Muhtasari: Yoeli

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 เม.ย. 2022
  • Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Yoeli, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Yoeli anatafakari juu ya "Siku ya Bwana" na jinsi toba ya kweli itakavyoleta urejesho mkuu unaotumainiwa katika vitabu vingine vya kinabii.
    #BibleProject #Biblia #Yoeli
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 2

  • @user-rb9xj9og7r
    @user-rb9xj9og7r 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ahsante Sana kwa maelezo haya mazuri 🎊

  • @makungushadrack64
    @makungushadrack64 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante Sana Ndugu! Kwa Kazi hii nzuri na Kwa Kupokea Ombi Langu!