MAUAJI YA KUTISHA TEMEKE: DC MAPUNDA AFUNGUKA WATOTO WANAVYOBAKWA NA KUUAWA WAMEFIKA WATATU ANAWAJUA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 70

  • @noot-oe2mw
    @noot-oe2mw 2 หลายเดือนก่อน +10

    Inalilah wainalilah rajuuni poleni sana family

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana wafiwa.Pumzika kwa amani maraika wa Mungu.Serikali ipo macho

  • @staminacastory5322
    @staminacastory5322 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezi Mungu atusadie sisi wenyewe hatuwezi

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 2 หลายเดือนก่อน +16

    Hao viongozi wanaovamia madanguro hii sasa ndio kazi ya kulifuatilia kwa kina na kutoa majibu ya kueleweka. Kama mnaweza kuzunguka magesti usiku na Polisi tusaidieni haya mambo .Haya ndio sasa uharibifu wa mazingira.

    • @رقيهالخصيبي
      @رقيهالخصيبي 2 หลายเดือนก่อน +2

      Sio kweli watoto walikuwa wanabakwa kabla haujatokea msako wa madada powa msitafute sababu kwahiyo wewe unataka wanawake waendelee kujiuza

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 หลายเดือนก่อน

      @@رقيهالخصيبي Sijasema sababu ya madada poa usininukuu vibaya.Nimesema haya ya watoto ndio haswa ya kuyatilia mkazo kufuatilia kwa kina na iwekwe adhabu kali na ifutwe dhamana kwa mbakaji na hao viongozi wawadhibiti Polisi kuacha kuharibu kesi ya mbakaji. Hii ndio haswa neno langu

    • @pendosailo1989
      @pendosailo1989 2 หลายเดือนก่อน

      Acha ujinga

    • @StellaKaluwa
      @StellaKaluwa หลายเดือนก่อน

      NA WANAO KAMATWA NA POLISI WANAKUTWA. HIVYOHIVYO WAMEKUFA MIKONONI MWA POLISI HAO POLISI WAUAJI KAMA WAUAJI WENGINE ILA WAO HAWAKAMATWI WALA KUWAJIBISHWA

  • @ReginaMussa
    @ReginaMussa 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani tunelekea wapi Dunia ya sasa 😭😭😭😭😭tuwalinde vipi watoto wetu 😭😭😭 hatuna aman hata wakiwepo shuleni, eee, Mungu tuokoe kwa haya majanga

  • @Highviwmotionpictures09
    @Highviwmotionpictures09 2 หลายเดือนก่อน +6

    Hatari KUBWA sana tuweni makini

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 2 หลายเดือนก่อน +3

    R.I.P poleni sana wafiwa

  • @Chakol123-k7s
    @Chakol123-k7s 2 หลายเดือนก่อน +7

    Wakibaka na kuua wanapata faida gani 😢😢 nao wakikutwa wauwawe

    • @momosaid6193
      @momosaid6193 2 หลายเดือนก่อน

      Hata sijui wanapata faida gan daah roho za kuua sijui wanatoa wap jamn

    • @Chakol123-k7s
      @Chakol123-k7s 2 หลายเดือนก่อน

      @@momosaid6193 imani za kishirikina labda

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 2 หลายเดือนก่อน

    Inalilaahi wainalilah rajighun polen wazazi pamoja na jamaa zenu

  • @MagrethOnlinemedia
    @MagrethOnlinemedia 2 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sanaaa

  • @dayanamsuya6516
    @dayanamsuya6516 2 หลายเดือนก่อน +2

    Lugumi alipewa ela afunge CCTV camera yeye akala hela yote na serikali iko comfortable lakini at least ingesaidia kupata mwanzo hakuna asiyejulikana bhana kila siku hao hao

    • @hawakiza6067
      @hawakiza6067 2 หลายเดือนก่อน

      Lugumi gani

  • @zeyadazeyada8050
    @zeyadazeyada8050 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli ni mitihani mzito yarabi atulindie watoto wetu

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi ninavyoona ni haya mambo ya ushurikina tu mkibahatika kukamata mmoja akisema ni mashariti kutoka kwa mganga tafadhalini mhakikishe anawapeleka kwa huyo mganga wauawe wote hadharani huenda watu wakaigopa

  • @FatmaLyego
    @FatmaLyego 2 หลายเดือนก่อน +2

    😢😢😢😢

  • @meshackthomas1341
    @meshackthomas1341 2 หลายเดือนก่อน +3

    Tatizo nimalezi. Kwa wazazi. Au family. Hayapo sawa matokeo yake uvutaji Bangi na pombe chafu. Umezidi sana. Kisha kuwa na makundi ya vijana wasema hovyo nawenye tatizo la Afya ya Akiri kipo. Kitu chakufanya endapo tutasimamia wajbu. wetu viongozi sasa

  • @Aishaynah_innah
    @Aishaynah_innah 2 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢

  • @mwanakhamisimwinyimatano1185
    @mwanakhamisimwinyimatano1185 2 หลายเดือนก่อน

    Inna lilah waina ilah rajiuun

  • @hamishassan6784
    @hamishassan6784 2 หลายเดือนก่อน

    Mh Serikali haiwezi kushindwa najua hilo na sina shaka na serikali yangu lakini wazazi wazazi wazazi watoto hawa ni wetu sote sio eti kwa kuwa sio wako yaani si vibaya kumhoji mtu anayeongozana na binti ambaye wewe unaona kuna mashaka jamani mabinti zetu ni wadogo hawawezi pembua mambo,
    lakini pia kwa serikali yetu kwa maaendeleo haya ya sayansi na teknolojia hebu tutumie hizi changamoto kuwa wabunifu wa namna ya kutambua matukio ya kiarifu kama haya tuache kuhisi hisi au kushuku CCTV Canera zinashida gani kuwekwa kwenye maeneo yote hatarishi?

  • @blessingntuli3796
    @blessingntuli3796 2 หลายเดือนก่อน +1

    Inamaana polisi watashindwa kufanya uchunguzi ???
    Kuanzia walipotika watoto wawili hadi zakiemu alipo bakia mmoja haku Mjengo wowote wenye cctv camera Kweli 🤔🤔! Mkifanya hivyo atajulikana tuu

  • @MohamedNassoro-md8yv
    @MohamedNassoro-md8yv 2 หลายเดือนก่อน

    LA PANYA ROAD HALIJAISHA VIZURI LIMEKUJA LA MAUAJI YA WATOTO😢😢

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz 2 หลายเดือนก่อน +1

    😭😭😭😭😭wauliwe

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 2 หลายเดือนก่อน

    Kuna shida kwenye malezi ya watoto... wengi wanajilea wenyewe... familia zimesambaratika sana... Mungu tusaidie sana

    • @ziggertv3185
      @ziggertv3185 2 หลายเดือนก่อน

      Kabisa huu usingle mother na usingle father

    • @TatoTato-t7s
      @TatoTato-t7s 2 หลายเดือนก่อน

      Wala sio kulea muombe tuu mungu yasikukute

  • @epema632
    @epema632 2 หลายเดือนก่อน

    So sad😢

  • @KoleYasini
    @KoleYasini 2 หลายเดือนก่อน

    Inaumiza zaid ya sana..

  • @colletatesha5265
    @colletatesha5265 2 หลายเดือนก่อน +3

    Uchaguzi unakaribia mijitu inatoa kafara tyu

  • @EmanuelMbandi
    @EmanuelMbandi 2 หลายเดือนก่อน +4

    Shida nikwamba nyie mumewakamata madada poa wakati hao ndo walikuwa wanamaliza ugumu.haya sasa

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 หลายเดือนก่อน

      Acha kutetea ujinga wewe

    • @naomijoshua6923
      @naomijoshua6923 2 หลายเดือนก่อน

      Kwahiyo ugum ndo wachukue viungo vya mwili au

    • @mtatapharaoh5174
      @mtatapharaoh5174 2 หลายเดือนก่อน

      mmbakaji wewe

  • @MusaMoleli-t3k
    @MusaMoleli-t3k 2 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢😢😢daaa aisee

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hii nchi mnaongea sana kwa Nini msiweke camera mitaani ?

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 หลายเดือนก่อน +1

      Nani anajali ? Wakati fedha zote zaenda kwenye matumbo yao

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 2 หลายเดือนก่อน

      @@jumakapilima7295 nchi ya laana nchi ya Mavi kunuka!

  • @DanieliMzirai
    @DanieliMzirai 2 หลายเดือนก่อน +4

    Sixtus mapunda ulikuw mbunge wa kwetu mbinga mjini 2015

  • @kesterkanyala7718
    @kesterkanyala7718 2 หลายเดือนก่อน

    Mauaji yanakithiri SANA...UTEKAJI,UBAKAJI...Kila kukicha akina mama wanalia.

  • @Chakol123-k7s
    @Chakol123-k7s 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hili swala samia???

  • @ummiissaabdulissaabdul8117
    @ummiissaabdulissaabdul8117 2 หลายเดือนก่อน

    Alafu nsikie ati tz tuna amani amani ipi hapa nchi hii kila leo mauaji ya kutisha mara albino kutolewa viungo sasa wengine hoo tanzania tuko na amani nchi zote nikuombs mungu tu

  • @tedyalifons924
    @tedyalifons924 2 หลายเดือนก่อน +1

    Acheni maneno

  • @jurdanforwardersltd1460
    @jurdanforwardersltd1460 2 หลายเดือนก่อน

    hapa atuwasiki hata kidogo wanahojita haki za minadamu,sasa sijui wanatetea mambo gani?maana yangekua matukio mengine tungehona press aharaka sana.

  • @ZulekhaBaksh-ii4fk
    @ZulekhaBaksh-ii4fk 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna kipindi difenda zilikuwa zinatembea uhalifu umezidi

  • @TatoTato-t7s
    @TatoTato-t7s 2 หลายเดือนก่อน

    Nyie wauwaji kwan huko majumban kwenu hakuna watoto adi muue watoto wawenzenu

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa panaitajika C CT V camera inatisha kabisa hii Hali

  • @PekeiLeki
    @PekeiLeki 2 หลายเดือนก่อน

    🎉❤😅😮

  • @NasraNasra-l9q
    @NasraNasra-l9q 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi mbona uchaguzi ukianza haya matukio yanazidi?

  • @ZulekhaBaksh-ii4fk
    @ZulekhaBaksh-ii4fk 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huku kwetu yombo machimbo pia kuna balaa la kupigwa mapanga

  • @emanuelmaraki9758
    @emanuelmaraki9758 2 หลายเดือนก่อน

    Duu tatizo lanchii hii mtuakibaka anyonywe serekali aitaki kufanya hivoo wanyonywee sio kumfunga jela akale ugali waburee watu wamekuwa suguuu watoto wetu wataisha jamani Sheria iwe kali

  • @SalumMsafiri20
    @SalumMsafiri20 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wazazi pamoja na walezi tuongeze umakini kwa vijana wetu. Matamanio ya utajiri yanapelekea binadam tunakuwa zaidi ya wanyama.

  • @temuramadhani5134
    @temuramadhani5134 2 หลายเดือนก่อน

    Temeke Kuna Nini?

  • @ramadhanhassan9308
    @ramadhanhassan9308 2 หลายเดือนก่อน

    Familia Linda watoto wako hao Ni rasilimali

  • @shabanipanya1033
    @shabanipanya1033 2 หลายเดือนก่อน

    Eti sio mambo ya serikali na mambo yenu nyie wazazi mshirikiane ,,,sijui kama mmesikia hii kauli au

  • @timothbenard8213
    @timothbenard8213 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bac nchi haina ulinz

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 2 หลายเดือนก่อน

      Ujue kuna ile hali serikali inatakiwa iwe kali mpaka mtu aogope kufanya uhalifu sa Hivi kuna kucheka cheka sana matukio yapo mengi na inakua kama kawaida tu

  • @ZulfaJevejeve
    @ZulfaJevejeve 2 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢

  • @hamisamajoka3284
    @hamisamajoka3284 2 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢

  • @namelockmaasailady8002
    @namelockmaasailady8002 2 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢