Waooo!! Mungu akubariki sanaaa Baba Askofu, nimebarikiwa na huu Wimbo, ninaamini Maelfu ya watu watafunguliwa na kuinuliwa kupitia ujumbe huu. Mungu azidi kukuinua juu zaidi...This is 🔥🔥🔥🔥🔥
Huu wimbo unanitowa machozi ya furaha sana MUNGU ameniokoa na ajali Ya treni ya umeme apa USA MUNGU Kaniokoa na ajali ya gari nikiwa na mimba ya miezi 6 dactar katabil nitakuf na mtoto lakin MUNGU amefanya mtoto nimemzaa akika ni ushukuda kwangu amen 🙏 😭😭😭😭😭❤️❤️❤️❤️❤️
Ubarikiwe Sana kwa kukubali kuwa mtumishi unayeimba kweli ya Mungu na nguvu zake tunaziona katika kila wimbo wako.UZIDI KUWA JUU ILI KUIHUDUMIA DUNIA INAYOPOTOSHWA KWA KUIGIZA HUDUMA YA MUNGU ALIYEHAI
SISTER from Canada halleluyaaaaa mbarikiwe zaidi wanjilisti wazuri , Ni kweli kabisa nakubali Wimbo huu mzuri mno ni MUNGU amefanya niwe hivi leo ...... . naamini yuko kazini anaendelea kutenda ❤❤😂 AMEN Sifa, Utkufu apewe BWN.
Wow very powerful, mungu akuinue zaidi na zaidi kwa kipaji chako cha uimbaji... Wimbo huu umeniguza Sana moyo wangu.. Hakika mungu ndie anatenda barikiwa Sana kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hakika wimbo huu ,unao.hushuuda Mkubwa Sana kwenye Maisha yangu. YESU kristu akutumie kwaviwango vya juu zaidi mtumishi Kristoph uongezeke nakuangaza zaidi.
Ni Mungu amefanya sio mimi year 2023 nimepitia mambo mingi mali yangu kufirishika kuimbiwa bibi kuniacha juu mali imeisha biashara kufunga gari zangu kuisha madeni mingi but this 2024 nimeona mkono wa bwana santi mungu kwa chenye kilibaki thank you lord be blessed
Amen brother, some couldn't agree more! That song really spoke to hearts and is such a powerful testament of deliverance. so appreciate for the message it conveyed and the hope it brought to many.
Baada ya kukosa kazi kwa miaka 9 amefanya Mungu wangu wa mbinguni,kanipa kazi nzuri ya uhakika na kuniweka kwenye cheo cha ukuu.Asifiwe sana Bwana Yesu 🙏🏿
Mtumishi mungu akubliki sana kwa kazi nzuli
This is my song today after my husband and I suffering for 7yrs without a job.we have survived and now we can sing mungu amefanya 🙌🙌🙌🙏
Wakenya mko wapi jamani hallelujah 🙌 uuuuwiiiiii mungu ni mungu 😊😊😢
Amen Amen Amen Amen mungu ni mungu uuuuwiiiiii I love you so much honey GOD you're nambar one my Jesus 😊😊😊🎉❤
Amen
Ni mungu ❤❤
Kama kuna mtu humu anaamini kuwa Mwenyezi Mungu atatuvusha salama kuingia mwaka 2025 tukiwa salama kabisa tafadhari type amina
Let me comment so that whenever someone like my comment or reply it reminds that it God that has done it for and not me
Wewe ni mwimbaji wa kweli! Kila nikisikiliza nyimbo zako Kila mara najipata nikifarijiwa na Roho Mtakatifu.
Mimi ni mfuasi wako kutoka DRC Congo 🇨🇩
Ubalikiwe sana tupo pamoja nawe uku Moçambique 🇲🇿🙏🙏🙏 karibu Moçambique 🇲🇿🎉🎉🎉
Naomba namba ya Mwangila uyu mwimbaji afike uku Moçambique 🇲🇿
Wa kwanza ku view na ku like from Australia 🇦🇺 Barikiwa 🙌🏻
❤❤
Asante sana kwa wimbo wako
Waooo!! Mungu akubariki sanaaa Baba Askofu, nimebarikiwa na huu Wimbo, ninaamini Maelfu ya watu watafunguliwa na kuinuliwa kupitia ujumbe huu. Mungu azidi kukuinua juu zaidi...This is 🔥🔥🔥🔥🔥
Amen 🙏🙏
Amen ubarikiwe baba askofu
huna makuu umesema kwel
Hallelujah
Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah nishapata wimbo wa kuingia nao kwa harusi yangu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉Mungu akubariki saana kaka....Sijui nichezeje vile....Umebariki moyo wangu saana kaka
Kabisa acha MUNGU afanye tutaimba ciku hiy..
Hhhhh Mlphj. Xx can com oytiu we have been up for😮jppipppoop hhjllk😮 2:30
@@rehemahassan6073 Amen Amen
Wengi tutaingia nao huu kwa kweli
Yaani we acha tu........naringa kua na mdogo wangu wa baraka namna hii..... kiliiiiii
Kaka angu naomba nifanye collabo na ww kaka angu
Kutoka Kenya nipewe likes maana ni mungu amefanya
Naitwa Michael sekei kutoka Tz mipewe like mungu muache aitwe mungu
Hello @@MichaelMihayo-zc1lx
Siku ya harusi yangu lazima niweke hiii song sababu kwel Kun mambo mungu anafanya sio akili zetu Asante Yesu Kwa good song hiii
Nimelia sana kusikia wimbo huu ,nimeshuhudia Mungu akinitoa katika Mauti nilikuwa nimekwisha habari yangu.Jamani Mungu yupo na anafanya kazi
Mungu atakutendea mengi mazuri, wengi tumefanyiwa miujiza wala haikuwa uwezo wetu
Jina litukuzwe aliye juu
Hakika Mungu amefanya sio Mimi Asante Kwa faraja Yako Kwa tunayopitia hii Dunia Kama Mungu sio kutenda uzima tusingeupata
Waoo wangapi tumeona Mwahangila anavyomentain upako wakeee, kwakwel naendelea kuhudumiwa na Roho mtakatifu kila navyozidi kuusikila huuu wimbo, ubarikiwe saana Mtumishi wa Bwana
Anajua ku MAINTAIN upako wako, hata mimi nimeona.
@@fortunetsukuma5527 amekubali kutumika na Bwana
Hakikaa
Vzr xna
Huu wimbo unanitowa machozi ya furaha sana MUNGU ameniokoa na ajali Ya treni ya umeme apa USA MUNGU Kaniokoa na ajali ya gari nikiwa na mimba ya miezi 6 dactar katabil nitakuf na mtoto lakin MUNGU amefanya mtoto nimemzaa akika ni ushukuda kwangu amen 🙏 😭😭😭😭😭❤️❤️❤️❤️❤️
Duuu ..pole sana Dada ... Mungu anatenda tofauti na mipango
Mungu ni mwema Sanaa. Matendo yake yapita fahamu zetu😊
Akika MUNGU ni mwema
Mungu ni mwaminifu si mwandamu mipango yake haifeili
Mungu ametenda maishani mwetu
Mtumkubwa huwahukosei hongera brother umefanya kwaukubwa
Ubarikiwe mwanangu
Ahsante brother Wangu
Mungu akubariki kwa kipaji .Lakini kumbuka usichanganye MUNGU na miungu.
Today as I was led by the Lord's Spirit to sing this song again and again Jehovah opened a door. Hallelujah
Hakika Wimbo Huu Unanguvu za Mungu. *"Ni Mungu Amefanya Siyo Mimi."*
Amen bt siku hizi mmenona hamuewzi kudance 🤣🤣🤣🤣🙏🙏🙏
Hakika nakutamkia balaka mtumishi wimbo huuu umenigusa balikiwa sanaaan ameen
Neema ikutoshe
Kweli hivi nilivyo ni Mungu amefanya sio mimi,nyimbo nzuri sana
Mungu Asifiwe
Ubarikiwe Sana kwa kukubali kuwa mtumishi unayeimba kweli ya Mungu na nguvu zake tunaziona katika kila wimbo wako.UZIDI KUWA JUU ILI KUIHUDUMIA DUNIA INAYOPOTOSHWA KWA KUIGIZA HUDUMA YA MUNGU ALIYEHAI
Baba nimepokea uponyaji kupitia huyu wimbo mungu akubariki
SISTER from Canada halleluyaaaaa mbarikiwe zaidi wanjilisti wazuri , Ni kweli kabisa nakubali Wimbo huu mzuri mno ni MUNGU amefanya niwe hivi leo ...... . naamini yuko kazini anaendelea kutenda ❤❤😂 AMEN Sifa, Utkufu apewe BWN.
Let's go CRAZY 😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤ Dance,Dance and Dance 🕺 🎶.
Nkikmbuka nliko toka mpaka hpa nlipo skwa mpenzi yangu Bali nmungu amefanya barikiwa mtumsh wa mungu
Nimemwona anapendeza
Hii song ndio itakua yangu home coming nikirudi kenya mungu amenitoa mbali sana hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah yesu nakushukuru sana
Hakika mung ametenda ubarikiwe
Napokea upako.wawimbo huu katika Jina la YESU kreistu wanzareti alie hahi Amen
Amen ubarikiwe sana mtumishi
Very true, Jesus has done it not me. May God bless you Mr mwahangila
Wimbo mzurii Sana huu
Ni Mungu amefanya na kanipa ushuda wa ushuda yakwamba mimi ni mbegu waliponifukia chini bado naota tu . Himidiwa Mungu
kuna ka mlio kakinanda kananikosha hapo kanavyoitikia .. teee .teeeh ..tooh tooooh.
Sure God has DONE THE VERY big part of our lives.
Hakika mungu amefanya nakushukuru mungu wangu naamin utafanya na kwangu na kwawengin 🙏🙏
Moto sana🔥🔥🔥🔥🔥, Mtumishi 👏👏👏 ni Mungu amefanya, na akatenda🙌🙌🙌, Be blessed from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kazi Nzuri Sana Hongera Mtumishi Pia Hongera Director Elijah D Video Kali Sana Sana
You are truly a blessing to many, your ministry is indeed glory of God, neema ya huduma yaMungu wetu isipungue kwako uzidi kubwa baraka kwa wengi👏👏
Congrégation
Am a Ugandan but I like this guy, when I listen to his songs, they completely console my heart
I'm his number one fun
Unajua kuogea Kiswahili 😅
@@benardmakau3977 kidogo🤠
Sanasana yupo vyema saana kila kitu ni mungu tuu
Amen ni Mungu amefanya ,mpigie makofi📖📖📖🙏🇯🇲❤️
nimungu ametenda mziki.mzuri
Ni Mungu amenitendea,,shukrani,zote zimrudie,,sifa na utukufu ni kwake🙏🙏🙏
Tiinye ni Ngai wikite nikyo nineyoona na Ngai
Wow😮😮keeps on growing spiritually dad we love so much🎉🎉 uko mfano mzuri kwetu
Amen
❤❤❤na bado ata fanya zaidi
Ebu Mungu umefanya nilikua masikini sasa nina magari 4 nyumba 3 hakikaa Mungu umefanya aisee siyo mimi
nimbo ingekuwa nzur saaanaaa mungecheza www na mama tu hao wanaharbugi muonekano wa nyimbo
Wow very powerful, mungu akuinue zaidi na zaidi kwa kipaji chako cha uimbaji... Wimbo huu umeniguza Sana moyo wangu.. Hakika mungu ndie anatenda barikiwa Sana kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wimbo unanibariki sanaaaa 3:56
Christopher you are a blessing to my life am from Malawi and I can understand partly of your songs. One day I long to see you performing live.
Amen Amen n mungu amefanya
True!God has done Wonderful things for me.Praise and Honour to Christ now and for ever more.Amen.❤K E
Uuuuwiiiiiiii wimbo una nguvu sana huu. Ubarikiwe sana mtumishi
Aamen ubarikwe sana dadaangu
@@ChristopherMwahangila-dg4yb AMEN MDOGO WANGU
Glory glory glory hallelujah 🙏
Hakika ni Mungu amefanya, walinifukia wanashangaa nimechipuaje
Ubarikiwe sana mtumishi
Ameen,aki ni Mungu amefanya,I was passing through hard time but now am okay,then I have come across this blessing song oh,,,a lot of tears of joy.
Asante mtumishi wa MUNGU nakupenda sana ❤❤🎉🎉🎉
Powerful song Mungu amefanya nikawa jinsi nilivyo asante sana mtumishi wa Mungu ❤ 5:27
Asante mtumishi
Amen ni mungu kufika hapo nikoxaxa🙏🙏🙏
I truly love this man of God and his worship songs... They move my soul to the feet of Jesus.. 🎉🎉🎉Barikiwa Sana mtumishi wa mungu
Imetulia hongera sana mdogo wangu
Glory to GOD!! I love your music especially love it's in English captions for me to know the words.
Thank you!! ❤❤❤❤❤❤❤
Mungu Akimridhia Mwimbaji Upako Ushuka Kupitia Roho Mtakatifu.
Wow! Glory to our Mighty God for the great things He has done in our lives.👏🏾👏🏾👏🏾💪🏾 Bravo servant of God. @Christopher Mwahangila.👍
Hakika wimbo huu ,unao.hushuuda Mkubwa Sana kwenye Maisha yangu.
YESU kristu akutumie kwaviwango vya juu zaidi mtumishi Kristoph uongezeke nakuangaza zaidi.
Amen
Toka nianze kuwa FOLLOW mmenitenga kwa Like zenu 😭😭 __song
Aminaa mungu akubarik sana
Waoooooo ni yeye alie tenda sio Mimi nam nimekuta kimetendekaaa wanashaaaangaaaaa tuuuuuu nenda my brthaaaaaa
Another song added to my wedding list ❤❤❤❤
Amen God bless you Man of God
Mungu amefanya kweli did it for my children T&B🎉 during their wedding at KAREN - AGC on 23rdNov 2024🎉🎉🎉this song has made me shed tears of joy❤❤❤
𝑵𝒊 𝑴𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒕𝒖𝒖 ❤
Mungu azidi kukuinua baba yangu nyimbo zako huwa zinanibariki sanaa
God can do exceedingly abundantly above all things that we ask for or think, much love from Nairobi
Walinipiga vita ili ni siende mbele,wow be blessed
❤❤❤
Praise The Lord, just woken up with this son in my spirit. I had to search and listen to it. Amen to all God has done and that is UpTo.
I love you
🎉🎉🎉🎉 uuuwiiiii mungu amefanya jaàaamani 🙏💃💃💃
Hallelujah hallelujah 🙏🙏🙏🙏 can't get enough of this song 🙏🙏 hakika n Mungu amefanya 🙏
Mauwa ya ende Kwa mama kasitep kamwisho hatali kwel Mungu ame fanya Asant ubarikiwe
True God has done mighty things for me,That's why I have to praise him and hang out with Him,🎉🙏
Ni Mungu amefanya sio mimi year 2023 nimepitia mambo mingi mali yangu kufirishika kuimbiwa bibi kuniacha juu mali imeisha biashara kufunga gari zangu kuisha madeni mingi but this 2024 nimeona mkono wa bwana santi mungu kwa chenye kilibaki thank you lord be blessed
GOOD MUSIC.BLESSES MY SOUL.
Hakika MUNGU AMEFANYA
NABARIKIWA Sana Na WIMBO HUU
Amen brother, some couldn't agree more! That song really spoke to hearts and is such a powerful testament of deliverance. so appreciate for the message it conveyed and the hope it brought to many.
Ubarikiwe Brother. Hallelujah
Baba ubarikiwe sana
Glory be to God ❤
Keep up mungu tu
My special dedication for my enemies 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🔥🔥🔥🔥🧎♀️🧎♀️🧎♀️
Lovely song
Mimi huyo kaka anae anzaga dance na kumalizia wa mwisho ananifurahishaga sana kaka Mungu akubariki kwa kipaji cha kujua kucheza
Baada ya kukosa kazi kwa miaka 9 amefanya Mungu wangu wa mbinguni,kanipa kazi nzuri ya uhakika na kuniweka kwenye cheo cha ukuu.Asifiwe sana Bwana Yesu 🙏🏿
Ni mungu kweli amefanya .amenitoa mahali .huu wimbo umenikumbusha kitu .ubarikiwe sana ndugu
Exactly God have done the defferent btn me and them🎉🎉🎉🎉🎉🎉