Muhtasari: Amosi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ค. 2024
  • Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Amosi, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Amosi anawashutumu Waisraeli kuwa wamevunja agano lao na Mungu, na anaangazia jinsi ibada zao za sanamu zimesababisha udhalimu na kutelekezwa kwa maskini.
    #BibleProject #Biblia #Amosi
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น •