana na wimbo Huu. PST JAMOZA KITALE KENYA AFRICA 🌍.
Nalia jaman mungu tusamehe bule
2024 Nimerudi kushukuru tena BWANA YESU
Asante MUNGU... Sijachaguliwa kuendelea interview ya pili TRA nimejisikia vibaya sana ila hii nyimbo imemaliza kila kitu... Asanteni sana watumishi this song beats in the bottom of my feelings.. I pray for everyone to succeed
Wimbo mzuri na hakika umenigusa Yesu sijui wengine wanna nini ila mimi ninakuja kwa kushukuru kwa uliyonitendea.
Wimbo huu umenikumbusha kuwa niwe mtu wa shukrani kila siku,mbarikiwe sana.
Nimerudi Tena kushukuru Yesu wengine sijui ila Mimi nimejua umenitendea Yesu wangu Asante Kwa afya na Uhai na kila kitu
Namshukuru Mungu kwa wema wako walasikustahili
Iyo wimbo imenibariki sana keep up
Kasoro kubwa ya huu wimbo ni kwamba unaisha, yaani ukiusikiliza hutamani ufike mwisho.
Kuna siku nkiuweka kwenye simu yangu huwa naweka "auto replay" yaani hspo ni masaa matatu sibadili wimbo na hamu haikati.
Hao waliosolo nao wana sauti tamu asee bila kusahau watu wa vyombo.
Mbarikiwe mno🙏🙏🙏
Oooo Mungu azidi kuwainua kwa viwango vya juuu, huu wimbo nizaidi ya wimbo yaaani nabarikiwa mpaka nabarikiwa tena 🙏🙏🙏🙏
Huu wimbo ni hatariii fire,moto moto yaan abarikiwe aliyeutunga huu wimbo,ujumbe mzurii sana,na wawasilishaji wameutendea haki sana.TAG forest praise team mmetisha. Baba mchungaji mzee Tambiken ubarikiwe sana
Asante Yesu umetenda mengi mno kwenye familia yangu.
Hakika Nimerudi tena kushukuru ,thank you for this great message Wana wa Mungu @shout-out 🎉for Elisha Serikali ,guys u did amazing work 👏
Ahsante sana pastor Tambikeni...
Nakukumbuka sana,mchungaji unayependa sana ibada ya sifa kuliko chochote...Mungu azidi kukuinua na kukutia nguvu kwa Kila hatua...hakika unanibariki....hata kanisa lako umelifunza kumsifu Mungu kwa viwango visivyo vya kawaida✅☑️
Can't get enough of this song.....i prophecy this song is going to hit 1M+ views.God i don't know the thought, intentions & mindset of others after you did for them but myself i will never be tired of coming back to say THANK YOU! 🇰🇪🇰🇪♥️😭😭
Amen and Amen!! Father God, help us to have hearts of gratitude.
@@dianachaomwangi1016 p
@@dianachaomwangi1016 p
Hallelujah 🙌, so beautiful and inspiring 🙏, this song is sang with such great passion and a lot of gratitude which is intentional, I am so blessed by it, the singing, instruments and dancing 💃, all glory and honour to God 🙏, such a blessing, 🙏, thank you for the beautiful song, so touching, may God bless you and lift you to higher dimensions in Jesus name 🙏🔥
We hit 1000000 views
I thought their was no depression but not until it got me in 2023,but I prayed to God to give me the inner peace and accepting situation and knowing the he will do and I will go to school like others n 2024 here it is nimerudi tena..going to school in February and no depression but watching God do it for me...n I know by the end of the year nitarudi tena..God is good my people..I never thoughtI would say that their is God.
yaaan nitauimba huu wimbo siku zote za maisha yangu,mbarikiwe saana
Bwana,nimerudi tena,Yesu kukushukuru,mengine sijui ila hili bwana,nimejua umenitendeaa😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊.....soon i will come again(i believe)
Nausikiliza huu wimbo siku nzima na bado sitosheki .... Mungu awabariki watumishi hawa kwa kutukumbusha kushukuru kwa kila jambo ❤❤❤❤ Asante sana Mungu wangu
Nakosa namna ya kumshukuru Mungu kwa mambo aliyoyatenda. Kafanya kuliko nilivyomwomba. Kafanya kuliko nilivyowaza. Nitakuabudu Mungu wangu siku zote za uhai Mungu wa Rehema na fadhili
Nimetambua,umhimu,wa,kurudi,na,kumshukuru,mungu,anapokubarikj,,nimebarikiwa,sana.
Anaitwa LIDYA PHILIPO kiukweli tunavusha kwenye maqumu ila sisi hatushukuru ipasavyo asantee kwakutukumbusha vema nawapenda sanaaa
Huu wimbo kwangu Umekuwa dozi, asubuhi, mchana na jioni. Mungu awabariki sana waimbaji.
Naupenda sana huu wimbo...Mungu wa baba zetu wa Imani Ibrahim Isaka na Yakobo awabariki sana na aitunze huduma yenu na ainue juu zaidi na zaidi katika Nina la Yesu...Ameen🙏🙏🙏
MA 😅i0
The lady voice 🔥🔥🔥 that's what we call pure talent
Wish she can sing more songs
Huu wimbo imenibariki sana nikisikiliza na furahia sana ndani ya moyo Mungu awapake na mafuta ya kutuza mengi na mengi
May 2024 I came back to give thanks to my Lord Jesus Christ!!
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hii praise team naipeda sana,nyimbo zao nizakutia mtu nguvu sana hata vilee wanfaa mavazi yao inahubiri wanavaanga vizuri sanaa. Naskizanga nyimbo zao dakika kwa ingineNawapenda mno.Barikiweni sanaa
Hakika wimbo huu unanipa amani nikisikiliza nabaki kuimba kila wakati🙏🙏🙏Mbarikiwe sikuzote
Am blessed always
Amen 🙏🙏💕 napenda saana wimbo huu nikiusikiliza najukuta to natoa machoz ya fraha kubwa ❤❤❤ kweli shukulani na heshima ni vyake yesu
Atukuzwe Yesu.😭😭😭 Wimbo umejaa nguvu za Mungu
NAMI YESU NIMERUDI LEO TAREHE 7/5/2024 KUKUSHUKURU KWA UNAYONITENDEA
Can't get enough of this song....Mengine sijui ila bwana amenitendea🙏Am really blessed by this song
Napenda sana unanigusa
Ni 🔥🔥🔥🔥🔥, Ni kumshukuru tuu Mungu , kwasababu anafanya katikati yetu. Mbarikiwe kwa kazi nzurii 💥💥🔥, Glory to God 🙏
Huu wimbo unaniliza jamani.. kuna wakati nikiusikikiza nalia kwa sababu naona kama sijamshukuru Mungu ville inavyopaswa..
Acha tuuu wewe achaa
Rudi tu mamy
😭😭kbsaaa nilikua naendesha gari mpka nikatokwa machozi nashindwa namna ya kumshukuri Mungu
L
Jamani hata Mimi nikiuaikia nawaza hivi nivae magunia ama
This will be my entry song on my wedding day on 2/12/2023. Najua Bwana umenitendea. Mwanadamu hawezi elewa
Nimerudi tena kukushukuru Mungu wangu jully 24, 2023 haikuwa rahisi kupata Visa ya US . Ila uliamua kunitendea NAKUSHUKURU
Oooh yes Jesus nimerudi tena 🙏🏾👏🏽👏🏽🙌🏾🙌🏾🪘💃💃 Wengine sijui ila Mimi Bwana nimejua umenitendea 🙏🏾🙏🏾🙏🏾😭😭😭😭
There's a time I battled depression and was on the verge of ending it all.. but God restored me from that dark pit and gave me hope and strength I can't explain. Dear Lord there are so many things that I'm praying and longing for,but for this one YOU did for me ,I'm forever grateful . Thank you God. Thank you my God. Thank you.
Amen
@@denohwoodsoldier629 amen.
❤️
Nimeona mkono wako yesu Kristo amen asante yesu
Hakika Mungu ni mwema 🙏🏽🙏🏽 AMENITENDEA MENGI MAKUU HUU MWAKA NA BADO ANAZIDI KUNITENDEA 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Nimebarikiwa sana na huu wimbo.
Mungu awainuwe viwango vingini
Wimbo umegusa moyo wangu mmbarikiwe sana msiache kuimba endeleeni kumtukuza Kristo 👏
05/05/2024nmerudi tena,mengine sijui ila hili moja najua umetenda
The healing of 10 leppers 😭, only one came back to say thank you 🙏 after being healed,the nine others didn't come back. Thank you Lord for what you are doing in my life.Your grace is sufficient 🙌✨✨🌟🙏🙏🙏